Yaani Hospitali zetu zinazidiwa na walezi masikini walioweza kumtunza kwa miaka minne wao hata mwezi wameshindwa.
Binafsi sishangai hata kidogo. Hospitali zetu za serikali zimebakiza najengo na madaktari walio nuna tu.
Tangu jana nipo Sekouture, nimeleta mgonjwa anaumwa sana kichwa, tena mgonjwa kaletwa kama rufaa lakini hata panadol tumeambiwa kununua, bonba la sindano unanunua mtaani, drip, pamba, yaani kila kitu.
Mgonjwa alionwa na daktari jana asubuhi mpaka sasa hakuna dk wala nesi amekuja kumuona mgonjwa ingawa mgonjwa anaumwa sana na wanajua.
Vipimo vya tangu jana vya typhoid, malaria na haja ndogo hadi sasa majibu hayajulikani.
Imagine hispitali ya Mkoa haiwezi kupima FBP (fool blood picture) wanakuelekeza uende laboratory ya Bahamas.
Sasa kwa mazungira haya kwanini Nasra asipoteze maisha?
Serikali iache usanii, idara ya afya iko vibaya, wanyonge wanakufa si kwasababu hawawezi kulipia matibabu ila hata matibabu ya kulipia hayapo.
Ndaki, maswali yako ni sahihi, ila kumbuka majirani walibaini kuwapo kwa mtoto huyo baada ya kusikia akikohoa ndani, hivyo huenda kweli alikuwa pneumoniaNasikitishwa na kisa cha mtoto nasri hadi mauti yake, lakini kuna maswali mengi kuliko majibu. 1. Mtoto alichukuliwa akiwa anaongea na kutabasamu hivyo hakuwa mahututi kama tunavyoaminishwa na vyombo vya habari, kimetokea nini hadi kafa ghafla? 2. Huyu mtoto hakuwahi kunyonya maziwa ya mama kwani mzazi wake alifariki siku chache baada ya kuzaliwa hivyo aliishi kwa maziwa ya ng'ombe hawezi kuwa na siha njema hivyo hao walezi walijitahidi mno, hao wanahabari kutulisha sumu ya habari kuwa mtoto alikuwa kwenye mateso makali sidhani kama wako sahihi nao wachunguzwe na vyombo husika. 3. Kuwakamata walezi wa mtoto naamini kulisababisha madaktari kutopata historia sahihi ya mtoto na kusababisha kutotoa tiba sahihi. Utendaji kazi wa dawati la jinsia nao ufanyiwe tafhmini, kwani wamegeuka babamkwe wa kusuluhisha ndoa. 4. Nachoona mie mtoto alikuwa na utapia mlo kutokana na maisha duni ya walezi, je tunao wataalamu wa lishe katika hospitali zetu? Au ukifika hata kama una malnutrition unaanzishiwa drip za pneumonia? 5. Kuwekwa ndani ya box ni eneo hatarishi? Aliishije miaka minne humo na abaki na tabasamu na ajue kuongea kiswahili kwa ufasaha? ni kawaida mama kumweka mtoto kwenye ''baby walker'' ili mtoto asijikweze hadi eneo hatarishi, sasa kama mzazi hana uwezo wa kununua ''baby walker'' si anaweza tumia box huku akilitandika vizuri kwa baby show na blanket laini? ---------- Sent from my Nokia phone -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. --
hosea.ndaki@gmail.com wrote:
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment