Wednesday, 4 June 2014

Re: [wanabidii] UINGEREZA YAZUIA VIZA YA NAIBU WAZIRI STEVEN MASELE

Uingereza wako sahihi kama wanaona tuhuma dhidi yao si sahihi, waziri wetu alikurupuka na ushahidi ni taarifa ya ikulu iliyotofautiana na masele na serikali kueleza kuwa taarifa ya ikulu ndio msimamo sahihi wa serikali, mawaziri wetu waache kuropoka

Sent from Yahoo Mail on Android

From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] UINGEREZA YAZUIA VIZA YA NAIBU WAZIRI STEVEN MASELE
Sent: Wed, Jun 4, 2014 2:29:37 PM

Hapa ni mahala pengine tunaweza kutofautiana maoni. Sihisi athali sana
lakini Masele aliropoka alipayuka anastahili kufinywa. Haitoshi kufikiri kuwa angeweza kuwajibishwa lakini hata hivyo hatuna utamaduni huo. Siwezi kutumia hata nukta moja kujaribu kumtetea Masele. Mimi ni Mzalendo. Siamini kuwa nakosa uzalendo  kutomtetea.

On Wednesday, June 4, 2014 3:38 PM, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Wazuie, kuzuia si issue kabisa, walichopaswa kuona ni je kweli tuhuma ni za kweli au la.......ni vibaya diplomat kama hawa kuanza kutumia fursa walizoanazo kuumiza nchi changa kama sisi kisa kukataa kutumia bank zao, sasa baloz huyu si atimuliwe.....kenya waliwahi kufanya hivo, asibabaishe watu hawa waingereza bana......najua Tz ni hot sasa kwa investment....gas na mafuta ndio maaana

On Wednesday, June 4, 2014 1:46 PM, 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Haki iko wapi? Inawezekana Masele habari alizosema hazina ukweli, lakini ni mara ngapi wamekuwa wa publicize habari za viongozi wa nchi zinazoiendelea, habari zingine zikiwa za uongo? Je nchi hizo zilichukua hatua yoyoye?
Bila shaka Mh Masele wenzake wamekataa kuunga mkono yale aliyosema ndiyo maana balaa linamwangukia yeye peke yake. 

On Wednesday, 4 June 2014, 9:08, Pauline Mengi <paulinemengi@gmail.com> wrote:

SERIKALI YA KUINGEREZA IMEZUIA VIZA YA NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI , MHE STEVEN MASELE , BAADA YA WAZIRI HUYO KUMTUHUMU BALOZI WAKE HAPA NCHINI KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UJASUSI KWA MASLAHI YA NCHI YAKE .
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment