Thursday, 5 June 2014

Re: [wanabidii] Tabia ya Waandishi wa habari kuwa-blackmail watu mitaani

mmmmh karume
Hata hivyo huenda nae huyo ndg yako alikua na habari mbaya kweli, na mwandishi nae kwa njaa zake akataka apewe that much......ni tabia mbaya na haijaanza laeo wala kwa ndg yako na ipo.....Kwa kua jamii ni corrupt vitu kama hivi vipo na kuvimaliza ni ngumu......Huyo mwandishi ni mhalifu na huenda ndg yako alikua mhalifu lakini wewe umekimbilia kutafuta ukweli na kuzima uhalifu wa mwandishi
Unaposema mhariri kasema anachangia yes, wengi waandishi wetu ni wachangiaji jamani au correspondent, so kusema hivo haina maana hawamjui
Anyway shughulikia na jukwaa lakini the right place kwa kaka kajubi mukajanga kamshtakie pale, ila na uwe na ushahidi wa kutosha......ni vitu vipo daily ila nasema we have to change this
Ili waandishi waache haya ni vyema wapewe ajira na pesa za kutosha lakini kukemea tu hakutosha kumaliza hili tatizo, sawa na rushwa kwa police, mahakamani au popote
--------------------------------------------
On Wed, 6/4/14, 'john mushi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Tabia ya Waandishi wa habari kuwa-blackmail watu mitaani
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, June 4, 2014, 10:52 AM

Afadhali mmewaona! wengine hupita kwenye
maofisi ya Umma wakidai wataandika mambo ya watumishi
waandamizi.Tusaidieni kuwamalizia mbali watu wa namna
hii.hawana lolote.

On Wednesday, June
4, 2014 9:26 AM, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

INGEKUWA VYEMA zaidi
ungetaja jina la Huyo mwandishi tumjue.maana bila kutaja
jina haosadii Chochote.nikweli mchezo huo machafu upo, na
wahusikawakibainika wanachukuliwa hatua.huyo kaka yako
akienda kuripoti Takukuru?au kweli nayeye hizo tuhuma ni za
kweli.taja jina la Mhariri, na Huyo mwandishi
tujue.
Sent from my
iPad
On Jun 3,
2014, at 9:46 PM, "'Mashaka Mgeta' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Karume,
nadhani hukustahili kujumuisha jumuiya pana ya waandishi wa
habari wakiwamo walio
waadilifu na waaminifu kwa umma. Hapo hukutenda haki kama
huyo mkosaji ambayo hakutenda haki kudai fedha kwa njia
haramu.
Pili,
ninadhani ni sahihi kabisa kama ungemchukulia kuwa ni
mhalifu kama alivyo mwizi, jambazi, muuaji, jangili, gaidi
ma wengine wenye sifa kama hizo na namna pekee ya ku-deal
naye ni kuchukua hatua zinazomstahili muhalifu yeyote
duniani.

On Tuesday, June 3,
2014 5:45 PM, Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>
wrote:

Imezuka
tabia chafu miongoni mwa waandishi wa habari ya
kuwa-blackmail watu mitaani. Juzijuzi mwandishi mmoja (jina
nalihifadhi kwa sasa) alitaka apewe Shilingi milioni
2 na ndugu yangu ili asiandike habari zake alizodai ni
'mbaya'. Mwandishi huyu mshenzi alijitambulisha kuwa
anatoka kwenye gazeti ambalo mhariri wake ni rafiki yangu.
Nilipompigia simu mhariri na kumuuliza iwapo ana mwandishi
anayeenda kwa jina hilo alisema huyo huwa anachangia tu
makala kwenye gazeti lake na sio mwajiriwa. Alishangaa sana
nilipomueleza kisa kizima, na alishauri tumuwekee mtego. Ana
bahati sana mshenzi huyu! Nimeambiwa wapo waandishi wa
habari
wengi 'feki'
wanaojihusha na mchezo huu mchafu. Nasema ole wao! Nafanya
mawasiliano na Jukwaa la Wahariri na Baraza la Habari
Tanzania (MCT) ili, pamoja na mambo mengine ya kusimamiaa
taaluma, waweze pia ku-deal na washenzi wa aina hii
wanaochafua sifa nzuri ya wanahabari.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment