Wednesday, 4 June 2014

Re: [wanabidii] Tabia ya Waandishi wa habari kuwa-blackmail watu mitaani

Tukimjua mandishi, tutarudi kwako tena Fakhi utueleze kuhusu hizo tuhuma ambazo ndugu yako alikuwa anakabiliwa nazo. Inawezekana pia ukawa ni mchezo mwingine tunaochezewa, maana hivi sasa kuna watu wanakutwa na tuhuma mbalimbali, lakini tu kwa sababu wanafahamiana na wahariri, wanaamua kuongea nao moja kwa moja kuficha maovu yao na kusema kwamba wanataka kuwa blackmailed. hili nalo lichunguzwe pia, uswahiba ama kufahamiana na wanahabari usitumike kuficha taarifa zenye maslahi ya jamii.

Mbega - Iringa

2014-06-04 9:26 GMT+03:00 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
INGEKUWA VYEMA zaidi ungetaja jina la Huyo mwandishi tumjue.maana bila kutaja jina haosadii Chochote.nikweli mchezo huo machafu upo, na wahusikawakibainika wanachukuliwa hatua.huyo kaka yako akienda kuripoti Takukuru?au kweli nayeye hizo tuhuma ni za kweli.taja jina la Mhariri, na Huyo mwandishi tujue.

Sent from my iPad

On Jun 3, 2014, at 9:46 PM, "'Mashaka Mgeta' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Karume, nadhani hukustahili kujumuisha jumuiya pana ya waandishi wa habari wakiwamo walio waadilifu na waaminifu kwa umma. Hapo hukutenda haki kama huyo mkosaji ambayo hakutenda haki kudai fedha kwa njia haramu.

Pili, ninadhani ni sahihi kabisa kama ungemchukulia kuwa ni mhalifu kama alivyo mwizi, jambazi, muuaji, jangili, gaidi ma wengine wenye sifa kama hizo na namna pekee ya ku-deal naye ni kuchukua hatua zinazomstahili muhalifu yeyote duniani.

On Tuesday, June 3, 2014 5:45 PM, Fakhi Karume <fkarume@gmail.com> wrote:

Imezuka tabia chafu miongoni mwa waandishi wa habari ya kuwa-blackmail watu mitaani. Juzijuzi mwandishi mmoja (jina nalihifadhi kwa sasa) alitaka apewe Shilingi milioni 2 na ndugu yangu ili asiandike habari zake alizodai ni 'mbaya'. Mwandishi huyu mshenzi alijitambulisha kuwa anatoka kwenye gazeti ambalo mhariri wake ni rafiki yangu. Nilipompigia simu mhariri na kumuuliza iwapo ana mwandishi anayeenda kwa jina hilo alisema huyo huwa anachangia tu makala kwenye gazeti lake na sio mwajiriwa. Alishangaa sana nilipomueleza kisa kizima, na alishauri tumuwekee mtego. Ana bahati sana mshenzi huyu! Nimeambiwa wapo waandishi wa habari wengi 'feki' wanaojihusha na mchezo huu mchafu. Nasema ole wao! Nafanya mawasiliano na Jukwaa la Wahariri na Baraza la Habari Tanzania (MCT) ili, pamoja na mambo mengine ya kusimamiaa taaluma, waweze pia ku-deal na washenzi wa aina hii wanaochafua sifa nzuri ya wanahabari.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

"Kama hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?" ~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam, 1995

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment