Eric, katika list ya wajita wasomi huyu ni wa kawaida tu, wapo akina profesa ruhumbika.
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: Erick Maro <rikmaro@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, June 1, 2014 4:55:38 PM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Profesa Muhongo anapata wapi jeuri hii?
Inawezekana akawa ndio prof. Wa kwanza kwenye kabila lao.
On Jun 1, 2014 4:30 PM, "Nicomedes Kajungu" <nicomedes76@gmail.com> wrote:
> Huyu Profesa Muhongo wakati mwingine anaongea vitu vya msingi, tatizo lake
> anachanganya ubinafsi na maringo ya kijita. Kama angetulia, akatumia elimu
> yake vizuri pengine tungepata matunda mazuri zaidi.
>
> Kujivuna, Kiburi n.k kadhalika ni "sakililigo". Yesu Kristo na Mtume
> Mohamed (SAW) walikuwa na uwezo mkubwa sana kupita binadamu yeyote, lakini
> walijinyenyekeza kupita binadamu yeote.
>
>
>
>
> 2014-06-01 16:07 GMT+03:00 'Eberi Manya' via Wanabidii <
> wanabidii@googlegroups.com>:
>
>> Huyo wala si profesa, ni kichaa wa kutupwa...
>>
>> 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>
>> >Ndugu Mhariri,
>> >Wakati
>> >anasoma bajeti ya Wizara yake, Profesa Muhongo akimchana Dr Ole Sendeka
>> bungeni
>> >kwa kumkejeli na kumdhalilisha hadharani huku akifikia hatua ya kutaka
>> kuweka
>> >hadharani matokeo yake (Ole Sendeka) ya mtihani wa kidato cha nne
>> aliokaa mwaka
>> >1984 katika Shule ya Sekondari Monduli.
>> >
>> >Isingekuwa busara za Spika Makinda ni dhahiri kwamba Muhongo angeanika
>> matokeo
>> >ya Ole Sendeka hadharani.
>> >
>> >Badala ya kujibu tuhuma za ufisadi wa fedha za umma unaomkabili yeye
>> (Profesa
>> >Muhongo) na mshirika wake (Maswi), Muhongo alitumia muda wa umma vibaya
>> kwa
>> >kumshambulia Ole Sendeka kama mtu binafsi na kumdhalilisha vya kutosha.
>> >
>> >Kwa jinsi ninavyofahamu mimi, ushahidi ukishatolewa bungeni, kama
>> alivyofanya
>> >Dr Kafulila na Dr Ole Sendeka, ni jukumu la tume ya maadili ya bunge
>> >kuuchunguza na kuona kama unakidhi haja na kisha kuwapelekea TAKUKURU na
>> >mahakama waufanyie kazi.
>> >
>> >Sasa inakuwaje Madam Spika akamruhusu Prof Muhongo apoteze muda wa umma
>> kwa
>> >kumshambulia Ole Sendeka kama mtu binafsi huku akikwepa tuhuma za ufisadi
>> >zinazomwandama yeye na Maswi? Hili suala sio sawawa hata kidogo.
>> >
>> >Aidha, inaonekana kwamba Prof Muhongo ni mtu wa ajabu sana kwa jinsi
>> >anavyojisifu kwa usomi wake bila kuzingatia kwamba sisi watanzania
>> tumemtuma
>> >akatuwashie umeme sio kututangazia usomi wake! Mh Mbowe aliomba muda
>> uongezwe
>> >ili kila mbunge apate nafasi ya kuhoji namna mambo yanavyokwenda ovyo
>> kwenye
>> >wizara hii lakini Prof Muhongo akambeza na kumdharau.
>> >
>> >Majisifu ya kila siku ya profesa Muhongo na kuringia usomi wake sio tija
>> kwa
>> >watanzania. Watanzania tunataka umeme na tunataka mafisadi wanaokula
>> fedha za
>> >umma washughulikiwe.
>> >
>> >Sisi hatuna haja na usomi wa Muhongo. Hata kama Wizara hii ikiongozwa na
>> mtu
>> >aisiyekwenda shule kama vile Kapteni Komba au Prof Majimarefu, sisi
>> hatuna
>> >shida na hilo. Shida na taabu yetu ni kuona kila mtanzania anapata
>> huduma ya
>> >umeme wa uhakika.
>> >
>> >Profesa Muhongo anatakiwa ajiandikishe kwenye chuo siasa cha CCM
>> Kivukoni,
>> >akajifunze taaluma ya siasa na namna ya kuheshimu watu na mawazo yao,
>> tofauti
>> >na jinsi anavyotenda mambo kwa sasa. Kutaja matokeo ya mtihani ya Ole
>> Sendeka
>> >bungeni haikuwa hoja ya msingi. Hoja ya msingi ilikuwa ajibu tuhuma
>> >zinazomkabili yeye na msaidizi wake wa karibu (Maswi). Vitendo vya
>> kifisadi
>> >vinavyofanywa na watu wa chama na serikali haviwafurahishi wananchi hata
>> >kidogo. Wananchi wanataka mawaziri wachapakazi watakaowaletea maendeleao
>> >endelevu. Hawataki mawaziri domo kaya wanaoringia usomi wao wakati
>> wanashindwa
>> >kutumia usomi huo kuwaletea wananchi maendeleo. Kutamba kwamba amewahi
>> kuwa
>> >Rais wa wanajioljia Afrika hakutuongezei shibe na wala hakutupunguzii
>> njaa.
>> >Muhongo anapaswa kupima kila neno linalotoka kinywani mwake na
>> kutathimini
>> >madhara yake kabla ya kuropoka.
>> >
>> >Kutaja hadharani matokeo ya mtihani ya mtu anayetetea wananchi, ni utovu
>> wa
>> >maadili ya uongozi na nidhamu kwa kiongozi mkubwa kama Muhongo ambaye
>> >anategemewa kuwaletea watanzania maendeleo. Matokeo ya mtihani ya mtu ni
>> SIRI,
>> >hayatakiwi kutajwa hadharani—hii ni NYARA ya serikali. Muhongo na hao
>> watumishi
>> >kengeufu wa Baraza la Mitihani (NECTA) waliomchapia matokeo ya Ole
>> Sendeka
>> >yafaa wachukuliwe hatua za kisheria kwa kukiuka miiko ya utumishi wa
>> umma.
>> >
>> >Thobias Odhiambo,
>> >Dar es Salaam,
>> >Simu: 0719 786 226
>> >
>> >--
>> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>> >
>> >Disclaimer:
>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >---
>> >You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups "Wanabidii" group.
>> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
>
>
> --
> *_________________________________________________*
> Nicomedes M. Kajungu
> P.O.Box 7733, Mwanza.
> +255 782 315 688, +255 767 48 32 71,
> +255 719 451 850
> Skype add: nkajungu
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment