Jamani ndoa ndicho kitu kitakatifu kulingana na baadhi ya maandiko yaliyoko kwenye vitabu vitakatifu lakini inafikia wakati wanandoa wanatengana sembuse MUUNGANO WA HIARI, je ungekuwa wa lazima tungefanyaje? Binafsi nasema kama kizazi cha leo kimeona haufai bora uvunjwe kuliko kuishi kwa malalamiki na manunguniko.
------------------------------
On Wed, Jun 4, 2014 2:58 AM PDT 'Happiness Katabazi' via Wanabidii wrote:
>KUJADILI MUUNGANO ISIWE DHAMBI,USALITI<br %
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment