Tuesday, 3 June 2014

Re: [wanabidii] Kifo cha mtoto nasri uchunguzi wa kina ufanyike

Hii kesi ipo mahakamani na nadhani kuna maswali nikiuliza hapa au yakiulizwa na mwanachama mwingine yanaweza kuingilia uhuru wa mahakama

On Jun 3, 2014 11:46 PM, <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Nasikitishwa na kisa cha mtoto nasri hadi mauti yake, lakini kuna maswali mengi kuliko majibu.

1. Mtoto alichukuliwa akiwa anaongea na kutabasamu hivyo hakuwa mahututi kama tunavyoaminishwa na vyombo vya habari, kimetokea nini hadi kafa ghafla?

2. Huyu mtoto hakuwahi kunyonya maziwa ya mama kwani mzazi wake alifariki siku chache baada ya kuzaliwa hivyo aliishi kwa maziwa ya ng'ombe hawezi kuwa na siha njema hivyo hao walezi walijitahidi mno, hao wanahabari kutulisha sumu ya habari kuwa mtoto alikuwa kwenye mateso makali sidhani kama wako sahihi nao wachunguzwe na vyombo husika.

3. Kuwakamata walezi wa mtoto naamini kulisababisha madaktari kutopata historia sahihi ya mtoto na kusababisha kutotoa tiba sahihi. Utendaji kazi wa dawati la jinsia nao ufanyiwe tafhmini, kwani wamegeuka babamkwe wa kusuluhisha ndoa.

4. Nachoona mie mtoto alikuwa na utapia mlo kutokana na maisha duni ya walezi, je tunao wataalamu wa lishe katika hospitali zetu? Au ukifika hata kama una malnutrition unaanzishiwa drip za pneumonia?

5. Kuwekwa ndani ya box ni eneo hatarishi? Aliishije miaka minne humo na abaki na tabasamu na ajue kuongea kiswahili kwa ufasaha? ni kawaida mama kumweka mtoto kwenye ''baby walker'' ili mtoto asijikweze hadi eneo hatarishi, sasa kama mzazi hana uwezo wa kununua ''baby walker'' si anaweza tumia box huku akilitandika vizuri kwa baby show na blanket laini?

 ----------
Sent from my Nokia phone

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment