So according to Ludovick Mwalimu Lwaitama alifanya vurugu kwenye ndege. Na bado kuna watu wanalaumu waandishi wetu wa habari?
em
2014-06-27 16:22 GMT-04:00 Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>:
Ndugu zangu
Hoja yangu ni kuwa nashindwa kushawishiwa na mtu ambaye anajiita Mabadiliko Chadema lakini kila kukicha anatafuta fursa yawakashifu viongozi wakuu wa Chadema. Mimi sikusema nashindwa kushawishiwa na CCM. Ilo ni moja. Pili Mimi hata kama ningekuwa mwanachama wa Chadema bado Dr Antony Diallo ni rafiki yangu na tunawasiliana kwa mijadala mikali ya kisomi na hata yeye anajua mimi ni mkosoaji wa mwelekeo wa kiungozi na kiitikadi wa CCM. Sasa niliposingiziwa kufanya fujo ndani ya ndege ya Precision nikiwa Mwanza nilimpigia simu Dr Antony Diallo kama rafiki yangu na wala mambo ya vyama vya siasa hayakuingia akilini mwangu. Nilipigia simu pia Mr Sungusia wa LHRC na wote Dr Antony Diallo na LHRC walituma wanasheria mara moja pale kituo cha polisi Mwanza. Msaada wa wanasheria hawa wote ndio ulisaidia katika polisi kufanya upelelezi wao vizuri na mwisho wa siku polisi walipeleka faili kwa mwakilishi wa DPP pale Mwanza na baadaye wakanijulisha kuwa hakukuwepo ushaidi wa mimi kufanya fujo yoyote bali nilibambikiziwa tuhuma za kufanya fujo kuficha ukweli kuwa nilitumia lugha ya upole na ustaharabu kukumbushia wahudumu wa Precision wawaelezee wakubwa wao waache kuidhalilisha lugha ya taifa kwa kudai eti mtu hasiye kifahamu Kiswahili sherti atolewe kukaa karibu na mlango wa dharura.
Sasa watetezi wa vyombo vya dola na CCM hata hoja yangu hawakuangaika nayo wakakimbialia kunitukana mimi kama mimi na kudai eti nimefelisha watoto wa shule wakati mimi si mmiliki wa shule au chuo chochote. Nina weza vipi kuwafelisha wanafunzi wakati mara zote kozi moja au mbili wakati wanfunzi wanzo kozi si chini ya sita na wanafundishwa na walimu amabo wala hawapo chini ya udhibiti wangu? Ilibidibidi nicheke alipondandia jamaa yangu Ludo na kusherehekea alichodhani eti Lwaitama kutafuta kushawishiwa na CCM kama eti alivyolamba miguu ya CCM alipobambikiziwa kesi ya kufanya fujo Mwanza akamuomba rafiki yake amabaye ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza amsaidie kutafutia mwanasheria. Yaani ni maajabu kabisa. Mimi hata ningekuwa mwanachama wa Chadema bado hiyo pekee hisingenizua kumpingia Dr Antony Diallo, kunitafutia mwanasheria katika ile kesi ya Mwanza.
Dr Diallo ni Mwenyekiti wa CCM sawa lakini ni tumekuwa marafiki kwa siku nyingi tu kutokana na yeye kupenda kuingia kwenye mijadala mikali ya kisomi na watu kama mimi ambao anajua si wanafiki na wanasema wanachokiona ni sahihi kwa taarifa walizo nazo. Sasa hii dhana kuwa eti nilikana nafsi yangu kama mwana Chadema kwa kuomba msaada wa mwana CCM Dr Diallo kwa mamabo yasiyohusiana na siasa na huku yeye yu rafiki yangu wa siku nyingi na niliomba msaada kunitumia mwanasheria kituo cha polisi intaoka wapi. Mbona nina pingana na siasa za siku hizi za Dr Kitila Mkumbo na mwanangu Mh. Zito Kabwe lakini tunakutana na kuendelea kuheshimiana na kusaidiana kama ndugu kama ilivyokuwa zamani.
Hoja yanguilikuwa na inabaki kuwa hii hapa: Mabadiliko Chadema hawezi kunishawishi kuwa yeye ni Chadema mwenye kutafuta kuleta mabadiliko nchini pamoja na kukiondoa CCM madarakani bali mimi na muona kama mtetezi wa hoja ya ki-CCM yakutafuta kuwabomoa na kuwadhalilisha Dr Slaa na Mh Mbowe kama mkakati wa kudhoofisha Chadema ili CCM itawale milele. Hiyo ndio ilikuwa hoja yangu. Nilikuwa na sema Mabadiliko Chadema ananisikitisha kwa kila mara kuficha jina lake halisi wakati huko nyuma tuliwahi kuambiwa ni fulani bin fulani aliyefukuzwa uanachama na viongozi wa Chadema kwa kugundulika kukisaliti . Tena sasa hivi maandiko mengi kama siyo yote ya Mabadiliko Chadema lengo lake ni la kisaliti Chadema kwa kuwatuhumu ufisadi viongozi wakuu wa Chadema. Wala si lazima kwa kusema hivyo eti mimi ni mwanachama wa Chadema. Kama Mabadiliko aliishafukuzwa uanachama Chadema kwa nini anaendelea kujinadi kama mwana Chadema tena eti mwenye uchungu na chama hiki?
Prof Baregu ni mwanachama wa Chadema kwa utashi wake. Mimi nawaunga mkono viongozi rasmi wa Chadema kwa kazi yao nzuri ya kuongoza juhudi za kukiondoa CCM, chama kilichotawala kwa nusu karne, madarakani lakini mimi ni mkomunisti ambaye alijiondoa TANU 1973 kwa kutokuwa chama cha kijamaa vyakutosha. Sasa nitajiunga Chadema kwa kigezo gani cha kiitikadi au ndio nijiunge tu kwa sababu mimi ni rafiki wa Dr Slaa? Kwa mantiki hiyo hiyo ndio maana ni ujinga kudhani eti kuwa rafiki wa Dr Diallo basi mimi niko karibu kujiunga na CCM!!! Kuunga mkono chama fulani kipate madaraka na kingine kibwangwe si lazi itokane na ushabiki wa vyama. Inaweza kuwa ni mkakati wa kusogeza mabambano ya kitabaka mbele kwa zama husika. . Wapo wakomunisti wengi wananaunga mkono vyama vya kiliberali kama mkakati tu ya kuvusha wananchi kwenye kiunzi fulani cha kihistoria.
Kila siku narudia tena na tena mimi ninangojea CCM kiondolewe madarakani ili nijiunge nacho nitoe mchango wangu katika kutoa upinzani makini kwa utawala wa Chadema na wenzake. Lakini urafiki wangu na Dr Slaa na Mh. Mbowe ni wa kudumu kama ilivyo kwa undugu wangu na Mh Zito Kabwe na uarafiki wangu na Dr Kitila Mkumbo. Hata hawa jama ambao naona wameanza kuwa na chuki binafsi na Lwaitama akina ndugu yangu Kunyaranyara na Ludo mimi sina kinyongo nao na tukikutana mahali nitakunywa nao chai tu maana mimi sina chuki hata chembe na mtu yoyote kabisa.
Ni maajabu kabisa mimi kudaiwa eti kutafuta kuhurumiwa.. kuhurumiwa na nani kuhusu nini??... kama watu wanapanga kunidhuru mimi sijui.. sasa mimi natafuta kuhurumiwa kuhusu nini??... maana kamwe sina mpango wa kugombea cheo chochote kiwe cha kuchaguliwa au kuteuliwa...Wale wanaopanga kunidhuru kama wapo yote ni majiriwa ya historia wala mimi sitafuti kuhurimiwa kamwe...Watafute kesi za kubambikiziwa yote sawa... lakini mimi ni kibabu wa miaka 62 hata nikifa leo sawa tu maana kufa ni kwa wote na sina kubwa ninalopanga kufanya humu duninani tena. Nitaendelea kuchangia bial woga wakubambikiwa kesi au kuuwawa katika vuguvugu za kuwakomboa Wantanzania awamu ya pili kwa kuunga mkono viongozi wa Chadema wanapambana kukiondoa CCM madarakani na kwa sasa pia na waunga mkono viongozi hawa washirikiane na wenzao wa CUF na NCCR, bila kukwazwa na magovi kati yao ya huko nyuma, kuendeleza UKAWA ili 2015 tupate mgombea wa Urais kama Prof Lipumba wa CUF na Dr Slaa azunguke nchi nzima akimnadi... Hapo tuone kama CCM hawatabwagwa!!!Ndio maana sitashanga ikiwa mpango mzima wa CCM kwa sasa ni kubomoa UKAWA... wapo kazini wasaka tonge wengi tu wakizusha ili na lile na na kupandikiza au kuchochoa chuki kati ya Chadema, CUF na NCCR. Lakini wanasema Mungu si Athumani na historia ikifanikisha tunu ya UKAWA na UKAWA wakashinda njama zote hizi za kibilisi za kuwagawa kwa kuwakumbusha eti walikuwa wanagombana hapao zamani..... CCM itakuwa itaweza bwanga na tukaisindikiza kwa kuwa chama cha upinzani. Hawa jama wanafanya kazi hizi za kubomoa Chadema, na kubomoa UKAWA itabidi wapumzishwe kazi zao hizi za kubambikizia watu kesi na kunyofoa kucha bila ganzi !!!
Mwl. Lwaitama- CCM Mfu atayefufuka CCM Mamboleo ikifa kupisha CCM Asilia kufufuka ili itoe ushindani wa kweli dhidi ya Chadema na wenzao.> Date: Fri, 27 Jun 2014 18:39:41 +0000> From: hosea.ndaki@gmail.com
> Subject: Re: [wanabidii] HUU NDIO MPANGO WA CHADEMA KUNUNUA WAJUMBE WA BARAZA KUU
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Ludo, hii ya lwaitama kukimbilia miguuni kwa dialo siamini hata kidogo.
>
> ----------
> Sent from my Nokia phone
>
> ------Original message------
> From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, June 27, 2014 8:25:05 AM GMT+0300
> Subject: Re: [wanabidii] HUU NDIO MPANGO WA CHADEMA KUNUNUA WAJUMBE WA BARAZA KUU
>
> Ezekiel'
> Umenena vema.mwl lwaitama ni bingwa wa kusingizia wengine na kufurahia
> wanapopatwa na matatizo.lakini yeye alipobanwa na polisi baada ya kufanya
> vurugu mwanza kwenye ndege alimkimbilia mwenyekiti wa CCM ndg diallo
> amnusuru.
> Hakukumbuka namba ya simu ya yeyote kati ya anaowashabikia.ingekuwa mtu
> mwingine lwaitama angesema anapanga njama za kuangamiza upinzani kwa
> kuwasiliana na kiongozi wa ccm. Tena asingeacha kumtaja mzee
> lowassa.inasikitisha.
> On Jun 27, 2014 7:56 AM, "'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii" <
> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> > Mwalimu Lwaitama
> >
> > Fahamu kuwa wala CCM haiwezi kuhangaika kukushawishi wewe kwa kuwa huna
> > jipya kabisa katika maendeleo au mstakabali wa nchi hii. Tunakufahamu
> > tunakushangaa tu unavyohangaika.
> >
> > Utaratibu wenu wa kuunganisha maneno meeeeeeeengi ya uchochezi
> > ili kutafuta huruma ya watanzania mkidhani watashawishika, tayari
> > watanzania wanaufahamu fika.
> >
> > Ulikamilisha kazi yako ya kufelisha watoto wetu basi subiri wengine
> > wafanye kazi yao kuwasaidia. Umeingia katika kumbukumbu zao watoto hawa na
> > sisi wazazi wao.
> >
> > K.E.M.S.
> >
> >
> > On Friday, 27 June 2014, 1:44, Azaveli Lwaitama <
> > kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:
> >
> >
> > Mabadiliko Chadema, inahuzunisha kuona bado unadhani hii kazi ya kila
> > kukicha kutafuta eti kuwabomoa Mbowe na Dr Slaa ni kazi yenye kusukumwa na
> > utashi wa kuchangia mapambano ya Watanzania walio wengi kujiondoa kwenye
> > utumwa wa kutawaliwa na chama cha CCM kilichotekwa na wanamtandao wa ulaji
> > na kujikomba kwa waporaji wa rasilimali za Watanzania. Bado sijaweza
> > kushawishiwa na hoja ya eti kwa sasa tuendeleee kutawaliwa na CCM ya
> > wanamtandao mpaka eti tupate chama cha wanajiona ni wa wazi na waadilifu
> > kuliko sisi wote na wenyewe wamejiteua wenyewe...
> > Mwl. Lwaitama
> >
> > Date: Thu, 26 Jun 2014 17:35:07 -0400
> > Subject: Re: [wanabidii] HUU NDIO MPANGO WA CHADEMA KUNUNUA WAJUMBE WA
> > BARAZA KUU
> > From: emuganda@gmail.com
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Go to hell!
> > em
> >
> >
> > 2014-06-26 15:00 GMT-04:00 MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com
> > >:
> >
> > Kama mnavyojua kwa siku za karibuni kuna kundi la wajumbe wapatao 82 wa
> > Baraza kuu la CHADEMA ambao wameongea na waandishi wa habari kueleza mambo
> > kadhaa ndani ya chama hicho. Miongoni mwa hoja walizokuja nazo ambazo kwa
> > hakika ni ukweli mtupu kwa vile hakuna kiongozi hata mmoja aliyejitokeza
> > kukanusha ni pamoja;
> > katibu mkuu kujilipa zaidi ya million 130 kwa mwaka huku makatibu wake wa
> > mikoa, wilaya na kata wakilipwa shilingi 0
> >
> > katibu mkuu SLAA kujikopesha zaidi ya Millioni 160 kwenda kumalizia deni
> > la nyumba yake bila kufuata utaratibu wowote wa kukopa
> >
> > kitendo cha mbowe kutukodishia magari yake kwa mamillioni ya pesa kila
> > tunapotumia, halafu yanapokuwa chakavu anatuuzia FUSSO MBILI chakavu kwa
> > million 600
> >
> >
> > kitendo cha MBOWE kukiuzia chama VX V8 MBILI ambazo amenunua kwa pesa za
> > chama halafu anazisajiri kwa jina la MBOWE HOTELS.
> >
> > Yapo mambo mengi ambayo pia yanahusu ukiukwaji wa katiba ya chama. Wajumbe
> > hao hawakuishia hapo bali wameenda kwa msajili wa vyama vya siasa kutoa
> > malalamiko ya viongozi wao kukiuka misingi ya chama ikiwa ni pamoja na
> > uongozi kushindwa kuitisha Kikao cha Baraza kuu kinyume cha katiba. Kwa
> > mujibu wa Katiba, Kikao cha Baraza Kuu kilipaswa kufanyika mwezi Februari
> > 2014. Pia wajumbe hao wamepeleka maombi kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
> > Serikali kuomba kupatiwa nakala ya matokeo ya ukaguzi uliofanywa kwenye
> > chama chao.
> >
> > Baada ya Tamko la wajumbe hao, kumekuwa na matamko kadhaa ya mawakala wa
> > Mbowe na Slaa kutaka kupingana na wajumbe hao 82. Hata hivyo, hakuna tamko
> > hata moja limekanusha madai ya wajumbe hao. Sana sana kinachoonekana ni
> > kuendeleza siasa za unafiki na usaliti. Kwani miongoni mwa matamko hayo ya
> > Pro Mbowe na Slaa yamedai kuwa hao si wajumbe halali wa Baraza Kuu na
> > kwamba wengine walishafukuzwa kwenye chama.
> >
> >
> > Baada ya kuonekana kuwa mambo yanawaendea Kombo, Mbowe na Slaa walikuwa na
> > kikao pamoja na Wabunge kadhaa na watumishi wa makao makuu. Kikao hicho
> > kimefanyika juzi usiku Mjini Dodoma, Area D nyumbani kwa Freeman Mbowe.
> > Miongoni mwa walioshiriki Kikao hicho ni pamoja na John Mnyika, Ezekiel
> > Wenje, Mchungaji Msigwa na wengine Kadhaa. Inadaiwa pia na Lema alishiriki
> > kikao hicho. Aidha Dr Slaa naye alishiriki kwenye kikao hicho.
> >
> > Katika kikao hicho, Mbowe alilalamikia sana kurugenzi yake ya Ulinzi na
> > Usalama kwa kushindwa kukusanya taarifa juu ya mpango huo. Mbowe
> > alisikitishwa na kitendo cha Wajumbe hao kujiorganize tena wengine wakitoka
> > mikoani na kuja kuongea na waandishi wa habari Dar Es Salaam bila ya
> > Kurugenzi hiyo kuwa na taarifa. Mbowe aling'aka na kusema kuwa hiyo
> > intelligence failure iliyojitokeza inatia doa kurugenzi hiyo na chama kwa
> > ujumla na kwamba wamekidhalilisha chama kwa kiwango kikubwa. Aidha, Mbowe
> > alitoa onyo kali kwa Kurugenzi hiyo na aliwatishia kwamba wasipojitathmini
> > vya kutosha, ajira zao zitaota nyasi.
> >
> > Kuhusu madai waliyotoa wajumbe hao, Mbowe alisema kuwa madai hayo ni ya
> > kweli ingawa jinsi yalivyoelezwa yameelezwa kipropaganda kwa lengo la
> > kumchafua yeye na Dr Slaa. Hata hivyo, aliiagiza kurugenzi ya Habari kujibu
> > tuhuma hizo kwa haraka na kwa majibu yanayojitosheleza. Amesema kuwa
> > wasipokuwa makini katika kujibu, watakidhalilisha chama badala ya kukijenga.
> >
> > Aidha, Mbowe alihoji imekuwaje kikosi kazi chao mitandaoni kimekuwa dhaifu
> > sana katika kujibu hoja kwa wakati. Alisema kuwa ameshuhudia mara kadhaa
> > mada zinazowekwa against na chama au viongozi wa CHADEMA, wana timu hao
> > wamekuwa nyoronyoro kujibu hoja na hata wakijibu, hoja wanazotoa ni dhaifu
> > sana. Hali hiyo alisema imekuwa ikiwaweka wakati mgumu wana kikosi hao na
> > kwa hali hiyo haoni umuhimu wa kuwa na kikosi hicho licha ya kuwapatia
> > vitendea kazi na posho za kujikimu ambazo hata hivyo hakubainisha aina ya
> > vitendea kazi na kiwango cha posho wanacholipa. Kutokana na hali hiyo,
> > alimuagiza Katibu Mkuu kukiframe upya kikosi hicho ili kiwe na ufanisi
> > zaidi hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa
> > na uchaguzi mkuu wa 2015.
> >
> > Naye Katibu Mkuu alionekana kuwa mnyonge sana juu ya masuala kadhaa
> > yanayoendelea ndani ya chama hicho. Dr Slaa alimwambia Mwenyekiti wake kuwa
> > chama hakipo salama na jitihada kadhaa zinatakiwa kuchukuliwa ili
> > kukinusuru. Moja ya Mkakati aliopendekeza Dr Slaa ni kutuma kikosi cha
> > Ujasusi kukutana na wajumbe waliotajwa kwenye ile orodha ya wajumbe 82 wa
> > Baraza Kuu. Hata hivyo, Dr Slaa alitahadhalisha kuwa suala hilo lifanyike
> > kwa umakini mkubwa bila ya kuumbuka. Dr Slaa alimshauri Mwenyekiti
> > kuidhinisha kiasi kikubwa cha fedha, zaidi ya shilingi milioni 300 ili
> > kuwapoza baadhi ya wajumbe hao ili hatimaye wawakane akina Athuman Balozi.
> > Tayari Majasusi wa CHADEMA wameanza kazi yao na kuna mjumbe ameshaonesha
> > usaliti wake kwa wajumbe wenzake. Pia Dr Slaa aliagiza kusaka orodha ya
> > wajumbe 50 waliokosekana kutoka kwenye ile orodha ya wajumbe 82 kwani
> > wajumbe ambao majina yao yamewekwa hadharani ni 32 tu.
> >
> > Aidha, Dr Slaa alipendekeza baadhi ya think tanks za chama hicho kujipanga
> > ili kutoa matamko mfululizo mbele ya Waandishi wa Habari. Matamko hayo
> > yamepangwa kutolewa Dodoma, Dar es Salaam, Arusha, Mwanza na Tabora.
> >
> > Pia Dr Slaa alipendekeza kuitishwa kwa Kikao cha Kamati Kuu kwa lengo la
> > kuwachukulia hatua ikiwa ni pamoja na kuwafukuza uanachama wale wote
> > waliohusika na mpango huo ovu. Tayari maandalizi ya kikao hicho cha dharura
> > yanaendelea na wakati wowote kinaweza kuitishwa.
> >
> > Wadau, hakika yapo mengi ila kwa leo nimewamegea hayo tu. nitaendelea
> > kufanya hivyo kwa kadri hali itakavyokuwa.
> >
> >
> > --
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment