Mtu kuwa rais anahitaji kuwa na political competence, akina mama wengi hapa kwetu Tz na Africa kwa ujumla hawana hii kitu. Wengi wao hubebwa bebwa tu japo wapo wenye competence ila si ya nafasi hiyo. Wapo ambao wanaweza kutunisha msuli wakachukua jimbo la ubunge japo pia ni wachache sana. Hebu fananisha mawaziri wetu akina mama hasa Dr. Asha na akina Megawat Sukanaputri, Kumaratunga wa Sliranka, Gloria Oroyo, na yule mama aliyechapwa bomu pakistani somebody bhuto kama sijakosea utaona kwenye siasa wanamaanisha na ni tishio hata kwa wanasiasa wanaume. Sasa hapa kwetu kweli Dr Asha ana mbavu za kupimana hata na upinzani tu mfano akikutana na Dr Slaa?
Ndani ya chama ndo kabisaaa hana mbavu za kuchuana hata na mh. Dr John, achilia mbali mzee wa usevya na hao wengine.
Lakini pia kwa kukosa polical competence kumpatia mwanamama kuongoza Tz kwa sasa na changamoto zinazoongezeka ni kutafuta matatizo. maana kwa hakika hataongoza nchi yeye wataongoza wapambe. we kama unataka kupima upepo angalia uongozi wa bunge letu.
Karibu tena mtabiri
On Thursday, June 5, 2014 9:28 AM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Si tanzania tu,afrika kwa miaka ya hiv karibuni haiwez kumchagua mwanamke kuwa raisi...hivyo utabiri wako most likeky hautatimia. Ni kweli kuna mazingira mengi na mbinu nyingi za kutaja lowassa asiteuliwe kugombea urais kupitia ccm...but ndiye atayeibuka kidedea katika kinyang'anyilo hicho. Membe atamfiatia kwa mbali haswa akibebwa na nguvu ya familia ya ikulu. Lowassa ni kweli kama walivyo viongoz wengine,hatawasahau waliomfikisha hapo atakapokuwako lkn nchi haitaendeshwa kihuni mamna hiyo...ngupula
'flano mambo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
'flano mambo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
tunashukuru kwa utabiri wako. ila ingekua vema ukawafanyia uchambuzi yakinifu kila mgombea uliyemtaja yaani uoneshe strenght zake na weakness zake ndipo utoe utabiri wako. Siasa haiendi hivyo bro. siasa unawezashindwa kupredict trend yaani kusema kesho itakua hivi na isiwe. ni mambo ya kawaida kwenye siasa.
Hivi karibuni chama fulani kilimuingiza mzee mmoja mstaafu kwenye uongozi wa juu tena kwa kumuomba ili asaidie kukinyoosha chama. Mzee wetu akaja na ahadi kibao. Mnh?? amemshughulikia nani aliyetoa rushwa kwenye uchaguzi wa uongozi wa juu wa halmashauri ya chama?
Revise your utabiri
On Thursday, June 5, 2014 7:32 AM, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:
CCM NA UCHAGUZI WA MGOMBEA URAIS 2015,
Majina:-
1, Asha Rose Migiro,
Majina:-
1, Asha Rose Migiro,
2, Benard Membe,
3, Edward Lowasa Ngoyayi,
Samwel Sitta,
4, John Pombe Magufuri,
Hawa ndiyo wanaowania kuchaguliwa kugombea Urais kwa Card ya CCM 2015,
Mwanamke atapita kwa kisingizio cha jinsia kama walivyomufanya Sitta kwenye usipika wakamupa Anna Makinda,
Lowasa hata chaguliwa na CCM agombee Urais maana wanajua akiupata tu urais basi mambo yatakuwa hivi,
1, Wanakamati wote wa kamati ya RICHMOND watakiona cha moto,
2, Waziri mkuu atakuwa Chenge,
3, Waziri wa fedha atakuwa Rostam Azizi,
4, Mwanasheria Mkuu atakuwa Ngereja,
5, Waziri wa mambo ya ndani atakuwa Kangi Lugola,
6, Waziri wa Ulinzi atakuwa Deo Filikunjombe,
Hawa jamaa nitishio kwa serikali ya CCM Iliyopo kwa sasa na kama wakichukua Nchi watahakikisha wanawafunga watu kuazia ngazi shina hadi akina NAPE NAUYE, KINANA na wengine kibao.!!!
Huu ni utabiri wangu na kama hamuamini Lowasa achukue Nchi muone,
Ila kwa sababu CCM wameshaligundua hilo watasema kipindi hiki tunaweka jinsia ya kike hivyo Lowasa watakuwa wamemkata makari aksante.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment