Ndugu zangu,
UKWELI WA TV:
Utazamaji wa Televisheni;
§ Watoto wenye umri miaka 2 – 5 kwa wastani masaa 25 kwa wiki huangalia TV.
Chanzo: AC Nielsen Co, 1990.
§ Watoto wenye umri miaka 6 – 11 kwa wastani zaidi ya masaa 22 kwa wiki huangalia TV: Chanzo: AC Nielsen Co, 1990.
§ Watoto wenye umri miaka 12 – 17 kwa wastani masaa 23 kwa wiki huangalia TV. Chanzo AC Nielsen Co., 1990.
§ "Wakati ifikapo miaka 18 kwa watu wengi, wanakuwa wametumia muda mwingi zaidi kuangalia TV kuliko muda watumiao wakiwa shuleni, na zaidi sana kuliko muda waliotumia kuongea na Walimu wao, rafiki zao au hata wazazi wao" imenukuliwa kutoka Abandoned in the Wasteland.. Watoto, Televisheni na Mabadiliko ya Kwanza, na Newton Minnow, alikuwa Mwenyekiti FCC, na Craig LaMay 1995.
§ Asilimia 62 ya watoto wa darasa la nne husema hutumia zaidi ya masaa matatu kwa siku kuangalia TV.Chanzo: Education Testing Service Study, 1990
§ Asilimia 64 ya watoto wa darasa la nane hutaarifu kuzamia zaidi ya masaa matatu kwenye TV. Chanzo: Education Testing Service Study, 1990
§ Muda ambao leo watoto hufikia umri wa miaka 70 itakuwa wametumia kadiri ya miaka 7 kuangalia TV.Chanzo: American Academy of Pediatrics Study, 1990
Kiakili, Kitaaluma, Kisaikologia na Kijamii:
· Kuna uhusiano wa wazi kati ya kiasi cha muda mtoto anaotumia kuangalia TV na matokeo yake ya majaribio ya darasani:- Kwa kiwango anavyoangalia TV zaidi, ndivyo anavyoshuka kimasomo darasani.
Chanzo: Utafiti wa Idara ya Elimu ya California 1990 ambayo ilitafiti tabia za kuangalia TV na matokeo ya majaribio ya darasani kwa watoto nusu milioni.
§ "Telvisheni isiyosimamiwa ni kama kuwaruhusu watoto wako kucheza mitaani saa zozote zile usiku au mchana kwa yeyote yule apitaye"
Imenukuliwa na Chuo Kikuu cha Massachussetts, Profesa wa Saiklogia Daniel R. Anderson katika tafiti yake ya mwaka 1988 juu ya Ushawishi wa TV katika Elimu ya Watoto.
§ "Hatari ya msingi ya kuangalia kioo cha Televisheni sio zaidi sana kwenye tabia inayoenezwa
- Ingawaje kuna hatari hapa – kama ilivyo kwenye tabia, inapotosha mazungumzo, michezo, tafrija za familia na malumbano.
Imenukuliwa"kutoka The Plug In Drug na Marie Winn, 1985.
§ Makosa ya jinai yaliyo kwenye TV ni mara 10 zaidi ya yaliyoko katika dunia halisi. Chanzo: Utafiti wa miaka 15 wa Dr. George Geroner, Mlezi wa Shule ya Mawasiliano ya Annenburg katika Chuo Kikuu cha Pennsylvania.
Ghasia
§ Mtoto halisi wa Kimarekani atashuhudia mauaji 8,000 na vitendo 100,000 vya mauaji katika maisha yake.
Chanzo: American Phsychological Association.
§ "Watoto ambao hawajaanza shule wana ugumu wa kutofautisha maigizo na vitu halisi hasa pale ambapo inaonyeshwa kwenye Televisheni; mfano wake unafanya hata kitu cha ajabu kuwa kama kwamba ni halisi"
Imenukuliwa kutoka "Kufuatilia Nyakati za TV na Lilian G. Katz, Parents, Januari 1989.
§ Mengi ambayo watoto huona kwenye TV yanawakilisha ghasia kama ndiyo njia muafaka ya kutatua matatizo binafsi, kulipiza kisasi au kutukana, kujichukulia hatua mkononi na kupata kile unachokitaka maishani mwako"
Imenukuliwa na Mwanasaiklojia wa Chuo Kikuu cha Michugan Dr. Leonard Eron, ambapo utafiti wake wa miaka 22 wa Athari za TV uliohusisha zaidi ya watu 800 wenye umri kati ya miaka 8 hadi utu uzima.
§ Zaidi ya tafiti 3,000 zaidi ya miaka 30 zinatoa ushahidi kwamba vipindi vya ghasia vina madhara yanayoonekana kwa fahamu za vijana.
Chanzo: Christian Science Monitor, Julai 6, 1993.
§ Katika mwaka 1980, vipindi vya ghasia zaidi kwenye TV kilisajili vitendo 22 vya ghasia kwa saa. Katika mwaka 1992, kipindi cha ghasia kilichoonyeshwa (Young Indian Jones) kilisajili vitendo 60 vya ghasia kwa saa.
Chanzo: National Coalition on Tevelvision Violence.
§ Katika mwaka 1992, WGN's "Cookie's Carloon Club" Fo's Tom and Jerry Kids" waliandaa matendo ya ghasia 100, 88 na 80 mfululizo kwa saa.
Chanzo: Nationa Coalition on Television Violence.
§ Nusu ya mauaji ya Amerika ya Kaskazini na vitendo vya ubakaji, vinasababishwa kwa njia moja au nyingine na utazamaji wa TV.
Chanzo. Miaka saba ya uchambuzi wa takwimu, utafiti uliofanywa na Dr. Brandom Centerwall katika Chuo Kikuu cha Washngton.
§ Baada ya uanzishwaji wa Telvisheni katika Afrika ya Kusini mwaka 1974, kiwango cha mauaji kati ya watu weupe kiliongezeka kwa asilimia 56 kwa miaka nane iliyofuatia. Chanzo: Miaka saba ya utafiti na uchambuzi wa takwimu uliofanywa na Dr. Brandon Centrwall katika Chuo Kikuu cha Washington.
Kifedha, Vifaa na Sheria
§ "… Mapato ya matangazo ya Televisheni kwa mwaka nchini Marekani yanakadiriwa kufikia zaidi ya dola za Kimarekani $ 25 billioni…
Imenukuliwa kutoka Abandoned in the Westeland: Watoto, Televisheni na Mabadiliko ya kwanza, na Newton Minnow, aliyekuwa Mwenyekiti wa FCC na Graig LaMay, 1995.
§ … Kuishi na Televisheni maana yake ni kukua katika ulimwengu wa kiasi cha biashara 22,000 kwa mwaka 5,000 kati yake kwa ajili ya bidhaa za chakula zaidi ya nusu zikiwa za sukari na lishe duni.
Imenukuliwa na Dr. George Gerbner, Mlezi wa Shule ya Mawasiliano ya Annenburg, Chuo Kikuu cha Pennsylvania.
Kimwili
§ Mfano wa mwili (na uchomaji wa kalori) ni wa wastani wa chini ya asilimia 14.5 wakati ukiangalia TV kuliko kirahisi wakati umelala kitandani.
Chanzo: Utafiti uliofanywa na Robert Klesges kwenye Chuo Kikuu cha Menphis State.
§ Wanaume watazamao Televisheni masaa 3 au zaidi kwa siku ni mara mbili zaidi uwezekano wao wa kuwa na vitambi kuliko wanaume watazamao chini ya saa moja. Chanzo: Utafiti wa mwaka 1989 uliofanywa na Larry Tacker pale Chuo Kikuu cha Brigham Young.
On Thursday, June 5, 2014 11:44 AM, News Release - African Press Organization (APO) <no-reply@apo-opa.com> wrote:
If you cannot read that message, click here.
APO content is copyright free and can be republished at will.
PRESS RELEASE
GeoPoll Unveils First Ever Overnight TV Ratings In African Markets
New Audience Measurement Service Launches with Unprecedented Data on the Viewing Habits of More Than 300 Million People
NAIROBI, Kenya, June 5, 2014/ -- GeoPoll (http://research.geopoll.com), the world's largest real-time mobile survey platform, today launched its Audience Measurement Service, which offers the first ever daily TV ratings in several African markets. The launch of this service comes just in time for the FIFA World Cup, when GeoPoll will publish game viewership data from African nations as locals cheer on their teams, and global brands spend considerably on advertising.
Photo 1: http://www.photos.apo-opa.com/index.php?level=picture&id=1150 (James Eberhard GeoPoll Founder)
Photo 2: http://www.photos.apo-opa.com/plog-content/images/apo/photos/1406051.jpg (Sample Survey on Television)
GeoPoll's new service fills a crucial gap in market research in Africa, delivering next-day TV audience data starting in 5 countries, including Ghana, Kenya and Nigeria. Until now, advertisers, brands and broadcasters looking to understand audiences in these growing markets have had to rely on months-old data, with little insight into the demographics and psychographics that determine ad campaigns or programming. GeoPoll's metrics provide unprecedented access to this type of viewership data, and represent ratings from more than 300 million Africans. With this launch, GeoPoll becomes the largest TV audience measurement company in Africa.
"At GeoPoll, we've established a standard for delivering data insights in emerging economies, and with our new Audience Measurement Service, we're offering a category first: overnight TV ratings from almost a third of the African population," said James Eberhard, founder of GeoPoll and parent company Mobile Accord. "Advertisers, brands and broadcasters have been relying upon limited data, which can't keep up with shifting target audiences and programming. Our overnight insights will give these groups a more accurate picture of consumer behaviors and preferences as they spend hundreds of millions of dollars to engage rapidly growing audiences."
GeoPoll's Audience Measurement Service gives advertisers and broadcasters a real-time, granular look at viewing habits through individual action. Leapfrogging more traditional ratings methodologies, which can be slow, limited and costly, GeoPoll taps its extensive mobile user network to deliver mobile surveys that measure television viewership in half-hour time blocks, uncovering unprecedented data that can inform better advertising and programming decisions.
All data is accessed through an easy-to-use interface which updates data overnight, 365 days a year, giving brands, advertisers and broadcasters the ability to easily understand and better serve their audiences. Features include:
• TV and Radio Audience Measurement (TAM and RAM) in half-hour time blocks and two hour time blocks respectively.
• Easily viewable statistics on ratings by channel, including ranking and timeline comparisons
• Ability to measure audience by location, demographics, and psychographics
Audience Measurement is the latest service from GeoPoll Knowledge, GeoPoll's new subscription data program that supports a number of strategic sectors, including Finance, Food & Agriculture, and Telecommunications. All data is gathered from GeoPoll's robust survey platform, which has the ability to directly access over 150 million mobile users in more than 20 countries and utilizes SMS, voice and web-based communications to reach respondents even in areas without internet connection.
GeoPoll's Audience Measurement Service is currently up and running in 5 countries: Ghana, Kenya, Nigeria, Tanzania, and Uganda, and will continue to expand across Africa in the coming months. To learn more about GeoPoll Knowledge's subscription services, including Media Measurement, visit http://research.geopoll.com.
Distributed by APO (African Press Organization) on behalf of GeoPoll.
Contact information:
Dan O'Mahony or Iz Conroy
(+1) 415-625-8555
About GeoPoll
GeoPoll (http://research.geopoll.com) is the world's largest real-time mobile survey platform, reaching a growing network of more than 150 million users in 20 countries worldwide on a deeply granular level and at unprecedented scale. Through partnerships with telecom providers and a multimodal platform powered by text, voice and web-based communications, GeoPoll enables companies and organizations to gather quick, accurate and in-depth insights on anything from preferences on consumer goods to election transparency and access to basic government services. GeoPoll is powered by Mobile Accord, the creators of the mGive mobile donation platform and experts in powering mobile insights across the globe.
SOURCE
GeoPoll
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment