Sunday, 31 May 2015

Re: [wanabidii] SIMPIGII KURA MGOMBEA MASKINI

Sidhani kama kuna kifungu kwenye katiba yetu au sheria zetu kinachomzuia mtu yeyote awe tajiri au maskini kugombea nafasi yoyote ya uongozi. Ila tunayo maadili na pia zipo sheria zinazozuia wizi, ufisadi, ubadhilifu, kula rushwa, pesha chafu nk. Kama kuna mtu anaomba kupewa nafasi ya uongozi ni lazima tuangalie maadili yake katika mambo hayo.Pia nafikiri mara nyingi tumekuwa tukiainisha sifa za kiongozi bora na kwa pamoja tunakubaliana...
Read More :- "Re: [wanabidii] SIMPIGII KURA MGOMBEA MASKINI"

Re: [wanabidii] DUNIA YATAZAMA WAKIMBIZI NYARUGUSU, WA MTABILA WAREJEA TENA

Hii ni business as usual... Kuna siri kubwa nyuma ya ukimbizi huu...only that you need time to find out...! You will be shocked with a story behind this... is a drama...! On Jun 1, 2015 9:06 AM, "zainul mzige" <zainul.mzige21@gmail.com> wrote:Habari za asubuhi,Tafadhali pokea CODES.<span style="color: #000000;"><em><strong><a...
Read More :- "Re: [wanabidii] DUNIA YATAZAMA WAKIMBIZI NYARUGUSU, WA MTABILA WAREJEA TENA"