Sunday, 31 August 2014

[wanabidii] Re: POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA !

Diamond Platnumzkiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart Germany... kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jins watu walivyoamua kujitolea kuja kutusupport vijana wao kwa wingi, halaf mwisho wa siku promoter anatupeleka wasanii kwenye show saa kumi alfajiri... najua ni kiasi gani mmeumia na kuwa disappointed... lakini naomba mtambue kuwa halikuwa ni kosa langu, coz mimi...
Read More :- "[wanabidii] Re: POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA !"

Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - MIGOGORO NDANI YA CHADEMA

VIONGOZI NA WATUMISHI  mashuhuri kadhaa ndani ya ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHADEMA, wameonyesha kufurahishwa na kitendo cha Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora kupambana na MBOWE kwenye kugombea uenykiti wa Taifa wa CHADEMA.wakizungumza na mtandao huu huku  wakiomba kutokutajwa majina yao humu wamesema kwa sasa watapata pa kupumulia ikiwa MBARUKU ATASHINDA.''unajua Mbowe anatufanya sisi kama watoto wake, amekigeuza hiki...
Read More :- "Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - MIGOGORO NDANI YA CHADEMA"

Re: [wanabidii] Kwa CHADEMA,Mbowe anatosha kwa sasa

VIONGOZI NA WATUMISHI  mashuhuri kadhaa ndani ya ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHADEMA, wameonyesha kufurahishwa na kitendo cha Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora kupambana na MBOWE kwenye kugombea uenykiti wa Taifa wa CHADEMA.wakizungumza na mtandao huu huku  wakiomba kutokutajwa majina yao humu wamesema kwa sasa watapata pa kupumulia ikiwa MBARUKU ATASHINDA.''unajua Mbowe anatufanya sisi kama watoto wake, amekigeuza hiki...
Read More :- "Re: [wanabidii] Kwa CHADEMA,Mbowe anatosha kwa sasa"

[wanabidii] MAKAO MAKUU CHADEMA WAFURAHIA MBOWE KUPINGWA. WAOMBA AANGUSHWE NA MBARUKU . WASEMA NI DIKTETA

VIONGOZI NA WATUMISHI  mashuhuri kadhaa ndani ya ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHADEMA, wameonyesha kufurahishwa na kitendo cha Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora kupambana na MBOWE kwenye kugombea uenykiti wa Taifa wa CHADEMA.wakizungumza na mtandao huu huku  wakiomba kutokutajwa majina yao humu wamesema kwa sasa watapata pa kupumulia ikiwa MBARUKU ATASHINDA.''unajua Mbowe anatufanya sisi kama watoto wake, amekigeuza hiki...
Read More :- "[wanabidii] MAKAO MAKUU CHADEMA WAFURAHIA MBOWE KUPINGWA. WAOMBA AANGUSHWE NA MBARUKU . WASEMA NI DIKTETA"

Re: [wanabidii] CCM SASA WASIKIE

Ili neno liliandikwa litimie ni vizuri wakaendelea na ubabe wao ili mwisho mbichi na mbivu zijulukane kwa wananchiOn Sun, Aug 31, 2014 at 8:30 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote: Napenda sana comments za mwigulu Nchemba  'Bishop Kulwajz' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote: >Ni vizuri wakijiepusha na ubabe usioisadia nchi yetu unaoendelezwa na mwenyekiti wa...
Read More :- "Re: [wanabidii] CCM SASA WASIKIE"

Re: [wanabidii] Kwa CHADEMA,Mbowe anatosha kwa sasa

Mi nafikiri mnaobishana na Mollel mnapoteza muda wenu bure. Maana wanaCHADEMA wanamtaka Mbowe sasa kama yeye hamtaki haikumhusu. Watu nafuu ni ghali sana kwa taifa letu. Sent from Yahoo Mail on Android From:"'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>Date:Fri, 29 Aug, 2014 at 19:12Subject:Re: [wanabidii] Kwa CHADEMA,Mbowe anatosha kwa sasa no friend, we need new blood with new vision bhaas On...
Read More :- "Re: [wanabidii] Kwa CHADEMA,Mbowe anatosha kwa sasa"

[wanabidii] LEO ASUBUHI NIMEONGOZA MJADALA REDIONI : MADA, TAFSIRI YA ALICHOSEMA MSUYA JUU YA SIFA ZA RAIS AJAYE...SIKILIZA..

http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/14351-sikiliza-kipindi-cha-soko-la-habari-kariakoo.html#.VAP9-2N0bGI -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and...
Read More :- "[wanabidii] LEO ASUBUHI NIMEONGOZA MJADALA REDIONI : MADA, TAFSIRI YA ALICHOSEMA MSUYA JUU YA SIFA ZA RAIS AJAYE...SIKILIZA.."

[wanabidii] TOURISM - KENYA SHOULD COMMERCIALIZE PRESIDENT UHURU KENYATTA TO REVIVE THE INDUSTRY

President Uhuru Kenyatta's just concluded tour to Kenya's Coastal region provides perfect fodder to resurrect Kenya's ailing tourism industry. Just months ago the country's tourism sector took yet another blow to the chin as it hemorrhaged tourists who left in droves courtesy of persistent terror attacks. Citing insecurity, western governments, whose citizens are the bulk of tourists Kenya relies on, didn't disappoint as they...
Read More :- "[wanabidii] TOURISM - KENYA SHOULD COMMERCIALIZE PRESIDENT UHURU KENYATTA TO REVIVE THE INDUSTRY"