Friday, 31 January 2014

RE: [wanabidii] ZITTO KABWE KUSINDIKIZWA NA WABUNGE 9 KATIKA ZIARA YAKE MIKOANI

Wamepungua na kufika sita? Mwanzoni iliandikwa kuwa walikuwa kumi!Date: Fri, 31 Jan 2014 18:49:52 +0300Subject: Re: [wanabidii] ZITTO KABWE KUSINDIKIZWA NA WABUNGE 9 KATIKA ZIARA YAKE MIKOANIFrom: mngonge@gmail.comTo: wanabidii@googlegroups.comHiyo ni style mpya haswaa. Sisi yetu macho na maskio ngoja tusubiri matokeo ya huo mchanganyiko. Siuji watakuwa wanahubiri sera za chama kipi? On Fri, Jan 31, 2014 at 5:04 PM, ezekiel...
Read More :- "RE: [wanabidii] ZITTO KABWE KUSINDIKIZWA NA WABUNGE 9 KATIKA ZIARA YAKE MIKOANI"

[wanabidii] Re: [PK] RE: RAILA AMOLO ODINGA IS DEAD WRONG, AGAIN! "ODM" IS, WITHOUT AN IOTA OF DOUBT, A THOROUGHBRED "LUO PARTY"!!!

http://www.youtube.com/watch?v=rlODx38lYJo#t=161 On Fri, Jan 31, 2014 at 3:09 PM, Nyamodi Ochieng Nyamogo <okil@nyamogoadvocates.com> wrote: > If this were NOT the case, then why this breathless hysteria to > dissuade Luo aspirants, except one, from contesting, under the lame > excuse that it is "not a Luo Party"?! Since the beginning of time, > "democracy" has ALWAYS been a game of numbers! If nothing is the >...
Read More :- "[wanabidii] Re: [PK] RE: RAILA AMOLO ODINGA IS DEAD WRONG, AGAIN! "ODM" IS, WITHOUT AN IOTA OF DOUBT, A THOROUGHBRED "LUO PARTY"!!!"

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] English test for beginners...

Kaka asante sana. Tunashukuru. Hapa nilipo rafiki zangu wamekomalia jibu ni "telling".Jambo jema ni kwamba wametafsiri lugha yao ya mama kwenda kiingereza. Aree yaar. On Fri, Jan 31, 2014 at 11:56 AM, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote: Felix mdogo wangu,Let's take a look at your question here. Can you hear what he is . . . . ? (a) saying (b) talking (c) telling (d) speaking Note: why (a) or...
Read More :- "[wanabidii] Re: [Mabadiliko] English test for beginners..."

[wanabidii] New content updates

Facebook Twitter RSS ...
Read More :- "[wanabidii] New content updates"

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Is Trophy hunting Legal?

Felix,It should not be legal. It's a senseless killing of animals.courage2014-01-31 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>: Chanzo Read more -- Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’. Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com   MUHIMU KWA WANACHAMA...
Read More :- "[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Is Trophy hunting Legal?"

Re: [wanabidii] Re: UBALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA WAKANUSHA UZUSHI WA NEWS OF RWANDA

Kaka Muganda, nadhani ubalozi wetu Kigali umefanya hivi kwa ajili ya media ya Rwanda, kwa hiyo Ikulu ikachukua statement hiyo kama kiambatanisho. Sidhani kama ubalozi huo ulitoa statement hiyo kwa media ya Tanzania. On Fri, Jan 31, 2014 at 10:59 AM, Frank Lema <savedlema@gmail.com> wrote: The statement is well written, a sound one.Ndiyo, ubalozi unaweza kufahamu kinachoendelea nchini, kwa nini wasifahamu? On Thursday,...
Read More :- "Re: [wanabidii] Re: UBALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA WAKANUSHA UZUSHI WA NEWS OF RWANDA"

Re: [wanabidii] Re: PINGAMIZI LA UANZISHWAJI WA MAHAKAMA YA KADHI KIKATIBA LILILOTOLEWA NA JUMUIA YA KIKRISTO TANZANIA

Ngupula umeongea vizuri sana ndugu yangu yaani ungekua jirani ningekupooza walau na ka-pepsi. ila nadhani tusaidiane kitu hapa. Naomba Fratern, Ngupula,Mhangwa mniunge mkono kwa pamoja tuombe Ndugu Makame Idd walau ufafanuzi au orodha ya haki za msingi kabisa na ukweli tupu ambazo ndugu zetu vipenzi waislaam wanazidai na wanaamini zinaporwa na serikali au na wakristo. Hii itatupa wigo mpana zaidi ya kujadili na kusaidiana maana...
Read More :- "Re: [wanabidii] Re: PINGAMIZI LA UANZISHWAJI WA MAHAKAMA YA KADHI KIKATIBA LILILOTOLEWA NA JUMUIA YA KIKRISTO TANZANIA"

[wanabidii] Is Trophy hunting Legal?

Chanzo Read more -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence...
Read More :- "[wanabidii] Is Trophy hunting Legal?"

Re: [wanabidii] TAMKO LA JOHN SAMWELI MALECELA KUUNGA MKONO KAULI YA PAUL MAKONDA

Daaah Reuben umenifurahisha sana, ati umesahau Jina la JUMANNE unasema nani nani sijui??!! ha ha haaaaa usizuge ni JUMANNE kaka. Kinachowasibu hawa ndugu zetu ni kwamba, ile taasisi yao walishaigeuza kuwa kama kampuni tu yaani mwenye mtaji mkubwa anafanya transaction sasa wale wenye mitaji midogo wanapiga kelele!! lakini hakuna mtu mwenye...
Read More :- "Re: [wanabidii] TAMKO LA JOHN SAMWELI MALECELA KUUNGA MKONO KAULI YA PAUL MAKONDA"