Thursday, 28 February 2013

Re: [wanabidii] CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINE

Yona and the likes try to read between the lines to understand what people says. Do not misinterpret to mislead others.--- On Thu, 2/28/13, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote: From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINETo: wanabidii@googlegroups.comDate: Thursday, February 28, 2013, 3:06 AM Yona wewe kiboko.kilichosemwa...
Read More :- "Re: [wanabidii] CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINE"

RE: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINE

  Samahani Yona, nadhani wewe mwenyewe unaona ujinga wako, au siyo? unatoa shutuma kwa Dr. Slaa ambazo Dr. Slaa hajasema chochote kuhusu hilo, suala hilo limesemwa na mtu mwingine kabisa. Halafu unajiuliza swali wewe mwenyewe, eti haungi mkono?? Umeona ujinga wako ulivyo?? Hoja yako hapo nini? Uwezo wako wa kulewa mambo na kujenga hoja unanipa mashaka sana, au wewe ni sawa na wale wanafunzi waliochora Zombi...
Read More :- "RE: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINE"

RE: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] Neno La Leo: " Inuka Twende Ni Kwa Walioagana!"

Abdul,   Mimi hata kusoma siku hizi huwa sisomi. Nikiona tu nina-delete haraka sana. Inawezekana nafanya vibaya.   Selemani  Subject: Re: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] Neno La Leo: " Inuka Twende Ni Kwa Walioagana!"To: mabadilikotanzania@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.comFrom: abduldello@gmail.comDate: Thu, 28 Feb 2013 16:28:24 +0000'Neno la leo' la Maggid siku hizi halina tija, lina alifulelaulela...
Read More :- "RE: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] Neno La Leo: " Inuka Twende Ni Kwa Walioagana!""

Re: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINE

Yona anataka kumleta Juliana Shonza!--- On Thu, 2/28/13, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> wrote: From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>Subject: Re: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINETo: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>Date: Thursday, February 28, 2013, 6:30 AM Mbona inaonekana kuna uchakachuaji wa historia - Slaa alishindwa kura za...
Read More :- "Re: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINE"

Re: [wanabidii] Neno La Leo: " Inuka Twende Ni Kwa Walioagana!"

Magid,Mungu akubariki. Tatizo ni fikra finyu za baadhi yetu. Tulidhani watu wanaweza kujitawala bila uwapo au ulazima wa kutumia sheria.Urusi walijaribu, wakashindwa. Waliamini ukiona mtu anaiba basi ana njaa. Ikawagomea, wakarejesha utawala wa sheria.Hapa kwetu tumejaribu kuachia uhuru, tumeutumia bila nidhamu. Imetufikisha hapo. Tusimamie matumizi ya sheria, vinginevyo...BalileSent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo...
Read More :- "Re: [wanabidii] Neno La Leo: " Inuka Twende Ni Kwa Walioagana!""

[wanabidii] SHUBIRI MWITU (ALOE) TIBA YA MAGONJWA YA KUKU

Shubiri mwitu (Aloe au Aloe vera) ni mmea ambao umekuwa ukitumika kwa kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu na mifugo. Mmea huu unatumika sasa kutengeneza sabuni, dawa za binadamu na wanyama na mambo mengine mengi. Na kwa sababu ya madawa mengi ya kiwandani kushindwa kutibu baadhi ya magonjwa kwa kuwa wadudu wametengeza ukinzani dhidi ya dawa hizo, ipo haja kubwa ya kuweka umuhimu kwenye madawa ya asili yatokanayo na mimea....
Read More :- "[wanabidii] SHUBIRI MWITU (ALOE) TIBA YA MAGONJWA YA KUKU"

[wanabidii] WHY A VOTE FOR RAILA IS NOT GOOD FOR MUSLIMS

  KENYA MUSLIM YOUTH FORUM Why a vote for Raila is not good for Muslims "A believer is not bitten in the same hole twice," so goes the sayings of Prophet Mohammed (P.B.U.H).  The Prophet (peace be upon him) made it clear in this narration that the believers are not to be...
Read More :- "[wanabidii] WHY A VOTE FOR RAILA IS NOT GOOD FOR MUSLIMS"

Re: [wanabidii] NCHI IMEINGIA TENA KWENYE MGAWO WA UMEME

Itamaanisha tutarudi tena kwenye diesel kutengeneza umeme kama gas huko mtwara itakuwa na utata isitumike kutengeneza umeme? Kutumia maji kutengeneza umeme itakuwa ndoto kama kinachoendelea sasa ktk kilimo kisicho endelevu, ufugaji usio endelevu, kukata miti kwa ajili ya mikaa, kuuza mbao, kilimo na ufugaji; machimbo na uchafuzi wa mito,...
Read More :- "Re: [wanabidii] NCHI IMEINGIA TENA KWENYE MGAWO WA UMEME"

Re: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINE

Kaka Nyaronyo Ukitaka kukuta points za Yona kwenye wana bidii usubiri a-copy na ku-paste zile tafiti anazozileta. Zaidi ya hapo uwe tayari kupokea pumba dhidi ya Slaa. Na ole wako uhoji pesa za FOS alizotia kwapani. On 2/28/13, nyaronyo kicheere <kicheere@yahoo.com> wrote: > bandugu, > hivi ni siku gani nitafungua mtandao nikute yona ametoa hoja ya maana, hoja > ya kufikirisha, hoja ya kushawishi, hoja ya kuaminisha,...
Read More :- "Re: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINE"