Ni jambo la kusikitisha kama kweli VODACOM wamekufanyia WIZI wa namna hiyo.
LAKINI, kuna uwezekano pia wa MB kuisha kwenye LAPTOP/COMPUTER hata kama wewe "HAUITUMII" ku-upload au download - kama ifuatavyo:
Iwapo LAPTOP yako, kwenye Settings imeruhusu AUTOMATIC Downloading and Installation ya Software Updates, Ukiiunganisha kwenye Internet, hata kama "WEWE" huitumii, yenyewe inakuwa ina-search kama kuna Updates, ikizipata, inaanza kuzi-download na kuzi-install bila hata kukujulisha wewe!
Ukubwa na Wingi wa hizo Updates ndio utakao-determine ni MB ngapi zitaliwa kwenye hilo zoezi!
Suala la Muda kwamba ni dakika chache au nyingi inategemeana na SPEED ya internet wakati huo, kama iko vizuri inaweza ku-dowload na ku-upload vitu vingi kwa wakati mmoja.
VILEVILE: Huna kuna MALWARES mbalimbali ambazo zinaweza kuwa kwenye computer yako ambazo zinasearch vitu na kuvituma online kwa kutumia internet yako bila hata ya wewe kujua. Kwa hiyo yawezekana tatizo lisiwe UPDATES likawa Virus wanaotumia Internet yako kufanya kazi - hususan za kuiba na kutuma taarifa online.
otherwise, jaribu kuitumia hiyo internet kwenye laptop nyingine au kwa settings nyingine kuona kama kuna tofauti.
...///
BILLEGEYA, Mussa,
Twitter: @MBillegeya
Le Vendredi 29 juillet 2016 21h18, 'Stephen Ruvuga' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> a écrit :
Ni jambo la kusikitisha sana kwamba ktk hili mlaji hana mtetezi. Binafsi nimepata hasara siyo chini ya mara nne:
Nimelipa luku na sikupata majibu, transaction haikukamilika, hela haikurudishwa na vodacom, na ukipiga customer care unakutana na usumbufu wa ajabu!!!
Nimehamisha hela kutoka mtandao mwingine, kwa usahihi kabisa, mtandao unaonyesha hela imeenda, ktk voda haikufika!!!!
Kwa hili nawapa big up Airtel; mara moja kama transaction haikukamilika hela yako inarudi, almost instantenously. Ikishindikana ukienda customer care, ndani ya saa 24 hela yako inarudi, siyo siku 7 za kazi kama ilivyo vodacom.
Inakera sana unapoona unaibiwa waziwazi na huna ulinzi wowote! Badala ya kutumia hela nyingi ktk matangazo wangeboresha mifumo ya huduma, ili kuhakikisha dhulma za aina hii zinawaondokea wateja.
Sent from my Samsung mobile--
From: emalosha84 via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] VODACOM NI MAJIZI WA KUTUPWA!
Sent: Thu, Jul 28, 2016 3:20:37 AM
Hilo tatizo lipo Sana. Kwakuwa makampuni mengi yanafanya hivyo na hatuna mbadala tunalazimika kuibiwa. Hii sio Mr Peke yake hata muda wa maongezi. Nadhani FCC(time ya ushindani) na tcra wanapashwa kutussidia Sana kwa hilo. Tujipe pole waTz--On Jul 27, 2016 10:38 PM, 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--Hizi kampuni za simu baada ya kubanwa na Dr Makufuri walipe kodi, hasira zao wamezihamishia kwa wateja wasiokuwa na hatia. Tazama jinsi hizi kampuni zinavyowaibia wateja waziwazi:Nimetumiwa meseji hii kutoka Vodacom nikiwa online lakini nikiwa si-upload chochote kile kwenye laptop yangu:*******************MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 37.3. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:54:57 PM*******************************************************************************Nikiwa bado naendelea kusoma meseji hiyo na nikiwa sija-upload kitu chochote, nikatumiwa meseji nyingine hii:*******************Name:
Number: VodaTaarifa
Content:
MB za kifurushi cha Intaneti cha TSH 1000 zimekaribia kuisha. Salio ni MB 18.2. Kuongeza kifurushi bofya: http://vda.cm/JazaIntaneti au piga *149*01#
Time: 7/27/2016 9:56:33 PM*****************************************************************************Mwisho nimetumiwa hii hapa ndani ya muda huo mfupi:*************************Name:Number: VodaTaarifa
Content:
Umefika mwisho wa matumizi. Endelea kutumia intaneti kwa Tsh.0.2 kwa KB. Kununua tena, bonyeza http://vda.cm/JazaIntaneti
Time: 7/27/2016 9:59:03 PM************************Hii mana yake ni nini? Ina maana ndani ya dakika 4 (9:54:57 PM hadi 9:59:03 PM) nimetumia MB 37.3. Hii inawezekanaje? Hakuna uwezekano kama huo zaidi ya wizi wa mchana kweupe. Hata kama nilikuwa naplay youtube isingewezekana kumaliza 37.3 MB ndani ya dakika 5! Moja kwa moja huu ni wizi wa KIJINGA. Inawezekana hizi meseji zimetegwa tu kwenye system kwamba baada ya muda fulani wa matumizi ya internet zirushwe kwa mteja hata kama bundle yake haijaisha inafyekwa juu kwa juu. Hii ni biashara KICHAA, na hakuna mteja yeyote anayeweza kuvumilia WIZI huu wa KIBWEGE! Sikutegemea UJINGA huu kutoka kwenye kampuni kubwa kama Vodacom. When you grow horns, you also need to grow up! I didn't expect such a foolish theft from Vodacom.N.BHuu WIZI unanitokea mara kwa mara ila leo uvumilivu umefika tamati. Nina hakika wateja wengine wa Vodacom mliomo humu mmeishashuhudia huu wizi UCHWARA. Siwezi kuwa adui kwa usema ukweli.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment