Elisa Usipoteze muda na Lesian. Ni wa Ukawa watu wasiojitambua wanataka nini bungeni-kuonekana wanagoma tu bila ya sababu zenye logic ili wahisani wao wawaone chini ya mwavuli wa kudai demokrasia ili wapate hela za grant waongeze biashara zao majumbani kwao. Kila bunge linapoanza-wanasababu ya kuanzisha mgomo. Muna wanaopoteza kama wangeondoka kabisa na kurudi majimboni mwao wangefanya magapi ya maendeleo? Kwanza-wanania ya maendeleo hasa. Hata Mchungaji wa Ukawa naye hajitambui-anamtukana speaker! Mtu wa Mungu huyo! Ninafikiri taifa limejionea Unyumbu unaoendelea Bungeni na hata wanachama wao wamewachoka na hivyo vitendo vyao. Kwa nini waingie na kutoka si wakae nje tu waendelee na yao? Aibu, wanaliaibisha taifa.
Naibu speaker jembe, wacha atoe mkong'oto. Humu mtandaoni wapo wanaoandika vitu kwa kirefu. Akiandika mwanamke tu utaona ubaguzi wa kijinsia. Kinachoandikwa siolazima usome. Chagua kinachoandikwa kwa ufupi soma virefu wacha. Hata mimi sisomagi kila kinachoandikwa kifupi au kirefu.
Mimi sio mwoga. Naipendademokrasia sana sana. Lakini sipendi undumakuwili na ushabiki usio na msingi wa kupinga tu mradi umepinga uonekane umepiga hata kama jambo ni zuri kwa taifa. Pingeni sisi tunasonga mbele. Ipo siku mnatoka nje mmevaa viziba midomo mtakutana na wananchi wa vyama vyenu wenye hasira wamechoka na huo unyumbu. Nchi hii hakuna upinzani wenye logic unayoisema wewe hapa. Kuna upinzani wa bendera ufuatie upepo. Kuna demokrasia gani-andamana kama watakavyo viongozi wako, ziba mdomo, toka bungeni. Kama hutaki kufanya hivi-toka nenda CCM na posho hupati kutoka chama. Mbona waliodai demokrasia (Lipunda na Mwenzake) walioondoka kwa kukataa kiongozi mwanachama mpya kuingizwa agombee wanasemwa vibaya. Aliyejaribu kurudi sasa baba wa watu hawampokei viongozi husika kama ilivyotegemewa. Demokrasia gani waliyonayo?
Anyway-Siasa sio sekta yangu ila sioni tofauti kati wayasemayo na watendayo majimboni kwao zaidi yahuko nako kuhamasisha jamii isizingatie yaliyopangwa na serikali ya chama tawala. Utamuona mtu wa Ukawa kijijini anasimama kikaoni na kuanza kubwata na kukosoa wakati mpo katika mjadala wa kupanga kuangalia matatizo, kupanga pamoja jinsi ya utatuzi na jinsi ya kutekeleza. Huwaambiaga-hatupo ktk siasa-Kaa chini.
Mh Dr Tulia Naibu Speaker ni Jembe!! Sikutegemea hii ya kutoka Mbeya kumbe Hatari. Safi sana. Tupo nyuma yako. Huu ni wakati wa utendaji sio malumbano ya kugombea uongozi. Tuwe kama USA. Uchaguzi ukiisha, malumbano kwishinia-muhimu kushirikiana na kufanya kazi-Hapa Kazi Tu. Sio kung'oleana mikarafuu, minazi au Kahawa, kuviziana kuchomeana nyumba na purukushani zisizoisha bungeni. Watoto na ndugfu zetu wanawaona-unawafundisha nini baba na mama uliyeweka bandeji mdomoni? Nyumbu!!
.
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Wed, 22/6/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA KIFARU:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 22 June, 2016, 21:46
Lesian. Unaweza kuueleza umma wa
watanzania lini Naibu Speaker aliwakimbiza wabunge wa
upinzani???
Ninachojua ameingia bungeni na kusimamia kanuni za Bunge
zilizotungwa kabla hajaingia mpaka wabunge hao wakaamua
kutoka nje. Hapa ni kuwabana watumie kanuni. Hakuna mbunge
ambaye hakubanwa maana kanuni ni zao wote.
Jingine ni pale ambapo kamati maalum iliposoma maamuzi ya
kamati. Bunge likaridhia. Yeye alichofanya i kutangaza
maazimio na kusimamia utekelezaji Wabunge saba wakalazimika
kutekeleza adhabu. Baadaye kwa utaratibu uleule wakatolewa
wengine wawili.
Katika hayo yeye kama yeye kakosea wapi?? maana ya
demokrasia sio kuongeza wahuni bungeni. twambie OBJECTIVELY
kakosea wapi
--------------------------------------------
On Wed, 6/22/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA
KIFARU:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, June 22, 2016, 2:02 PM
Hilder unapendaga kushabikia tuu hata
uozo kwa simple logic....is tulia doing fair kwa akil
yakoo...iweje kuwakimbiza wabun ge wa upinzani tu, kwake
upinzani ni adui kama ilivyo kwako..its shame sometimes
kwa
wanaopenda democracy na tena uoga....sina maneno meengi
kama
ww thats what i can contribute
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
>
>Nionacho mimi hulka ya waTZ daima kushabikia maovu au
chochote kile cha kuipinga serikali na chama tawala.
>
>Ndani ya vyama vya Siasa nje ya CCM (wanakobadilisha
uongozi), utaona wana viongozi ambao wapo madarakani toka
vyama vyao vianze hawabadilishiki au kuachia madaraka
wengine. Udugu na ukabila tunausikia ukilalamikiwa. Halafu
viongozi wao ndio wanaopiga kelele za nchi kukosa
demokrasia, CCM inatawala haina demokrasia etc. Wao wakiwa
watawala wa kudumu wanasema wapo kuwakilisha waTZ
demokrasia
inawapa nguvu hiyo!
>
>Sijaelewa nini wanapinga kwa Dr Tulia kwani hawakai
kujadili na sheria ya kuwakilisha maoni yao ipo ila wao
nikutoka tu nje kila siku. Sasa wapo wanavaa pedi
midomoni.
Eti speaker hainuki hapo kavaa Pampas na asemayo haya ni
mtu
anayejiita Mtu wa Mungu-Mchungaji. Ni mchungaji wa kondoo
gani anaruhusiwa kutamka haya kama sio mchungaji wa nyumbu
wasiojitambua ambao wanamwona mwenzao analiwa na simba wao
wapo jirani hapo wanamtazama tu na wengine kurukaruka hapo
hapo-kushabikia! Halafu hao wahisani wao ndio wanazidi
kuwamiminia mihela hao wanaoandika taarifa za uongo na
kutoka bungeni.Au kwa vile Tulia ni mwanamke msichana
middle
age ndio wanamdharau vile. Inaonyesha jinsi gani
gendermainstreaming na gender equality tata hata bungeni
na
jinsi wanawake tusivyojitambua kumdharaulisha na kumuonea
mwanamke mwenzetu without reasoning!
>
>Kama huyo Snowden (?) aliyetoa siri alitafutwa na
kutoroka nchini (?) kukimbia kukamatwa kwa nini hao
vibaraka
wamchangie mtu anayeandika uongo mambo ya jeshi bila ya
kuhoji viongozi wake kwanza. Ndio hao waandishi uchwara.
Tujiulize ethics za kazi zetu-tunazizingatia? Daima kujali
tumboni street! Na hii ndio tabia ya vyombo vyetu vya
habari
nchini na politics of the belly. Mtu anaweka kicha
sensitive
na kuamsha ari ya chuki kwa wananchi ili mradi apate kuuza
gazeti. Ukiangalia waandishi wa wenzetu wasomi na akihoji
utapenda. Pia wapo ktk specialization mbalimbali-jamii,
afya, wanyamapori, viumbe vya bahari anazamia baharini,
siasa anahoji unapenda, vita na anafika uwanja wa vita
anakatika mpaka mguu risasi zinampata-ana utaalamu wa
sekta
yake sio kudandia na unaona hata anavyohoji na ipo
televised
anauliza maswali-ya kuonyesha majibu atakayo sio kumhoji
maswali neutral ya kumfanya afikiri atoe jibu lake. Kuna
tatizo labda ktk mitaala. Huwezi kwa mfano daina
nalilalamikia mtu wa habari anayetumia camera kumulika
uchafu waliotupa wananchi nje na mtaro wazi wa cement na
kichesikinavuja kutoka nyumba yao kutiririshwa mtaroni na
kunanuka hawaulizi maswali ya kuwawajibisha na matendo yao
wakaona wao ni visababishi. Bali kuwauliza-Unaiambia nini
serikali? wakati ufagiaji, uzoaji taka na kuopeleka taka
ipo
decentralized kwa Mtaa under polluter pay principle.
>
>Angalia TV zinavyoliogea suala la uvamiaji na uondoaji
wanaofanya shughuli za kibinadamu (kilimo, kuchoma mkaa,
kuchunga) ndani ya protected areas. Wanapoondolewa
humo-soma
vichwa vya habari. Hatujali kuona madhara ya uvamizi
yanasababisha degradation ya misitu maji na kukosa maji,
mabadiliko ya tabia nchi kuleta effects kali na matatizo
mengine mengi. Uandishi ni kuona pande moja tu daima.
>Yametokea Rufiji wiki hii wasukuma kuambiwa waondoke,
wanalishiamashamba ya wenzao mkuu wa wilaya na viongozi
wengine hataki mapigano huko. Angalia mahojiano na maswali
aliyokuwa akiulizwa mfugaji-akisema ukabila, kaoza mwanae
huko mara anafukuzwa etc. Hawaulizi kwa nini mnaingiza
mifugo mashamba ya wenzenu, mbona nini mnalima pia, kwa
nini
msilishie ktk mashamba yenu mlimayo ili wasiingie mashamba
ya wengine na maswali mengine ya kuwafanya waone upande wa
pili wa visababishi. Ni lawama kwa viongozi tu na wananchi
wenyeji wazawa wa huko wenye customary land ambao hayo
wanayofanyiwa ni mateso kwao-Ndio tija ili mwandishi
atambulike kisiasa kuwa mtetezi-politics of the belly.
Wakiandika ya Jangwani na ubomoaji nyumba-hawaangalii
historia ya hapo ieleweke. Wanakuja hao wanasiasa kuchanga
kufungua kesi na kuweka mawakili mahakamani. Hii ndio TIJA
ay KURA na KULA. Lakini kuangalia uvamizi, uboreshaji
uliofanyika Hananasif na UNDP Habitat na Halmashauri,
kisha
wakauza maeneo na kushuka bondeni zaidi; wakahamishwa na
kupewa viwanja Mabwepande, wakauza wakarudi bondeni,
wakapewa onyo wahame-hawakuhama-SIASA inapamba moto na hao
wahisani huko Ulaya hupewa taarifa za uongo na
kuwachangia.
>
>Ni hiyo hiyo World Bank iliyotoa hela za kupima ardhi
mjini Dar ambayo ya viwanda wamejenga hall za sherehe na
kuweka karakana za magari. Kama hawana institutional
memory
waliohusika wameshafariki siasa nayo ikawatawala wasikose
wafuasi bongoland-wakibomolewa hall za sherehe wapewe
awwekezaji wa nje-kesi yake itafika mbali-Undumakuwili na
kukataa ukweli daima huwela migogoro inayoizuia maendeleo.
>
>Wahusika wa Mitaala ya vyuo vya Habari wanayaona haya,
wajaribu kuiboresha na kukazia ethics za uwanahabari na
sheria ya habari ili wanafunzi wao watokao vyuo hivyo
waache
tabia ya udaku au uzushi.
>
>Hata wananchi wanapokatazwa kuingia maeneo ya mazoezi
ya
kijeshi (Monduli, Mikumi-Mfirisi) wanaandika kama uonevu
eti
wafugaji wanaonewa wasilishie mifugo, akina mama wasiokote
kuni etc-wacha waingine wakatwe miguu na hand grenades
ambazo hazikuripuka zipo katika maeneo ya mazoezi-watasema
JWTZ inakata wananchi miguu! Kwa mwaka waannchi kadhaa
wamekuwa vilema!? Basi kusiwe na mwandishi wa habari form
4 angalau kiwango cha chini kiwe form six ana diploma
na cha juu PhD+. Form six atakuwa mwelewa na kuweza kusoma
specialization fulani.
>
>Napenda sana JWTZ wanachofanya Lugalo-sheria ya
kijeshi.
Onekana unatupa taka au chupa ya plastiki au unakatiza
hovyo
ktk bustani badala ya kupita njia iliyowekwa kupita kwa
miguu au bajaji na bodaboda kukatiza hovyokupita njia za
miguu wasikoruhusiwa-utasota, urushwe kichura uipate!!
Kumekuwa kusafi, hakuna magari kukatiza hivyo watakavyo ni
kukaa mstari inavyotakiwa. Hakunakupiga honi hovyo. Kumbe
kwa sasa tunahitaji JWTZ na Police kushika hatamu ktk
kutujenga nidhamu badala ya lele mama za siasa!
>
>Bravo JWTZ-mshikizeni adabu huyo aliyeandika upuuzi.
Kwanza kafuata nini huko kilicho hicho kifaru?
>--------------------------------------------
>On Wed, 22/6/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA
KIFARU:
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, 22 June, 2016, 6:52
>
>
> Nimesoma kuwa kuna watu wamemchangia mtu
aliyehukumiwa
> kulipa fine ya milioni saba kwa kutumia mtandao
kinyume
cha
> sheria na kumkashifu rais. Napenda watu hao wawe
tayari
> kumchangia kucha na meno mtuhumiwa aliyeandika habari
za
> wizi wa kifaru. Na kama interogation haitamfikisha
hapo
(Pa
> kupata msaada huo) itakuwa haijakamilika. Hatuwezi
kuvumilia
> watu kutetea uhuru wa kupata habari kufikia
kuwavumilia
watu
> kama hawa. Ninashangaa kwa nini na Snowden(?) yule
mwandishi
> wa Marekani aliyetoa habari za siri hajachangiwa au
watetezi
> hawa hawajaandika kumtetea.
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences of his or her
postings, and
> hence
> statements and facts must be presented
responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to
this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are
subscribed to
> the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences of his or her
postings, and
> hence
> statements and facts must be presented
responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to
this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are
subscribed to
> the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences of his or her
postings, and
> hence
> statements and facts must be presented
responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to
this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are
subscribed to
> the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed
to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed
to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment