Tuesday, 21 June 2016

Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA KIFARU:

Nionacho mimi hulka ya waTZ daima kushabikia maovu au chochote kile cha kuipinga serikali na chama tawala.

Ndani ya vyama vya Siasa nje ya CCM (wanakobadilisha uongozi), utaona wana viongozi ambao wapo madarakani toka vyama vyao vianze hawabadilishiki au kuachia madaraka wengine. Udugu na ukabila tunausikia ukilalamikiwa. Halafu viongozi wao ndio wanaopiga kelele za nchi kukosa demokrasia, CCM inatawala haina demokrasia etc. Wao wakiwa watawala wa kudumu wanasema wapo kuwakilisha waTZ demokrasia inawapa nguvu hiyo!

Sijaelewa nini wanapinga kwa Dr Tulia kwani hawakai kujadili na sheria ya kuwakilisha maoni yao ipo ila wao nikutoka tu nje kila siku. Sasa wapo wanavaa pedi midomoni. Eti speaker hainuki hapo kavaa Pampas na asemayo haya ni mtu anayejiita Mtu wa Mungu-Mchungaji. Ni mchungaji wa kondoo gani anaruhusiwa kutamka haya kama sio mchungaji wa nyumbu wasiojitambua ambao wanamwona mwenzao analiwa na simba wao wapo jirani hapo wanamtazama tu na wengine kurukaruka hapo hapo-kushabikia! Halafu hao wahisani wao ndio wanazidi kuwamiminia mihela hao wanaoandika taarifa za uongo na kutoka bungeni.Au kwa vile Tulia ni mwanamke msichana middle age ndio wanamdharau vile. Inaonyesha jinsi gani gendermainstreaming na gender equality tata hata bungeni na jinsi wanawake tusivyojitambua kumdharaulisha na kumuonea mwanamke mwenzetu without reasoning!

Kama huyo Snowden (?) aliyetoa siri alitafutwa na kutoroka nchini (?) kukimbia kukamatwa kwa nini hao vibaraka wamchangie mtu anayeandika uongo mambo ya jeshi bila ya kuhoji viongozi wake kwanza. Ndio hao waandishi uchwara. Tujiulize ethics za kazi zetu-tunazizingatia? Daima kujali tumboni street! Na hii ndio tabia ya vyombo vyetu vya habari nchini na politics of the belly. Mtu anaweka kicha sensitive na kuamsha ari ya chuki kwa wananchi ili mradi apate kuuza gazeti. Ukiangalia waandishi wa wenzetu wasomi na akihoji utapenda. Pia wapo ktk specialization mbalimbali-jamii, afya, wanyamapori, viumbe vya bahari anazamia baharini, siasa anahoji unapenda, vita na anafika uwanja wa vita anakatika mpaka mguu risasi zinampata-ana utaalamu wa sekta yake sio kudandia na unaona hata anavyohoji na ipo televised anauliza maswali-ya kuonyesha majibu atakayo sio kumhoji maswali neutral ya kumfanya afikiri atoe jibu lake. Kuna tatizo labda ktk mitaala. Huwezi kwa mfano daina nalilalamikia mtu wa habari anayetumia camera kumulika uchafu waliotupa wananchi nje na mtaro wazi wa cement na kichesikinavuja kutoka nyumba yao kutiririshwa mtaroni na kunanuka hawaulizi maswali ya kuwawajibisha na matendo yao wakaona wao ni visababishi. Bali kuwauliza-Unaiambia nini serikali? wakati ufagiaji, uzoaji taka na kuopeleka taka ipo decentralized kwa Mtaa under polluter pay principle.

Angalia TV zinavyoliogea suala la uvamiaji na uondoaji wanaofanya shughuli za kibinadamu (kilimo, kuchoma mkaa, kuchunga) ndani ya protected areas. Wanapoondolewa humo-soma vichwa vya habari. Hatujali kuona madhara ya uvamizi yanasababisha degradation ya misitu maji na kukosa maji, mabadiliko ya tabia nchi kuleta effects kali na matatizo mengine mengi. Uandishi ni kuona pande moja tu daima.
Yametokea Rufiji wiki hii wasukuma kuambiwa waondoke, wanalishiamashamba ya wenzao mkuu wa wilaya na viongozi wengine hataki mapigano huko. Angalia mahojiano na maswali aliyokuwa akiulizwa mfugaji-akisema ukabila, kaoza mwanae huko mara anafukuzwa etc. Hawaulizi kwa nini mnaingiza mifugo mashamba ya wenzenu, mbona nini mnalima pia, kwa nini msilishie ktk mashamba yenu mlimayo ili wasiingie mashamba ya wengine na maswali mengine ya kuwafanya waone upande wa pili wa visababishi. Ni lawama kwa viongozi tu na wananchi wenyeji wazawa wa huko wenye customary land ambao hayo wanayofanyiwa ni mateso kwao-Ndio tija ili mwandishi atambulike kisiasa kuwa mtetezi-politics of the belly. Wakiandika ya Jangwani na ubomoaji nyumba-hawaangalii historia ya hapo ieleweke. Wanakuja hao wanasiasa kuchanga kufungua kesi na kuweka mawakili mahakamani. Hii ndio TIJA ay KURA na KULA. Lakini kuangalia uvamizi, uboreshaji uliofanyika Hananasif na UNDP Habitat na Halmashauri, kisha wakauza maeneo na kushuka bondeni zaidi; wakahamishwa na kupewa viwanja Mabwepande, wakauza wakarudi bondeni, wakapewa onyo wahame-hawakuhama-SIASA inapamba moto na hao wahisani huko Ulaya hupewa taarifa za uongo na kuwachangia.

Ni hiyo hiyo World Bank iliyotoa hela za kupima ardhi mjini Dar ambayo ya viwanda wamejenga hall za sherehe na kuweka karakana za magari. Kama hawana institutional memory waliohusika wameshafariki siasa nayo ikawatawala wasikose wafuasi bongoland-wakibomolewa hall za sherehe wapewe awwekezaji wa nje-kesi yake itafika mbali-Undumakuwili na kukataa ukweli daima huwela migogoro inayoizuia maendeleo.

Wahusika wa Mitaala ya vyuo vya Habari wanayaona haya, wajaribu kuiboresha na kukazia ethics za uwanahabari na sheria ya habari ili wanafunzi wao watokao vyuo hivyo waache tabia ya udaku au uzushi.

Hata wananchi wanapokatazwa kuingia maeneo ya mazoezi ya kijeshi (Monduli, Mikumi-Mfirisi) wanaandika kama uonevu eti wafugaji wanaonewa wasilishie mifugo, akina mama wasiokote kuni etc-wacha waingine wakatwe miguu na hand grenades ambazo hazikuripuka zipo katika maeneo ya mazoezi-watasema JWTZ inakata wananchi miguu! Kwa mwaka waannchi kadhaa wamekuwa vilema!? Basi kusiwe na mwandishi wa habari form 4 angalau kiwango cha chini kiwe form six ana diploma na cha juu PhD+. Form six atakuwa mwelewa na kuweza kusoma specialization fulani.

Napenda sana JWTZ wanachofanya Lugalo-sheria ya kijeshi. Onekana unatupa taka au chupa ya plastiki au unakatiza hovyo ktk bustani badala ya kupita njia iliyowekwa kupita kwa miguu au bajaji na bodaboda kukatiza hovyokupita njia za miguu wasikoruhusiwa-utasota, urushwe kichura uipate!! Kumekuwa kusafi, hakuna magari kukatiza hivyo watakavyo ni kukaa mstari inavyotakiwa. Hakunakupiga honi hovyo. Kumbe kwa sasa tunahitaji JWTZ na Police kushika hatamu ktk kutujenga nidhamu badala ya lele mama za siasa!

Bravo JWTZ-mshikizeni adabu huyo aliyeandika upuuzi. Kwanza kafuata nini huko kilicho hicho kifaru?
--------------------------------------------
On Wed, 22/6/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA KIFARU:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 22 June, 2016, 6:52


Nimesoma kuwa kuna watu wamemchangia mtu aliyehukumiwa
kulipa fine ya milioni saba kwa kutumia mtandao kinyume cha
sheria na kumkashifu rais. Napenda watu hao wawe tayari
kumchangia kucha na meno mtuhumiwa aliyeandika habari za
wizi wa kifaru. Na kama interogation haitamfikisha hapo (Pa
kupata msaada huo) itakuwa haijakamilika. Hatuwezi kuvumilia
watu kutetea uhuru wa kupata habari kufikia kuwavumilia watu
kama hawa. Ninashangaa kwa nini na Snowden(?) yule mwandishi
wa Marekani aliyetoa habari za siri hajachangiwa au watetezi
hawa hawajaandika kumtetea.
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment