Thursday, 2 June 2016

Re: [wanabidii] HEKO BUNGE KUWAADHIBU WABUNGE WAHUNI

Ndiyo maana mimi nasema 'we lack critical thinking au independent judgement' - yaani huwa mtu fulani akishasema kitu tunaona ni 'gospel truth'. Kilichokuwa kinapiganiwa bungeni is the manner in which hao students were treated. Unakumbuka waliokuwa wakipigia debe the BRN, ambayo ni matokeo ya yale Rais alikuwa akiyaongelea pia? Mimi nadhani bungeni kuna madudu yanafanyika na yana udhi na mengine yanafanyika kwa kujificha kwenye kanuni ambazo pia ziko kimaslahi zaidi kuliko ya mahitaji ya mijadala chanya bungeni. Ndiyo maana wakati mwingine unaona mbunge x anasimama na badala ya kuchangia anaanza kurusha mabano upande wa pia na kiti kinamwachia tu hadi mwisho na kisha anasema "anaunga mkono hoja kwa asilimia 100" wakati alichokuwa akiongea hakihusiani na hoja hata kidogo. Udhaifu huu upo tena mara nyingi. Kwa upande, mwingine mbunge y akiomba mwongozo kwa nia ya kutaka ufafanuzi au kukosoa mwenendo wa michango inavyoenda anyimwa hiyo fursa (bila ya sababu ya maana). Katika mazingira kama haya kama baadhi ya wabunge wakiona hawatendewi haki na kama namna wanayoweza kusema na kusikilizwa haipo wakichukua hatua kama hao unaosema kwa mtazamo wako "sababu za kipuuzi", je utawalaumu? Kwa maoni yangu, kutoka nje kwa hao wabunge si sababu za kipuuzi na kama ni kweli ni za kipuuzi basi hata uamuzi uliofanywa na ukasababisha uliowafanya watoke wawe na sababu za kipuuzi za kutoka nje ulikuwa wa kipuuzi pia.

2016-06-02 15:25 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Busara ilianza wakati wa uchaguzi. WaTz waliwachagua watu makini. Watu makini wakishaingia wingi unakuwa wa mwisho kuamua. Kila anayeangalia TBC 2 vipindi vichache vya bunge live anaona kuwa mijadara sasa inajadiliwa kwa ustaarabu. Kumbuka sababu za kipuuzi kama hizi zilizowatoa wabunge haziwezi kutoa nafasi nyimgine ya kupikiwa chai Ikulu. Lazima Wabunge wa upinzani watafute namna ya kurudi bungeni. Hatutawacheka. Waende wakaendeleze harakati zao kwa busara zaidi.
Kwa aliyemsilikiza magufuli UDSM atahisi mgogoro huu wa UDOM ulichochewa na wanaojifanya wasamalia wema kwa wanachuo. nchi hii inahitaji katiba inayompa mabavu Rais.
--------------------------------------------
On Thu, 6/2/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] HEKO BUNGE KUWAADHIBU WABUNGE WAHUNI
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, June 2, 2016, 2:27 PM

 Sheria
 gani - hizi za "ndiyo...." zinazoegemea wingi
 zaidi kuliko umakini/busara?

 On Thu, Jun 2, 2016 at 1:24
 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
 wrote:
 Nasubiri utetezi wa Lissu na wenzake (uzuri mmoja
 wengi kati yao ni wanasheria kitaaluma).

 Wajitetee kisheria mbele yetu,  Itatufungua zaidi. Ila
 wasianze kusema sheria za bunge ni za kurekebishwa.
 Wanasiasa wetu wajifunze na kuangalia mambo
 yanavyobadilika. Watambue tupo darajani na sio ng'ambo
 ile tuliyotoka.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment