Habari za asubuhi,

-- Tafadha pokea CODES hapa chini.

Muziki unakua sana na hivi karibuni wasanii wengi wa hapa nchini wamekuwa wakibuni mitindo ya aina mbalimbali ili kuzifanya kazi zao ziende mbali na kuvuta mashabiki wa muziki nchini na duniani kwa ujumla. Bayo the Great ni msanii wa kizazi kipya aliyewahi kuvuma na wimbo wa hiphop uitwao Jina Kapuni: https://www.youtube.<wbr />com/watch?v=qncTaBUAL7E Baada ya ngoma hii Bayo alikaa kimya akifanya shule na baadae kuajiriwa na mashirika mbalimbali yanayojihusisha na kazi za kijamii kama Solar Aid, The Nature Conservancy, International Citizen Service na Voluntary Service Overseas (VSO) ambako Bayo ameajiriwa mpaka sasa kama Meneja mradi huko Zanzibar.

"Kitimtim" ni wimbo wa mduara wenye vionjo vya ragga uliotayarishwa na producer Mesen Selekta toka studio za De Fatality Dar Es Salaam, video ya Kitimtim ambayo ina comedy story ndani yake imetayarishwa na kampuni ya Focus Films chini ya Nick Dizzo. Unaweza kumsapoti Bayo kwa kutazama hapa chini na kushare wimbo huu na wengine.

Bayo The Great anapatikana kwenye akaunti za mitandao ya kijamii kupitia anuani zifuatazo hapa chini

Twitter: @bayothegreat

Instagram: @bayothegreat

Facebook: Abraham Bayo

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment