Kweli kila chama kinaq nia ya kushika dola wala sikumaanisha tofauti. Nilichosema ni chama kushika dola kusudi Tanzania igawanyike kati ya Tanganyikq na Zanzibar. Kama hilo ni lengo au kwa wazi au kwa siri hatukiachii chama kupinga hilo ila twaweza kutumia chama kukizuia kuingia madarakani.
--------------------------------------------
On Sat, 4/2/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli na wanyonge vs UKAWA na wahisani
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, April 2, 2016, 11:35 PM
Muhingo
acha uongo unachosema siyo kweli. Kila chama cha siasa kina
lengo la kushika dola. Kwahiyo hata CCM wanataka kuendelea
na dola. Kwahiyo vyote ni vyama vya siasa na shida ni kwamba
mazingira ya kutaka kushika dola siyo sawa kwa vyama vyote.
Kuna chama kimoja kinataka kupangia vyama vingine ndio
tatizo.
Sent
from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli na wanyonge vs UKAWA na
wahisani
Mam Nkya kweli tnahitaji upinzani wa kweli; wenye uadilifu;
Makini; adilifu nk.
hatuhitaji upinzani tunaoutilia mashaka kuwa una lengo la
kuvuruga au hata kuvunja muungano wetu. Tumeshuhudia
Tanzania ikipata shida ya upinzani wake kuvurugika, tena
bahati mbaya muda mfupi kabla ya uchaguzi. Tumeshuhudia
upinzani ukiingiliwa na wale waliokuwa wakiongoza yale
yaliyopingwa na upinzani. wakauingilia upinzani na kuugeuza
mwelekeo kama kirui kinavyogeuza seli. Tunahitaji kuwa
makini kuhakikisha umakini unakuwa makini adilifu na na
makini. Na ndicho kilichofanyika. kikaishia kurudia
uchaguzi. Moja kati ya kazi zilizo mbele yetu ni kuujenga
upya.
--------------------------------------------
On Fri, 4/1/16, 'ananilea nkya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli na wanyonge vs UKAWA na
wahisani
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, April 1, 2016, 11:47 PM
Tatizo la Watanzania tunapenda sana kujidanganya na zaidi
tunadanganyika kirahisi.
Hakika, hata kama nchi yetu ingekuwa haiitaji msaada
kutoka
nchi yoyote kwa ajili ya kugharamia miradi yake ya
maendeleo, kama taifa, hatuwezi kupiga hatua kubwa ya
kuleta
maendeleo endelevu yanayowanufaisha wananchi wote na siyo
kikundi kidogo cha watawala, kama nchi haitakuwa na
UPINZANI WA KWELI, MADHUBUTI, MAKINI, ADILIFU NA
WENYE
MAONO. Kitendo cha watawala kutaka kuuwa upinzani
Zanzibar, maana yake ni kukataa nchi isipate maendeleo
yanayonufaisha wananchi wote. Ni jipu kubwa.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, 'Ansbert Ngurumo' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli na wanyonge vs
UKAWA na
wahisani
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 30, 2016, 10:33 AM
Huu
ni ujinga! Wakati wewe unajaribu kupotosha hoja ya
MCC,
msikilize Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Augustine
Mahiga
anavyosema:
"Kitendo
hiki ni kibaya. Unamuumiza mtu pale panapouma katika
suala
la maendeleo. Kitendo hicho kinafuta imani na
uelewano
kati
yetu (Marekani na Tanzania) kwa sababu suala la
nishati ni
nyenzo ya maendeleo. Fedha hizo zingesaidia miradi
ya
umeme
vijijini, kwa hiyo, watoto wetu wangesoma, wangepata
elimu
bora na zingeboresha huduma za afya. Walitutamanisha
kuwa
watatupa hizo fedha, lakini lakini wanafuta pale
ambapo
maendeleo yetu yamejikita.
SWALI:
Unataka kusema kwamba Balozi Mahiga ni mwana UKAWA?
Ametumwa
na UKAWA kusema hayo? Kama hujajipanga vema, acha
propaganda. Zitakuaibisha. UKAWA hawalili misaada ya
nje.
Wanasisitiza kuwa jeuri ya watawala ndiyo
imesababisha
hayo.
Rais Magufuli alisema ya Zanzibar hayamhusu. Ona
sasa
kinachotokea. Kinaathiri Tanzania nzima. Tulipiga
kelele
dhidi ya Sheria ya Makosa ya Mtandaoni kwamba ni ya
kikatili, ni dhalimu, ni ya kikoloni. Watawala
wakafunika
nyuso zao kwa viganja kama nyani. Wakaficha vichwa
mchangani
kama mbuni,, kumbe mwili mzima upo nje nje. Fedha
hizi
zilikuwa zinaelekezwa katika kuboresha huduma kwa
wanyonge.
Atahri zitawapata wanyonge, si Magufuli na wenzake.
Ansbert Ngurumo
Managing
EditorFree
Media
P.O. Box 15261Dar es Salaam
Tanzania
Mobile +255 767 172
665www.freemedia.co.tzwww.voxmediatz.com
www.ngurumo.wordpress.com
www.ngurumo.blogspot.com
On Wednesday, March
30, 2016 10:35 AM, 'lang'itomoni lokomoi'
via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Magufuli
na wanyonge vs UKAWA na wahisani
Hatimaye UKAWA
wamejipambanua katika rangi yao halisi ya kutaka
kuuza
uhuru
kamili wa
nchi...kwa kuwalilia na kuwashabikia wazungu!!
Reference iko humu humu jamvini.
Ni ukweli usio na shaka kwamba
UKAWA walipambana sana hata kabla ya matokeo ya
uchaguzi
wa
Rais Nov 2015...
Ukawa walipambana vilivyo
kuwaonesha wazungu kuwa Tanzania hakuna amani...
Ukawa kwa mara ya kwanza Tanzania
walihakikisha kuwa
vyombo vya
habari vya kimagharibi vinaonesha Tanzania kuna
tension
kiasi cha amani
kutoweka....
Ila kwa weledi mkubwa na uzalendo uliokithiri
vyombo vyetu vya kiuongozi na kiusalama vikashinda
jaribio
hilo ovu la
UKAWA na wananchi wa Tanzania wakamaliza uchaguzi
kwa
amani
na ustaarabu
kama ikivyo desturi yetu.
UKAWA waliandaa maandamano UK
na
USA na sio Manzese,Magomeni au Tandahimba ili
kuonesha
kuwa
nchi hii
haina demokrasia kisa CCM ilikuwa imeshinda na
inaendelea
kushinda...huku wakisahau kuwa ndani ya vyama vyao
wanacheza
tikitaka na
kugeuza gia za angani ili tu viongozi wao wawe wa
kudumu
yaani
wanahubiri demokrasia ambayo ndani ya vyama vyao
haipo.
UKAWA wako tayari kuomba
majeshi nje ili tukupambana na CCM(REFERENCE: Vijana
wa IT
na mabodyguard kutoka nje ya nchi)
UKAWA inaendelea kujidhihirisha kwa
sera
zake za utegemezi kwa
mataifa ya nje...yaani UKAWA inaachana na dhana ya
kutumia
resource
nyingi tulizonazo kukwamua wananchi kutoka kwenye
matatizo
na badala
yake inajikita kwenye kuamini kuwa maendeleo yatakuja
kwa
msaada na
hisani ya watu wa marekani.
UKAWA inatukumbusha vikundi vya miaka ile ya kudai
uhuru
...vikundi tulivyoviita vibaraka wa wakoloni.
HII NI HULKA CHAFU YA UKAWA
iliyotubadilishia gia angani!!
UKAWA hii ya sasa ni UKAWA inayonukia
kinyesi cha
UFISADI PAPA
baada ya kukiokota na kujipaka yenyewe karibia na
uchaguzi
wa 2015.
Hii ni UKAWA iliyopoteza agenda
muhimu
za
kitaifa kama vile vita
dhidi ya ufisadi,ukosefu wa ajira,ukosefu wa
uadilifu,elimu
duni na afya
isiyoridhisha....UKAWA inahaha kutafuta Agenda ya
kubakia
kwenye ulingo
wa siasa kwa gharama yoyote baada ya kuvurunda
...!
UKAWA inajitenga rasmi na hoja
za wananchi na badala yake inachukua mrengo wa
kunyenyekea
wakoloni!
UKAWA inaanzisha mapambano upya ya
sisi
wazalendo dhidi ya Ukoloni
wa kisasa na kwa nguvu zetu,adabu,uvumilivu na
msimamo
tutashinda tu...!
UKAWA haisikiki kwebye vita dhidi ya
mauaji ya albino
lakini
inataka isikike kwenye msaada wa MCC...HUU NI UNAFIKI
WA
KUTUPWA!!
SHAME UPON UKAWA ILIYOAMINIWA
NA KUJIGEUZIA GIA ANGANI...!
KWA MAGUFULI HAKIKA MTAISOMA NAMBA....KWANI AGENDA
YETU NI
KAZI TU KAZI TU KAZI TU!
iliwahi kusemwa kuwa 'NGUO YA KUAZIMA
HAISITIRI.....Tufanye kazi na tulipe kodi!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email
ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment