Tatizo la Watanzania tunapenda sana kujidanganya na zaidi tunadanganyika kirahisi.
Hakika, hata kama nchi yetu ingekuwa haiitaji msaada kutoka nchi yoyote kwa ajili ya kugharamia miradi yake ya maendeleo, kama taifa, hatuwezi kupiga hatua kubwa ya kuleta maendeleo endelevu yanayowanufaisha wananchi wote na siyo kikundi kidogo cha watawala, kama nchi haitakuwa na UPINZANI WA KWELI, MADHUBUTI, MAKINI, ADILIFU NA WENYE MAONO. Kitendo cha watawala kutaka kuuwa upinzani Zanzibar, maana yake ni kukataa nchi isipate maendeleo yanayonufaisha wananchi wote. Ni jipu kubwa.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, 'Ansbert Ngurumo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Magufuli na wanyonge vs UKAWA na wahisani
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 30, 2016, 10:33 AM
Huu
ni ujinga! Wakati wewe unajaribu kupotosha hoja ya MCC,
msikilize Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Augustine Mahiga
anavyosema:
"Kitendo
hiki ni kibaya. Unamuumiza mtu pale panapouma katika suala
la maendeleo. Kitendo hicho kinafuta imani na uelewano kati
yetu (Marekani na Tanzania) kwa sababu suala la nishati ni
nyenzo ya maendeleo. Fedha hizo zingesaidia miradi ya umeme
vijijini, kwa hiyo, watoto wetu wangesoma, wangepata elimu
bora na zingeboresha huduma za afya. Walitutamanisha kuwa
watatupa hizo fedha, lakini lakini wanafuta pale ambapo
maendeleo yetu yamejikita.
SWALI:
Unataka kusema kwamba Balozi Mahiga ni mwana UKAWA? Ametumwa
na UKAWA kusema hayo? Kama hujajipanga vema, acha
propaganda. Zitakuaibisha. UKAWA hawalili misaada ya nje.
Wanasisitiza kuwa jeuri ya watawala ndiyo imesababisha hayo.
Rais Magufuli alisema ya Zanzibar hayamhusu. Ona sasa
kinachotokea. Kinaathiri Tanzania nzima. Tulipiga kelele
dhidi ya Sheria ya Makosa ya Mtandaoni kwamba ni ya
kikatili, ni dhalimu, ni ya kikoloni. Watawala wakafunika
nyuso zao kwa viganja kama nyani. Wakaficha vichwa mchangani
kama mbuni,, kumbe mwili mzima upo nje nje. Fedha hizi
zilikuwa zinaelekezwa katika kuboresha huduma kwa wanyonge.
Atahri zitawapata wanyonge, si Magufuli na wenzake.
Ansbert Ngurumo
Managing
EditorFree
Media
P.O. Box 15261Dar es Salaam
Tanzania
Mobile +255 767 172
665www.freemedia.co.tzwww.voxmediatz.com
www.ngurumo.wordpress.com
www.ngurumo.blogspot.com
On Wednesday, March
30, 2016 10:35 AM, 'lang'itomoni lokomoi' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Magufuli
na wanyonge vs UKAWA na wahisani
Hatimaye UKAWA
wamejipambanua katika rangi yao halisi ya kutaka kuuza uhuru
kamili wa
nchi...kwa kuwalilia na kuwashabikia wazungu!!
Reference iko humu humu jamvini.
Ni ukweli usio na shaka kwamba
UKAWA walipambana sana hata kabla ya matokeo ya uchaguzi wa
Rais Nov 2015...
Ukawa walipambana vilivyo
kuwaonesha wazungu kuwa Tanzania hakuna amani...
Ukawa kwa mara ya kwanza Tanzania walihakikisha kuwa
vyombo vya
habari vya kimagharibi vinaonesha Tanzania kuna tension
kiasi cha amani
kutoweka....
Ila kwa weledi mkubwa na uzalendo uliokithiri
vyombo vyetu vya kiuongozi na kiusalama vikashinda jaribio
hilo ovu la
UKAWA na wananchi wa Tanzania wakamaliza uchaguzi kwa amani
na ustaarabu
kama ikivyo desturi yetu.
UKAWA waliandaa maandamano UK
na
USA na sio Manzese,Magomeni au Tandahimba ili kuonesha kuwa
nchi hii
haina demokrasia kisa CCM ilikuwa imeshinda na inaendelea
kushinda...huku wakisahau kuwa ndani ya vyama vyao wanacheza
tikitaka na
kugeuza gia za angani ili tu viongozi wao wawe wa kudumu
yaani
wanahubiri demokrasia ambayo ndani ya vyama vyao
haipo.
UKAWA wako tayari kuomba
majeshi nje ili tukupambana na CCM(REFERENCE: Vijana wa IT
na mabodyguard kutoka nje ya nchi)
UKAWA inaendelea kujidhihirisha kwa sera
zake za utegemezi kwa
mataifa ya nje...yaani UKAWA inaachana na dhana ya kutumia
resource
nyingi tulizonazo kukwamua wananchi kutoka kwenye matatizo
na badala
yake inajikita kwenye kuamini kuwa maendeleo yatakuja kwa
msaada na
hisani ya watu wa marekani.
UKAWA inatukumbusha vikundi vya miaka ile ya kudai uhuru
...vikundi tulivyoviita vibaraka wa wakoloni.
HII NI HULKA CHAFU YA UKAWA
iliyotubadilishia gia angani!!
UKAWA hii ya sasa ni UKAWA inayonukia kinyesi cha
UFISADI PAPA
baada ya kukiokota na kujipaka yenyewe karibia na uchaguzi
wa 2015.
Hii ni UKAWA iliyopoteza agenda muhimu za
kitaifa kama vile vita
dhidi ya ufisadi,ukosefu wa ajira,ukosefu wa uadilifu,elimu
duni na afya
isiyoridhisha....UKAWA inahaha kutafuta Agenda ya kubakia
kwenye ulingo
wa siasa kwa gharama yoyote baada ya kuvurunda
...!
UKAWA inajitenga rasmi na hoja
za wananchi na badala yake inachukua mrengo wa kunyenyekea
wakoloni!
UKAWA inaanzisha mapambano upya ya sisi
wazalendo dhidi ya Ukoloni
wa kisasa na kwa nguvu zetu,adabu,uvumilivu na msimamo
tutashinda tu...!
UKAWA haisikiki kwebye vita dhidi ya mauaji ya albino
lakini
inataka isikike kwenye msaada wa MCC...HUU NI UNAFIKI WA
KUTUPWA!!
SHAME UPON UKAWA ILIYOAMINIWA
NA KUJIGEUZIA GIA ANGANI...!
KWA MAGUFULI HAKIKA MTAISOMA NAMBA....KWANI AGENDA YETU NI
KAZI TU KAZI TU KAZI TU!
iliwahi kusemwa kuwa 'NGUO YA KUAZIMA
HAISITIRI.....Tufanye kazi na tulipe kodi!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment