Siamini kuwa wanaotoa mawazo yao kuhusu MCC kusitisha funds si wazalendo to the extent that wasiotoa mawazo ndio wazalendo! Hii ni bad reasoning!
2016-04-01 15:34 GMT+03:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
Naunga na Rais Magufuli tutavuka kwa kuchapa kazi kweli kweli ya kubana matumizi na kurudisha uwajibikaji na nidhamu seriakali jambo ambalo keshaanza nalo mara tu baada ya kuapishwaWazungu wa ulaya na wamarekani wameshaona chini ya utawala wa Magufuli hawana watakachopata ndio maana wameanza kutafuta sababu zisizo na msingi.Wamarekani wana sababu zao zingine wanazozijua lakini sio demokrasia wala sheria ya mtandao, kama demokrasia mbona wanaipa Misri mabilioni ya dola halikuwa ukandamizaji wa demokrasia nchini humo wote tunajua.kama issue ni sheria ya mitandao Marekani ndio wenye sheria mabaya zaidi ya mitandao kwa kisingizio cha ugaidi , ndugu usijitie upofu hali kuwa una macho mawili ya kuona.--2016-04-01 15:27 GMT+03:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:Labda nijibu swali namba mbili, suala la MCC limekuwa gumzo baada ya wasioitakia mema nchii hii kutaka liwe gumzo kwa kuandika makala mbalilmbali na kutoa comment zinazoonyesha hakuna tanazania tena baada ya Mcc kujitoa,wenye mawazo mgando wanatumia mitandao ya kijamii kuuhabarisha umma kuwa, Tanzania kamwe haiwezi kujitegemea bila ya misaada ya mabepari wa ulaya na marekani wakipingana na wazalendo Tunaamini kwa kasi hii ya Magufuli Tanzania isiyotegremezi inawezeka kwa kuchapa kazi kweli kweli na kuacha kushinda bar na kucheza pool table.2016-04-01 10:25 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:3. Kama tunaweza kujitegemea kwa kila watakaositisha msaada wao shida iko wapi? Si na wao wana uhuru kutokana na matakwa ya wapiga kura wao wanataka kuona misaada hiyo inakwenda tu kwa wale wanaotekeleza demokrasia?2. Kama waziri wa fedha anasema "walikuwa wameshajipanga" kwa nini wao kusitisha msaada kuwe gumzo kwetu?Kama hivyo ndivyo vigezo:1. Je, sisi tunaamini demokrasia ilifanyika uchaguzi wa ZNZ?--On Thu, Mar 31, 2016 at 9:28 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:Magobe,
1. Msaada umesitishwa kwa madai kwamba Demokrasia haikufanyika uchaguzi wa ZNZ. (Demokrasia ni moja ya vigezo vya kupata msaada huo)
2. Waziri wa fedha Dr Mpango ameshasema walijipanga na hilo mapema maana walijua litatokea.
3. Wanajua sisi ni wanyenyekevu kwao siku zote. Labda tuseme walitaka tuendelee kunyenyekea.
4. Mambo yepi yanapindishwa?--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment