Sunday, 3 April 2016

Re: [wanabidii] Kusitishwa Msaada wa Marekani Uwe Mwanzo wa Kusitishwa Mingine

Kwa kifupi ni kwamba wamerikani wanapoona  interests zao zinaathirika kwa aina moja au nyingine hutafuta njia yeyote ile kufanya mamabo yanaenda kama wanavyotaka. Hiyo theory ya upanuzi inaendana sio tu kisiasa bali kiuchumi na hata kijamii. Angalia the way they bulied Cuba for more than half of a century. Inaelelkea serikali yetu mpya kuna mambo imeona ulazimu wa kuyakomesha , jambo ambalo linapunguza influence ya wababe duniani. Sisi tunapaswa kuwa na msimamo makini bila, but at the same diplomasia isifanye makosa ya kujibiana nao kijeuri. Tumkumbuke Mwl. Nyerere ambaye aliwamudu sana kutokana na diplomasia yake. Enzi za APARTHEID Tanzania in away ilikuwa haionekani vizuri kwenye utawala kama zile za Reggan, lakini still yalikuwa yanaenda kama yalivyokuwa. Iwapo maswala ya wa Zanzibar kweli yanahitaji ushauri toka nje, basi tuwasikilize hao wanaotushauri, na iwapo la, basi tuwaeleza kinaganaga problem ni nini. Tusijidanganyi kwamba we don't need misaada ya nje, ile kinachotekana ni sisi wenyewe tujue tunachotaka. Kuna mambo mengi yanahitaji ushirikiano na mataifa mengine.

Mtanganyika


 
Do: wanabidii@googlegroups.com;
Wysłane: 4:07 Niedziela 2016-04-03
Temat: Re: [wanabidii] Kusitishwa Msaada wa Marekani Uwe Mwanzo wa Kusitishwa Mingine

Heri,
Ningependa kujua zaidi kuhusu expansionist theory, dodosa kidogo tupate mwanga.
Thanks in advance.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



0 comments:

Post a Comment