Friday, 1 April 2016

Re: [wanabidii] Kusitishwa Msaada wa Marekani Uwe Mwanzo wa Kusitishwa Mingine

Magobe,
1. Mimi sio muumini wa Demokrasia 100% ila ni mfia maendeleo, ukiniambia awekwe kiongozi hata kwa udikteta ILA tu aweze kutuletea maendeleo kwa kujali maslahi ya wengi,  ntaunga mkono.
Kilichotokea ZNZ kwangu naona ni sawa maana kugomea kwa CUF/so called UKAWA, kurudi uchaguzi wa pili ni dhahiri walijua watashindwa. Hapo tume itasemaje? Hakuna mshindi au?  Rudini ndio mlalamike tumedhulumiwa pamoja na kukubali yote!!!
Thats all I can say.

2. Fadhil did it enough.

3. Wengine tunaona sawa tu maana tunaamini we can do it, wengine wanaona sio sawa maana wanaamini hatuwezi, gumzo linaletwa na sisi wenyewe. Wao wameshakataa, ni sisi kusema INSHALLAH then maisha yaendelee.
Sio kwamba tumekuwa na viburi saaana kukataa misaada, sometimes you must be tough!!  Unatunyima msaada kwa sababu ya maamuzi tuliyofanya kwa faida yetu wenyewe!!?? Nilitegemea wakatae kutupa kwa sababu hatuutumii vizur!  Walao ningeelewa wana uchungu na dolare yao. Demokrasia yetu inawahusu nini? Wao ni waasisi wake? Demokrasia yao imefanana na yetu? Wamejuaje tumekosea?

Ukifuatilia hoja nyingi zilizotolewa katika mada tofauti tulizojadili humu haswa za Muhingo, Ireneus, na wengineo utagundua hata demokrasia yao sio ile ya;  WOTE tutumbukize KURA halafu zihesabiwe. Wana madaraja yao ya kuchujana pia.

Labda nikuulize;
Je, unaamini TANZANIA(i LOVE this word for sure) inaweza kusonga bila misaada?
If YES, then nothing more.
Kama ni NO, itabidi tuliongelee katika mtizamo mwingine sasa.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment