Wednesday, 27 January 2016

[wanabidii] KAMPUNI YA MAGARI YA ALLIANCE AUTOS WAFANYA MAONYESHO NDANI YA JENGO LA GOLDEN JUBILEE TOWER (PSPF)

Habari za asubuhi,

Tafadhali msaada tutani pokea CODES hapa chini.

Gari aina ya Amarok Pick up ikiwa katika maonyesho ya mauzo ndani ya jengo la Golden Jubilee Towers ambapo maonyesho hayo ambayo yanaenda sambamba na uuzwaji wa magari hayo yanaendelea hadi hapo kesho jioni kwa 'showroom' hiyo. (Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).

Amarok Pick up  inavyoonekana kwa ubavuni..

Amarok Pick up inavyoonekana upande wa nyuma..

Gari aina ya Touareg ambayo katika 'showroom' hiyo ya jengo la Jubilee Towers jijini Dar es Salaam kama inavyoonekana.

Kwa mujibu wa Meneja Masoko wa kampuni ya magari ya Alliance Autos, ambao ni wauzaji wa magari ya Volkswagen Tanzania (VW), Sheikha Said amebainisha kuwa, maonyesho hayo ya magari na mauzo yaliyoanza jana 26 Januari, yanatarajiwa kufikia tamati siku ya kesho 28 katika jengo hilo la Golden Jubilee Towers.

"Magari yaliyo kwenye 'showroom' hii ya ndani ya jengo la Golden Jubilee Towers ni pamoja na  Amarok Pick up na Touareg. Tumeyaleta karibu zaidi  na wateja wetu wapate kuyaona na kujua uhalisia wa 'German Engineering'. Na pia waweze kujibiwa maswali yao yote yanayowatatiza, kujua uwezo wa VW katika barabara zote" ameeleza Meneja masoko huyo.

KAWAIDA

DSC_1573

DSC_1562

Amarok Pick up  inavyoonekana kwa ubavuni..

DSC_1563

Amarok Pick up inavyoonekana upande wa nyuma..

DSC_1566

Gari aina ya Touareg ambayo katika 'showroom' hiyo ya jengo la Jubilee Towers jijini Dar es Salaam kama inavyoonekana.

Kwa mujibu wa Meneja Masoko wa kampuni ya magari ya Alliance Autos, ambao ni wauzaji wa magari ya Volkswagen Tanzania (VW), Sheikha Said amebainisha kuwa, maonyesho hayo ya magari na mauzo yaliyoanza jana 26 Januari, yanatarajiwa kufikia tamati siku ya kesho 28 katika jengo hilo la Golden Jubilee Towers.

"Magari yaliyo kwenye 'showroom' hii ya ndani ya jengo la Golden Jubilee Towers ni pamoja na  Amarok Pick up na Touareg. Tumeyaleta karibu zaidi  na wateja wetu wapate kuyaona na kujua uhalisia wa 'German Engineering'. Na pia waweze kujibiwa maswali yao yote yanayowatatiza, kujua uwezo wa VW katika barabara zote" ameeleza Meneja masoko huyo.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment