Wednesday, 27 January 2016

Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Tamko la kipindupindu

Ninakuunga Mkono Lesian asilimia 100. Elimu ya Afaya wape, wanaona, wapo wanakula mpaka usiku wa manane. Wamejenga kando la bwawa la kinyesi na maji ya kinyesi yananuka na watoto wanacheza hapo. Kila baada ya nyumba tatu-Bar na wazazi ndio wameziweka kuganga njaa. Makelele yanaathiri mtoto aliyetumboni na hao wadogo. Mimba ya mama aishie katika kelele na sauti nyingi-mtoto huzaliwa mtukutu au huwa mtukutu. Bado hao watoto wanaoona akina mama na baba wanapapasana na wengine kukojoa hovyo-watoto wanachungulia madirishani na kukaa kingo za bar kuangalia video zinazoonyeshwa. Wazazi na viongozi wanaona pamoja na hao wachaguliwa na extension staff. Maadili ya mtanzania hayo. Sheria zipo lakini kutekeleza tabu. Tunaona maovu-hatubadiliki. Ifike wakati wakisha kujenga masoko kila Mtaa (Genge Modern la Biashara) na Kila Kata (soko modern) anayepanga biashara Mtaani/barabarani zizolewe, zitupwe., alale ndani kusiwe na dhamana. Kusiwe na watembeza midoli, spare parts wala matunda kwenye gari. Hii itasaidia vijana kurudishwa ktk comong plantation economy wakafanye kazi kwani atajua akionekana barabarani tu-jela. Kule atakuwa employed na tutaondoa uzururaji wakati nchi masikini, opportunities zipo na nguvu kazi ipo inazurura na kula bangi-viroba. Akionekana mtyu anakula chakula mahala pachafu-kamata. Watu wasusie kununua vitu vinavyouzwa bila kufunikwa kukwepa inzi na viuzwavyo mahala pachafu. Tunahitaji kutumia mbinu za kujenga tabia ya usafi.Sijui tufanyeje. Vyama vikubali kukosa Kura (CCM) kwa kuchukua sheria ya kuzuia uvamizi wa mabwawa ya kinyesi, dampo kama lile la kigogo etc. Unaona inajengwa mpaka inakwisha miaka wanaishi hapo ndio leo ukabomoe? Bomoa mara wanapoanza kujenga makazi au vibanda vya biashara. Ukimuacha ajenge, aishi na kuna aliyempa hati hata kama kwa rushwa budi umlipe. Uliona, mbona hukubomoa nawe ndio mtekelezaji sheria?
Tuache Upofu wa makusudi

--------------------------------------------
On Tue, 26/1/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Tamko la kipindupindu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 26 January, 2016, 18:33

Dar hata uelimishe miaka mia ' naona
watu wameshazoea kuishi kuchafu, kuna maeneo ukipata
utadhani hawaishi watu.
Sku moja juz tu nilikua naenda amana hosp kuonana na wataala
wa afya kikaz nilipofika daraja la bugurun nikakuta jam ya
nguvu nikaamua kuingia njia ya kutokea bwawa la maji machafu
ya buguruni, nilishangaa kuona watu wanakula nje kweupee ili
hali hewa ya maji machafu ikiendelea kuwafukizia, niliduaa,
afya zao ziko hatarin ila wao wana enjoy life....
Si kuke tu nenda tandale,nenda manzese, nenda kule
mburahati  mvua ikinyesha hata kabla, uchafu ni kama
kawa,viongoz nao wamekua hawaoni tena ni uchafu bali ni
kawaiiida
Usishangae kukuta lundo ka tanda mtaani tu, eti linasubiri
gar kuja kusomba....we need also'magufuli atumbue majibu
haya ya wanannchi na uchafu huuuuu

'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>
>
>Haya Pata-ukishatoa uchafu Haukuhusu. Lakini unaingia
katika mabomba ya maji yaliopasuka unakunywa wako na wa
wenzako na wa mifugo (mbwa, ng'ombe etc).  Mjusi wa
kutoka bongoland kwenda uingereza atakuwa mjusi tu ila kule
anajua akituap uchafu wakimwona au camera ikionyesha
taarifa-kisago. Hapa unatupa hapo kila mmoja anaona;
barabara ya kwenda tu unakutana na gari au pikipiki, lori
linapita hapo linarudi wote tunalitazama.  Na ukishuka
kutoka daladala chunga bajaji itakufyeka mguu na itakimbia
usiipate unabaki kilema. Wewe unashuka kituoni yenyewe
inapita mlango wa gari. Kiwete au kilema wa miguu anasota
ktika eneo la alama ya punda milia pa kupita watu-nus la
abiria au gari ya mtu binafsi inampigia honi apite haraka au
inakatiza miguuni pake-Bongoland hiyo.
>tatizo letu (i) Tabia (2) Mfumo. Private sekta wezi na
public fisadi-goma droo. Ni pande mbili za shillingi
zinazoshirikiana. Basi turudishe mashirika ya serikali
lakini yawe kampuni kuliko kampuni binafsi wezi control
inashindikana. Ilivyokuwa UDA na Railway-nauli
haikuchepushwa na linapita kwa muda uliopangwa sio kuchepuka
njia Ubungo-Buguruni ikawa Ubungu mawasiliano-Tegeta
anageuza njia apendavyo kukwepa foleni. Badala ya Kimara
mawasiliano- anakwepa foleni inakuwa Kimara-tanesco. Shuka,
shuka unatuchelewesha. Unatembea kwa mguu kiza kimeanza
kwenda mawasiliano upande la Tegeta. Kama PPP ni hivi
tatizo-Rudisha mashirika ya umma fanya kampuni. kama SACCOS
inakuwa kibaka rudisha Coops halafu -Hapa kazi tu. umeiba
unafirisiwa, jela. Familia yako itajua itajilishaje.
>
>Bongoland weka pipa la taka barabarani na
litoboe-litaondoka tu kwenda nyumbani kufanya shughuli
nyingine. Kama ni la bati-chuma chakavu kitauzwa, la
plastiki-litahifadhi nguo, atalalia kuku au nyau. Kila kituo
cha daladala kuwa na choo hii ngumu ila kila bus station
sawa, soko, gulio. Mbona choo kilikuwepo mwenge na sasa vipo
vya watu binafsi kulipia shs 200 au 100 na utaona hapo
anaweka haja nje ya ukuta wa choo au anachukua chupa ya
plastiki huyo kondakta wa daladala anaweka haja ndogo
(mkojo) anafunga anatupa nje ya bus haweki ktk kikapu cha
bus alichonacho ndani. Hela anayo ila anafanya hivi. Kisha
inaokoptwa na waokota chupa unawekewa juice au maji ya
baridi, mtindi hao wanaozinunua. Tunajilamba mtiti au maji
utadhania ni origino maji yalivyoganda poa. Mtoto wa shule
anaokota anachezea na kuiweka mdomoni akisha kumwaka huo
mkojo. Kwani mavyuoni hakuna dustbins? Mbona utata upo?
Anatupa nje ya pipa hana muda wa kulifunua. Na anaweza
akatoka chooni hajaflush (mfagizi atakuja kuflush) pamoja na
kuwa pipa la maji lipo na ndoo ya kuchotea. Utakuta mizigo
ya kutisha  au maji yaliyojaa chooni kuingia
ukashindwa. Au unapanda juu ya WC  ya kukaa kukwepa
maji unaishia kuanguka na unakula jiwe ukiulizwa kulikoni
kishindo na umelowa! bongoland hiyo!
>
>Hainipi shida-nikauzia majirani zangu ardhi na wote ni
wanasheria. Nilibakiza police tu sijampata. Nikijihami na
tabia tunazoziongea-sitaki kero. lakini-zikaanza hayo
usemayo. maji machafu-katoboa ukuta yanakuja kwangu,
yamvua-yanakuja na kufanya erosion; taka za jikoni, anarusha
kwangu, pampasi za watoto-rusha juu ya ukuta kwangu. anayo
nafasi ya kuchimba mashimo, kuweka septic tanks, uwezo wa
kutirisiha maji ya mvua vizuri yaelekee mtoni kwa
makubaliano. Nikapata akili chafu-akitusha pampasi, taka
ngumu, maji ya maharage na tope la maugali kutiririka kwangu
pia-ninakusanya ninarushia ndani kwake uwani kwake.
Kimeendelea na sasa kimetulia. Toa, rusha uchafu kwangu nami
niurushe kwako!! Fikiria-ni mwanasheria kisha
'Mchungaji/mkatekista'.
>
>Health awareness as well as academic education on health
and other vital matters (environmental management, water
safety, laws etc) is vital but not sufficient for behaviour
change! More has to be done. Uelimishaji, ufuatiliaji kuona
sustainability of positive behaviour change or practices,
legal/law enforcement ikishindikana kwa wanaokosea. Kwani
mbakaji, muuaji hajui kama ni dhambi na anaweza kufungwa au
kunyongwa; fisadi hajui adhabu yake akipatikana, mwizi jee
wa kupora ktk vituo vya daladala si anaona wenzake wakiuawa;
hayuoni wafao kwa ukimwi au kipindupindu? Mbona ukimwi
wasomi na wana ndoa tunaongoza? Jiulize elimu kama ndio tija
pekee? Kuwa na choo watatumia inavyotakiwa (miaka ile
wasukuma waliweka kinyesi cha ng'ombe kukwepa kulogezewa
kinyesi kikiwa shimoni atakunuizia akupate). Basi tujitahidi
kuifanya practical health education iwe continuous with
positive outcomes and effects. Mizizi yetu ya Laise Faire,
vijijie tu, visisafishe, serikali ije iondoe taka hizi
tuiache na tufikie kususa kununua na kula vitu pale tunaona
vipo ktk mazingira ya uchafu. Tupige marufuku biashara
mzagao watu wakae panapotakiwa. Tutapigana hasa na kupoteza
maisha katika zoa zoa lakini tufike mahala usafi na tabia ya
usafi iwe sehemu ya culture yetu!!
>
>Wasalaam.
>Kama kawa
>
>
>--------------------------------------------
>On Tue, 26/1/16, Pater Patrick ppaternus1@gmail.com
[Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Tamko la
kipindupindu
> To: Wanazuoni@yahoogroups.com
> Cc: "Juma Mwapachu" <jvmwapachu@gmail.com>,
"Kitila Mkumbo" <kitilam00@gmail.com>
> Date: Tuesday, 26 January, 2016, 10:40
>
>
>  
>
>
>
>   
>
>
>     
>       
>       
>       Hildegarda
> Unanena vizuri na hasa unapo sema tabia yetu
> juu ya usafi! Unaposema PPP haijafanyakazi vizuri
hivyo
> mfumo huu utupiliwe mbali unanifurahisha sana ila
unasahau
> kuwa mjusi hawezi kuwa mamba kwasababu yuko wingereza!

>
> Hiyo mirushwa, hiyo utendaji mbovu kwani hata
halmashauri au
> jiji kuwa na Kampuni zao kama DAWSCO bado haiwezi
> kutokea??
> Kumbe tatizo nikubwa kuliko mfumo tajwa.
> Mwanazuoni mwenzangu suala ni la tabia, nidhamu, na
> uwajibikaji wa serikali. Nilitafakari miaka mingi iliyo
pita
> juu ya falsafa ya usafi wa Mtanzania ni kapata majibu
kuwa
> usafi wa mtanzania unaongozwa na falsafa ya "AWAY FROM
> ME" yaani as long as mimi uchafu umetoka kwangu basi
> mie msafi! Huu ndo mfumo wa fikra ya utawala wetu.
Wengi
> wetu tunasema haya niusu kwangu niko poa.
> Suala la kipundi pindu ni suala la elimu,
> nidhamu, na miundo mbinu ambayo ndo nafasi ya serikali
ktk
> hili. Vituo vyote vya daladala havina choo, havina
dustbins,
> etc etc unatuzaje usafi, vyoo nyumbani taabu na shida
> utatunzaje usafi na kumaliza kipindu pindu?
> Umetoa mapendekezo mazuri ila mzizi ni nini
> haswa, sie watanzania tuko wapi?
> Wasalaam
>
> Pater
> On Jan 26, 2016 10:18
> AM, "Hildegarda Kiwasila khildegarda@yahoo.co.uk
> [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>

>
>  
>
>
>
>   
>
>
>     
>       
>       
>       
>
>
>
> Buguruni ni soko tegemewa sana sana. Watu wanatoka
Tegeta na
> kila kona kwenda kununua vitu jumla hapo kupelega
vigenge
> vidogo. Bado Tandale nalo uozo kibao wa takataka.
pamoja na
> kuwa kuna uongozi wa soko, ukusanyaji ushuru kwa
kutoa%
> halmashauri na kiasi za management ya soko-bado mambo
ya
> usafi utata. Uzoaji takataka muda mrefu upo
decentralized
> chini ay PPP na kutoa ajira kuondoa mzigo wa kazi hizo
kwa
> halmashauri. Wakati umefika sasa aidha kukataa sera na
> mashartyi ya world Bank turudishe Citu na
Municipalities
> ziunde kampuni kama vile ilivyo  DAWASCO (for
DAWASA)
> zisajiriwe, ziajiri watu, zilipe mishahara na bima zao
na
> kadi zao za afya wafanye kazi. ILO ipo iwasaidie kuwa
na
> good organization ya kazi. Hii PPP haifanyi kazi
vizuri
> kutokana na utapeli wa mikataba na wakandarasi wa
kuzoataka
> wadanganyifu na viongozi fisadi. Uongozi wa masoko
> walaji/mafisadi kutoa tender kiurafiki kwa makampuni
yasio
> uwezo. Utoaji ajira kwa wazoa taka na
wafagizi-makampuni
> binafsi huonea na kulipa mishahara midogo na kidhuluma
na
> hawana protective gear wala wakiumwa hawawatibii. taka
> zinalimbikizana ila wao viongozi vitambi vinakuwa kama
taka
> zinavyozidi kujazana. Matumizi ya vyoo vya
kuvuta-hayatufai.
> watu wanatia karatasi wanazojipangusia kuweka na taka
ngumu
> zinazokwama na maji hakuna repair ya vyoo utata.
Mabomba
> yanayovuja repairs hakuna maji yanajaza septic tanks
na
> hawanyonyi kila mara matanki yakijaa. Ikiwa connected
kwenye
> sewerage system-watu wa soko wanatupa taka ngumu
kwenye
> manholes na kama mifuniko ya chambers imeibuwa maji
husoa
> taka kumu na kuingia humo mfuniko wazi na kublock maji
> yasiende huko underground. Hizo taka za sokoni
> zingechukuliwa na vijana kutengeneza compost na
kuwauzia
> wananchi, taasisi kuweka katika bustani zao za maua na
> walima michicha na mboga nyingine mijini. Wengine
wangetumia
> taka za soko kutengeneza bio-gas. Tupo hatuna ajira
lakini
> akili zimelala.
>
>
>
> Kama soko ni chafu hivyo usemavyo Cathy-Jipu
lipasuliwe,
> uongozi ufanyiwe auditing na kisha waovu waondolewe na
mafao
> yao yalipe gharama zote za kukarabati miundombinu ya
soko.
> Ikiwezekana wamuombe Mr Mchechu ajenge masoko yawe ya
kisasa
> isiwe kama  yalivyo sasa mfano lile la Mabibo near
TGNP-ni
> kinyaa structure yake la Mwenge (aibu tupu) Tegeta
etc.
> Kisha kila soko kuu kiwilaya liwe na gari kubwa la
kuzoa
> taka badala ya kulipa wakandarasi feki. Soko dogo
mufumo wao
> uwe na size ya kati ya gari taka ngumu. Kila Municipal
iwe
> na gari kubwa angalau 2 za kupakua vyoo na maseptic
tank ya
> soko na iwe chini ya uongozi wa masoko ya municipality
haya
> taka maji. Hii itawashikisha adabu na kuwafanya
private
> sector wabadilike kwani private sector yetu bongoland
ni
> vibaka kama public sector. Wazungu hawakujua hili
walidhani
> ni efficient na effective kama zile zao. Huku ni
kinyume
> chake. Ndio maana kuna zari na wakandarasi kutengeneza
> majumba yanaanguka, barabara zinakatika, ile ya
> Mlandizi-Ruvu-Chalinze kwa gari utadhania upo ndani ya
boat
> ya kienyeji unatoka Dar to Mafia. Gari inayumba kuruka
> matuta na vichuguu hatari tupu ni hatari kwa ajali.
>
>
>
> Pamoja na kutoruhusu kushusha matunda, kuleta
nyama-vitu
> hivyo vitauzwa tu nje ya miji/masoko ktk vigenge na
vituo
> vya magari hayo. Issue kuu ni sisi kubadilika ktk tabia
zetu
> za usafi popote tunapokuwa na katika shughuli zetu
zote.
> Tuitajengaje tabia ya usafi? Mbona hata ukiwa mazingira
ya
> vyuo vikuu unakuta mapipa ya taka ngumu yapo ila kote
> upitako kuna vibox walionunulia na kubebea chips, chupa
za
> plastiki zimezagaa, makaratasi etc; vyooni kuna chupa
za
> plastiki imekwama ndani ya WC na taka ngumu kufanya
maji
> yafurike mengine yanavuja kutoka ghorofa la juu kuja
chini
> kwa miezi na kila vikitengeneza-wanatupa tena milembe
na
> makorokoro mengine vinakwama na kufurika. Inzi, mbu
kama
> kawa. Mifereji mikubwa sana ya bunguruni mnyamani
imekuwa
> dampo la takataka (world bank funded). Bado ile ya
Ubungo
> Mwenge-majani, viroba vya taka na makorokoro mengine
kibao.
> Pembeni hapo magari yamepaki watu wanywa bia, nyama
choma
> kama kawa.
>
>
>
> Kipindupindu cha kuzuilika ni hivi kinakuja na kurudi
kila
> wakati na sasa ndio kinatoa hasira zake za kuchindwa
> uchaguzi na kushindana na mikakati  ya 'Hapa Kazi
> tu!!", Dengue ilitulamba miaka ya karibuni, Ebora
> ikiingia itakuwaje? Na sasa ndio kuna Zika virus
wakuleta
> watoto wa vichwa vidogo na kuharibu ubongo wa binadamu
na
> unakuja na huyu mbu Aedes aegypti anayeleta Dengue pia.
Kwa
> sasa tunashughulikia watoto wenye Vichwa Vikubwa na
tupo
> jirani na chanzo julikana wa Zika (Zika forest near
Lake
> Victoria, Uganda. The virus was first found in a
monkey
> there in 1947). Sasa upo nchi nyingi kiazi duniani.
Nasi tu
> wasafiri na kwa kuficha wahamiaji haramu ni hodari na
tuna
> madigrii hayo.
>
>
>
> Ingefaa- Elimu nyumba hadi nyumba ianzishwe na
kuboreshwa
> kama ilivyokuwa wakati wa Baba wa Taifa-Mtu ni afya
> campaign, kwenye elimu ya wafanyakazi-kila jumatano na
> jumamosi, elimu ya mgambo-wote kuelimishwa. Mbona
Tanesco
> wanapita nyumba hadi nyumba kuangalia masuala yao ya
umeme.
> Wizara ya Afya na halmashauri zake zinashindwa nini?
Kampeni
> za TV na Radio-hazitoishi. Weka vikosi elimishaji kila
> kona.
>
>
>
> Lakini kama tulivyo wapongo-tuwe waangalifu na tuweke
> tahadhari-vibaka, matapeli watashona hizo sare za
> waelimishaji, kuweka vibandiko na kuingia majumbani
kupora
> watu kwa nembo ya waelimishaji umma.  Cheza na
bongoland
> wewe!! Daktari feki anaingia na kutoa huduma mpaka
Referral
> na Regional Hospital! Nini majumbani Tanesco, Dawasa
na
> vishoka wauelimishaji feki? Watakuwepo tu.
> Ukimpata-mwonyeshe katika vyombo vya umma aina yote
aaibike
> kisha funga gereza la kilimo akalime sana huko miaka
sio
> miezi maana atakuwa analima na kujilisha mwenyewe!!
>
>
>
> Kama Kawa
>
>
>
> --------------------------------------------
>
> On Tue, 26/1/16, 'cathysungura' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
> Subject: Re: [wanabidii] Tamko la kipindupindu
>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>  Date: Tuesday, 26 January, 2016, 8:15
>

>
>  hali
>
>  ni mbaya,nimepita soko la matunda la buguruni
asubuhi
>
>  hii,huwezi ingia mana maji machafu yanatiririka
toka
>
>  ndani.wauza matunda wenyewe wanaogopa hali
ile,wanasema
>
>  wamepewa siku tano toka jana wasishushe mzigo ili
soko
>
>  lisafishwe,Mungu atusaidie
>

>
>  Sent
>
>  from my Samsung Galaxy
>
>  smartphone.
>

>
>  -------- Original message --------
>
>  From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
>
>  <wanabidii@googlegroups.com>
>
>
>  Date:26/01/2016  6:50 AM  (GMT+03:00)
>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>  Cc: 
>
>  Subject: Re: [wanabidii] Tamko la kipindupindu
>

>

>

>
>  Si umeona Cathy Morogoro inavyoongoza kwa
Kipindupindu
>
>  (Chibiduke) lakini wakapambana na police
waliokuwa
> wakizoa
>
>  biashara zao zilizokuwa zikiuzwa kihatarishi? Si
bado
>
>  tunaona vyakula wazi na tunanunua na unakuta
wanakula
> hapo
>
>  hapo inzi zikipepewa? sasa sijui tuache wafu
wazike wafu
>
>  wao?-Kutokupokea wagonjwa wa kipindupindu
hospitali
> ajitibie
>
>  mwenyewe au abaki huko alikoutoa? Kufanyike nini
kama
> kabati
>
>  hata liwe na wavu na mfuniko-kuzuia inzi na
upepo
> unaingia
>
>  joto lisiozeshe-bado muuzaji anafunua mfuniko na
kupepea
>
>  inzi. Kufunika anaona watu hawataona bidhaa yake
pamoja
>
>  na  kuwa alipokaa ni pa wauza samaki mstari
mzima, pale
>
>  vitumbua, pale nyanya. Akiwa na kikabati cha kioo
mtu
> anaona
>
>  bidhaa zilizo ndani-bado anawacha wazi pia
mfuniko wake!
>
>  Mtanzania-umfanye nini? Maji ya kuchemsha-yana
ladha
> mbaya!
>
>  Hakuna kuni, mkaa wa kuchemsha, vyombo vya
kuhifadhi
>
>  maji-lakini beer, viroba vinanywewa daily. Mungu
> atusaidie.
>

>
>  --------------------------------------------
>
>  On Mon, 25/1/16, 'cathysungura' via Wanabidii
>
>  <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>

>
>   Subject: [wanabidii] Tamko la
kipindupindu
>
>   To: "'Hildegarda Lucian Petri' via
>
>  Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>,
>
>  "nsachrism" <nsachrism@yahoo.co.uk>,
>
>  "MAHLEHLA, Eugene Tebogo"
>
>  <mahlehlaeu@who.int>,
> shaibundeja@gmail.com,
>
nufairaalex@gmail.com,
> "First name alex Chibunu"
>
>  <adchibunu@yahoo.com>
>
>   Date: Monday, 25 January, 2016, 16:55
>
>   
>
>   
>
>   
>
>   
>
>   Sent
>
>   from my Samsung Galaxy
>
>   smartphone.
>
>   
>
>   
>
>   
>
>   --
>
>   
>
>   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>   
>
>    
>
>   
>
>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>   
>
>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email
>
>  ya
>
>   kudhibitisha ukishatuma
>
>   
>
>    
>
>   
>
>   Disclaimer:
>
>   
>
>   Everyone posting to this Forum bears
the sole
>
>  responsibility
>
>   for any legal consequences of his or
her postings, and
>
>  hence
>
>   statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>
>   continued membership signifies that
you agree to this
>
>   disclaimer and pledge to abide by our
Rules and
>
>  Guidelines.
>
>   
>
>   ---
>
>   
>
>   You received this message because you
are subscribed to
>
>  the
>
>   Google Groups "Wanabidii" group.
>
>   
>
>   To unsubscribe from this group and
stop receiving
> emails
>
>   from it, send an email to
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>   
>
>   For more options, visit
>
https://groups.google.com/d/optout.
>

>
>  --
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email
>
>  ya kudhibitisha ukishatuma
>

>
>  Disclaimer:
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>  for any legal consequences of his or her
postings, and
> hence
>
>  statements and facts must be presented
responsibly. Your
>
>  continued membership signifies that you agree to
this
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
>  ---
>
>  You received this message because you are
subscribed to
> the
>
>  Google Groups "Wanabidii" group.
>
>  To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
>
>  from it, send an email to
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>

>

>

>

>
>  --
>

>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
>   
>

>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>

>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>  Utapata Email ya
>
>  kudhibitisha ukishatuma
>

>
>   
>

>
>  Disclaimer:
>

>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>  for any legal consequences of his or her
postings, and
> hence
>
>  statements and facts must be presented
responsibly. Your
>
>  continued membership signifies that you agree to
this
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>

>
>  ---
>

>
>  You received this message because you are
subscribed to
> the
>
>  Google Groups "Wanabidii" group.
>

>
>  To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
>
>  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>

>
>  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>     
>     
>
>     
>     
>
>
>
>
>
>
>   
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>     
>     
>
>     
>     __._,_.___
>
>           
>   

>
>     
>     
>
>     
>         
>         Posted by: Pater
Patrick
> <ppaternus1@gmail.com
     
>     
>     
>
>     
>               
           Reply
> via web post
>               
       •
>             
>               
Reply to sender           
>           •
>             
>           
   Reply to group       
   
>           •
>         
   Start a New
> Topic
>           •
>               
         
   Messages in this
> topic
>             
   (2)
>               
       
>
>         
>
>
>
>
>
>
>
>

>
>
>
>
>     Visit Your Group
>
>     
>       New Members
>       1
>     
>   
>
>
>
>   
>    • Privacy • Unsubscribe • Terms of
Use
>
>
>
>
>
>
>   
>

>   
>   
>   
>
>
>
>     
>
>
>
>
>     
>
>   .
>
>
>   
>
>

>
> __,_._,___
>
>
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480 --
>   #yiv7911530480ygrp-mkp {
> border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
> 0;padding:0 10px;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp hr {
> border:1px solid #d8d8d8;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp #yiv7911530480hd
{
>
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
> 0;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp #yiv7911530480ads
{
> margin-bottom:10px;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp .yiv7911530480ad
{
> padding:0 0;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp .yiv7911530480ad
p {
> margin:0;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mkp .yiv7911530480ad
a {
> color:#0000ff;text-decoration:none;}
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor
> #yiv7911530480ygrp-lc {
> font-family:Arial;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor
> #yiv7911530480ygrp-lc #yiv7911530480hd {
> margin:10px
> 0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor
> #yiv7911530480ygrp-lc .yiv7911530480ad {
> margin-bottom:10px;padding:0 0;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480actions {
> font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480activity {
>
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480activity span {
> font-weight:700;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480activity span:first-child
{
> text-transform:uppercase;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480activity span a {
> color:#5085b6;text-decoration:none;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480activity span span {
> color:#ff7900;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480activity span
> .yiv7911530480underline {
> text-decoration:underline;}
>
> #yiv7911530480 .yiv7911530480attach {
>
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
> 0;width:400px;}
>
> #yiv7911530480 .yiv7911530480attach div a {
> text-decoration:none;}
>
> #yiv7911530480 .yiv7911530480attach img {
> border:none;padding-right:5px;}
>
> #yiv7911530480 .yiv7911530480attach label {
> display:block;margin-bottom:5px;}
>
> #yiv7911530480 .yiv7911530480attach label a {
> text-decoration:none;}
>
> #yiv7911530480 blockquote {
> margin:0 0 0 4px;}
>
> #yiv7911530480 .yiv7911530480bold {
> font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}
>
> #yiv7911530480 .yiv7911530480bold a {
> text-decoration:none;}
>
> #yiv7911530480 dd.yiv7911530480last p a {
> font-family:Verdana;font-weight:700;}
>
> #yiv7911530480 dd.yiv7911530480last p span {
>
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}
>
> #yiv7911530480 dd.yiv7911530480last p
> span.yiv7911530480yshortcuts {
> margin-right:0;}
>
> #yiv7911530480 div.yiv7911530480attach-table div div a
{
> text-decoration:none;}
>
> #yiv7911530480 div.yiv7911530480attach-table {
> width:400px;}
>
> #yiv7911530480 div.yiv7911530480file-title a,
#yiv7911530480
> div.yiv7911530480file-title a:active, #yiv7911530480
> div.yiv7911530480file-title a:hover, #yiv7911530480
> div.yiv7911530480file-title a:visited {
> text-decoration:none;}
>
> #yiv7911530480 div.yiv7911530480photo-title a,
> #yiv7911530480 div.yiv7911530480photo-title a:active,
> #yiv7911530480 div.yiv7911530480photo-title a:hover,
> #yiv7911530480 div.yiv7911530480photo-title a:visited
{
> text-decoration:none;}
>
> #yiv7911530480 div#yiv7911530480ygrp-mlmsg
> #yiv7911530480ygrp-msg p a span.yiv7911530480yshortcuts
{
>
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}
>
> #yiv7911530480 .yiv7911530480green {
> color:#628c2a;}
>
> #yiv7911530480 .yiv7911530480MsoNormal {
> margin:0 0 0 0;}
>
> #yiv7911530480 o {
> font-size:0;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480photos div {
> float:left;width:72px;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480photos div div {
> border:1px solid
> #666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480photos div label {
>
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480reco-category {
> font-size:77%;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480reco-desc {
> font-size:77%;}
>
> #yiv7911530480 .yiv7911530480replbq {
> margin:4px;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-actbar div
a:first-child {
> margin-right:2px;padding-right:5px;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg {
> font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
> sans-serif;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg table {
> font-size:inherit;font:100%;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg select,
> #yiv7911530480 input, #yiv7911530480 textarea {
> font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg pre,
#yiv7911530480
> code {
> font:115% monospace;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg * {
> line-height:1.22em;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-mlmsg
#yiv7911530480logo {
> padding-bottom:10px;}
>
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-msg p a {
> font-family:Verdana;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-msg
> p#yiv7911530480attach-count span {
> color:#1E66AE;font-weight:700;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-reco
> #yiv7911530480reco-head {
> color:#ff7900;font-weight:700;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-reco {
> margin-bottom:20px;padding:0px;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor
#yiv7911530480ov
> li a {
> font-size:130%;text-decoration:none;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor
#yiv7911530480ov
> li {
> font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-sponsor
#yiv7911530480ov
> ul {
> margin:0;padding:0 0 0 8px;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-text {
> font-family:Georgia;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-text p {
> margin:0 0 1em 0;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-text tt {
> font-size:120%;}
>
> #yiv7911530480 #yiv7911530480ygrp-vital ul
li:last-child {
> border-right:none !important;
> }
> #yiv7911530480
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment