Hilda. Tanzania sio maskini na hatuhitaji hata senti moja kutoka kwa mtu yeyote. Kinachotakiwa ni uongozi bora,uwajibikaji, tuachane na rushwa, ufisadi na tuhakikishe kila mkulima yeyote yule kwa kushirikiana na wadau wengine wanazalisha, wanasindika na kuuza bidhaaa zilizoongezewa thamani kwa mfano mkulima wa mahindi auze unga wa mahindi, mkulima wa mpunga auze mchele uliopangwa kwenye madaraja na lebo ya skimu ya umwagiliaji na mzalishaji wa pamba auze pamba iliyochambuliwa na mfugaji auze mifugo kwa kilo. Yote yanawezekana ikiwa tutaachana na uchama na kuweka Tanzania kwanza
Cheers
Herment A. Mrema
Cheers
Herment A. Mrema
> Date: Sun, 24 Jan 2016 06:01:42 +0000
> From: wanabidii@googlegroups.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] TLS kuendesha kongamano
>
>
>
> Amon-Hiyo ni Mihela kutoka donors nchi za nje wanaopenda tusiishi kwa amani nchini. Ukiwaomba hela za maendeleo vijijini-mlolongo wa kuzingatia na fomu ya kujaza pages 50 na usipate. Ila kongamano la mamilioni-kila atakayeomba atapata mara chini ya mwamvuli wa demokrasia. Demokrasia ambayo vyama vingine nchini viongozi ni hao hao na wagombea ni hao hao toka chama hicho kianzishwe karne hadi leo hii! Hata NGO nyingine za Haki na Demokrasia viongozi wake hawabadiliki karne wakati vyama vya siasa kama CCM hubadilika kila term ya uongozi inapokwisha wao wapo tu chini ya mwamvuli wa Haki kwa wote kama Mkurunzinza!
>
> Ingefaa kama-Wangeitumia hiyo mihela katika kupanga mikakati ya kuleta maendeleo kwenye majimbo yao ili 2020 waishinde CCM kichizi. Kusaidia Land Use Planning and Certification, drip irrigation, sustainable farming and livestock keeping ili kupunguza land degradation na effects za mabadiliko ya tabia nchi katika majimbo yao. Ni kongamano na kongamano. Juzi tu limeisha la UDSM (Nyerere Chair??) Leo hawa kesho wengineo kwenye kumbi za mamilioni, soda na vitafunwa! Posho za mamilioni kwa watoa mada bado na gharama yao ya usafiri wa ndege au magari ya kukodi au kuwalipa mafuta na dreva.
>
> Tuangalie masuala ya maendeleo kuliko ubishani kila kukicha. Ukienda ZNZ-kuna haja ya kumalizia majengo ya hhayati Baba wa Taifa Marehemu Karume na kuzuia beach pollution na ujenzi barabarani ambapo barabara zenyewe finyu. Vibanda vya biashara vinaongeza ufinyu kuufanya mji mdogo vikorokoro. Kuna haja ya kukarabati majengo ya zama zile jinsi design ilivyokuwa kwa materials za aina ile ile lakini ujenzi mpya wa sasa. Wakajifunze UK walivyofanya katika majengo yale ya kale kabisa na utalii kutoka ulaya unajaa huko kulikotunzwa-Oxford City, York etc mijengo ya kale na yanatumika kwa makumbusho na shughuli nyingine. Nchi nyingi za ulaya zinatunza majengo ya kale sisi huku yanaporomoka yale ya 4th centrury mpaka ya after Berlin conference na utawala wa mwarabu na mkoloni mwingereza na mjerumani mpaka UNESCO itupe pesa. Za kwetu-Kongamano, maandamano! na uharibifu wa mazingira kwa SIADA kutawala utendaji-mapigano wakulima na wafugaji; ubomoaji mabomba miradi iliyohisaniwa; uvamizi wa ardhi eti mwekezaji halimi na ukisha kuvamia nawe hulimi unauza, unavamia tena unauza unakunywea pombe ya choya. Kongamano la maana lingekuwa huiko kijijini/vijijini kuwaelimisha wakulima na wafugaji wajibu wao wa kutunza mazingira, kufuga na kulima sustainably; kuacha kuhamahama na kuharibu maisha yao wenyewe na ya watoto wao bali kujikita kujihusisha na shughuli za kipato, kujiunga pamoja, kuzalishamali na kuuza bidhaa ndani na nje ya nchi. Kuwasaidia kujiweka sawa na kuwaelimisha kuendesha ushirika wao kiufanisi sio kwa kuufirisi. Kuwapa mafunzo viongozi wa Vijiji na Mtaa kuhusu good leadership na transparency ili kupunguza tabia ya wao kuwa Hitler number 2 na kufanya walabwe bakora na kukosesha amani vijijini kama tunavyoona katika TV wananchi wanafukuzana na kuchapana bakora. Tunao wanasheria kibao na vyama vyao basi sasa ni wakati wa kujikita upya sio huko juu bali at grassroots level kuwafundisha wananchji sheria husika-Ardhi, Misitu, Kilimo, Ufugaji, madini, uwekezaji etc-kutumia donor money kuzitafsiri na kuzigawa kichizi kila kona pamoja na hizo sera zake husika na mikakati iliyopo. Itakapotoka hiyo katiba-kuigawa kama maandazi kila kona na kuielimsha jamii kwa ajiri ya 2020. Easy Come Easy Go ya malumbano, makongamano (na utashangiliwa sana ukiwa unaichamba serikali) ni kupoteza resources.
>
> Uchaguzi umekwisha; tafiti mmefanya, andikeni vitabu, tawanyeni tutasoma. Ukikaribia uchaguzi ujao-toeni semina au hayo makongamano ili kuonya wananchi na viongozi kutokurudia makosa yaliyopita. Kwa makundi kurudia makongamano ya aina moja leo kundi hili, kesho hili na baadhi ya viongozi hawa, kesho viongozi wa chama hiki na kile-haitendei haki masikini mwenye mahitaji bali kujaza tumbo wengine, inafufua chuki za kichama na chuki binafsi na kesho mwingine anaweka-kongamano kumpinga yule wa jana anayemchukia!! Endless business. Tunataka magwiji wa sheria na haki za binadamu waache kukaa mijini. waweke strategic plan ya kumaliza kutembea vijijioni katika makabila mbali mbali kuwaelimisha kuhusu Haki za Binadamu wa aina yote ili kupunguza -ndoa za utotoni (ili kupata hela, mifugo); mila potofu (kurithi mke, kuchangia, kukeketa; kuoa wake wengi na bado una nyumba ndogo unasambaza ukimwi); mauaji ya albino na vizee na mila za kukataza/kumnyima mwanamke asirithi mali ya wazazi au mume. Bado tunawataka waende kwa wafugaji kuwaelimisha na kuwawezesha wafuge kisasa ili wasiendelee kuzagaa na maelfu ya mifugo nchi nzima na kunyima wengine amani ya kulima, kuishi kwa usalama na kuhifadhi misitu maji.
>
> Kuna mengi kwa wenye uwezo nchini kufanya kwa kutumia wasomi pamoja na wanasheria ktk kusaidia maendeleo badala ya kugharimia endless kongamano ya Baada ya Uchaguzi. Kitu ambacho hatukifanyi. Ndio maana TZ kuna kila kitu lakini tupo nyuma kimaendeleo. Wasomi, wasio wasomi, wenye magari na watembea kwa miguu, baiskeli na bajaji wote tunaogelea tope na maji ya kinyesi yanayojaa daima na mara nyingi wakati wa kipindi cha mvua. Twapita hapo hapo, twaona sote lakini vitendo fanikishi vidogo. Chukua hatua fanikishi ya kisheria-kesi mahakamani isiyokwisha mawakili wakibadilishana kupinga hatua wakati hali hiyo ni mbaya kwa maisha ya watu. Kongamano, pinga sheria, kongamano, maandamano na virungu vya police, mikakati kutatua changamoto tunayo, changamoto tunazishughulikia, kongamano kupinga mikakati ya changamoto-endless debates huku shule kuta zinaanguka, madeski hakuna, wazazi wanamaliza misitu kuchoma mkaa wa miti-kongamano la mabadiliko ya tabia nchi-wafugaji wanahamishwa toka Ihefu kwenda kokote kule kwenye ardhi, wafugaji wanahamia Rufiji wetlands, Kilwa, Lindi, Tunduru na Mgeta Milimani Moro Rural bakora zinatembea; maji ya Ruvu kukauka, pasua mabomba maji hayajatoka miaka mitatu toka bomba ziwekwe kusubiri Kidunda Dam water supply-Kongamano la Uchaguzi linaendelea; kongamano la wafugaji wanaonewa kufukuzwa Ihefu na wanasheria kibao kuandika makala na thesis degree zinapatikana sio sustainable modern livestock keeping kuwezeshwa, kesi mahakamani-maandamano! Bongoland hiyo!!
>
> Kama Kawa
> --------------------------------------------
> On Sun, 24/1/16, 'amon mkoga' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>, "wanazuoni" <wanazuoni@yahoogroups.com>, "wanataaluma@googlegroups.com" <wanataaluma@googlegroups.com>
> Date: Sunday, 24 January, 2016, 5:55
>
> Haya tunasubiri lakini mbona
> naona waalikwa 90% ni UKAWA,UKAWA..........
> AMON
> MKOGA
> MANAGING DIRECTOR
> CHIEF
> PROMOTIONS
> P.O BOX 78566
> MOBILE 0755 638 004/0784 772628/0655 638 004
>
> EMAIL dramontz2002@yahoo.com
> WEBSITE www.chiefpromotions.or.tz
> WEBSITE
> www.mtemimilambofestival.blogspot.com
> DAR ES
> SALAAM
> TANZANIA
>
>
> On Saturday, January
> 23, 2016 3:22 AM, Stephen Msechu
> <steve83msechu@gmail.com> wrote:
>
>
> Chama cha Wanasheria
> Tanganyika kinawaalika wananchi wote kwenye kongamano la
> kujadili changamoto za kisheria zilizojitokeza katika
> uchaguzi mkuu wa 2015 Kwa Jamhuri ya Muungano na Zanzibar.
> Kongamano litafanyika ukumbi wa Blue Pearl Ubungo Plaza
> kesho jumapili tarehe 24/01/2016 kuanzia saa Saba Mchana
> hadi saa kumi na mbili jioni. Kiingilio ni uzalendo wako.
> Wachokoza mada ni:
>
> 1. Wakili Harold Sungusia gwiji wa Katiba na Haki za
> Binadamu,
>
> 2. Wakili Fatma Amani Karume mtaalamu wa Sheria za
> kimataifa, biashara na masuala ya Muungano
>
> 3. Wakili Othman Masoud Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa
> Zanzibar
>
> 4. Wawakilishi wa Vyama vya Siasa. Mpaka sasa tumepokea
> mwakilishi wa CUF ambaye ni Ismail Jussa tunasubiri
> wawakilishi wa vyama vingine. Imetolewa na Kamati ya Katiba
> na Sheria ya Chama cha Wanasheria Tanganyika.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment