Wednesday, 27 January 2016

Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki

Kiwasila mimi hujanishawishi kwa hizo hoja zako huwezi kunishawishi eti kuwepo chuo kikuu ubungo ni maendeleo ya eneo husika au kujengwa jengo la mawasiliano na la tanesco kuwa ni kuwepo cha maendeleo ubungo la hasha! Ya nini kumtwisha mizigo mnyika mizigo isiyo yake kama ni ujenzi holela haukuanza ubungo miaka 5 iliyopita na ulianza zamani na si ubungo tu Hilo ni tatizo la Tanzania nzima na ujenzi holela ni matokeo ya uzembe wa watendaji  wa serikali ya ccm Hilo kila mtu anajua
Hakuna asiejua jinsi mnyika alivyopigania mipango ya maji ktk kipindi chake cha mpaka mitano iliyipita lakini waliomkwamisha ni mawaziri wa serikali ya hovyo ya ccm, wote tulisikia waziri wa maji wa wakati huo prof maghembe alivyoenda kwenye viwanja vya mwebeyanga temeke na kuponda harakati za mnyika za kutafuta maji akisema yeye  na serikali yake watamwaga maji dar baada ya mwaka lakini hakuna kilichofanyika hadi walipomaliza Muda wao.
Jambo lingine mnyika hakusanyi kodi, wale wanaokusanya kodi zenu ndio wanaopaswa kujenga barabara zenu mnyika kazi yake ni kiambia serikali matatizo ya eneo lake ili wakusanya kodi wawajibike.
Mimi nakaa jimbo linaloogozwa na mbunge wa ccm tangu uhuru lakini hatuwezi kujilinganisha na jimbo la ubungo hata kwa robo maana sisi hatuna japo kipande cha rami cha kufika kilomita 1 na hatumlaumu mbunge maana yeye hana kampuni ya kujenga barabara.
Acheni kumtwisha mnyika mzigo isiyokuwa yake mtafuteni makame mbalawa  ndo anaepewa kodi zenu awatengenezee barabara.

On Jan 27, 2016 12:32 PM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ni ukweli usemayo Mashaka Makana
Wananchi nao wakihamasika na kutafakari wanaweza wakajiletea maendeleo. La sivyo-kulalama daima na mbunge kulalama na kwenda bungeni na mitabu mzigo, kupiga kelele lakini jimboni hakuna afanyacho shidaaa!

kama CCM haikuleta maendeleo miaka 49 ya Uhuru-Nyumba za NHC za Mburahati next to ubungo kajenga nani? Wakati wa sera ya squatter demolition waliwaondoa watu Buguruni na kuwapimia viwanja medium density Ubungo Makuburi chini ya mkopo wa bank ya dunia. Sasa nenda makuburi uone kulivyo squatters na barabara finyu gari hazipishani, wameziba mapito. Kuna mradi wa maji na wana Jumuia ya watumia maji ni maji ya borehole miradi ya serikali. Angalia upande wa pili wa ubungo kisiwani maeneo ya mto ubungo hatarishi wamejenga mpaka mtoni na mnyika alikuwepo. Nyumba kumi kwa mwaka hubomoka kwa kuliwa na mto wanakochimba mchanga. kona kona kibao kwenda tabata na kupandisha juu Makoka etc huko kuna kambi ya  JWTZ pia. Watu wanavamia mpaka maeneo ya kiwanda cha maziwa na urafiki na mabwawa ya maji machafu ya urafiki ambayo yapo mabibo (Mabibo waste stabilization pond). Wamejenga bwawani na kutwa wanakula na kunywa hapo kinyesini na maji ya kemikali. Ni Bwawa la GVT lililopimwa na kuna beacons lakini mbunge au wabunge wanaona wakisha kupata kura hakuna working with communities wapo kusoma vitabu vya serikali, kubeba mizigo ya vitabu vya sheria, kukariri aya ili kwenda kuzoza bungeni. Jiomboni-No action.

Vipi barabara inayotoka Pugu Road kuja Ubungo Mataa hadi Mwenge, Ubungo Mataa-Kimara na kituo cha basi huko Mbezi pamoja na Rapid Bus Transport. Hivi kweli seerikali miaka 49 haijafanya kitu Ubungo? Jengo la Mawasiliano na kituo cha bus cha mawasiliano vilikuwapo kabla ya Uhuru na mwaka 1980?. University of Dar imeongeza majengo na mjengo wa Tanesco na Ofisi za maji, Umeme wa Gas na vituo vyake hayo sio maendeleo? Majengo ya NHC Ubungo wameuziwa wakazi na kumejengwa wigo na kuna soko hapo vilikuwepo. Wananchi waliokuwa wakikaa nyumba ndogo za NHC nyumba ya NBC kituo cha mabasi ya mikoani kinachoboreshwa hadi Mataa Sinza Road pana nyumba za NHC hadi shule ya Perfect Vision kabla hujafika Sinza (Surveyed area). Hizo nyumba wameuziwa hao waliokuwa wakipanga. Nao wameuza kumejengwa garages, Bars, Majumba ya Sherehe, kumebananishwa balaa mpaka mto Sinsa una majengo mtoni. Feeder roads zilizopimwa mbananisho wa majengo. Wamepewa kwa bei ya chini nyumba za NHC za makazi-wameuza kwa mamilioni. bado mtu unasema-Serikali haijafanya kitu. Ukipinga Ubungo Tanesco kwenga Mbezi-Kimara angalia pande zote 2 unatoa kuna alama ya X. Hiyo ni ya 1994 wakati wanafanya upanuzi na ujenzi wa barabara ya Ubungo Mataa na Kimara Temboni na sasa wamepanua tena barabara lakini nyumba hawajabomoa toka fidia ya 1994. Walianza kusema wanaonewa kubomolewa lakini wamepangisha au wamewauzia wenzao kanyaboya ila wengi hawajabomoa pamoja na valuation na compensation. Likienga tinga tinga watatoka na mawe, mikuki na mbunge wao na wanasheria wake!

Ukienda Kimara-Bonyokwa angalia watu walivyojenga mitoni, nyumba mbanano vilimani njia utata. zamani Msewe, Mbezi Kimara wachaga walihamia na kuweka mashamba ya ndizi na machungwa. Sasa wamehamia maeneo poa na kuweka business wana maduka mwenge, garade etc. Waliokuwa Changanyikeni na Msewe (wazawa) wameuza maeneo kwa mihela. Ni tatizo DSM kote  mpaka Makongo na maeneo ya Jimbo la Kawe kwa Mdee-wanauza na kuhamia machimbo ya mawe na kokoto. Kisha-wanaonewa kama hao wa Mkwajuni Kinondoni. Wameboreshewa na UNDP, ILO Cowi na UCLAS-wameuza na kushuka bondeni. Wamepelekwa Mabwepande na kupewa hati-wameuza na kurudi kinyesini. Sasa Mabwepande uzunguni, shule, barabara za lami, zahanati wao wapo mjini bondeni kwenye mbu wa malaria, matende na ngirimaji na sasa  Zika Virus anakuja na anataka uchafu kama huo huko wanakoishi.

Maendeleo shirikishi ni muhimu na Tanzania ina VITINI au Manuals za kufundishia kibao. Hakuna Sekta TZ isio na vitini vya mafunzo. Tuna sera na sheria, mikakati miongozo mizuri kuliko nchi jirani za wenzetu E.A. Tatizo letu sisi ni utekelezaji. Mashirika ya Hiari (NGOs) zimejitahidi kutafsiri Sera mfano ya Ardhi na Sheria yake na hata kutoa mafunzo Mikoani na kuunda kamati za ardhi na kuzijenga uwezo. Lakini ndio huko wanakopigana na kugombea ardhi. Ukishikwa-Shikamana usibwetege kusubiri kubebwa tu na hubebeki! Kwani nani anakuelekeza uuze ardhi Kariakoo upate millioni 300 uende ujenge yanga au kigogo bondeni badala ya kwenda Mkuranga? nani anakufundisha ulewe, umalize hela kwa mapambo na vivalo kisha ulalamike kuwa serikali inakuonea ulibomolewa bondeni? Maji yakijaa unapanda juu ya paa unataka uokolewe. Leo unafungua kesi mahakamani-baki hapo hujitambui wala kujithamini. Kwani-maeneo yote yaliyopimwa mijini yapo kama makorokoro vurugu tupu unaona maendeleo hakuna uchafu tu. Kuambiana ukweli na kutekeleza sheria-utaviziwa uuawe ukomolewe. Ndio maana hata viongozi wa serikali ya Mitaa wanaangalia maovu na uvamizi. Mbunge atoke aongee na watu wake yeye na Diwani na kuwa mstari wa mbele kuwafikisha wahalifu/waovu/waharibifu wa miundombini na wa mazingira Mahakamani. Atakubali? Nani sasa amfunge paka kengele? Pia akitumia wataalamu wa chama chake anaweza kuandika proposals na akapata donors wa kuhisani miradi ya jimbo lake kama anavyohisaniwa chama chake ktk shughuli zao za kisiasa. Je anakubali kufanya hivyo? Sio wote. Lakini kuomba hela na kuchangishana Mbunge wao anapofungua kesi, kutolewa kikaoni na vikao vya kujadili uchaguzi (Uliopita) mihela itapatikana tu. Waache Yonda wazike Yonda wenzao. Tunapenda lawana tu ndio Tija.

Kama Kawa

--------------------------------------------
On Wed, 27/1/16, 'Mashaka Makana' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Wednesday, 27 January, 2016, 6:32

 Hiyo ndiyo siasa, maendeleo
 yataletwa na wananchi wenyewe kwa kutambua haki zetu na
 wajibu wetu. Tekeleza wajibu wako na udai haki zako kwa
 nguvu zote! Kwa vile mnyika ana meya,madiwani na watendaji
 asitafute visingizio ahamasishwe wananchi na uongozi mzima
 wa halmashauri yake kuondoa kero moja baada ya moja

 From: Emmanuel
 Muganda <emuganda@gmail.com>
  To:
 "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>
  Sent: Wednesday,
 January 27, 2016 2:06 AM
  Subject: Re:
 [wanabidii] Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote
 lakini barabara hazipitiki

 Nimemnukuu Isack. But it has a nice ring to item
 2016-01-26 16:34 GMT-05:00
 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
 Nyoo ni nini?
 On Jan 26, 2016 14:53,
 "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
 wrote:
 Isack,Asante kuliona hilo. Nyooo kweli
 kweli.em
 2016-01-26 15:25
 GMT-05:00 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>:
 Mnyika amekaa jimbo la ubungo miaka 5 tu ndo
 Kwanzaa anaanza mwaka  WA 6 mnalalamika hivyo
 inaonekana nyie ni watu WA ccm si bure?!! Lakini ccm
 mmelitawala jimbo la ubungo kwa miaka 49 hizo barabara
 hamkuziona?

 Pill,  mimi jimbo langu tangu uhuru linatawaliwa na ccm
 mpaka leo hii na sisi kwetu ni mahandaki tu na tuko kimya
 acheni majungu mnyika anajitahidi sana mnategemea masaburi
 angekuwa amewaletea lami!! Nyoooo!!
 On Jan 26, 2016 1:19
 PM, "fadhil fadhil" <fadhil.fadhil96@gmail.com>
 wrote:
 ukisubiri sana mwisho utakula vilivyooza,
 ubungo makoka kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 mbunge wao
 alikuwa Mnyika tena madiwani walikuwa kutoka chadema
 alivyopata kura hakuonekana tena mpaka alipokimbia na
 kumuachia kubenea.

 chezea mnyika wewe mwenyewe alimeshajua kuwa huu ndio
 muhula wake wa mwisho hatakuwa na la kuwaongopea tena wana
 mbezi na kibamba kwakuwa atakuwa amekaa mihula miwili

 2016-01-26 12:57
 GMT+03:00 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>:
 Hata mimi nawashangaa sana ni bora tukavuta subira
 badala ya kulalamika humu au wafanye mawasiliano na mbunge
 kwa njia iliosahihi kama vile kutuma wawakilishi kuonana na
 madiwani na mbunge kutoa mawazo ya badala ya kuishia
 kuandika humu pengine mbunge hataona kilichoandikwa

 Maendeleo ni jambo shirikishi shirikianeni na mbunge wenu
 kuweka nguvu ya pamoja kujiletea Maendeleo sio kulalamika
 bila kuweka malengo.
 On Jan 26, 2016 11:32
 AM, "Erick Maro" <rikmaro@gmail.com>
 wrote:
 Kuweni wavumilivu kwani Baraza la madiwani
 limeshakutana na kupanga bajeti za maendeleo?? Halafu nyie
 mkaachwa nyuma??
 On Jan 26, 2016 10:50
 AM, "'mohamed mnzava' via Wanabidii"
 <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Tatizo la huyu mbunge
 ni kuwa hana NIA thabiti ya kutatua masuala ya Kimsingi kt
 jimbo lake, . . . . .  hata Upande huu wa Mbezi kwa
 Musuguri hali ni sawa na hiyo ya upande wa huko  . . .
 . . barabara Mbovu, Maji ya kununua kwa wafanya
 biashara binafsi nk. . . . . .  Kama kawaida yake,
 tutamuona tena baada ya miaka minne atakapo kumbuka kuwa
 kuna uchaguzi unakuja na tiketi ya kurudi bungeni ipo huku,
 . . . mimi sikumpatia Kura yangu ila ni vyema
 aelewe kuwa anawajibika kwa kupokea mshahara toka kwa jasho
 la wananchi wote

     On Tuesday, January
 26, 2016 9:55 AM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

 Mim ni mkazi wa Mbezi Makabe. naandika haya kwa
 uchungu sana jinsi
 barabara yetu ilivyo mbovu na hakuna mtu hata mmoja
 anaiangalia.
 Barabara ya kwenda Mbezi Makabe imekuwa mbovu mbovu.
 Haipitiki kabisa.
 Hii barabara inayoanzia Kituo cha zamani cha daladala Mbezi
 Mwisho
 kwenda Makabe-Msakuzi.wananchi wanataabika. Wanakaaa zaidi
 ya masaa 3
 barabaran kusubiri daladala. Daladala zimekimbia kutokana na
 ubovu wa
 barabara. Magari ya watu binafsi nayo yanapata shida sana.
 Maji
 tunayonunua kwenye malori nayo yamepanda bei. Tunauziwa lita
 1000 sh. 15
  hadi elfu 20.
 Mbunge tuliempa kura nyingi na madiwani wote hatuwaoni
 jimboni

 Mh. Mnyika wananchi walikuchagua wanapata shida.

 Tunakuomba angalau lipitishwe greda tuu. Wananchi wapo
 tayari kuchangia.

 Hali ya barabara ni Mbaya ni Mbaya ni Mbaya.

 Huduma za kijamii zimepanda. wananchi wamekata tamaaa.

 Tafadhali Mh Mnyika. Hii la barabara na Maji Makabe ni
 jipu.
  Rudi jimboni saidia wananchi
 jf

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment