Friday, 1 January 2016

[Wanabidii Place] New comment on [wanabidii] Re: Kidney for sale...Att.UhuRuto.

Fredric Uma has left a new comment on your post "[wanabidii] Re: Kidney for sale...Att.UhuRuto":

Dear Sir /Madam,

Hello ,Do you want to buy or sell your kidney for money, Apollo hospital is urgently in need for O+ve and A+ve kidney donors with any passports require. If any one is willing to donate or buy please contact us through my email id_ umafredric@gmail.com

Phone Number: +917401774607
Dr.N.Uma

Posted by Fredric Uma to Wanabidii Place at 1 January 2016 at 22:05
Read More :- "[Wanabidii Place] New comment on [wanabidii] Re: Kidney for sale...Att.UhuRuto."

Dr. Theodore S. Thomas MD. has left a new comment on your post "[wanabidii] Re: Kidney for sale...Att.UhuRuto":

The Catholic Charities Humanitarian Programme urgently requests kind body organ donors of Kidney, Liver e.t.c for the disadvantaged needy to save lives and get a valuable returns of 75.50 Lakhs Rupees.

Contact:
Dr. Theodore S. Thomas MD.
Tel: +917795481526.
Email: theodorethomas69@doctor.com
theodorethomas69@gmail.com
http://www.catholiccharitiestrenton.org

Posted by Dr. Theodore S. Thomas MD. to Wanabidii Place at 1 January 2016 at 20:57
Read More :- "[Wanabidii Place] New comment on [wanabidii] Re: Kidney for sale...Att.UhuRuto."

[wanabidii] Habari 3 Kubwa Za Leo Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Mjengwablog.com

1. Kiapo kwa Makatibu Wakuu

Hii ni habari kubwa kwa siku ya leo ambayo mtandao wa mjengwablog.cominaipa nafasi ya kwanza.

Unaposema Makatibu Wakuu ina maana ndio Serikali yenyewe. Hawa ni watendaji wa shughuli za kila siku za Serikali. Hata Baraza la Mawaziri lisiwepo kwa nusu mwaka, bado nchi inaweza kwenda kwa uwepo wa Rais na Makatibu Wakuu.

Tunapozungumzia uadilifu wa viongozi, basi, Makatibu Wakuu na Manaibu wao wanapaswa kuwa kielelezo cha kutolea mfano kwa viongozi wengine, maana, ni Katibu Mkuu anayeratibu na kusimamia kinachotoka Hazina Kuu kwa utekelezaji wa mipango ya Wizara husika. Huyu hapaswi hata kidogo kuchezea shilingi ya Serikali. Na yeye akiwa mfano, watendaji walio chini yake watajipanga tu, kuhakikisha kila shilingi ya Serikali inatumika vema kwa kusaidia kusukuma maendeleo ya nchi na wananchi kwa ujumla.

Bahati njema, mara nyingi Makatibu Wakuu na Manaibu wao wengi wao wamekuwa na uzalendo mkubwa kwa nchi lakini wamekuwa wakikwazwa sana na wanasiasa kuingilia utendaji wa kazi zao, ama, kwa wanasiasa hao kutanguliza maslahi yao binafsi ya kisiasa ikiwamo hata kushinikiza kinachotoka Hazina Kuu kigawiwe kwenye majimbo yao kwa upendeleo na kusahau kuwa Tanzania ni zaidi ya majimbo yao. au kutanguliza maslahi ya kichama.

Inahusu maadili ya uongozi, John Magufuli ameanza na utaratibu mzuri katika hili la kuwalisha viapo watendaji wake wakuu Serikalini. Lakini, katika kuwasaidia zaidi watendaji hao, angeweza kwenda mbali zaidi kwa kuwalisha kiapo cha namna hiyo Mawaziri wake na manaibu wao. Iwe hivyo kwa Ma- RC na Ma -DC wake. Na mihimili mingine kama vile Bunge na Mahakama ifuate kwa kuiga hiki cha Magufuli.

Maana, tumeshuhudia baadhi ya viongozi wetu kuanzia Bungeni hadi Serikalini, wamekuwa ' Criminally rich'- Ni wenye utajiri wa kihalifu na wa wazi wazi. Haiwezekani Mbunge au waziri akae Bungeni kwa mihula miwili, na kwa mshahara wa Mbunge au waziri , na posho zake aweze kwa kipindi cha miaka kumi kuwa na utajiri wa kushangaza ikiwamo kujenga mahekalu ya kustajaabisha jamii. Ni kwa kipato gani kama si cha uhalifu kwa maana ya mtu kama huyu atakuwa ni mla rushwa mkubwa kupitia nafasi yake ya kiuongozi. These are criminals- Hawa ni wahalifu. Hivyo utajiri wao wa haraka ni wa kiuhalifu. Hakuna namna nyingine ya kuwaelezea.

Na Katika nchi ni vema kukatafutwa njia mbadala na za nyongeza za kupima, kufuatilia utendaji kazi na mienendo ya kimaadili ya viongozi na watendaji wake; iwe ndani ya baraza la mawaziri, mikoani na hata wilayani. Na kama kuna watu wenye kuwajua vema viongozi na watendaji wao, basi ni wananchi wanaowatumikia. Wananchi wanafahamu mienendo ya viongozi wao ndani na nje ya ofisi zao.

Hakika, ukiwapa fursa kufikisha maoni yao kwa njia za siri , basi, wananchi wana uwezo wa kuwachambua watumishi wao kwa maana ya viongozi, kwa mazuri na mabaya. Watakwambia ni viongozi gani wanaowajibika kwao, wachapakazi na wenye kufuatilia maagizo waliyoyatoa. Watakwambia pia ni viongozi gani ambao hawastahili hata kupewa cheo cha utendaji wa kijiji.

Ni imani yetu, kwa ari hii aliyoionyesha, John Magufuli katika ufuatiliaji wa watendaji wake, basi, anaweza kubuni njia ya kupata maoni ya moja kwa moja ya wananchi juu ya mienendo ya viongozi na watumishi wao katika ngazi zote. Na kama tungekuwa na utaratibu wa wazi wa wananchi kutoa maoni yao, nahofia, kuna baadhi ya viongozi na watendaji, ama wangewasilisha barua za kujiuzulu au kukataa uteuzi ili wapate muda zaidi wa kutekeleza azma zao binafsi kama vile biashara au kilimo kwa vile wangeelewa ugumu wa kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja na kwa kipato halali cha serikali.

2. Mlinzi wa Lowassa atimuliwa

Hii ni habari inayochukua nafasi ya pili kwa ukubwa kwa mujibu wa mtandao wa mjengwablog.com. Ni habari yenye kuhusiana na masuala ya kiusalama. Edward Lowassa amepata kuwa Waziri Mkuu na akahama chama kugombea urais kupitia upinzani. Imeandikwa gazetini leo, kuwa alitaka kuendelea kuwa mlinzi wa Lowassa, lakini, kuna vitu alishindwa kuvitekeleza kwa ufasaha, kitendo cha kuondolewa kimepelekea apeleke taarifa gazetini na ni kinyume na taratibu za kiusalama.

3. Kardinali Pengo alazwa Muhimbili

Mwadhama Kardinali Pengo ni kiongozi wa kanisa Katoliki lenye wafuasi wengi. Habari za kuugua kwake na kulazwa hospitalini zimevuta hisia za wengi hata wasio Wakatoliki. Si ajabu, kiongozi mkuu wa nchi kumtembelea kumjulia hali. Kama akiendelea kubaki hospitalini, yumkini viongozi wengine wa kitaifa ikiwamo wa madhehemu mengine watakuwa njiani kwenda kumjulia hali. Ni habari inayopewa nafasi ya tatu kwa uzito na mtandao wamjengwablog.com kwa siku ya leo.

Usikose kusoma habari kubwa ya michezo kwa siku ya leo, na katuni bora kwa siku ya leo. Ni kwenye http://mjengwablog.com

Maggid Mjengwa
Mchambuzi / mjengwablog/kwanzajamii
0754 678 252

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Read More :- "[wanabidii] Habari 3 Kubwa Za Leo Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Mjengwablog.com"

[wanabidii] HOYCE TEMU AFUNGA MWAKA KWA KUTEMBELEA KITUO CHA WAZEE, LUNDENGA AMTAJA KAMA MISS BORA KUWAHI KUTOKEA

Habari za asubuhi,

Tafadhali pokea CODES hapa chini.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (wa pili kushoto) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati) kushoto Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye ( wa pili kulia), Katibu wa Kamati ya Miss Tanzania Bosco Majaliwa (kulia) pamoja na mpiga picha wa kipindi cha Mimi na Tanzania, Geofrey Magawa a.k.a KIM (kushoto) wakiwasili Desemba 31, 2015 kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Miss Tanzania wa mwaka 1999, Hoyce Temu amemaliza mwaka 2015 kwa kutembelea kituo Nunge ambacho ni makazi ya wazee na walemavu wasiojiweza kilichopo Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Hoyce ambaye amekuwa akisaidia watu wa aina mbalimbali wenye matatizo ikiwa ni kama moja ya kazi wanazofanya mamiss kwa jamii pia kupitia kipindi chake cha Mimi na Tanzania ambacho kimekuwa kikisaidia watu mbalimbali na katika halfa hiyo aliongozana na watu wake wa karibu ikiwepo kamati ya Miss Tanzania.

Katika halfa hiyo iliyodhaminiwa na Malaika Beach, Hoyce baada ya kuwasili kituoni hapo yeye na timu nzima aliyoongozana nayo walifanya shughuli za kijamii katika kituo hicho ikiwa ni pamoja na kufanya usafi katika makazi ya wazee na walemavu wasiojiweza waliopo kituoni kwa kupulizia dawa za kuulia wadudu katika nyumba zao, kugawa dawa za mbu, maji, juice na biskuti na baadae wakapata chakula cha pamoja na wazee na walemavu wasiojiweza.

Akizungumzia halfa hiyo ya kufunga mwaka, Hoyce Temu alisema kumekuwepo na kusahaulika kwa makundi ya watu wasiojiweza na jinsi muda unavyokwenda wanazidi kusahaulika na jamii inayowazunguka.

Alisema yeye kama Miss Tanzania ana wajibu wa kujitoa kuwasaidia watu wa aina hiyo na amekuwa akifanya maeneo mengi kwa kujumuika nao kwa kuwapa msaada na kuwafariji kwani nao wana thamani kama binadamu wengine.

"Kadri inavyokwenda kumalizika karne ya 21 kunazidi kuongezeka kwa makundi ya wasiojiweza na mimi kama Miss Tanzania nimeamua kujitoa kwa kusaidia makundi haya kwani ni wajibu wetu na tukumbuke na sisi tunaelekea huko," alisema Hoyce.

Aidha Hoyce alitoa ushauri kwa mamiss wenzake kuwa wanatakiwa kuisaidia jamii kwa kutumia fursa walizonazo mbele ya jamii kwa kutoa misaada kwa makundi ya aina mbalimbali.

Alisema kazi ya kusaidia jamii siyo ya serikali pekee na wao kama mamiss na watu wenye uwezo kwa ujumla wana wajibu wa kusaidia na sio kutazama mijini pekee kutokana na kundi kubwa la wasiojiweza kuwa vijijini.

"Sio swala la serikali pekee ... ukichaguliwa kuwa mrembo unakuwa na malengo ambayo umeyaweka hivyo watumie umaarufu, sura zao na sauti kufikia watu wa aina mbalimbali ambao wanahitaji msaada, " Na sio wazee pekee, 65% ya nchi yetu ni vijana na 20% wanajihusisha na kutumia madawa ya aina mbalimbali hivyo wanaweza kuwatembelea na kutoa elimu juu ya athari za utumiaji wa madawa hayo," alisema Hoyce.

Mdau Matukio Chuma na Dada yake Hoyce Temu, Bi. Edith wakifurahi jambo wakati walipowasili kwenye kituo cha Nunge.

Nae Mkurugenzi wa Lino International Agency, ambayo ndiyo waandaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashimu Lundenga alimtaja Hoyce kama Miss bora kuwahi kutokea tangu walipoanzisha shindano la Miss Tanzania mwaka 1994.

Alisema mamiss wengi wamekuwa wakiisaidia jamii lakini Hoyce amekuwa akijitoa zaidi kuliko wengine na kufanya shindano hilo kuonekana kuwa na faida mbele ya jamii.

"Naomba niseme ukweli Hoyce anatakiwa kuwa mfano wa kuigwa haijawahi kutokea miss aliyejitoa kusaidia jamii kama yeye na wapo wengine wanasaidia ila Hoyce amekuwa mstari wa mbele kwa hilo tunampongeza na tunamwomba azidi kuwa hivyo," alisema Lundenga.

Kwa upande wa Afisa Mfawidhi wa kituo cha Nunge, Ojuku Mgedzi amemshukuru Hoyce kwa upendo amekuwa nao kwa kituo hicho ambacho awali aliwahi kukitembelea 2006 akiwa na marehemu Amina Chifupa na kumtaka kuzidi kuwa na moyo huo kwa jamii inayomzunguka.

Mgedzi pia alizungumzia changamoto zinazowakabili kuwa ni pamoja na kutokuwepo kwa uzio hivyo kutokuwa na hali ya usalama, kuvamiwa kwa eneo hilo na wananchi ambalo lina hekali 50.8 na tayari asilimia 50 imevamiwa na tayari taarifa ipo wizarani na wanashughulikia na zingine ndogo ndogo Hoyce akiahidi kuwasaidia.

Nae mmoja wa washiriki aliyeongozana na Hoyce, Tausi Mwenda alisema kuwa amejifunza mambo mengi kupitia halfa hiyo aliyoifanya Hoyce na kuwashauri watu wa aina mbalimbali kuwa na moyo wa kujitoa kusaidia jamii kama anavyofanya Hoyce.

Baadhi ya wadau waliombatana na Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (hayupo pichani) akiwemo Bi. Tausi Mwenda Mke wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Yusuph Mwenda, (katikati) wakifurahi jambo walipowasili kwenye kituo cha Nunge, makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akimkumbatia rafiki yake wa siku nyingi mmoja wa wazee wenye ulemavu uliotokana na ugonjwa wa ukoma, Mganga Shija (66), wakati alipotembelea makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akiendelea kufurahi na  rafiki yake wa siku nyingi mmoja wa wazee wenye ulemavu uliotokana na ugonjwa wa ukoma, Mganga Shija (66), wakati alipotembelea makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akitazama jicho la upande wa kulia linalomsumbua mzee Mganga Shija (66), ambaye aliomba kusaidiwa matibabu CCBRT wakati alipotembelea makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Afisa Mfawidhi wa kituo cha Nunge, Ojuku Mgedzi (kushoto) akitoa taarifa fupi ya maendeleo ya kituo hicho kwa Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu aliyeambatana na Kamati ya Miss Tanzania kwenye ziara hiyo.

Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga akizungumza jambo na Afisa Mfawidhi wa kituo cha Nunge, Ojuku Mgedzi.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akiserebuka na mmoja wa wazee wanaoishi kwenye makazi ya Nunge kituoni hapo.

Bi. Edith (kulia) ambaye ni Dada wa Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu  akiteta jambo Bi. Tausi Mwenda mke wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Yusuph Mwenda kabla ya kuelekea kwenye zoezi la upigaji wa dawa.

Baadhi ya nyumbani za makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (katikati) akiwa na Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kulia) na Tausi Mwenda (kushoto) wakichanganya dawa ya kuulia wadudu tayari kwa kupulizwa katika nyumba kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akisaidia kupuliza dawa ya kuuwa wadudu katika moja ya nyumba kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akizungumza na mmoja wa wazee (jina lake halikupatikana) kabla ya kumpigia dawa ya kuua wadudu nyumbani kwake wakati alipotembelea makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Dada yake Hoyce Temu, Bi. Edith akishiriki kuondoa vyakula vyombo ili kuruhusu zoezi la upigaji wa dawa ya kuulia wadudu kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akigawa chakula kwa watoto katika makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza iliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.Kwa matukio zaidi bofya hapa

KAWAIDA

IMG_9916

IMG_9920

IMG_9931

happy-new-year-2016-6

Baadhi ya wadau waliombatana na Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (hayupo pichani) akiwemo Bi. Tausi Mwenda Mke wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Yusuph Mwenda, (katikati) wakifurahi jambo walipowasili kwenye kituo cha Nunge, makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akisalimiana na mmoja wa wazee wenye ulemavu uliotokana na ugonjwa wa ukoma, Mganga Shija (66), wakati alipotembelea makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam juzi (Alhamisi) ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akimkumbatia rafiki yake wa siku nyingi mmoja wa wazee wenye ulemavu uliotokana na ugonjwa wa ukoma, Mganga Shija (66), wakati alipotembelea makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

IMG_9942

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akiendelea kufurahi na  rafiki yake wa siku nyingi mmoja wa wazee wenye ulemavu uliotokana na ugonjwa wa ukoma, Mganga Shija (66), wakati alipotembelea makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

IMG_9946

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akitazama jicho la upande wa kulia linalomsumbua mzee Mganga Shija (66), ambaye aliomba kusaidiwa matibabu CCBRT wakati alipotembelea makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

IMG_9967

Afisa Mfawidhi wa kituo cha Nunge, Ojuku Mgedzi (kushoto) akitoa taarifa fupi ya maendeleo ya kituo hicho kwa Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu aliyeambatana na Kamati ya Miss Tanzania kwenye ziara hiyo.

IMG_9974

Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga akizungumza jambo na Afisa Mfawidhi wa kituo cha Nunge, Ojuku Mgedzi.

IMG_0017

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akiserebuka na mmoja wa wazee wanaoishi kwenye makazi ya Nunge kituoni hapo.

IMG_0119

Bi. Edith (kulia) ambaye ni Dada wa Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu  akiteta jambo Bi. Tausi Mwenda mke wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni, Yusuph Mwenda kabla ya kuelekea kwenye zoezi la upigaji wa dawa.

IMG_0135

Baadhi ya nyumbani za makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (katikati) akiwa na Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kulia) na Tausi Mwenda (kushoto) wakichanganya dawa ya kuulia wadudu tayari kwa kupulizwa katika nyumba kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Alhamisi ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (katikati) akiwa na Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kulia) na Tausi Mwenda (kushoto) wakichanganya dawa ya kuulia wadudu tayari kwa kupulizwa katika nyumba kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (katikati) akiwa na Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kulia) na Tausi Mwenda (kushoto) wakichanganya dawa ya kuulia wadudu tayari kwa kupulizwa katika nyumba kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Alhamisi ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akisaidia kupuliza dawa ya kuuwa wadudu katika moja ya nyumba kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Alhamisi ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akisaidia kupuliza dawa ya kuuwa wadudu katika moja ya nyumba kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akisaidia kupuliza dawa ya kuuwa wadudu katika moja ya nyumba kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Alhamisi ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akisaidia kupuliza dawa ya kuuwa wadudu katika moja ya nyumba kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Alhamisi ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

IMG_0144

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akizungumza na mmoja wa wazee (jina lake halikupatikana) kabla ya kumpigia dawa ya kuua wadudu nyumbani kwake wakati alipotembelea makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

IMG_0174

Dada yake Hoyce Temu, Bi. Edith akishiriki kuondoa vyakula vyombo ili kuruhusu zoezi la upigaji wa dawa ya kuulia wadudu kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akigawa chakula kwa watoto katika makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza iliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam Alhamisi ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akigawa chakula kwa watoto katika makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza iliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam, Desemba 31, 2015 ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.Kwa matukio zaidi bofya hapa

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
+255714940992.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Read More :- "[wanabidii] HOYCE TEMU AFUNGA MWAKA KWA KUTEMBELEA KITUO CHA WAZEE, LUNDENGA AMTAJA KAMA MISS BORA KUWAHI KUTOKEA"

[wanabidii] Mtandao Wa Mjengwablog.com Ni Wa Kwanza Kila Asubuhi Kukuletea Habari Za Magazetini Na Uchambuzi Wa Habari Kuu... Tembelea..

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Read More :- "[wanabidii] Mtandao Wa Mjengwablog.com Ni Wa Kwanza Kila Asubuhi Kukuletea Habari Za Magazetini Na Uchambuzi Wa Habari Kuu... Tembelea.."