Sunday, 31 January 2016

Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto

Anaweza kuwa anaupotza au haupotezi. nadhani yeye kakumbuka uteuzi wa Ban kwenye nafasi aliyopo. alipewa na Tanzania kwa sababu ya kura yake wakati huo. naye alishukuru kwa kumteua mtaqnzania lakini akashindwa kazi fulani. Sasa anakamilisha shukrani yake. Ninadhani alimaanisha hilo hivyo hakukosea. Simsemei lakini
--------------------------------------------
On Sun, 1/31/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto
To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, January 31, 2016, 9:23 PM

Huu
utamaduni wetu wa kuangalia kila kitu tofauti utatufikisha
pabaya. Sizani uteuzi wake unaathiri sana maisha yangu hivyo
na huyu anaepamba huu uteuzi namuona anapoteza muda tuu na
nafasi

On Jan 31, 2016 12:18,
"'Mashaka Makana' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
swali lako halina
uhusiano na uteuzi wa mh. Kikwete. Soma hiyo taarifa ya
uteuzi wake kwa mtazamo chanya. Kateuliwa uenyekiti na kazi
siyo lazima awe tabibu au mtaalamu wa afya.

Sent
from Yahoo Mail on Android From:"'Lutgard
Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Sun, Jan 31, 2016 at 20:50
Subject:Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon
amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri,
kuhusu Afya ya Mama na Mtoto

Ban
Ki-Moon na Kikwete; "waswahili wa
Pemba....." LKK
                                       
On Sunday, January
31, 2016 8:35 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

Hivi Kikwete ana
utaalamu gani katika masuala ya afya za akina mama na
watoto? Nauliza tu kwa nia njema.em
2016-01-31 12:24 GMT-05:00 Hosea Ndaki
<hosea.ndaki@gmail.com>:
Hongera sana JK kwa uteuzi huu
uliotukuka
On Jan 25, 2016 1:47 PM, "fadhil fadhil"
<fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imepokea kwa furaha uteuzi
uliofanywa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Ban
Ki-Moon wa
kumteua Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu
wa awamu ya
nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mmoja wa
wenyeviti wa jopo
la ushauri la ngazi ya juu kuhusu Afya ya Mama na Mtoto
(Every Woman,
Every Child) Duniani.

Kwa niaba ya Serikali, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee
na Watoto na kwa niaba yangu binafsi napenda kuchukua fursa
hii
kumpongeza kwa dhati Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
kwa uteuzi
huu.

Wakati wa uongozi wa Serikali yake ya awamu ya nne, Mhe. Dkt
Jakaya
Kikwete amekuwa mstari wa mbele kitaifa na kimataifa katika
kusimamia na
kutetea huduma bora za afya ya mama na mtoto.

Mwaka 2005, mara baada ya kuingia madarakani Mhe. Dkt Jakaya
Kikwete
aliagiza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuandaa Mpango wa
Maendeleo
wa Afya ya Msingi (MMAM) akiwa na nia ya kusogeza huduma za
afya karibu
na wananchi, hususan huduma ya afya ya uzazi na mtoto.
Kutokana na
jitihada zake hizo, vituo vya kutolea huduma za afya vya
umma
viliongezeka kutoka 5,172 mwaka 2005 hadi 7,247 mwaka
2015.

Mwaka 2007, Mhe Dkt. Jakaya Kikwete aliungana na Waziri Mkuu
wa Norway
Mhe. Jens Stoltenberg na viongozi wengine wa kimataifa
kuanzisha Mtandao
wa Viongozi wa Dunia wa kutoa msaada wa kisiasa katika
ngazi ya juu
kabisa na kufanya uragibishaji (advocacy) kwa ajili ya
malengo ya
milenia namba 4 na 5 yanayohusu kupunguza vifo vya watoto na
wanawake
wajawazito. (Network of Global Leaders Advocating for MDG4
and 5).

Mwaka 2008, Mhe Dkt. Jakaya Kikwete alizindua Mpango Mkakati
wa Taifa wa
Kuongeza Kasi ya Kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vya
watoto
wachanga (Road Map to Accelerate Reduction of Maternal
Newborn and Child
Health 2008-2015).

Mwaka 2014 alizindua Mpango Mkakati ulioboreshwa kupunguza
vifo
vitokanavyo na uzazi na vya watoto (Sharpened One Maternal
Newborn and
Child Health Plan 2014-2015).

Sambamba na uzinduzi wa mpango mkakati huo, pia alizindua
kadi maalum ya
kutathmini utekelezaji katika afua za kupunguza vifo
vitokanavyo na
uzazi na vya watoto.

Kadi hii aliikabidhi kwa Wakuu wa Mikoa wote nchini na
kuwaagiza wasimamie kwa karibu na kuwa atafuatilia
utekelezaji wake.

Mwaka 2010, Dkt. Jakaya Kikwete aliungana na Mhe. Ban
Ki-moon wakati
anatangaza nia ya kuwa na mpango mkakati wa kimataifa wa
afya ya
wanawake na watoto "UN Secretary General's Strategy for
Women's and
Children's Health 2010-15".

Baada ya mkakati huu kukamilika Desemba 2010, Mhe. Dkt.
Kikwete
aliteuliwa na Mhe. Ban Ki-Moon kuwa Mwenyekiti Mwenza wa
Tume ya Taarifa
na Uwajibikaji kwa ajili ya Afya ya Wanawake na Watoto
"UN Commission
on Information and Accountability for Women's and
Children's Health".

Kazi hii aliifanya kwa umahiri na weledi mkubwa kwa
kushirikiana na
Mwenyekiti mwenza aliyekuwa Waziri Mkuu wa Canada, Mhe.
Stephen Harper.

Tume hiyo iliwasilisha ripoti yake kwa Katibu Mkuu wa Umoja
wa Mataifa
mwezi Septemba, 2011. Ripoti hii iliwezesha nchi wanachama
wa Umoja wa
Mataifa kuchukuwa jitihada mbalimbali za haraka na za
makusudi za
kuboresha afya ya mama na mtoto katika nchi zao.

Baada ya hapo, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete aliendelea
kuwa mtetezi wa
afya ya akina mama na watoto, chanjo, kudhibiti malaria na
UKIMWI ndani
na nje ya Tanzania.

Katika kipindi cha uongozi wake, nchi yetu imepata mafanikio
makubwa
katika kutimiza malengo ya milenia hususani lengo namba 4
linalolenga
kupunguza vifo vya watoto wenye umri chini ya miaka mitano,
ambapo vifo
vimepungua kutoka 112 kwa kila vizazi hai 1,000 mwaka 2005
hadi 81 kwa
kila vizazi hai 1,000 mwaka 2010.

Aidha, mwaka 2013 ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu vifo vya
watoto
ilionyesha kuwa Tanzania imefikia vifo 54 kwa kila vizazi
hai 1,000 na
hivyo kufikia lengo la Milenia namba 4 hata kabla ya mwaka
2015.

Vifo vya akina mama vitokanavyo na uzazi vimepungua kutoka
578 kwa kila
vizazi hai 100,000 mwaka 2005 hadi 454 kwa kila vizazi hai
100,000 mwaka
2010. Na kutokana na ripoti ya Umoja wa Mataifa ya mwaka
2014 tumefikia
vifo 410 kwa kila vizazi hai 100,000.

Afya ya mama na mtoto ni kipaumbele kwa Serikali ya Awamu ya
Tano
inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
Serikali kupitia
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
itaendeleza
juhudi hizi na kuhakikisha tunapiga hatua kufikia Malengo
Endelevu ya
Kimataifa (Sustainable Development Goals 2030).

Tumedhamiria kuwapa uhakika kina mama wa Tanzania wa
kutopoteza maisha
yao wanapotekeleza haki yao ya msingi ya uzazi.
Tutahakikisha
tunapunguza au kumaliza kabisa tatizo la vifo vya wanawake
wajawazito na
watoto wachanga. Chini ya Kauli Mbiu ya 'Hapa Kazi tu"
ni dhahiri kuwa
hili linawezekana.

Pia, tunaahidi kumpa ushirikiano Mhe. Rais Mstaafu Dkt
Jakaya Kikwete
katika jukumu hilo alilopewa ambalo ni heshima kubwa kwa
Taifa letu.
Tunamtakia kila la kheri katika utekelezaji wa majukumu
yake.

Imetolewa na:

Ummy A. Mwalimu (Mb.)

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto

Dodoma

24 Januari 2016.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Read More :- "Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto"

Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto

Makana uko sahihi, hata boss wa polisi afrika ya kusini sio mwanajeshi, na boss wa nato sio mwanajeshi, hivyo jk sio lazima awe tabibu

On Jan 31, 2016 9:18 PM, "'Mashaka Makana' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
swali lako halina uhusiano na uteuzi wa mh. Kikwete. Soma hiyo taarifa ya uteuzi wake kwa mtazamo chanya. Kateuliwa uenyekiti na kazi siyo lazima awe tabibu au mtaalamu wa afya.

Sent from Yahoo Mail on Android

From:"'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Sun, Jan 31, 2016 at 20:50
Subject:Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto

Ban Ki-Moon na Kikwete; "waswahili wa Pemba....."
 
LKK                                                                            

On Sunday, January 31, 2016 8:35 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Hivi Kikwete ana utaalamu gani katika masuala ya afya za akina mama na watoto? Nauliza tu kwa nia njema.
em

2016-01-31 12:24 GMT-05:00 Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>:
Hongera sana JK kwa uteuzi huu uliotukuka
On Jan 25, 2016 1:47 PM, "fadhil fadhil" <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea kwa furaha uteuzi uliofanywa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Ban Ki-Moon wa kumteua Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mmoja wa wenyeviti wa jopo la ushauri la ngazi ya juu kuhusu Afya ya Mama na Mtoto (Every Woman, Every Child) Duniani.

Kwa niaba ya Serikali, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na kwa niaba yangu binafsi napenda kuchukua fursa hii kumpongeza kwa dhati Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa uteuzi huu.

Wakati wa uongozi wa Serikali yake ya awamu ya nne, Mhe. Dkt Jakaya Kikwete amekuwa mstari wa mbele kitaifa na kimataifa katika kusimamia na kutetea huduma bora za afya ya mama na mtoto.

Mwaka 2005, mara baada ya kuingia madarakani Mhe. Dkt Jakaya Kikwete aliagiza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuandaa Mpango wa Maendeleo wa Afya ya Msingi (MMAM) akiwa na nia ya kusogeza huduma za afya karibu na wananchi, hususan huduma ya afya ya uzazi na mtoto. Kutokana na jitihada zake hizo, vituo vya kutolea huduma za afya vya umma viliongezeka kutoka 5,172 mwaka 2005 hadi 7,247 mwaka 2015.

Mwaka 2007, Mhe Dkt. Jakaya Kikwete aliungana na Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Jens Stoltenberg na viongozi wengine wa kimataifa kuanzisha Mtandao wa Viongozi wa Dunia wa kutoa msaada wa kisiasa katika ngazi ya juu kabisa na kufanya uragibishaji (advocacy) kwa ajili ya malengo ya milenia namba 4 na 5 yanayohusu kupunguza vifo vya watoto na wanawake wajawazito. (Network of Global Leaders Advocating for MDG4 and 5).

Mwaka 2008, Mhe Dkt. Jakaya Kikwete alizindua Mpango Mkakati wa Taifa wa Kuongeza Kasi ya Kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vya watoto wachanga (Road Map to Accelerate Reduction of Maternal Newborn and Child Health 2008-2015).

Mwaka 2014 alizindua Mpango Mkakati ulioboreshwa kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vya watoto (Sharpened One Maternal Newborn and Child Health Plan 2014-2015).

Sambamba na uzinduzi wa mpango mkakati huo, pia alizindua kadi maalum ya kutathmini utekelezaji katika afua za kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vya watoto.

Kadi hii aliikabidhi kwa Wakuu wa Mikoa wote nchini na kuwaagiza wasimamie kwa karibu na kuwa atafuatilia utekelezaji wake.

Mwaka 2010, Dkt. Jakaya Kikwete aliungana na Mhe. Ban Ki-moon wakati anatangaza nia ya kuwa na mpango mkakati wa kimataifa wa afya ya wanawake na watoto "UN Secretary General's Strategy for Women's and Children's Health 2010-15".

Baada ya mkakati huu kukamilika Desemba 2010, Mhe. Dkt. Kikwete aliteuliwa na Mhe. Ban Ki-Moon kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Tume ya Taarifa na Uwajibikaji kwa ajili ya Afya ya Wanawake na Watoto "UN Commission on Information and Accountability for Women's and Children's Health".

Kazi hii aliifanya kwa umahiri na weledi mkubwa kwa kushirikiana na Mwenyekiti mwenza aliyekuwa Waziri Mkuu wa Canada, Mhe. Stephen Harper.

Tume hiyo iliwasilisha ripoti yake kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba, 2011. Ripoti hii iliwezesha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuchukuwa jitihada mbalimbali za haraka na za makusudi za kuboresha afya ya mama na mtoto katika nchi zao.

Baada ya hapo, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete aliendelea kuwa mtetezi wa afya ya akina mama na watoto, chanjo, kudhibiti malaria na UKIMWI ndani na nje ya Tanzania.

Katika kipindi cha uongozi wake, nchi yetu imepata mafanikio makubwa katika kutimiza malengo ya milenia hususani lengo namba 4 linalolenga kupunguza vifo vya watoto wenye umri chini ya miaka mitano, ambapo vifo vimepungua kutoka 112 kwa kila vizazi hai 1,000 mwaka 2005 hadi 81 kwa kila vizazi hai 1,000 mwaka 2010.

Aidha, mwaka 2013 ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu vifo vya watoto ilionyesha kuwa Tanzania imefikia vifo 54 kwa kila vizazi hai 1,000 na hivyo kufikia lengo la Milenia namba 4 hata kabla ya mwaka 2015.

Vifo vya akina mama vitokanavyo na uzazi vimepungua kutoka 578 kwa kila vizazi hai 100,000 mwaka 2005 hadi 454 kwa kila vizazi hai 100,000 mwaka 2010. Na kutokana na ripoti ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2014 tumefikia vifo 410 kwa kila vizazi hai 100,000.

Afya ya mama na mtoto ni kipaumbele kwa Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto itaendeleza juhudi hizi na kuhakikisha tunapiga hatua kufikia Malengo Endelevu ya Kimataifa (Sustainable Development Goals 2030).

Tumedhamiria kuwapa uhakika kina mama wa Tanzania wa kutopoteza maisha yao wanapotekeleza haki yao ya msingi ya uzazi. Tutahakikisha tunapunguza au kumaliza kabisa tatizo la vifo vya wanawake wajawazito na watoto wachanga. Chini ya Kauli Mbiu ya 'Hapa Kazi tu" ni dhahiri kuwa hili linawezekana.

Pia, tunaahidi kumpa ushirikiano Mhe. Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete katika jukumu hilo alilopewa ambalo ni heshima kubwa kwa Taifa letu. Tunamtakia kila la kheri katika utekelezaji wa majukumu yake.

Imetolewa na:
Ummy A. Mwalimu (Mb.)
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Dodoma
24 Januari 2016.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Read More :- "Re: [wanabidii] Ban Ki-Moon amteua Kikwete, kuwa mmoja wa Wenyeviti wa jopo la ushauri, kuhusu Afya ya Mama na Mtoto"

[wanabidii] Mfuko wa Dharura wa UN watoa Dola Milioni 11 kusaidia wakimbizi wa Burundi na jamii ya Tanzania

Habari za asubuhi,

Tafadhali pokea CODES hapa chini

<p style="text-align: center;"><span style="color: #000000;"><strong>Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo ametoa dola za Marekani milioni 100 (US$ 100m, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 220) kutoka katika Mfuko Mkuu wa Kushughulikia Dharura wa Umoja wa Mataifa (CERF) kwa shughuli za misaada katika maeneo tisa yenye dharura duniani na yasiyo na fedha za kutosha. Tanzania—ambayo kihistoria imepokea mamilioni ya wakimbizi kutoka nchi jirani kwa miaka mingi—imetengewa dola za Marekani milioni 11 (Sawa na shilingi za Tanzania bilioni 24) kutoka katika kiasi hicho kwa lengo la kushughulikia mahitaji ya wakimbizi kutoka Burundi.</strong></span></p>
<p style="text-align: center;"><a href="http://modewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/02/liu.png" rel="attachment wp-att-2688"><img class="wp-image-2688 aligncenter" src="http://modewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/02/liu-300x200.png" alt="liu" width="632" height="421" /></a></p>
<p style="text-align: center;"><span style="color: #0000ff;"><em><strong>Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akitoa msaada katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyopo mkoani Kigoma wakati alipofanya ziara mkoani humo</strong></em></span></p>
<p style="text-align: center;"><span style="color: #000000;"><strong>Zaidi ya raia 126,000 wa Burundi wamekimbilia nchini Tanzania tangu mwezi Aprili, 2015, kufuatia machafuko ya kisiasa nchini humo. Huku tayari wakimbizi 64,000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) wakiwa tayari nchini. Tanzania hivi sasa ina zaidi ya wakimbizi 193,000. Kutokana na ukweli kwamba takribani wakimbizi 1,500 wanawasili nchini kila wiki, inabashiriwa kwamba huenda idadi jumla ya wakimbizi ikafikia 230,000 hadi mwisho wa mwaka 2016. Hali hii inasababisha changamoto nyingi hasa katika kutoa msaada na kinga ya kutosha kwa wakimbizi.</strong></span></p>
<p style="text-align: center;"><span style="color: #000000;"><strong>Mchango huu mkubwa kutoka CERF utakuwa muhimu sana katika kutoa misaada ya kiutu kwa wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi za Nyarugusu, Nduta na Mtendeli katika mkoa wa Kigoma, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, na vilevile kwa jamii za wenyeji ambazo zinahitaji kwa haraka huduma bora za maji safi, usafi wa kutosha, matunzo ya afya, chakula na makazi. Sehemu ya fedha hizo pia itatumika kushughulikia mlipuko uliopo wa ugonjwa wa kipindupindu ambao umeathiri mikoa 19 nchini. Fedha za CERF kwa hiyo zitasaidia kuhakikisha kwamba maeneo muhimu zaidi katika dharura yanafanyiwa kazi na kwamba wakimbizi wanapewa kinga na huduma za msingi.</strong></span></p>
<p style="text-align: center;"><a href="http://modewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/02/Picture2.png" rel="attachment wp-att-2689"><img class="wp-image-2689 aligncenter" src="http://modewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/02/Picture2-300x201.png" alt="Picture2" width="629" height="421" /></a></p>
<p style="text-align: center;"><span style="color: #0000ff;"><em><strong>Baadhi ya wakimbizi waliopo katika kambi ya Nyarugusu iliyopo mkoani Kigoma</strong></em></span></p>
<p style="text-align: center;"><span style="color: #000000;"><strong> "Shirika la Kushughulikia Wakimbizi (UNHCR) linakaribisha mchango huu wenye ukarimu mkubwa kutoka CERF ambao unakuja katika kipindi mwafaka kabisa. Utoaji msaada kwa wakimbizi ulikuwa ukikabiliwa na upungufu mkubwa wa fedha katika mwaka 2015, hali iliyoathiri sana uwezo wetu wa juhudi za pamoja katika mwaka 2015. Tuna imani kwamba hii ni ishara ya kwanza kwa upatikanaji wa fedha nyingi zaidi kwa utoaji msaada katika mwaka 2016. Kwa hakika, mchango huu utasaidia kuziba upungufu mkubwa uliojitokeza katika wito wetu wa sasa na hivyo kushughulikia mahitaji makubwa zaidi ya wakimbizi na jamii za wenyeji," alisema Mwakilishi wa UNHCR nchini Tanzania, Bi. Joyce Mends-Cole.</strong></span></p>
<p style="text-align: center;"><span style="color: #000000;"><strong>Kadiri mahitaji ya kiutu yanavyoongezeka, mchango kutoka katika Mfuko Mkuu wa Kushughulikia Dharura wa Umoja wa Mataifa (CERF) umetoa matumaini ya kuendelea kushughulikia dharura ya wakimbizi kutoka Burundi. Tangu mwaka 2006, Nchi 125 Wanachama wa Umoja wa Mataifa na waangalizi, wahisani kutoka sekta binafsi na serikali katika kanda zinazohusika wameendelea kuusaidia Mfuko huo hadi sasa. CERF hadi sasa imetoa jumla ya dola za Marekani bilioni 4.2 (US$ 4.2bn, sawa na shilingi za Tanzania trilioni 9) kwa miradi ya kiutu katika nchi 94. CERF hupokea michango ya hiyari katika mzunguko wa mwaka ili kutoa msaada wa kifedha kwa hatua za kiutu za kuokoa uhai. CERF inapata fedha zake kutoka kwa washirika wengi huku michango mingi zaidi ikitoka: Uingereza, Swideni, Norwei, Uholanzi na Kanada.</strong></span></p>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Read More :- "[wanabidii] Mfuko wa Dharura wa UN watoa Dola Milioni 11 kusaidia wakimbizi wa Burundi na jamii ya Tanzania"

[wanabidii] Mjengwablog.com Imekuchagulia Habari 30 Muhimu Za Kurasa Za Ndani Magazeti Ya Leo Jumatatu...

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Read More :- "[wanabidii] Mjengwablog.com Imekuchagulia Habari 30 Muhimu Za Kurasa Za Ndani Magazeti Ya Leo Jumatatu..."

[wanabidii] Magazeti Leo Jumatatu...

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Read More :- "[wanabidii] Magazeti Leo Jumatatu..."

[wanabidii] Top Headlines: Woman can be 'karta'of a family: Delhi high court

Times of India
Daily Newsletter | Monday, February 01, 2016
fbtwittergoogleplus
TOP HEADLINESMORE »
Woman can be ‘karta’of a family: Delhi high court
The eldest female member of a family can be its “Karta”, the Delhi high court has ruled in a landmark verdict. A unique position carved out by Hindu customs and ancient texts, “Karta” denotes managership of a joint family and is traditionally inherited by men.
Kapus in Andhra set 6 train bogies ablaze
An agitation by the Kapu community for quotas in government jobs and educational institutions in Andhra Pradesh turned violent with the agitators setting fire to two police stations and at least six compartments of a train in East Godavari district on Sunday.
BJP snubs PDP demand for ‘written assurance’ 
Resolution of the stalemate in Jammu & Kashmir did not seem in sight on Sunday with BJP rejecting PDP’s demand for a “written assurance” as the condition for continuing the coalition, which came to an end following the death of Mufti Mohammad Sayeed.
CITIESMORE »
Celebrating Arindam Sen Gupta's life @5pm, in Delhi
Noted journalist and Times of India's Managing Editor Arindam Sen Gupta passed away on January 28 after a battle with cancer. He was 61.
Kudankulam unit starts operation again
Unit 1 of the Kudankulam nuclear power reactor restarted power generation at 7.12am on Saturday, seven months after it was shut down for annual maintenance on June 23, 2015.
Message in a bottle travels from Maldives to Mahabs
A message in a champagne bottle that was tossed into the sea by a Scottish couple on their honeymoon at Maldives eight months ago washed up near the coast of Mamallapuram on Friday.
TECHMORE »
6 things no one tells you about working at Google
Here are some things that you may not have heard about working at the search giant.
Battle of smartwatches: Apple Watch vs Moto 360 (2) and others
Second-generation smartwatches are already here, and while you might have resisted the lure of such technology so far, you might find yourself asking yourself every now and then, "Is it time for one?" Here we tell you about four new smartwatches available here. So go and take your pick ...
Frederique Constant Horological: The classic timepiece
Through the day , the watch's motion tracker counts the steps you've taken and relays this data to your smartphone.
SPORTSMORE »
3rd T20I: Raina holds nerves to seal series whitewash
India held their nerves in the final over as they completed a nail-biting seven-wicket victory against Australia in the third and final T20I to complete a 3-0 series sweep. With this win, India have become the top-ranked T20I team.
Djokovic beats Murray to win 6th Australian Open title
Novak Djokovic crushed Andy Murray 6-1, 7-5, 7-6(3) to match Roy Emerson's record of six Australian Open titles and leave the Briton heartbroken again at Melbourne Park. Djokovic also claimed his 11th Grand Slam title.
Dhoni credits bowlers for turnaround in T20 series
Dhoni credited his bowling arsenal for the 3-0 Twenty20 series whitewash over Australia, saying they delivered the extra 10 per cent that was missing in the preceding ODI series.
BUSINESSMORE »
Hold on, there’s a rate cut coming
Borrowers should wait as RBI chief Raghuram Rajan may cut repo, either now or after Budget.
Spectrum sale: Govt eyes ‘good returns’
Communications minister Ravi Shankar Prasad has said the government will repeat the success of “good returns” from spectrum auctions, which are likely to happen towards the middle of the year.
High debt to GDP ratio causing economic turmoil, say experts
The economic crisis in Eurozone, China and also in the US is attracting the attention of experts. Recently Vidarbha Industries Association (VIA) held a talk on this subject. Dr V Aditya Srinivas the chief operating officer and chief economic from BSE Brokers' Forum said high debt to GDP ratio is a major cause of world economic turmoil. However, he also pointed out that the reforms initiated by the government have not yet reached the ground level.
ENTERTAINMENTMORE »
Trouble in Sohail and Seema Khan's marriage?
For those who came in late, there was also news of trouble in Sohail and Seema Khan’s marriage. Rumours were rife that Sohail and Huma Qureshi were in a relationship.
Other Newsletters from TOI:
Breaking News | Digest | Tech | Entertainment | Movie Reviews | Life & Style
Unsubscribe | To manage your newsletter subscription settings, click here.
Copyright 2016 Bennett Coleman & Co. Ltd. All rights reserved. For reprint rights: Times Syndication Service
Read More :- "[wanabidii] Top Headlines: Woman can be 'karta'of a family: Delhi high court"

[wanabidii] 6 things no one tells you about working at Google

fbtwittergoogle
01 February 2016
 
 6 things no one tells you about working at Google 

6 things no one tells you about working at Google

Here are some things that you may not have heard about working at the search giant. 

 Battle of smartwatches: Apple Watch vs Moto 360 (2) and others 

Battle of smartwatches: Apple Watch vs Moto 360 (2) and others

Second-generation smartwatches are already here, and while you might have resisted the lure of such technology so far, you might find yourself asking yourself every now and then, "Is it time for one?" Here we tell you about four new smartwatches avai... 

 Frederique Constant Horological: The classic timepiece 

Frederique Constant Horological: The classic timepiece

Through the day , the watch's motion tracker counts the steps you've taken and relays this data to your smartphone. 

 Google's SkyBender to deliver 5G internet from solar-powered drones 

Google's SkyBender to deliver 5G internet from solar-powered drones

The SkyBender is technically part of Google's air balloon Wi-Fi project aimed at a similar goal of bringing remote parts of the world online. 

 LeEco to roll out immersive canvas mobile ads on Facebook 

LeEco to roll out immersive canvas mobile ads on Facebook

Days before it starts its first online flash sale of Le1S smartphones in India, Chinese tech giant LeEco said it will advertise its products using Facebook's Immersive Canvas Mobile ads technology. 

What's Hot
 
Battle of smartwatches: Apple Watch vs Moto 360 (2) and others

Second-generation smartwatches are already here, and while you might have resisted the lure of such technology so far, you might find yourself asking yourself every now and then, "Is it time for one?" Here we tell you about four new smartwatches avai...

 Battle of smartwatches: Apple Watch vs Moto 360 (2) and others
 
 BookMyShow, an e-commerce model like no other? 

BookMyShow, an e-commerce model like no other?

The secret sauce of BookMyShow, a virtual monopoly in online movie ticketing, may be a lack of overriding ambitions. 

 Beware think before ‘like’ a photo on social media 

Beware think before ‘like’ a photo on social media

The smartphone is becoming that “third person” in the bedroom and this doesn’t allow for privacy or the development of romance. The most common impact of a break-up turns out to be stalking on social media as the need to stay updated with a former pa... 

 Take a selfie, open a bank account: Sony Joy 

Take a selfie, open a bank account: Sony Joy

The company, started in April 2015, sees Rs 75 crore in monthly transactions, with more than four lakh consumers using the app. Unlike mobile wallets, Chillr is a tool to make mobile banking seamless. 

 Mobile phone production in India reaches 100 million units  

Mobile phone production in India reaches 100 million units 

The penetration of Internet is rising rapidly and increased by 100 million in a year to 400 million, including through mobile phones. 

 Stick PCs will be hot sellers in the future 

Stick PCs will be hot sellers in the future

The PC-on-a-stick might be small, but it's going to make a big impact on the computing world as we move into the next decade. 

IT Industry Jobs
Senior Software Engineer , Sr Software Engineer (1 - 3 yrs.)
iAdept Marketing (Delhi)
hiring php developer fresher (0 - 1 yrs.)
Virtual Enterprise (Ahmedabad)
fresher (0 - 2 yrs.)
Horizon Infotek (Pune)
SEO / Online Advertising Executive / Manager (1 - 4 yrs.)
Arione Technologies (Delhi)
ASP / .net Developer (1 - 4 yrs.)
Oxient Technologies (Delhi)
testing (0 - 1 yrs.)
Xpident Technologies (Delhi/NCR, Noida/Greater Noida)
Unsubscribe | To manage your newsletter subscription settings. Click Here.
Other Newsletters from TOI :
Breaking News | Digest | Top Headlines | Entertainment | Movie Reviews | Life & Style
Read More :- "[wanabidii] 6 things no one tells you about working at Google"