Tuesday, 1 September 2015

Re: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] WANANCHI WAFANYE NINI WASHINDE UCHAGUZI 2O15

Mimi ninaomba, atakayekuwa Rais-awanyang'anye mashamba waliyojigawia yaliyokuwa ya mamlaka mbali mbali ya serikali, viwanda walivyojipa na kuwakata kodi yote kulingana na grace period katika mkataba ili pesa iingie serikalini. Wamejiuzia magari na nyumba za serikali badala ya kukaa na kutumia magari kupunguza gharama ya serikali majumba wamejenga matoteli wanalipwa kwa $ magari ni ya kitalii wao bado wanabebwa na magari ya sereikali na kwenda nayo kila kona. Mafao ya mbunge yapunguzwe na kila mbunge atathiminiwe kwa report ya evaluation ya majimbo kuonyesha maendeleo aliyofanikisha kutokana na strategic plan ya jimbo katika wilaya husika. Hii itawafanya wawajibike sio kununua kura na kutembea kwa magari ya thamani na kulala usingizi. Hata kijiji aishiko huko jimboni sio mfano kwa maendeleo yeye na madiwani wake. Diwani ndio kwanza ni mmiliki wa kilabu cha pombe na vigenge vya mama ntilie kawapangisha na wauza mitumba.

Tunataka kusonga mbele, mtu anayehamasisha wananchi wake na kuwashirikisha waone mbele wajitume kikamilifu na kulinda mazingira ya waishipo na wapatapo liveliihood zao ili tuwe na mazingira ya usafi na raslimali endelevu. Lele mama na lawama ziishe. Kuwajibika na kuacha uzembe ni budi sisi sote. Anayeiba hata ndugu na marafiki wasimtetee.
--------------------------------------------
On Wed, 2/9/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] WANANCHI WAFANYE NINI WASHINDE UCHAGUZI 2O15
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 2 September, 2015, 7:56

Mama
Anilea;Time will
tell and it is also a good don for almost all the
time.Tusubiri
tu,kwani kesi ya jinai haifi, hukaa hata miaka sitini (kwa
mujibu wa Mwakyembe) alipokuwa akiongea na wananchi wa Kyela
hapo majuzi.Mwisho wao
tutaujua tu,Magufuli katoa ahadi ya kuanzisha mahakama ya
mafisadi kama akiwa Presdo. Reuben




On Tuesday,
September 1, 2015 7:25 PM, 'ananilea nkya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Ndugu  Mokili  Juma,
Reuben Mwandumbya,  Omukunirwa Ireneus,  na Wa Sembeye

Nanawashukuruniu sana kwa
kusoma  hadi mwisho makala yangu niliyoposti jioni ya leo.

Ndugu Mokili Juma,  nakushukuru zaidi
kwa  kunishauri kwamba nipitie makala zangu  kwa makini 
kabla ya kuposti ili kuondoa makosa madogo madogo. Lakini
hilo la kumpa mtu mwingine anisomee  bahati mbaya sina mtu
wa kumpa asome maana niko nje ya nchi—niko mwenyewe.
Kadhalika ninaamini kwamba kama ni makosa madogo madogo
yasiyo ya kimaudhui msomaji anaweza kusahihisha na kama ni
mtu anataka kuitumia kuchapisha gazetini au blog  ni vema 
kuyaondoa makosa  hayo madogo madogo.

Nisema kuwa ninapoandika humu hoja zangu 
ninachojaribu kufanya  ni kutoa mchango wangu wa mawazo 
ili sote tujadili hatma ya nchi yetu kwa kuzingatia ukweli
hata kama ukweli huo unaumiza.
Mokili kama
umesoma andiko langu vema  nimeeleza sababu ya wananchi 
kupiga kura ya hapana CCM. Kama huafikiani na sababu
nilizotoa nawe andika  hoja  yako tuzijadili hapa maana
tunachoshindanisha hapa ni hoja---hoja zilizojikita kwenye
ukweli  bila woga.

Ndugu
Reuben Mwandumbya , Wa Sembeye na Omukunirwa Ireneus.
Kama mnakumbuka Profesa Lipumba  awali alisema
amemkubali Lowassa  baada ya kubaini ufisadi  nchini
chanzo chake ni  serikali CCM na kwamba  hata baada ya
Lowassa kuachia Uwaziri Mkuu kumekuwa na ufisadi kibao na
alitolea mfano ufisadi wa Tegeta escrow.  Lipumba
alipoachia uenyekiti wa CUF alisema tatizo lake  nafsi
inamsuta kwa  kumpa mtu aliyetoka CCM kugombea Urais 
kupitia vyama vya upinzani.  Lakini kumbuka hata Mwalimu
Nyerere alisema upinzani wa kweli utakaowaondolea  wananchi
umaskini utapatikana pale CCM itakapopasuka. Je kuna ubaya
gani mtu aliyetoka CCM kugombea Urais  vyama vya
upinzani?
 
Lakini  mimi
wacha ya Lipumba au  Dr Slaa  kujiweka pembeni  maana
hawa wawili nao  walikuwa  wanataka kugombea Urais kupitia
UKAWA.

Swali langu siku
zote limekuwa hili: Kama Edward  Lowassa ndiye fisadi wa
Richmond  na mtu hatari Tanzania kwa ufisadi na 
serikali  ya CCM  haikuhusika na ufisadi huo wa Richmond 
wala wa Tegeta escrow ni kwa nini serikali ya CCM
haikumpeleka mahakamani Lowassa  kwa ufisadi wa Richmond
miaka minane imepita sasa? 

Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Tue, 9/1/15, Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:

Subject:
[Mabadiliko] Re: [wanabidii] WANANCHI WAFANYE NINI WASHINDE
UCHAGUZI 2O15
To: "wanabidii@googlegroups
com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "Wanazuoni@yahoogroups.com"
<Wanazuoni@yahoogroups.com>,
"mabadilikotanzania@googlegroups.com"
<mabadilikotanzania@googlegroups.com>,
"Paschally Mayega" <ngowe2006@yahoo.com>
Date: Tuesday, September 1, 2015, 4:21 PM

Mama

Nkya
Hebu weka vizuri hicho
kichwa hapo juu. Kwa kuwa una mahaba na UKAWA
sema ama
andika hivi WANAUKAWA TUFANYE NINI
ILI TUSHINDE
UCHAGUZI..Sio wananchi hapa
kila mtu ni mwananchi bila
kujali itikadi
ya chama chake. Unawaambia wananchi wote ama
wana UKAWA tu? Sijaelewa hapa nani mwananchi
na na nani sio
mwananchi and are the
wananchi against each other..are all

wananchi fighting the common enemy? Wagombea pia bila
kujali
vyama vyao na itikadi zao ni
wananchi tu! 
Sema nani (Mwananchi
fulani)
kumshinda mwananchi wa chama
fulani... Usifumbe macho au
kufunika uso
huku ukidhani huonekani.
Kuwa wazi kama
ambavyo umekuwa wazi
baada ya mapinduzi (ya
wanaCCM) ndani ya CHADEMA... na
kubadilisha
kabisa dhana ya mabadiliko ambayo ndiyo kimsingi
iliijenga CDM na hatimaye kuendelea kuiua
dhana hii kadiri
muda unavyokwenda. Watu
wanaoijua spidi ya JPM hawatokaa
ndani ya
CCM sababu they will be next in a new reformed CCM
hasa baada ya shedding inayoendelea. So lazima
wacheze na
opportunities (Diversification).
UKAWA ikiwini then they
will safeguard
their interests sababu sasa dhana ya ufisadi
sio issue tena huko CDM, the moment
ukitumbukia, you are
automatically clean.
Hata hawa champions wa Radar, Escrow,

Kagoda, kesho wakifanya Shedding wakahamia UKAWA, they
are
auto-cleaned kadiri tunavyoona maana
mnajitahidi kuja na
kiLa aina ya strategy
za kuwanawisha.
.......na

lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa

limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani,
litakuwa limefunguliwa

mbinguni...... (Mt.16:19) 
Kuwa
specific..




Omukunirwa
Ireneus 




 

2015-09-01 17:51 GMT+03:00

'mokili juma' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Sawa dadangu Nkya.
Nimeisoma
makala yako ndefu kuhusu "Wananchi wafanye
nini washinde Uchaguzi 2015". Lakini
ajabu ukiingia
ndani unaongelea haja ya
Wananchi kuiondoa CCM kwa Kupiga
Kura mwaka
2025!!!!!Nakushauri tena,
Tulia
dadangu......... Acha jazba!!!  Unapoandika makala
jaribu kumpa mtu mwingine mmoja ama hata
ikiwezekana, wawili
ili waisome na kufanya
masahihisho kabla ya
"kuipost"
kwa wasomaji. Badilika
Anna! 


      On
Tuesday,
September 1, 2015 5:26 PM,
'ananilea nkya' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
   

  WANANCHI WAFANYE NINI 
WASHINDE UCHAGUZI
2015?

Na Ananilea  Nkya

Mmoja
wa  watu waliosoma 
makala yangu Raymond
Mauki, makala  niliyoandika  kwamba
CCM
ilimtoa  Edward Lowassa kafara  kwa kumpakazia
ufisadi  wa Richmond  ili chama hicho 
kidanganye
wananchi kwamba fisadi ni
Lowassa  na CCM ni chama safi,

amenishukuru kwa mchango wangu kwa taifa  kupitia ile
makala. Baada ya kuisoma ameniomba nijubu 
maswali mawili.


Kwenye malaka hiyo

iiliandika  kwa serikali ya CCM ndiyo fisadi wa  fedha
za
umma na hivyo chanzo cha wananchi wengi
hapa nchini kuwa
maskini.  Nilitoa mfano
wa serikali ya CCM kuwa fisadi 

kusimamia  wizi wa fedha za umma kwenye  akaunti ya
Tegeta
Escrow shilingi bilioni 306 mwaka
jana 2014. Nilitoa pia
mfano wa ufisadi wa
Richmond kwamba ni serikali ya CCM

yenyewe  ilihusika lakini walidanganya umma kwamba
muhusika
ni Edward Lowassa.
 
Uthibitisho ni kwamba kama
Lowassa ndiye
alikuwa  fisadi wa Richmond
leo hii angekuwa yuko jela kama
Mramba na
Yona.  Nilisema pia kwamba hivi sasa   nchi
imejaa ufisadi unaofanywa na  watawala wa
serikali ya CCM
kwa hiyo hata mgombea wa
CCM wa sasa John Pombe Magufuli 

wanayejidai  ni mtu msafi akichaguliwa  yerikali yake
italazimika kufanya ufisadi penda
asipende.   Na yeye
mwenyewe  Magufuli
amekaririwa akisema  kwamba ataika
mfano
marais waliomtangulia.
 

Kwa hiyo nikawashauri wananchi wapiga kura

wakiwepo wanaCCM  kwamba kama wanataka nchi yetu
iondokane
na ufisadi wa fedha za umma na
jeuri ya watawala wa CCM
kujitajirisha huku
wananchi wengi wakiwa ni maskini wa
kutupa,
na tena  watawala hadi kufikia kuwatukana wananchi
masikini kwamba ni  malofa na wapumbavu ni
lazima 
wananchi wafanye
mabadiliko—waiondoe CCM madarakani mwaka

huu 2025  kwa kutumia sanduku huru la kura  hapo tarehe
25
Oktoba .

Maswali mawili
ambayo msomaji
wangu alitaka niyajibu   ni haya 

ifuatavyo:
Swali la kwanza: Nini mchango
wa
wanawake kwenye harakati hizi za 
leo,unadhani wameamka
kiasi cha kutosha?

Mchango
wa
wanawake katika kuleta mabadiliko katika maisha yao
kupitia   uchaguzi wa mwaka huu 2015  ni
mkubwa na muhimu
sana. Wanawake kwa wingi
wao  wakijitokeza kusikiliza
kampeni za
uchaguzi kisha wakijitokeza kupiga  kura na
wakaipigia kura UKAWA  wataleta mabadiliko. 
Hivyo kila
mwanamke aliyejiandikisha kupiga
kura, namshauri atunze
kitambulisho
chake   cha kupiga kura(kichinjio). 


  Afanye hivyo kwa 

kutokukubali kumuonyesha mtu yeyote kitambulisho chake.
Kitambulisho chako ni siri yako  (ni silaha
yako) ya itunze
kama mboni ya jicho hakuna
mtu mwingine yeyote hata kama ni
kiongozi,
hata kama ni polisi au mgambo  hapaswi kukiona
kitambulisho (kichinjio)n chako.  Zaidi hata
kama huyo mtu
atakuwa amekuletea zawadi ya
kanga, kitende, fulana, sukari,
fedha au
chochote kile mwanamke USIDANGANYIKE.

Mimi sina chama chochote cha

siasa nimefungamana nacho lakini nasisitiza wanawake
waipigie kura  UKAWA  kwa  sababu  ilani
ya UKAWA ina
agenda kuu mbili muhimu
zinazogusa maisha ya wanawake moja
kwa
moja.

Kwanza UKAWA
wana  agenda ya kutoa elimu bure hadi Chuo
Kikuu. Hili ni
muhimu kwa  sababu elimu
ndiyo msingi wa maendeleo yote kwa
mtu
binafsi wakiwopo watoto wa kike, familia na taifa
zima. 


Pili  UKAWA wana
agenda ya  kuandika
Katiba  Mpya inayotokana na  maoni ya

wananchi.  Moja ya jambo muhimu katika Katiba  ya
wananchi
ni  kuweka uhusiano mpya kati ya
viongozi na wananchi.
Katiba Mpya itazuia
viongozi kujitajirisha  kwa mali za
umma
huku mamilioni ya wananchi wakiwepo wanawake
wakitaabika kwa umaskini.
 

Fedha za  nchi  zinazotafunwa na
watawala
wachache zitatumika  kwa mfano 
kuboresha  elimu, huduma
za afya,maji,
umeme,  kujenga viwanda kuwapatia maelefu ya
watu  ajira.   Pili Katiba mpya itaweka
misingi imara ya
kuhakikisha  uwakilishi
wa wanawake  kwenye vyombo vya
maamuzi
unafikiwa asilimia 50/50.

  Kashalika Katiba  Mpya italeta usawa wa
kweli
wa kijinsia nchini na usawa huo
utaanza kuonekana dhahiri 
uchaguzi wa
2020  kwa kutoa   idadi sawa  wanawake na
wanaume  madiwani kwenye kata  na  idadi
sawa ya wabunge
wanawake na wanaume
majimboni. Kadhalika kwenye vijiji na
mitaa
mwanamke akiwa mwenyekiti mwanaume atakuwa Makamu
mwenyekiti.
 
Utaratibu
wa viti maaluma
utatumika  kwa watu   wenye ulemavu peke

yake. Kila aina ya ulemavu itakuwa  mbunge mwanamke na
mwanaume.  Hayo ndiyo mabadiliko kamili nay a
kweli kuhusu
usawa wa kijinsia  unaotakiwa
Tanania ili nchi yetu na watu
wake
waondokane na umaskini.
 
Katika uchaguzi wa mwaka huu kuna vyama 
vinajinasibu eti  vimezingatia usawa wa
jinsia kwa kuweka
mwanamke mgombea mwenza
au mgombea wa Urais.  Ni sawa
lakini hiyo
ni geresha ya danganya toto  kwa sababu kwa
mfumo wa sasa ambapo  usawa  wa 50 kwa 50
haujawekewa
misingi kwenye Katiba 
wanawake  wanatumika tu  kama
wanaume 
kupitisha sheria na sera za maendeleo za

kunufaisha kikundi kidogo cha watawala wananchi wanaume
na
wanawake wakibaki mafukara wa kuputa.


Usawa wa jinsia  wa 
kweli na wa kudumu 
hauwezi kufikiwa hapa
nchini  bila Katiba Mpya ya wananchi

kuandikwa  na kuweka misingi ya kutekeleza  usawa wa
jinsia kwa vitendo—misingi inayowaondolea
wanawake vikwazo
vya kugombea na  kushinda
sawa na wanaume majimboni na
kwenye kata na
siyo viti maalum vya upendeleo—miaka 50

baada ya nchi kupa uhuru. 
Kwa hiyo
ushuri
wangu kwa wanawake  na wale wote
wanaofanya kampeni  UKAWA
ni kuwaeleza
wanawake na wananchi ukweli kwamba  wakitaka
mabadiliko ya kweli katika maisha yao wachague
UKAWA  ndio
waliobeba ajenga ya
ukombozi—agenda ya kuwaletea
Watanzania
mabadiliko ya kweli yatakayojengwa kwenye misingi
imara –Katiba Mpya iliyotokana na maoni ya
wananchi. 


Swali la Pili: Watanzania

tufanye nini  kuzuia CCM  kuiba kura  uchaguzi wa 
mwaka
huu 2015?  Mimi napendekeza
yafuatayo:

Kwanza: Kila
mwananchi mwanamke mwanaume
wakiwepo wana
CCM mnaouchukia   kuona watu wengi 

wanateseka kwa umaskini na watawala wachache wana utajiri
wa
kupindukia,  kinachotakiwa  kama
mnanataka uchaguzi wa
mwaka huu uwe ni
mwamzo wa kubadilisha maisha  ya kimaskini

wanayoishi mamilioni ya Watanzania, ni kutunza
kitambulisho  chako (kichinjio)  na siku ya
kupiga kura 
tarehe 25 Oktoba mwaka huu
2015 kwenda kupiga kura kuchagua
UKAWA.
Ninaipigia debe UKAWA—umoja unaojumuisha vyama vya
CUF, NLD, NCCR Mageuzi na CHADEMA  kwa
sababu  wana agenda
ya ukombozi wa
wananchi.
UKAWA   wana

ajenda ya kuandika  Katiba Mpya inayotokana na maoni ya
wananchi. Katiba Mpya itaweka misingi mipya ya
kuongoza nchi
kuleta mabadiliko-kuondoa
umaskinini unaotengenezwa kwa 
serikali ya
CCM kukwapua fedha za wananchi  na jeuri ya
kupora madaraka ya wananchi—yaani CCM
kujifanya chama
dola.  

Hata kama itakulazimu kusubiri
siku mbili
au hata wiki nzima hata mwezi mmoja kuweza kupiga
kura fanya hivyo usikate tamaa. Kakikisha
hukosi kupiga
kura  maana hakuna
ukombozi  wenye kuleta mabadiliko 
katika
maisha ya wananchi wengi ambao hupatikana  katika
demokrasia ya vyama vingi vya siasa bila
wananchi wenyewe 
kushiriki  kuleta
mabadiliko hayo kupitia sanduku huru la

kura.

Umaskini  wa
wananchi ninaouzungumza ni pamoja na ukosefu
wa ajira ya
kuwapatia walio wengi  wasio
watumishi wa umma fedha za
kujikimu.  
Watumishi wengi wa umma  mfano  walimu,

madaktari, wauguzi, askari, wahudumu wa maofisa na
kulipwa 
mshahara isiyokidhi mahitaji  ya
msingi kama vile chakula,
mavazi na
malazi.
 
Kadhalika
kulima kukopwa mazao yao na kutolipwa
kwa
muda mrefu.  Ukosefu wa barabara vijijini, ukosefu wa
maji, watu kufa kwa kukosa dawa ili hali
watawala wachache 
wakiugua  wao wana
haki ya kutumia fedha za umma kwenda

kutibiwa nchi za nje.


Elimu
duni inayosababishwa na shule ambazo
si bora hazina 
chakula kwa wananfunzi,
usafiri, vitabu, maabara na miundo
mbinu 
mingine muhimu. Shule hazina hazina walimu  wenye
ubora na  wanaofurahia kufanya kazi zao kwa
vile
wanaheshimiwa, kuthaminiwa  na
kulipwa vizuri.
 

Vilevile umaskini na kuporw
amadaraka
wananchi kunakojidhihirisha kwa vyombo vya 
dola  hasa polisi  kutumika  kibabe
kunyanyasa wananchi
kama vile nchi yetu
bado iko kwenye ukoloni.


Pili: Kila  kila Mtanzania

aliyejiandikisha kupiga kura anayeumwa na hali ya
umaskini
wa wananchi wengi   anapaswa
kutunza kitambulisho chake cha
kupiga kura
(kichinjio) na asikubali kumuonyesha au kumpa
mtu yeyote hata awe mwenyekiti nyumba kumi,
mwenyekiti wa
kitongoji, kijiji, mtaa ,
polisi  , mgambo au  mtu yeyote
yule.
Hii ni muhimu maana wapo watu hivi
sasa  wanapita nyumba kwa nyumba wakijidai
wanafanya
kampeni za nyumba kwa nyumba
kumbe ni mbinu za kuwanunua au
kuwadanganya
na kuwaogopesha wananchi wanaotaka mabadiliko 
ambao Rais Mstaafu Benjami Mkapa amewaita
''MALOFA
NA WAPUMBAVU''.
 
Lengo la kuwadanyanga au
kuwatia woga wananchi
ni ili  wasipige 
kura  ya kuwaletea mabadiliko  kwa

kuikataa CCMambayo utawala wake  umewafanya wananchi
wengi
kuwa malofa na wapumbavu huku
watawala wa serikali  ya CCM
wakijilipa
fdha za wananchi  na kupata utajiri  wa

kukufuru.
 

Nawashauri
wapiga kura kama ni fedha, nguo,
chakula  watakuwa
wanaletewa na CCM wakati
wanapita kwenye kampeni walizosema

watafanya nyumba kwa nyumba zipokeeni  maana pengine 
hizo
ni zile fedha za wananchi zilizoibiwa
mwaka jana 2014 kwenye
akaunti ya Tegeta
escrow  Benki kuu ambazo nyingine

zilibebwa kwa  tandarusi. Ni fedha za wananchi kuleni na
kama ni nguo vaeni  ni mali yenu lakini
usimpe tena kura
yako maana atarudi tena
kwenda kukwapua nyingine na hakuna
kazi
yoyote kuwaondolea wananchi umaskini   wataifanya
miaka 5 ijayo.

Aidha kila
anayepiga kampeni
UKAWA  awaeleze wananchi ukweli huu.

Wananchi wakiujua ukweli  kuhusu chimbuko la matatizo
yanayowakabili  kuwa ni  serikali ya CCM
kama taasisi
kujihusisha na ufisadi na
kuwapora wananchi madaraka, 
wananchi
wataelewa na watapiga kura  kikamilifu kuleta
mabadiliko—kuchagua  UKAWA  kuendesha
serikali tuone
miaka mitano nao watafanya
nini kuwaondolea wananchi
umaskini.
Wasipotimiza ahadi zao hasa —elimu bure hadi
chuo kikuu na Katiba Mpya  uchaguzi wa 2020
watapigwa chini
kupitia sanduku huru la
kura . Bila kubadilishana vyama 
kwa
kuzingatia sera za maendeleo  umaskini unaowasumbua
Watanzania wengi hautaondoka nchini.

Tatu: UKAWA viweke mawakala
wenye uchungu na 
maisha  ya mamilioni ya
Watanzania. Mawakala ambao
hawahongeki,
hawadanganyiki. Mawakala wa UKAWA wanatakiwa
wawe ni watu  wanaoweza kuvumilia njaa na
wanaoweza kukesha
hadi kazi ya kupiga,
kuhesabu kura na kutangaza mshindi 

ikamilike. Maana kwenye uchaguzi  wakala  ukipepesa
ukipepesa macho kidogo tu wajanja
wanachakachua.

Nne: 
UKAWA kuweka mawakala
makini  ambao siyo
mamluki wa CCM-- watu  jasiri (siyo
watu
waoga) na wanaojua kusoma, kuandika na kuhesabu na
wenye moyo wa kujitolea kwa faida ya walio
wengi
wanaoteseka  na maisha duni.  Kura
ni hesabu kwa mtu
asiyejua kusoma, 
kuandika  na kuhesabu ni rahisi sana

KUDANGANYIKA  maana hataweza kusoma na kuelewa
kilichoandikwa.

Tano:
UKAWA kuweka mawakala
wenye uvumilivu—mtu ambaye anaweza

kuvumilia njaa ikibidi  kukaa  bila kula  na kunywa 
kwa
zaidi ya  saa 24. Wako mawakala
chaguzi zilizopita kwa
kuendekeza ulaji na
unywaji  wakiwa kazini kwenye vituo vya

kupiga kura, waliagiza vinywaji na  vyakula na vinywaji.
Lakini wajanja  waliweka kwenye vyakula na
vinywaji hivyo 
dawa za usingizi. Baada ya
kula walijikula na  walikuja
kuamka 
uchaguzi  ulikuwa umewisha  na  kura za mgombea
wao ambaye alikuwa anapendwa  na watu
amekwishaibiwa kura
zake wakiwa usingizini.


Ninachosema hapa ni
kwamba  uchaguzi ni wa
mwaka huu ni
mapambano ya mamilioni ya wananchi masikini

(wakiwepo wanaCCM wengi tu)  na kikundi cha watawala wa
CCM
wanaoendelea kujitajirisha kwa kuwa
madarakani.

Hivyo
mamilioni ya wananchi
wanaoteseka na
umaskini wakiamua kuvishinda vishawishi na

ulaghai unaofanywa na watawala wa CCM  uchaguzi wa mwaka
huu utaleta mabadiliko kwa mara ya kwanza
kuwezesha mfumo wa
vyama vingi kufanya kazi
Tanzania. Zaidi fursa ya mamilioni
ya
wananchi  wanaoishi maisha ya kimaskini kushinda
uchaguzi wa mwaka huu 2015  ni kubwa  kuliko
wakati
mwingine wowote katika historia ya
vyama vingi nchini
kwetu.


Sita:  UKAWA 

wahakikishe inawaelekeza  mawakala wake mambo muhimu ya
kufanya wakiwa kwenye vituo vya kupiga kura. 
Mambo hayo ni
pamoja na   kuhakikisha
wanachukua kwa usahihi matokeo
kwenye vituo
na kisha wafuatilie kwenye halmashauri

kuhakikisha anayeshinda ndiye anatangazwa mshindi.
 
Umuhimu wa kufuatilia
hadi
matokeo yatangazwe ni kuhakikisha
waliopewa mamlaka
kutangaza matokeo ya
diwani, mbunge na Rais hawachakachui

matokeo. Umma  ukiwa unafuatilia matokeo-wenye kutaka
kufanya mchezo mchafu watauogopa umma. Hakuna
kinachoshinda
nguvu ya umma. MUNGU IBARIKI
TANZANIA. 

Ninaruhusu
Makala hii
ichapishwe na yeyote anayetaka.
Lengo ni kuelimishana  ili
kuleta
mabadiliko . Ukiwa na swali: niandikie:  ananilea_nkya@yahoo.com


 
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com


--------------------------------------------
On Sat, 8/22/15, 'raymond mauki'
via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 
Subject:
[wanabidii] Re: [Wanazuoni]
LOWASSA KAFARA CCM KUJARIBU
KUZUIA
MABADILIKO [1 Attachment]
  To:
"Wanazuoni@yahoogroups.com"
<Wanazuoni@yahoogroups.com>,
"mabadilikotanzania@googlegroups.com"
<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
  Cc: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>,
"Paschally Mayega" <ngowe2006@yahoo.com>
  Date: Saturday, August 22, 2015, 5:11 AM
 
 
  Mama
Nkya
nimekuelewa sana
 
sana na sana, siku zote
nimekuwa
nikifuatilia harakati zako
  ila
sikujua msimamo wako uko wapi. Nashukuru kwa
kuwaambia
  watanzania kuwa kila mtu ana
uhuru wa kutoa
maoni yake
  haijalishi yupo wapi, ana nafasi
gani kwa jamii au yupo
 
upande gani kisiasa.
Ulichokiandika ni very
simple and very
  true

hata mtoto wa darasa la nne ataelewa ila cha ajabu kuna
  wasomi watakuja kupinga na wanaendeta
kupinga
ulichokiandika
 
tena wakitumia data za uongo
kabisa. Ni
ukweli uliowazi kuwa
  watanzania
wa leo sio wa mwaka 1995 wa Mrema na
nashukuru
  yeye mwenyewe amekiri hilo juzi
kupitia kituo
kimoja cha
 
redio(clouds fm), watanzania wa
leo
wanahitaji mabadiliko
  chanya na
wasipoyapata kwa amani basi watatumia njia

nyingine yoyote japo
hatupendi ifike huko.Mama
  Nkya, naomba
ukipata muda unijibu haya
mawili, 
   Je, tufanye nini watanzania lei
hii ili kuzuia kabisa
 
mchezo wa ccm
kutuibia kura zetu kwenye
uchaguzi mkuu?


Ukizingatia wameshakiri kabisa watatumia njia yoyote
  kushinda ikiwemo goli la mkono.Pili,
  nini mchango wa wanawake kwenye harakati
hizi
za
  leo,unadhani
wameamka kiasi cha
kutosha? 
  Asante
  na
ubarikiwe sana,
  RAYMOND

MAUKIKIGAMBONI,
  DAR ES SALAAM.
 
  From:"ananilea

nkya
  ananilea_nkya@yahoo.com
[Wanazuoni]"
  <Wanazuoni@yahoogroups.com>
  Date:Fri, Aug 21, 2015 at 23:42
  Subject:[Wanazuoni] LOWASSA KAFARA CCM
  KUJARIBU KUZUIA MABADILIKO [1 Attachment]
 
 
 
 
 
 
 
  
 

 
    
      
           
  
     
  
[Attachment(s) from ananilea nkya

included below]
        

      
      
LOWASSA
KAFARA CCM KUJARIBU KUZUIA
MABADILIKO
 
  
 
  Na

Ananilea Nkya
 
 
 
  Nimeandika  hoja hii
baada
ya kusoma na kusikia  hoja
  zinazotolewa
na  baadhi ya
Watanzania kwamba  eti CHADEMA ,
  CUF,
NCCR-Mageuzi  na NLD  -vyama
vinavyounda
UKAWA kwa
  kumsimamisha 
Edward Lowassa kugombea Urais  vimepoteza

usafi  wa kuongoza 
mapambano dhidi ya ufisadi.
 
 
 
 
Ukweli ni kwamba viongozi wa CHADEMA na UKAWA
kumsimamisha
  Lowassa kuwa
mgombea urais
wamecheza kama Pele. Tena
  wanastahili
pongeze kubwa
maana walitumia akili kali na

saikolojia ya hali ya juu kubaini kuwa CCM
ilikuwa
ilicheza
  mchezo
mchafu kisiasa kuwatumia
wapinzania
kumpakazia
  Lowassa ufisadi na
hatimaye CCM kupata nguvu ya kumtoa
  Lowassa
kafara ili eti CCM
ionekane inajisafisha ufisadi.
 
 
 
 
  Wanaodhani CHADEMA na UKAWA

wamekosea pengine hawajaelewa
  kuwa  
tangu
upepo wa mabadiliko  wa kukataliwa
mfumo chama
  kimoja kuwa madarakani kwa
muda mrefu
ulipoanza kuvuma
  duniani kote mwishoni mwa

miaka ya 1980,  baadhi ya wanaCCM

hawajakubali kwa dhati kabisa  ukweli huo na
kuamini kwamba

  CCM
inaweza  kupunzishwa kuongoza nchi
angalao
kwa miaka
  mitano.


 
 
  Hasa
baada ya Mwalimu
Nyerere CCM kuondoka duniani, CCM
  imebaki
na viongozi ambao hawako tayari
kutumia
ujasiri
  kuongoza mabadiliko kwa
amani.  Baadhi ya vongozi wanaojali
  zaidi
maslahi ya wana CCM
wachache wanaotumia kauli kama
  hirizi
kauli aliyowahi kuitoa Mwalimu Nyerere
kuwa
bila CCM
  imara—Tanzania itayumba
kujidanganya wenyewe na kudanganya

wananchi.
 

 
 
 
Wanasahau kwamba Mwalimu
Nyerere kama
mwanafalsafa na
  mwanasiasa
makini alikuwa anatoa maamuzi ya kijasiri
kwa
  faida ya taifa na wananchi kulingana
na hali
halisi ya
  wakati
husika kwa kusoma upepo wa
wananchi. Kwa
mfano
  Nyerere aliwahi kusema
CCM si mama yake akimaanisha Tanzania
  na
Watanzania ni muhimu
zaidi kuliko umuhimu wa CCM kuwa
 
madarakani.
 


 
  Mfano
Mwalimu Nyerere
mwaka 1992 alionyesha mfano
kwamba
  maslahi
ya nchi
na wananchi ndiyo muhimu kuliko maslahi ya
  CCM alipokubali kwenda kinyume na uamuzi
wa
wanaCCM wengi
 
waliokuwa

wamekataaa—mabadiliko—kuanzishwa vyama vingi
  nchini ili vyama vibadilishane uongozi wa
nchi
--kuharakisha
 
maendeleo ya wananchi.
 
 
 
 
Lakini baada ya Mwalimu kuondoka dunaini kila
mwanaCCM
  anayechaguliwa
kuwa Rais, kwa
kuogopa kulaumiwa kwamba
eti
  kama CCM

haitachaguliwa kupitia sanduku huru la kura atabeba
  lawama za kufanya CCM iondoke madarakani,
serikali zote za
  CCM baada
ya Mwalimu
Nyerere kuondoka duaniani
zimekuwa

zinajihusisha na
ufisadi.
 


 
 
Serikali ya CCM imekuwa
ikikwapua kwa wizi
wa wazi mabilioni
  ya

fedha za umma na kufanya maovu mengine mengi kuhakikisha
  CCM haiondoki madarakani. Hivyo chaguzi
zinafanyika kama
  geresha
tu—kudanganya
wafadhili na mataifa kuwa
Tanzania
  ni nchi
ya
demokrasia ya vyama vingi.
 
 
 
 
Mfano
uchaguzi wa mwaka 2005 serikali ya
CCM chini ya Rais
  Mkapa ilikwapua fedha
za wananchi kutoka Benki
Kuu Akaunti
  ya EPA shilling bilioni 133

ambazo ziliiwezesha CCM kumweka
 
madarakani
Rais Kikwete.
 

 
 
 
Mwaka jana 2014 serikali ya
CCM chini ya
Kikwete ilikwapua
  shilingi
bilioni 306 kutoka akaunti ya Tegeta escrow
Benki
  Kuu kwa ajili ya kuiwezesha CCM
kushinda
uchaguzi wa
 
serikali za mitaa na uchaguzi
mkuu
unaofanyika tarehe 25
  Oktoba mwaka huu
2015.
 
 



  CCM
wakishaingia madarakani jambo muhimu
kuliko
yote Rais na
  serikali yake
analolifanyia ni kubuni ufisadi wa kuipatia

CCM fedha na mbinu nyingine
za kuiwezesha CCM ibaki
  madarakani
uchaguzi unaofuta. Hakuna kazi
muhimu ya
  kuwaondolea wananchi umaskini
inayofanyika kwa kiwango na
 
juhudi
kubwa.
 
 


  Kwa sababu hiyo,   kikundi kidogo cha
watawala, wengi wakiwa
  ni
kutoka CCM na
familia zao wamejikuta
wakinufaika kwa kuwa
  matajiri kufuru kwa
muda mfupi ili hali 
wananchi wengi
  wakibaki maskini na mafukara
wa kutupa.
 
 
 
 
Mfano  wabunge (kikundi cha
watu wasiozidi
400) wengi wakiwa
  ni

wanachama wa CCM  kila mmoja analipwa si chini ya
  milioni  10 kila mwezi kama mishahara,
wacha
marupurupu  na
 
posho za vikao vya kamati,
posho za safari
na  mamilioni
  mafao kila
baada ya miaka mitano.  Lengo wawe na
fedha
  nyingi za kununua kura za wapiga
kura maskini
uchaguzi
 
unaofuata CCM ibaki madarakani.

 
 
 
  Ndiyo sababu kila mwananchi wakiwepo watu
muhimu kama walimu
  wa vyuo
vikukuu na
madaktari hivi sasa nao 
wameamua kuwa


wanasiasa.
 
 
 
  Zaidi baadhi ya
wanaotafuta
madaraka ya kisiasa
wanatumia
  mbinu chafu

sana  ikiwa ni pamoja na ushirikina wa kuuwa
  watu wenye ulemavu wa ngozi (albinism)
waweze
kupata nafasi
  ya
kuingia katika kundi la 
watawala—kupata
utajiri wa
  kutisha katika
kipindi cha miaka mitano.
 



 
  Mfamo Wabunge
waliomaliza
muda wao mwaka huu 2015    kila
  mmoja
ameondoka na kiinua mgongo zaidi ya

shilingi milioni
  200.  Hii ni kufuru
katika nchi inayojinasibu kuwa ni
  maskini
na inapita huko na
huko duniani kuomba misaada!
 
 
 
  Hata
hivyo kwa kadri ufukara unavyoendelea

kuwatafuna
  wananchi wengi, na kwa
kadri
uelewa wa  wananchi
  wanaoteseka kwa 

umaskini  unavyoongezeka kwamba CCM na

utawala wa  serikali yake ndicho chanzo cha
umaskini wao,

  CCM 
imebaini kuwa haiwezi tena 
kushinda
uchaguzi kupitia
  sanduku huru la
kura kwa kutegemea kete moja tu—kununua

wananchi mafukara  peke
yake.
 
 
 
  Hivyo

katika miaka ya hivi karibuni CCM imeanza kuendesha
  siasa za maji taka—kuchafuana wao kwa wao
na
hatimaye
  wameamua
kutoana kafara-lengo kuu
likiwa ni kuzuia
wananchi
  wasitumie

sandundu la kura kufanya mabadiliko—kuchagua
  vyama vingine kuongoza nchi. 
 
 
 
  Hivyo Rais Kikwete, hata kama ndani ya
umungu
wa moyo wake
 
hakubaliani na CCM inavyotumia
ubabe
kukataa mabadiliko
  kinyume na asili
ya binadamu, amekuwa akifanya mambo

kutimiza matakwa ya baadhi
ya wanaCCM —kujaribu kuzuia
 
mabadiliko—ili tu kuepuka lawama- amalize

muda wake bila
  kuonekana ndiye
kasababisha
wananchi kuipunzisha CCM
uongozi
  kwa
kipindi cha
miaka mitano.
 
  
 
  Kwa

kufanya hivyo Rais Kikwete amejikuta akiporwa ujasiri
  wake aliokuwa nao kama mwanasiasa  
ambaye
Mwalimu Nyerere
 
alimuamini.
 
 
 
  Kumbuka Mwalimu Nyerere
alinukuliwa na gazeti
la  Nipashe na
  Majira 26/5/95 akisema 

baada ya Rais Mwinyi  baadhi ya
 
vijana
ambao alikuwa anaona wana nia ya
dhati kabisa  na
  uwezo mkubwa wa
kuongoza Tanzania  ni
Benjamin Mkapa,
Jakaya
  Kikwete na Edward

Lowassa.
 
  Lakini
kwa
Kikwete kukubali kuyumbishwa na wana
CCM wachache
  wasiokubali mabadiliko
anaonekana kufumbia
macho utekelezaji
  wa kile mwanafalsafa

Mwalimu nyerere alichokisema---kwamba

Watanzania wanataka mabadiliko.
 
 
 
  Mfano Rais
Kikwete alipata
fursa ya kusimamia mabadiliko kwa
 
kuandika Katiba Mpya inayotokana na maoni ya
wananchi.
  Lakini kikundi
kidogo cha
wahafidhina ndani ya CCM
  kilimtisha
akajikuta
anaweka pembeni ujasiri wake aliokuwa
  nao
wa kusimamia mabadiliko hayo muhimu kwa

maendeleo ya
  taifa hili.



 
 

  Kama
uamini jiulize ni
kwa   nini  Kikwete aliachia Bunge la
 
Katiba lililojaa asilimia 80  ya wanachama

likazika Rasimu
  ya Katiba ya wananchi
pale
Dodoma mwaka jana 2014  -- Rasimu
  ambayo
ingeleta Katiba
yakuweka  misingi ya kuleta
  madadiliko
Tanzania—mabadiliko ya
kuhakikisha
kikundi
  kidogo cha watawala
hakijitajirishi kwa ufisadi na kujigawia

mali  za umma huku
mamilioni ya wananchi wakibaki maskini

na
  mafukara wa kutupa?
 

 
 
 
Baada ya
Kikwete kupoteza fursa  ya kuleta
mabadiliko  kwa
  kuandika Katiba Mpya, 
umma uliofukarishwa 
umeendelea
  kupata uelewa kuwa CCM na

serikali  yake ndicho chanzo cha
 
umaskini
wao. 
 
 


  Hivyo ili kuendelea  kubaki madarakani 
serikali ya CCM
  imekuwa 
ikijihusisha na
ufisadi ili ipate fedha
za
  kuwarubuni
walala hoi
wakati wa kampeni za uchaguzi.


 
 
  Mfano
mwaka 1995 Rais
Benjamini Mkapa alijikuta serikali
  yake
ikifanya ufisadi  katika  akaunti EPA

(bilioni 122)
  zilizotumiwa na CCM
kumuweka  Kikwete madarakani.
 
 
 

Ukitafakari utaona kwamba
katika ufisadi Tegeta escow,
  serikali ya
CCM imekapua billion 306 mara tatu
ya
ufisadi wa
  EPA mwaka 1995 ilipokwapua
bilioni 122 ili kipate fedha
  nyingi zaidi
la kuwalaghai
wapiga kura mafukara ambao

wameendelea kupata uelewa kuwa CCM inaiba
fedha za umma
  kununua wapiga kura wakati
wa kampeni za
uchaguzi.
 

 
 
 
Hivyo serikali ya CCM
inayoongozwa na
Kikwete ambayo
  imeshuhudia
nguvu ya wananchi kudai mabadiliko ikiwa
kubwa
  kuliko wakati mwingine wowote,
inajaribu kila
mbinu chafu na
  safi ili CCM ibaki

madarakani baada ya uchaguzi mwaka
 
huu.
 
 
 
  Ndiyo sababu  serikali
ya CCM  kupitia
msemaji wa chama
  hicho Nape Nnauye imeanza

kuwaambia Watanzania kuwa  CCM
  lazima
ishinde uchaguzi wa mwaka huu hata kama ni
kwa
  kutumia goli la mkono (wizi au lolote
lile
chafu).
 
 


  Zaidi  Rais   Kikwete  amefikishwa
mahali  pabaya
 
kulazimika  kubuni 
mchezo  mchafu
kujaribu kuwadanganya


Watanzania  kuwa eti  CCM na serikali yake ni safi,
  haijihusishi na ufisadi unaofukarisha
wananchi
isipokuwa
 
wanachama wachache wa CCM ndio
mafisadi.
 
 
 
  Ili  kujaribu kutafuta

kujenga  uhalali wa CCM kubaki
 
madarakani
baada ya uchaguzi wa  mwaka huu
2015, Kikwete
  amejikuta akilazimika 
kumtoa  kafara
Lowassa  kwa
  kumpakazia  ufisadi wa 

Richmond.
 
 
 
  Wananchi wanauliza
kama
Lowassa alikuwa ndiye mhusika  wa

Richmond  ni kwa nini  
Spika wa Bunge  Anna Makinda
(mmoja
  wa watawala  wa CCM),  hakuagiza 
tume ya Bunge iliyoongozwa
 
na Mbunge wa CCM
Harrison Mwakyembe kumhoji
Waziri Mkuu

Edward
Lowassa?
 
 
 
  Pili wananchi wanahoji
kama
CCM haijamtoa Lowassa kafara
  kwa
kumbebesha ufisadi wa
chama hicho  ili kupumbaza hasira
  ya 
wananchi dhidi ya ufisadi wa CCM kwenye

uchaguzi wa
  Oktoba mwaka huu 2015  ni
kwa
nini  Rais Kikwete alikubali
  Waziri wake
Mkuu  Edward
Lowassa  ajiuzulu kwa ufisadi wa
 
Richmond 2008 wakati ufisadi wa kutisha 

ulifanywa na
  serikali ya CCM kwenye
akaunti
ya Tegeta escrow 2014
  Kikwete aliwatetea

mawaziri  waliogawiwa fedha hizo na Ikulu


ilikuwa ndiyo mtuhumiwa namba moja?
 
 
 
  Mimi si
mwanasiasa wa chama
chochote cha siasa hapa nchini
 
ninachoangalia ni chanzo cha umaskini wa

wananchi wengi
  Tanzania.


 
 

Ndiyo
sababu Watanzania wengi nikiwepo mimi mwenyewe kwa
  sababu  tulipewa habari nusu nusu
zilizotolewa kimkakati na
 
serikali ya CCM
kuhusu kashfa ya Richmond 
kumpakazia

Lowassa
ufisadi, tulipubwazwa tukaisaidia CCM  kumchafua
  Lowassa kuwa ni fisadi wa Richmond.  
 
 
 
  Lakini baadhi ya wananchi walianza 
kujua
kuna ukweli
 
uliofishwa kuhusu Richmond pale
TV moja
ilipokuwa imemwalika
  Lowassa aotoe
yake ya moyoni live siku chache baada ya

kujiuzulu, lakini kipindi
hicho cha TV kikafutwa ghafla.
 
 
 
 
Hata hivyo ukweli huo umekuja kujulikana mwezi
Julai mwaka
  huu Lowassa
alipotoa hadharani
baada ya kuachana na CCM
na
  kujiunga na

CHADEMA.
 
 
 
  Sasa wananchi   
wamefahamu kuwa  CCM  chini ya serikali
ya
  Rais Kikwete iliamua kumtoa Lowassa
kafara kwa
kumpakazia
 
ufisadi wa   Richmond  ili 
kuiokoa CCM
isiadhibiwe vikali
  na wananchi
kwenye sanduku huru la kura  –kwa
ufisadi
  alinawasababishia umaskini na
ufukara.
 
 
 
  Ndiyo sababu  hivi
sasa  CCM na baadhi ya
wanahabar
  wanapakazia  CHADEMA  na 
UKAWA  kuwa  eti ni mafisadi 
  baada ya
kumpokea Lowassa
(kafara wa CCM)  na  kumpitisha
  kuwa
mgombea wa  Urais wa Jamhuri ya Muungano

wa Tanzania.
 
 
 
 
 
Isitosha
hivi sasa kikundi  cha watawala
wachache wa
  serikali ya CCM wanahaha na
wanamzonga Kikwete
azuie
 
mabadiliko kwa mkono kwa  kufanya
kila
uchafu  kupumbaza
  Watanzania kwa
kutumia kete ya eti   Lowassa ni  fisadi wa

  Richmond  hivyo hana sifa ya kugombea
Urais
wa Tanzania,
  bali
Magufuli ndiye mtu
safi.
 

 


  Wananchi wenye akili zao wanajiuliza hivi
mwenye kashfa za
  kifisadi
kati ya Lowassa
na Magufuli ni nani?  Ni
Lowassa

aliyepakaziwa
Richmond au ni Magufuli aliyeongoza

watawala
  kujiuzia kwa bei chee nyuma
za
umma zilizogarimu wanannchi
  mabilioni ya
fedha?
 
 


  Wananchi pia wanajiuliza
kama Lowassa ni
fisadi wa Richmond
  ni kwa nini serikali ya
CCM
haijamshitaki mahakamani miaka
  minane
tangu ufisadi huo ulipotokea?
 
 
 
  Hivyo 
pengine  baada ya
Lowassa kutafakari nafsi yake na
  kuona
kuwa CCM imemtoa kafara asigombee
Urais 
ili kuzuia
  mabadiliko, ameamua
kufanya  maamuzi magumu  ya kuhama CCM

--kushiriki kuongoza
masikini  na mafukara  wanaotafuta
 
mabadiliko.
 


 
 
Lowassa ameamua
kutekeleza alichokitabiri
Mwalimu Nyerere

kwamba
CCM isipokubali kuongoza wananchi wapate

mabadiliko
  wanayoyataka—wananchi
watayatafuta mabadiliko hayo  nje
  ya
CCM.
 

 


  Ni dhahiri CCM ilipoteza fursa adimu ya
kuongoza wananchi
  kwenye
kuleta mabadiliko
kwa kuandika Katiba 
Mpya-- kuweka

misingi ya
kukomesha mfumo wa utawala  unaowezesha

watawala
  kuwa matajiri wa kupindukia 
huku
mamilioni ya wananchi
  wakiwa mafukara na
nchi
ikinuka aibu ya umaskini  wa

kijitakia  ikiwa rasilimali nyingi za
asili.
 
 
 
  Wanaomchochea Rais
Kikwete asikubali
mabadiliko yachukue
  mkondo wake, wameunda
timu
ya kampeni yanye wajumbe wengi

waliohusika kumpakazia Lowassa ufisadi wa
Richmond ili
eti
  kwenye
kampeni waendelee kumpaka
ufisadi 
Lowassa, CHADEMA
  na UKAWA
wakidhani Watanzania hawana akili ya
kutafakari.
 
 
 
  Lengo lao ni moja.
Wanajua kabisa kuwa kwa
kutumia sanduku
  huru la CCM  haiwezi

kuchaguliwa. Wanataka kutumia
 
kisingizio 
kuwa  CHADEMA  na UKAWA
imechafuka eti kwa
  kumsimamisha Lowassa
Urais  ambaye CCM
imemtoa karafa –
  kwa kumpakazia ufisadi
wa
Richmond.
 
  Lakini
baada ya kupata salamu za wananchi kupitia
mafuriko
  yao kwenye kumtambulisha Lowassa
kwamba wao
wanaelewa fisadi
  kamili ni CCM, sasa CCM

imeshtuka imeanza kutumia polisi
 
kuwaadhibu
wananchi. Pengine baadaye
itatumia jeshi

kabisa.
 
 


  Zaidi imeamua kujaribu
kampeni za 
ardhini -nyumba kwa
  nyumba, bila shaka
kutumia
mabilioni ya fedha serikali ya
  CCM
ilizokwapua Tegeta escrow kununua shahada na
kura za
  mafukara.
 
 
 
 
Kwenye
kampeni za   nyumba kwa nyumba mtu
kwa mtu ndiko
  ufisadi mbaya wa kisiasa
unakofanyika—kununua, kutisha na

kuumiza    wananchi
mafukara.
 
  Swali ni
je Watanzania wangapi wapiga kura

watakubali CCM
  inapopita majumbani
mwao
kuuza shahada zao  kwa sukari,
  kanga au
fedha hata kama
CCM itaamua kumpa kila mpiga kura
 
shilingi milioni moja?
 

 
 
  Ni
mpiga kura gani atakayekubali KUDANGANYIKA 
kwa
  kununuliwa na  CCM  kwa vijizawadi
vya fedha
nguo KUSALITI 
  mamilioni ya watanzania 

wanaoendelea kuteseka  kwa ufukara
 
kila
baada ya uchaguzi kwisha na CCM kubaki
madarakani?
 
 
 
  Wananchi  pia wanauliza
je mabilioni ya
escrow yatawanunua
  wajumbe wa NEC ili 

wavuruge daftari la wapiga kura, au

wachakachue kama uchaguzi wa 2010  au
wataharibu daftari
la
 
wapiga kura, mashine   na vifaa vya

kupigia kura, au
  kuchelewesha kwa
makusudi
kufungua vituo vya wapiga kura
  ili 
kuvuruga uchaguzi
CCM  ishinde kwa goli la mkono?
 
 
 
 
Kadhalika wananchi wanauliza wanaomshinikiza
Kikwete
  asikubali
mabadiliko wakiona hilo
haliwezekani je
watamuua
  Lowassa waliomtoa
kafara au  viongozi wa CHADEMA na UKAWA

waliompokea Lowassa na
kumwezesha kufikia azma yake ya
  kujitolea
kuwatumikia watanzania  ili
kuvuruga
uchaguziwa
  mwaka huu?
 

 
 
 
Wananchi wanauliza maswali hayo  baada ya

kubaini kwamba
  huenda  wasiomtakia
mema
Kikwete astaafu kwa amani
  wamejaribu
kuwalaghai
baadhi ya viongozi wakuu wa UKAWA ili
 
kujaribu kuvuruga UKAWA – lakini UKAWA kwa
vile ni sauti
  ya
mafukara-sauti ya umma 
imeendelea kuwa
moto mkali wa
  nyika  dhidi
ya CCM.
 

 
 
  Hivyo binafsi
namshauri Rais
Kikwete akubali kuwa baba
wa
  pili wa Taifa
hili
baada ya Nyerere kuondoka. Akubali

kusimamia wananchi watumie sanduku huru la
kura kwenye
  uchaguzi wa mwaka huu 2015
kupata mabadiliko
ya uongozi
  wanayoyataka.


 
 

Wananchi wana imani na
UKAWA   kwamba wakiingia
madarakani
  Katiba mpya inayotokana na maoni
ya wananchi itaandikwa.
 


 
  Huo utakuwa ni mwanzo wa

mabadiliko wanayoyataka


wananchi—kuhakikisha watawala hawajitajirishi
kupindukia
  kufisadi fedha
za wananchi huku
wananchi wengi wakibaki
  mafukara. 
CHADEMA  na
UKAWA  wasipotimiza hili na kuonyesha
 
kwa vitendo maendeleo watakayokuwa

wameyaleta kwa miaka
  mitano, ni lazima
wananchi watatumia sanduku la kura

kuwapunzisha.
 
 
 
  Ninaamini ni wenye kutetea

maslahi binafsi tu ndiye
  atakayemlaumu
Rais
Kikwete kwamba eti CCM
isipochaguliwa

Oktoba 25,
Kikwete atakuwa ni chanzo  cha wananchi

kuamua
  kuipunzisha CCM  kwa miaka
mitano.

 
 
 
 
Nitakuwa wa kwanza kuwapinga watu hao na

kumtetea Kikwete
  hata kama ni kwa
kuamua 
kuingia kwenye siasa  kwa
kujiunga
  na CCM
.
 
  


  Hakika Rais Kikwete 
ukisimamia 
wananchi  wazungumze
kuhusu
  hatma ya
uongozi
wan chi yao kwa kutumia sanduku huru la
 
kura  bila CCM kuingiza  mkono mchafu, wewe
mwenyewe
  ukistaafu utaishi
kwa amani na
furaha huku baadhi yetu
  tukikuona kama baba
wa Pili
Taifa taifa hili, baada ya
  Mwalimu
Nyerere.
 

 
 
  Mwisho ninaruhusu
yeyote
anayetaka kuchapisha au kutangaza
  redioni
natelevisheni
niyoyoyaandika hapa TV au kuchapisha
  na
kuwasambazia Watanzania wote popote walipo

ujumbe huu
  afanye hivyo. Wanawaza
kuwasambazia watu mitaani,
 
kwenyemikutano
ya kampeni, mashuleni vyuoni
popote

pale—lengo
likiwa moja—sote Watanzania tuujue ukweli
  kuhusu ufisadi na mchango wake katika
kuwafanya Watanzania
  waishi
katika
umaskini.   Lakini muhimu kila
Mtanzania ajue
  hakuna mshindi wa
kujisifu—mshindi ni  nchi
yetu
Tanzania
  na  Watanzania  wote.
 
 
 
  MUNGU IBARIKI YANZANIA.
 

 
 
 
Ananilea
Nkya
 
   E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
 
    

   
 
 
    
    
__._,_.___
 
       
     Attachment(s)
  from ananilea nkya
| View

attachments on the
web
    
  
 
 
   
      1 of 1 File(s)



          
   
 
  
           
    
       LOWASSA  KAFARA WA

CCM.docx

  
         
 
    
     
 
    

   
    
     
   Posted by: ananilea
nkya
  <ananilea_nkya@yahoo.com
     
     
     

 

    
         
               
Reply
  via web post
     
                 •

         
  
   
            Reply to
sender     
     
         


            

 
             Reply to group   
       
           •
       
     Start a
New
  Topic
 
         •
       
         
           Messages in
this
  topic
       
         (1)
 
   
                
 
        
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
     Visit Your Group
 

     
      
New
Members
      
2
   


  
 
 
 
  
 
 
• Privacy • Unsubscribe • Terms of
Use
 
 
 
 
 
 
   
 

 
  
  
 


 
 
 

     
 


 
 
   
 

 
   .


 
   


 
 
 
  __,_._,___
 


 
 
 
 
  --
 
 
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
  for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence


statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you
agree
to this
  disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
  Guidelines.


  ---
 


You received this
message because you are subscribed to

the
  Google Groups
"Wanabidii"
group.
 
  To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send

Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email
kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

   




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.






--

Unapokea Email hizi kwa
sababu umejiunga na Jukwaa la

'Mabadiliko'.


Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
mabadilikotanzania@googlegroups.com

 

 

For more
options, visit this group at:

http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

---

You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Mabadiliko Forum" group.

To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.

To post to this group, send
email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.

Visit this group at
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.

To view this discussion on
the web visit
https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAN5khk7sowgC0R%2Bmyb8awOO85DX3-Bnp66JJ6CP6zLGnLnhXTg%40mail.gmail.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment