Tuesday, 28 July 2015

Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU

John.
Unamuongelea Lowasa yupi aliyeutumikia mfumo mbovu upi wa CCM?
Ninayemuongelea mimi ni Lowasa aliyekuwa akikusanya pesa za watu akizitoa makanisani na misikitini. mfumo sawa ulimruhusu. namuongelea Lowasa ambaye katika kukusanya kura za maoni ameonekana kutoa pesa kupindukia. namuongelea Lowasa ambaye wapambe wake ambao lazima ataongozana nao UKAWA ni Chenge, Lostam, Karamagi na wengine. naongelea Lowasa ambaye kila aliyeona anavyotumia pesa alizosema anapewa na marafikizake alijiuliza atawalipaje watu hao ambao hawataendelea kufuatilia malipo yao CCM bali watamfuata atakakokuwa. UKAWA inajiandaaje kumsaidia Lowasa kuwatuliza watu hao?
naongelea hayo na mengine yanayofanana nayo na ndugu John tunapoongelea siasa hatuzungumzii kamali au mchezo wa mpira. Tunaongelea uendeshaji wa nchi kwa manufaa ya watu wote.
Kumbuka watanzania walipokuwa wanajenga imani yao juu ya vyama vya upinzani na UKAWA sasa hawakuwa wanajenga imani yao juu ya bendera za vyama au magwanda wanayovaa. Ni ahadi zilizokuwa zinaonyesha kutambuliwa kwa matatizo yao. naongelea hayo yaliyosemwa na UKAWA.
Kama ni mfumo CCM imeonekana kuufumua ndiyo maana ikamtema Lowasa. Watanzania wanataka mabadiliko. Wakiyakosa ndani ya CCM watayapata nje. S\asa CCM imefanya kazi kubwa. Imefumua mfumo kwa kuanza kuwatema akina Lowasa.
Nawaza kuwa huenda wakayafurahia mabadiliko kwa sababu hawana chuki na CCM ila mfumo. Mfumo ilioanza kuufumua.
Nisaidie John kunielewesha zaidi.

--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:08 PM

najaribu
kuchangia hoja ya comments za Muhingo na Mollel, kwa mtazamo
wangu hili halina shida kwenye siasa. lazima tukubali kwenda
na mabadiliko. upepo wa siasa ndiko huko unakoelekea, lakini
pia tujifunze na siasa za nchi nyingine. wakati Kibaki
alipohama KANU Alisingiziwa ni fisadi lakini akashinda
uraisi, na tunaona siasa za kenya zilivyobadilika baada ya
changamoto za upinzani. maendeleo pia yamepatikana. Ugomvi
wa ufisadi nchini sio wa mtu, ni tatizo la kimfumo. watu
wengi hamtaki kelewa hili. Kwa hiyo tatizo sio Lowasa tatizo
ni mfumo wa chama alichokuwapo kabla ya kuingia UKAWA. kama
alikua ni fisadi kwa nini hadi leo hakuna hatua zozote
zilizochukuliwa dhidi yake? sasa basi kama lowasa anahamia
UKAWA ataendana na mfumo na sera za UKAWA ambazo zinagiga
vita ufisadi wa kimfumo sio wa mtu mojamoja ili kuleta
ustawi kwa watanzania. lengo ni kuleta mabadiliko ya siasa
nchini kwa hiyo kama lengo la UKAWA ni kushika dola njia
iliyotumika ni sahihi. The ends justify the means. Ndugu
Muhingo inabidi upanue fikra kuendena na hali halisi ya
siasa na kuelewa hasa maana ya mageuzi.wasalaamJohn




On Tuesday, July 28,
2015 10:31 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:



Molel nadhani una
matatizo. Toka tumepata uhuru siasa za Tanzania zinasema
maadui wetu ni Ujinga, Maradhi na umaskini. How comes you
are telling people that in Politics we dont have permanent
enemies. It is America that dont have permnent friends
though you can not creat enemities beterrn it and Israel.
usyaly we dont have enemity with people but their
behaviours. Hooligans cant change just because they have
changed memberships of political parties
--------------------------------------------
On Mon, 7/27/15, 'Lesian Mollel' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] UKAWA SUMU HAIONJWI HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA
TU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, July 27, 2015, 2:16 AM

Elisa muhingo,siasa hujui
na hutakaa ujue coz unalazimisha ubongo wako
kwenda
kusikotakiwa mzee,read here
carefully' in politics we
dont have a
permeernent enemy' elewa bro au niweke kwa
kiswahiki sanifu....kwenye siasa hakunaga
uadui wa kudumu
,,,,,,,

Remeber slaa katoka ccm'sasa
lowasa
kuingia chadema ni shida mzee,kwann asiingie ilhali
ni mtanzani na hana hatia yeyote na ana mengi
ambayo anayo
sirini na kibaya zaidi anungwa
na watu wengi ambao nyinyi
hamuwaoni
kabisaaaaa,ila wao wanojua siasa wanaona'stop
your eneminity bropeace and love...usije ufe
na dhambi ya
chuki

Lesian

Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
wrote:

Tuwe
na subira, ccm wameshatangaza wa kwao,

tusubiri na wengine ukawa chadema cuf adc act, na tuone
sera
na ilani ya kila mmoja, hatuwezi
kufanya maamuzi kwa mwali
mmoja aliyechezwa
ngoma wakati wengine bado wako kwa
shangazi
na kungwi.

Hatujazijua
sera za ccm na ilani yao ya
uchaguzi, hivyo
hivyo kwa ukawa na wengine, kipenga

kikishapulizwa na kila mmoja akaanza kujinadi ndipo
tutafanya maamuzi. Tukizidisha makelele
tutawachanganya
wazee wetu, tutulie
kwanza.

2015-07-26 22:51
GMT+03:00
'jbifabusha' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mtalika.
Una mapenzi ya
kupitiliza kwa CCM.
kwani ni lazima UKAWA
kuweka mgombea? Usituchoshe na
ngonjera
zako.
WSent from Samsung

Mobile



-------- Original message
--------
From: 'mpombe mtalika' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

Date: 

To: ELISA
MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

Subject: [wanabidii] UKAWA
SUMU HAIONJWI
HATA SIKU, UKIONJA UTAKUFA TU

 





Sasa ni karibia wiki ya tatu hivi tangu
chama
tawala
kutangaza
mgombea wake wa Urais, Mh. John Pombe Magufuli.





Hapo nyuma
UKAWA walisikika wakitamba kuwa wanamsubiri

kwa
umakini mkubwa mgombea wa CCM, ili
wajipange
kumsambaratisha. Baada ya
uteuzi
wa mgombea wa CCM, UKAWA ni kama
wameingia kizunguzungu na
kigugumizi,
maana
mahesabu yao yamegota vibaya.



Kinachoonejana dhahiri ni kwamba uhai wa UKAWA
unapewa
uhalali tu na makosa ya
chama tawala. Chama tawala kinapo weka mambo
yao safi na kwa
umakini, UKAWA
wanaishiwa hoja na uhalali wa kisiasa, kwa
vile wao wenyewe
hawana unifying
ideology, apart from being reactionary!



Tunachoshudia hivi sasa katika UKAWA,
kushindwa vibaya
kukubaliana juu ya
mgombea wao urais ni kiekelezo tosha kuwa
UKAWA ni utapeli
wa kisiasa kati ya
mambumbumbu wanao wania urais.

Hawajui nni awawakilishe na
hawajui huko wanaenda kufanya
nini.Hii ni
hatari kubwa!

Watu
wanaonadiwa na mamluki wa kibiashara inaelekea
watainunua UKAWA wakati

wowote ule na ni kwa nia moja tu, kukamata dili zote za
dola
ili wanufaike

kiuchumi. Lakini wananchi makini wanaendekea
kugutuka.



Tunajua kuwa hata wapinzani ni watanzania
na huko kuna
watu
makini
kitaifa.

Simpigii debe Dr
Skaa lakini haingii akilini Dr Slaa

kumtangaza Lowassa kuwa
fisadi, halafu kula
matapishi yake bila maelezo na
kumkaribisha
fisadi huyo
huyo kukipigia debe chama
chao.




Maendeleo ya Tanzania ni kuwa na upinzani
makini utakao
sahihisha kama sio
kupiku chama tawala.Kwa ujinga huu wa
kukumbatia ufisadi
ulio temwa na chama
tawala, UKAWA unawakaribisha kina Rosta na
Karamaga and co.
iliwagawane rasilmali
za nchi hii.



Mungu
bariki, mpaka hivi sasa ndani ya UKAWA ni mtafaruku wa
kukaribia
kusambaratika kwani
hawajui wanaenda Ikulu kufanya nini na
kwa
madhumuni gani
kwa mwananchi wa kawaida.



Sumu haionjwi





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment