Tuesday, 28 July 2015

Re: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali

John.
Unamuongelea Lowasa yupi aliyeutumikia mfumo mbovu upi wa CCM?
Ninayemuongelea mimi ni Lowasa aliyekuwa akikusanya pesa za watu akizitoa makanisani na misikitini. mfumo sawa ulimruhusu. namuongelea Lowasa ambaye katika kukusanya kura za maoni ameonekana kutoa pesa kupindukia. namuongelea Lowasa ambaye wapambe wake ambao lazima ataongozana nao UKAWA ni Chenge, Lostam, Karamagi na wengine. naongelea Lowasa ambaye kila aliyeona anavyotumia pesa alizosema anapewa na marafikizake alijiuliza atawalipaje watu hao ambao hawataendelea kufuatilia malipo yao CCM bali watamfuata atakakokuwa. UKAWA inajiandaaje kumsaidia Lowasa kuwatuliza watu hao?
naongelea hayo na mengine yanayofanana nayo na ndugu John tunapoongelea siasa hatuzungumzii kamali au mchezo wa mpira. Tunaongelea uendeshaji wa nchi kwa manufaa ya watu wote.
Kumbuka watanzania walipokuwa wanajenga imani yao juu ya vyama vya upinzani na UKAWA sasa hawakuwa wanajenga imani yao juu ya bendera za vyama au magwanda wanayovaa. Ni ahadi zilizokuwa zinaonyesha kutambuliwa kwa matatizo yao. naongelea hayo yaliyosemwa na UKAWA.
Kama ni mfumo CCM imeonekana kuufumua ndiyo maana ikamtema Lowasa. Watanzania wanataka mabadiliko. Wakiyakosa ndani ya CCM watayapata nje. S\asa CCM imefanya kazi kubwa. Imefumua mfumo kwa kuanza kuwatema akina Lowasa.
Nawaza kuwa huenda wakayafurahia mabadiliko kwa sababu hawana chuki na CCM ila mfumo. Mfumo ilioanza kuufumua.
Nisaidie John kunielewesha zaidi.

--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:10 PM

najaribu
kuchangia hoja ya comments za Muhingo na Mollel, kwa mtazamo
wangu hili halina shida kwenye siasa. lazima tukubali kwenda
na mabadiliko. upepo wa siasa ndiko huko unakoelekea, lakini
pia tujifunze na siasa za nchi nyingine. wakati Kibaki
alipohama KANU Alisingiziwa ni fisadi lakini akashinda
uraisi, na tunaona siasa za kenya zilivyobadilika baada ya
changamoto za upinzani. maendeleo pia
yamepatikana. Ugomvi wa ufisadi nchini sio wa mtu, ni
tatizo la kimfumo. watu wengi hamtaki kelewa hili. Kwa hiyo
tatizo sio Lowasa tatizo ni mfumo wa chama alichokuwapo
kabla ya kuingia UKAWA. kama alikua ni fisadi kwa nini hadi
leo hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake? sasa
basi kama lowasa anahamia UKAWA ataendana na mfumo na sera
za UKAWA ambazo zinagiga vita ufisadi wa kimfumo sio wa mtu
mojamoja ili kuleta ustawi kwa watanzania. lengo ni
kuleta mabadiliko ya siasa nchini kwa hiyo kama lengo la
UKAWA ni kushika dola njia iliyotumika ni sahihi. The ends
justify the means. Ndugu Muhingo inabidi upanue fikra
kuendena na hali halisi ya siasa na kuelewa hasa maana ya
mageuzi.wasalaamJohn




On Tuesday, July 28,
2015 9:55 AM, fadhil fadhil
<fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:


Muhingo nakubaliana na wewe
hata siku moja haki haichanganyani batili ukawa tuliipenda
lakini mafisadi wameipenda zaidi
On Jul 28, 2015 10:00 AM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
anzania
ina mascientist wa ajabu. aweza kujaribu kumhamisha Sangara
kutoka ziwa kubwa kama Victoria na kumuweka katika bwawa la
kuchimbwa na kutarajia humo aishi na kuzaa sana. Kuna
wanaojua kuwa Sangara akishaona jua basi. haishi zaidi ya
masaa. Sasa tusubiri tuone wanasayansi hawa. Waliambiwa
Lowasa hawezi kuteuliwa na CCM kupeperusha bendera yake
kuwania urais. Wakabisha mpaka wengine kuapa kuwa
asipoteuliwa wafe. Wengine wakasema wanaoona kichefuchefu
wale limau. Ikatokea. Sasa wanadhani CCM iliyomkataa
itamruhusu auchukue urahisi kupitia mabwawa ya kuchimbwa.
Nani kasema. Toka lini moja kwon geza moja ikazaa sita?
Hesabu nyingine mbona rahisi. Jamani Watanzania wamechoka
kubahatisha. Wamebahatisha ndani ya CCM wakafika mahala
wakaamua hawatabahatisha tena. Tumaini lilikuwa UKAWA. CCM
ikaona hilo. Najua kuwa kama watanazania wakitaka
kubahatisha tena watabahatisha ndani ya CCM inayoonekanas
kujua watanzania wamechoka nini. Watanzania hawajaichoka

 CCM. Wamezichoka sera zao za kuwavumilia mafisadi.
Haiwezekani mafisadi wakakaribishwa UKAWA ikatarajia kuwa
watanzania watasema sisi na ukawa. hapana. Wakati CCM
inajipinda kuwatimua mafisadi UKAWA inadhani itaendelea kuwa
UKAWA na mafisadi hao. Kifo cha UKAWA hakiwezi kuleta
kishindo kama cha CCM. Hapana. Madereva tunajua. Ukikanyaga
kuku wala gari haliyumbi. UKAWA inakufa

--------------------------------------------

On Sun, 7/26/15, 'mpombe mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:



 Subject: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali

 To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Sunday, July 26, 2015, 7:11 AM







 Kwa

 ufupi



 Washirika wake wataka

 maamuzi sasa, Mkewe, Rostam Aziz wadaiwa

 kumzuia.







 Shinikizo

  dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, la
kumtaka

 akihame

 Chama Cha Mapinduzi (CCM) linazidi kuongezeka na
katika timu

 yake ya

 ndani ni watu wawili tu wanaonekana kumtaka abakie
ndani ya

 chama hicho.







 Habari

  za ndani ya vikao vya kujadili hatua za kuchukuliwa
na

 Lowassa baada ya

  jina lake kukatwa kwenye mchakato wa kugombea urais
kupitia

 CCM,

 zinasema kuwa wandani wake wanaamini kuwa hana
atakachopata

 kama

 ataendelea kubaki kwenye chama hicho

 tawala.







 "Kaka

  sikiliza, inavyoelekea shinikizo dhidi ya Lowassa ni
kubwa

 sana. Watu

 wake wa ndani wanataka aondoke CCM. Wanaona kama

 amedhalilishwa mno,"

 kilisema chanzo chetu ndani ya vikao

 hivyo.







 Chanzo

  hicho kilichoomba kutokutajwa jina kwa sasa, kilisema
kuwa

 watu wake wa

  ndani wanaamini Lowassa akiendelea kubaki CCM
atakuwa

 amewavunja moyo

 wale wote waliompigania, hasa vijana waliojaa
matumaini ya

 kumuona

 akiongoza taifa hili.







 Wandani

  wa Lowassa wanaamini kuwa kama akiamua kujiunga na
chama

 chenye nguvu

 cha upinzani anaweza kutimiza ndoto yake ya
kuwatumikia

 Watanzania kama

 rais wa awamu ya tano.







 Chanzo

  chetu kinasema kuwa Lowassa mwenyewe amekwisha
kuamua

 kufanya uamuzi

 mgumu, ila kuna msuguano juu ya namna ya kuondoka

 CCM.







 Taarifa

  zaidi zinasema kuwa watu wawili katika timu ya ndani
ya

 Lowassa ndio

 wanaelekea kuwa na mawazo tofauti. Hawa ni Rostam
Aziz,

 mwanasiasa na

 mfanyabiashara mashuhuri nchini na mtu mwingine

 anayetofautiana na

 mkakati huu mpya wa kung'oka CCM ni mkewe, Mama
Regina

 Lowassa.







 Chanzo

  chetu kinasema kuwa wawili hao wanaamini mapigo
ambayo

 Lowassa

 amekumbana nayo ni mengi na yanatosha, kwa maana
hiyo

 ingefaa tu

 apumzike.







 "Sijui

  ni kwa nini RA (Rostam Aziz) anakuwa skeptical
(shaka). Si

 unakumbuka

 ndiye aliyesema amechoshwa na siasa uchwara... sasa
sijui

 kwa nini

 anapunguza makali," chanzo

 kilisema.







 Hata

  hivyo, vyanzo vyetu vinaongeza kuwa pamoja na
upinzani huo

 Lowassa

 anadaiwa kuwa amekwisha kuamua na kinachosubiriwa sasa
ni

 muda tu wa

 kutamka anakokwenda.







 Wakati

  hali ikiwa hivyo ndani ya kambi ya Lowassa, kuna
taarifa za

 kuaminika

 kuwa kumekuwa na mashauriano baina ya watu wake na
viongozi

 waandamizi

 wa kambi ya upinzani juu ya mwelekeo wake wa

 kisiasa.







 Mwandani

  mwingine katika kambi ya Lowassa alisema kimsingi
yeye

 (Lowassa)

 amekwisha kuamua, anachofanya ni kuona kwamba watu
wake wa

 karibu

 hawadhuriki na uamuzi wake huo.







 Chanzo

  hicho kiliiambia NIPASHE kuwa wenye msimamo mkali
katika

 kambi ya

 Lowassa wanaamini utabiri wa Baba wa Taifa Mwalimu
Nyerere

 kuwa upinzani

  utatoka ndani ya CCM utatimia mwaka

 huu.







 "Mnakumbuka ya Mrema

 (Augustino) alipoondoka CCM siasa za Tanzania
zilibadilika

 mpaka leo? Sasa safari hii ni zaidi,"

 alisema.







 Takriban wiki mbili sasa,

 Lowassa amekuwa na jambo kubwa moyoni analitaka
kuwaambia

 Watanzania.







 Mara

  ya kwanza alikuwa afanye mkutano na waandishi wa
habari

 Julai 13 mwaka

 huu mjini Dodoma majira ya asubuhi, lakini mkutano
huo

 ukahamishiwa Dar

 es Salaam ambako pia ukaahirishwa kwa muda

 usiojulikana.



 Tangu wakati huo kumekuwa

 na tetesi kuwa alikuwa atangaze kujiondoa

 CCM.







 Lowassa

  ni miongoni mwa makada 38 waliojitosa kuwania
kuteuliwa

 kuwa wagombea

 wa nafasi ya urais wa CCM katika uchaguzi mkuu
utakaofanyika

 Oktoba 25,

 mwaka huu. Hata hivyo, jina lake halikuwamo katika
orodha ya

 makada

 watano waliopitishwa kwenye vikao vya juu vya chama
hicho

 ambavyo

 mwishowe vilimteua John Pombe Magufuli kuwa mgombea
urais

 atakayekabiliana na wagombea wa upinzani katika
uchaguzi

 mkuu huo.







 CHANZO:

 NIPASHE







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to
this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed
to the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment