Mwandumbya,
Kwa hili umenena vema sana maisha yanabadilika sana pamoja na vipaumbele vyake!
Kwa mfano sasa huwezi kumpeleka mwanao shule bila viatu eti kwa sababu kipindi kile wewe(mzazi) ulienda shule bila viatu.............Mazingira na muda ndo vinapelekea yote haya..... twende nayo
On Tuesday, January 20, 2015 3:09 PM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Juma;
Kupanga ni kuchagua na mara nyingi katika maisha ya sasa watu wanazingatia sana vipaumbele vyao kulingana na kero na mazingira wanayoishi.
Jiji la salidalama suala la usafiri ni mojawapo ya kero kubwa sana mtu akiitatua anapata angalau ahueni. Kutumia Public transport salidalama ni pasua kichwa na hasa mida ya kwenda na kurudi majumbani,ukiwa na heshima zako huwezi kuingia kwenye daladala kupitia dirishani tena kila siku mara mbili!!
Hivyo ukiwa na nafasi unaona bora ubaki na kero moja ya kufoleni lkn ukiwa ndani ya gari yako,sidhani kama kijana aliyepo foristance Nkansi sumbawanga na kazi yake ni sawa na yule wa Dar kama watakuwa na vipaumbele vinavyofanana.
Reuben
On Tuesday, January 20, 2015 3:01 AM, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
--VIJANA NA MAGARI YA MIKOPOVijana wengi wakiingia kwenye soko la ajira kitu cha kwanza wanachofikiria kufanya ni kununua gari. Kuna wachache wanazichanga na kununua gari lakini wengi wao wamenunua magari kwa mkopo, Vijana wengi hapa mujini wanaendesha magari ya mkopo. Utakuta mtu badala ya kuchukua mkopo ili afungue biashara ya kumuingizia kipato, wao wanakopa magari ili waonekane wapo juu kimaisha. Gari lenyewe unalolikopa badala likuingizie kipato lenyewe ndio linakukaanga, kila siku lazima uliingize sheli kununua mafuta, kila mwezi lazima mshahara wako ukatwe kulipia gari ulilokopa, gari lenyewe nalo linahitaji kufanyiwa service. Watu wanafanya kazi, wanalipwa kipato kizuri lakini mishahara yao haiwatoshi kwasababu ya magari waliokopa.Mtu unachukua mkopo wa gari wakati unaishi nyumba ya kupanga na huna hata kipande cha ardhi cha kujenga choo.. Pumbavu... Kwanini usichukue mkopo ukanunua ardhi ukaanza kujenga nyumba yako taratibu?? au kwanini usichukue mkopo ukafanya biashara ili upate njia nyingine ya kujiingizia kipato?? Shida ya vijana mlio wengi, mademu mnakopa magari kuwaringishia mashoga zenu mtaani na wanaume mnakopa magari ili muwapate kiurahisi mademu coz hapa mujini kama una gari ukitongoza demu hakatai... Wengi mnakopa magari eti kwasababu hamtaki kupanda daladala
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment