Ushauri wako ni mzuri lakini kila rika na kila mtu ana kitu ambacho akikifanya roho yake inasuuzika. Kama ulivyowaita vijana ni sahihi kabisa kufanya hivyo kwa sababu ya umri. Tupo ambao hatukukopa magari wala nini na nyumba hatukujenga. Yapo mambo mengi ambayo ukiwa kijana usipoyafanya utakuwa na kasoro nafikiri hata wewe ni mmojawapo.
Ukiyakumbuka kwa sasa unaona ulikuwa utoto, lakini kwa wakati ule yalikuwa ni ya lazima. waache wakikua wataacha wenyewe.Kujenga ni mradi wa muda mrefu na gharama yake ni kubwa kuliko gharama ya kununua gari.
Ni heri wakayanunua hayo magari roho zao zikasuuzika ili wapate kuishi miaka mingi kuliko kujibana kupindukia hadi kupunguza siku za kuishi. Hili jambo ni paradoxical ni vyema tukaliangalia kwa upana wake kuliko lilivyo--2015-01-20 14:01 GMT+03:00 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>:--VIJANA NA MAGARI YA MIKOPO
Vijana wengi wakiingia kwenye soko la ajira kitu cha kwanza wanachofikiria kufanya ni kununua gari. Kuna wachache wanazichanga na kununua gari lakini wengi wao wamenunua magari kwa mkopo, Vijana wengi hapa mujini wanaendesha magari ya mkopo. Utakuta mtu badala ya kuchukua mkopo ili afungue biashara ya kumuingizia kipato, wao wanakopa magari ili waonekane wapo juu kimaisha. Gari lenyewe unalolikopa badala likuingizie kipato lenyewe ndio linakukaanga, kila siku lazima uliingize sheli kununua mafuta, kila mwezi lazima mshahara wako ukatwe kulipia gari ulilokopa, gari lenyewe nalo linahitaji kufanyiwa service. Watu wanafanya kazi, wanalipwa kipato kizuri lakini mishahara yao haiwatoshi kwasababu ya magari waliokopa.
Mtu unachukua mkopo wa gari wakati unaishi nyumba ya kupanga na huna hata kipande cha ardhi cha kujenga choo.. Pumbavu... Kwanini usichukue mkopo ukanunua ardhi ukaanza kujenga nyumba yako taratibu?? au kwanini usichukue mkopo ukafanya biashara ili upate njia nyingine ya kujiingizia kipato?? Shida ya vijana mlio wengi, mademu mnakopa magari kuwaringishia mashoga zenu mtaani na wanaume mnakopa magari ili muwapate kiurahisi mademu coz hapa mujini kama una gari ukitongoza demu hakatai... Wengi mnakopa magari eti kwasababu hamtaki kupanda daladala
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment