Thursday, 4 December 2014

Re: [wanabidii] offer, kiwanja 2m

Ipo Pugu, sehemu inaitwa Kirumba, mtaa wa Station. Kiwanja cha pembeni kina ukubwa wa 20 na nyumba ni ya vyumba vitatu na varanda.
Nitafute kwenye email na namba ya simu ni 0754-805111
--------------------------------------------
On Thu, 12/4/14, 'DAVIS FABIAN' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] offer, kiwanja 2m
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, December 4, 2014, 2:51 PM

Ndugu
lucas, iko wapi hiyo nyumba?
Weka
mawasiliano yako watu wakutafute.
Davis



On Thursday,
December 4, 2014 11:47 AM, 'lucas haule' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Jamani mbona nyumba
yangu hamjisikii kuinunua, mnakosa vimilioni 30 jamani,
pembeni kuna kiwanja cha ukubwa wa kutosha kujenga nyumba
nyingine kubwa.
--------------------------------------------
On Wed, 12/3/14, Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] offer, kiwanja 2m
To:
"wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, December 3, 2014, 10:47 AM

Kiwanja cha aina
hii kisichokuwa na maelekezo sahihi, si ajabu,
kiko kwenye
eneo linalokumbwa na
mafuriko!

Kingine,
Molel,
tulishakushauri, kwa vile kazi hii
inaonekana kama ndio
ajira yako, basi,
unapotoa taarifa, tulia, na andika kwa

utulivu ili watu wakuelewe. Ndio, tunajua mwisho wa mwaka
unakaribia na pilika zake ni nyingi, pamoja na
mahitaji ya
fedha ni mengi, lakini sio kwa
staili hii.

Please, be
serious with your work, specific, and to the
point.

Maana kwa
ujumbe
wako, mtu anaweza akakufuata, kisha,
kama walivyo madalali
wengine, utamwambia,
kabla sijakubeleka kwenye eneo husika,
nipe
ujira wangu au kamisheni yangu ya kukuonyesha au kama
mnavyoita wenyewe, kifunga uchumba. Kumbe
nyuma ya pazia kwa
sababu ulizozijua
mwenyewe, hukutaka kuziweka wazi, unenda
na
mteja wako kuona eneo husika, kumbe liko bondeni, kwenye
mkondo wa maji, au halifikiki kwa barabara, au
liko mbali,
uswekeni kusikofikika kirahisi!
Mteja, anakwazika, lakini,
wewe
unashangilia, maana umeshamvuna kifunga uchumba!

Yalishanikuta, na
nimepitia kwa madalali kupata huduma msingi
mji huu, na
inauma ukiona mnavyotengeneza
fedha kwa jasho jembamba na
wakati mwingine
mnalazimisha kupata fedha hata msizostahili.
Nisiongee sana, ila, kuwa makini na kazi
yako.







--

Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment