Tuesday, 28 July 2015

Re: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali

John. Kujiengua kwa Lowasa kuna faida nyingi. kati ya faida hizo licha ya mvuto unaousema hakutaisaidia UKAWA kulishika dola hili. badala yake chances za kushika dola zimepotea kuliko ingetumia wanachama wake kwa ngazi ya urais.
Kwa habari za CCM kuanza kujirekebisha kuko wazi. naamini toka Kinana kuingiz kazini tumeshuhudia mabadiliko fulani. Yapo mengi ambayo yanahitaji kufanyika kufumua mfumo huu lakini utakumbuka kuwa Kikwete alilazimika kupewa nafasi ya kugombea urais just because he was 'popular'. Kiasi cha kutompitisha Lowasa licha ua popularity yake ni ishara ya mabadiliko.
Mabadiliko tuliyo yatarajia kuletwa na ukawa yalitegemewa kuwa makubwa zaidi. Sasa hamna aisee. Nina deadlines lakini naufurahia mjadala huu
--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 2:37 PM

Muhingo
unasema...'Kama
ni mfumo CCM imeonekana kuufumua ndiyo maana ikamtema
Lowasa....' sidhani kama hii ni sahihi. Yaani kwa
kumtema Lowassa ndio imefumua mfumo. Sijui lini wameanza
kuufumua huo mfumo wa ufisadi -past
habits die hard. Kweli tunapoongolea siasa tunaongelea
uendeshaji wa nchi, sio kamari, lakini ni muhimu kuwa na
madiliko makubwa ya kimfumo katika huo uendeshaji. Maana ni
miaka zaidi ya hamsini tumekua na mfumo ambao umezidi
kutuletea umaskini. Kwa hiyo ni wakati sasa wa
kubadilisha. Tuko kwenye vita kwa hiyo si busara kuchagua
silaha kupigana na adui yako. Mimi mtazamo wangu uko zaidi
katika kuleta mabadiliko ya uendeshaji wa nchi. Lakini
kumbuka Lowasa alipokatwa hakuna mtu CCM aliyethubutu kusema
sababu ya kukatwa kwake, lakini pia sikatai anazo kashfa za
ufisadi kama walivyo wanasiasa wengine. Ni 'kashfa'.
Kama lowasa atahamia UKAWA na hao wengine uliowataja na
kama watapokelewa na UKAWA hatujalijua bado. Ila kwa sasa
tumjadili Lowasa kama ni mtu sahihi kwa UKAWA au la. Lakini
lowasa pamoja na kashfa zake bado ni mwanasiasa mwenye mvuto
kwa sasa (ana wafuasi wengi wanaoangalia mazuri yake), na
ndio maana UKAWA wamevutiwa nae wakijua mapungufu yake.
lakini pia tusisahau utendaji wake na uthubutu wake katika
kutenda, sitaki kueleza hapa mfano wa mazuri aliyoyatenda
wengi wanayafahamu. Tuzidi
kutafakari! John




On Tuesday, July 28,
2015 12:49 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:



John.
Unamuongelea Lowasa yupi aliyeutumikia mfumo
mbovu upi wa CCM?
Ninayemuongelea mimi ni
Lowasa aliyekuwa akikusanya pesa za watu akizitoa makanisani
na misikitini. mfumo sawa ulimruhusu. namuongelea Lowasa
ambaye katika kukusanya kura za maoni ameonekana kutoa pesa
kupindukia. namuongelea Lowasa ambaye wapambe wake ambao
lazima ataongozana nao UKAWA  ni Chenge, Lostam, Karamagi
na wengine. naongelea Lowasa ambaye kila aliyeona
anavyotumia pesa alizosema anapewa na marafikizake
alijiuliza atawalipaje watu hao ambao hawataendelea
kufuatilia malipo yao CCM bali watamfuata atakakokuwa. UKAWA
inajiandaaje kumsaidia Lowasa kuwatuliza watu hao?
naongelea hayo na mengine yanayofanana nayo na
ndugu John tunapoongelea siasa hatuzungumzii kamali au
mchezo wa mpira. Tunaongelea uendeshaji wa nchi kwa manufaa
ya watu wote.
Kumbuka watanzania walipokuwa
wanajenga imani yao juu ya vyama vya upinzani na UKAWA sasa
hawakuwa wanajenga imani yao juu ya bendera za vyama au
magwanda wanayovaa. Ni ahadi zilizokuwa zinaonyesha
kutambuliwa kwa matatizo yao. naongelea hayo yaliyosemwa na
UKAWA.
Kama ni mfumo CCM imeonekana kuufumua
ndiyo maana ikamtema Lowasa. Watanzania wanataka mabadiliko.
Wakiyakosa ndani ya CCM watayapata nje. S\asa CCM
imefanya kazi kubwa. Imefumua mfumo kwa kuanza kuwatema
akina Lowasa.
Nawaza kuwa huenda
wakayafurahia mabadiliko kwa sababu  hawana chuki na CCM
ila mfumo. Mfumo ilioanza kuufumua.
Nisaidie
John kunielewesha zaidi.

--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'john msinde' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] Lowassa apigwa shinikizo kali

To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 12:10 PM

najaribu

kuchangia hoja ya comments za Muhingo na Mollel, kwa
mtazamo
wangu hili halina shida kwenye
siasa. lazima tukubali kwenda
na
mabadiliko. upepo wa siasa ndiko huko unakoelekea, lakini
pia tujifunze na siasa za nchi nyingine.
wakati Kibaki
alipohama KANU Alisingiziwa
ni fisadi lakini akashinda
uraisi, na
tunaona siasa za kenya zilivyobadilika baada ya
changamoto za upinzani. maendeleo pia
yamepatikana. Ugomvi wa ufisadi nchini sio wa
mtu, ni
tatizo la kimfumo. watu wengi
hamtaki kelewa hili. Kwa hiyo
tatizo sio
Lowasa tatizo ni mfumo wa chama alichokuwapo
kabla ya kuingia UKAWA. kama alikua ni fisadi
kwa nini hadi
leo hakuna hatua zozote
zilizochukuliwa dhidi yake? sasa
basi kama
lowasa anahamia UKAWA ataendana na mfumo na sera
za UKAWA ambazo zinagiga vita ufisadi wa
kimfumo sio wa mtu
mojamoja ili kuleta
ustawi kwa watanzania. lengo ni
kuleta
mabadiliko ya siasa nchini kwa hiyo kama lengo la
UKAWA ni kushika dola njia iliyotumika ni
sahihi. The ends
justify the means. Ndugu
Muhingo inabidi upanue fikra
kuendena na
hali halisi ya siasa na kuelewa hasa maana ya
mageuzi.wasalaamJohn

 


      On Tuesday, July 28,

2015 9:55 AM, fadhil fadhil
<fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
   

  Muhingo nakubaliana na wewe

hata siku moja haki haichanganyani batili ukawa
tuliipenda
lakini mafisadi wameipenda
zaidi
On Jul 28, 2015 10:00 AM,
"'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
anzania
ina
mascientist wa ajabu. aweza kujaribu kumhamisha Sangara
kutoka ziwa kubwa kama Victoria na kumuweka
katika bwawa la
kuchimbwa na kutarajia humo
aishi na kuzaa sana. Kuna
wanaojua kuwa
Sangara akishaona jua basi. haishi zaidi ya

masaa. Sasa tusubiri tuone wanasayansi hawa. Waliambiwa
Lowasa hawezi kuteuliwa na CCM kupeperusha
bendera yake
kuwania urais. Wakabisha mpaka
wengine kuapa kuwa
asipoteuliwa wafe.
Wengine wakasema wanaoona kichefuchefu
wale
limau. Ikatokea. Sasa wanadhani CCM iliyomkataa
itamruhusu auchukue urahisi kupitia mabwawa ya
kuchimbwa.
Nani kasema. Toka lini moja kwon
geza moja ikazaa sita?
Hesabu nyingine
mbona rahisi. Jamani Watanzania wamechoka

kubahatisha. Wamebahatisha ndani ya CCM wakafika mahala
wakaamua hawatabahatisha tena. Tumaini
lilikuwa UKAWA. CCM
ikaona hilo. Najua kuwa
kama watanazania wakitaka
kubahatisha tena
watabahatisha ndani ya CCM inayoonekanas

kujua watanzania wamechoka nini. Watanzania hawajaichoka

 CCM. Wamezichoka sera zao
za kuwavumilia mafisadi.
Haiwezekani
mafisadi wakakaribishwa UKAWA ikatarajia kuwa
watanzania watasema sisi na ukawa. hapana.
Wakati CCM
inajipinda kuwatimua mafisadi
UKAWA inadhani itaendelea kuwa
UKAWA na
mafisadi hao. Kifo cha UKAWA hakiwezi kuleta
kishindo kama cha CCM. Hapana. Madereva
tunajua. Ukikanyaga
kuku wala gari
haliyumbi. UKAWA inakufa


--------------------------------------------

On Sun, 7/26/15, 'mpombe
mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:




 Subject: [wanabidii] Lowassa apigwa
shinikizo kali

 To:
"ELISA MUHINGO' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Sunday, July 26,
2015, 7:11 AM







 Kwa

 ufupi




 Washirika wake wataka


 maamuzi sasa, Mkewe, Rostam Aziz wadaiwa


 kumzuia.







 Shinikizo


  dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, la
kumtaka


 akihame

 Chama Cha
Mapinduzi (CCM) linazidi kuongezeka na

katika timu

 yake ya

 ndani ni watu wawili tu
wanaonekana kumtaka abakie
ndani ya

 chama hicho.







 Habari


  za ndani ya vikao vya kujadili hatua za
kuchukuliwa
na

 Lowassa baada ya

  jina lake kukatwa kwenye mchakato wa
kugombea urais
kupitia

 CCM,


 zinasema kuwa wandani wake wanaamini kuwa hana
atakachopata

 kama


 ataendelea kubaki kwenye chama hicho

 tawala.









 "Kaka

  sikiliza,
inavyoelekea shinikizo dhidi ya Lowassa ni

kubwa

 sana. Watu

 wake wa ndani wanataka
aondoke CCM. Wanaona kama


 amedhalilishwa mno,"

 kilisema chanzo chetu ndani ya vikao

 hivyo.








 Chanzo

 
hicho kilichoomba kutokutajwa jina kwa sasa, kilisema
kuwa

 watu
wake wa

  ndani
wanaamini Lowassa akiendelea kubaki CCM

atakuwa

 amewavunja
moyo

 wale wote
waliompigania, hasa vijana waliojaa

matumaini ya

 kumuona

 akiongoza taifa hili.







 Wandani


  wa Lowassa wanaamini kuwa kama akiamua
kujiunga na
chama

 chenye nguvu

 cha upinzani anaweza kutimiza ndoto yake
ya
kuwatumikia

 Watanzania kama

 rais wa awamu ya tano.







 Chanzo

 
chetu kinasema kuwa Lowassa mwenyewe amekwisha
kuamua


 kufanya uamuzi

 mgumu,
ila kuna msuguano juu ya namna ya kuondoka


 CCM.









 Taarifa

  zaidi
zinasema kuwa watu wawili katika timu ya ndani
ya


 Lowassa ndio


 wanaelekea kuwa na mawazo tofauti. Hawa ni Rostam
Aziz,


 mwanasiasa na


 mfanyabiashara mashuhuri nchini na mtu mwingine

 anayetofautiana na

 mkakati huu mpya wa
kung'oka CCM ni mkewe, Mama
Regina

 Lowassa.








 Chanzo

 
chetu kinasema kuwa wawili hao wanaamini mapigo
ambayo


 Lowassa

 amekumbana
nayo ni mengi na yanatosha, kwa maana

hiyo

 ingefaa tu

 apumzike.








 "Sijui

  ni kwa nini RA (Rostam Aziz) anakuwa
skeptical
(shaka). Si

 unakumbuka

 ndiye aliyesema amechoshwa na siasa
uchwara... sasa
sijui

 kwa nini


 anapunguza makali," chanzo

 kilisema.








 Hata

  hivyo, vyanzo vyetu
vinaongeza kuwa pamoja na
upinzani huo

 Lowassa


 anadaiwa kuwa amekwisha kuamua na
kinachosubiriwa sasa
ni


 muda tu wa

 kutamka anakokwenda.







 Wakati

 
hali ikiwa hivyo ndani ya kambi ya Lowassa, kuna
taarifa za


 kuaminika

 kuwa
kumekuwa na mashauriano baina ya watu wake na
viongozi


 waandamizi

 wa kambi
ya upinzani juu ya mwelekeo wake wa

 kisiasa.









 Mwandani

  mwingine
katika kambi ya Lowassa alisema kimsingi

yeye

 (Lowassa)

 amekwisha kuamua,
anachofanya ni kuona kwamba watu
wake wa

 karibu


 hawadhuriki na uamuzi wake huo.







 Chanzo


  hicho kiliiambia NIPASHE kuwa wenye
msimamo mkali
katika

 kambi ya


 Lowassa wanaamini utabiri wa Baba wa Taifa Mwalimu
Nyerere


 kuwa upinzani

 
utatoka ndani ya CCM utatimia mwaka

 huu.








 "Mnakumbuka ya Mrema

 (Augustino) alipoondoka CCM siasa za
Tanzania
zilibadilika

 mpaka leo? Sasa safari hii ni
zaidi,"


 alisema.







 Takriban
wiki mbili sasa,


 Lowassa amekuwa na jambo kubwa moyoni analitaka
kuwaambia


 Watanzania.







 Mara

  ya kwanza alikuwa afanye
mkutano na waandishi wa
habari

 Julai 13 mwaka

 huu mjini Dodoma majira ya
asubuhi, lakini mkutano
huo

 ukahamishiwa Dar

 es Salaam ambako pia
ukaahirishwa kwa muda


 usiojulikana.



 Tangu wakati huo
kumekuwa

 na tetesi kuwa
alikuwa atangaze kujiondoa

 CCM.








 Lowassa

  ni miongoni
mwa makada 38 waliojitosa kuwania

kuteuliwa

 kuwa
wagombea

 wa nafasi ya
urais wa CCM katika uchaguzi mkuu

utakaofanyika

 Oktoba
25,

 mwaka huu. Hata
hivyo, jina lake halikuwamo katika
orodha
ya

 makada

 watano waliopitishwa
kwenye vikao vya juu vya chama
hicho

 ambavyo


 mwishowe vilimteua John Pombe Magufuli
kuwa mgombea
urais

 atakayekabiliana na wagombea wa upinzani
katika
uchaguzi

 mkuu huo.









 CHANZO:

 NIPASHE







 --



 Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email
kwenda




 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone
posting to this Forum bears the sole

responsibility

 for any
legal consequences of his or her postings, and
hence


 statements and facts must be presented responsibly.
Your


 continued membership signifies that you agree to
this


 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.




 ---




 You
received this message because you are subscribed
to the


 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---

You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this
group and stop receiving emails
from it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


     




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment