Mollel watu hawamshambulia lowasa kama unavyofikiri isipokuwa wahahifu yakuwa amekuwa akitumia nguvu kubwa na gharama nyingi sana sasa kinachohojiwa harakati za huyo mheshiwa wako ni urais au kuna kingine nyuma ya pazia.
Lingine hebu angali waliomzunguuka katika hizo harakati zake je ni watu sahihi?
On Jun 24, 2015 1:44 AM, "'Lesian Mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- Mimi sion issue hapa kiwasila at all hii pekee haitosh kumdisqualify lowasa,monduli iko mbali kimaendeleo lakin hakuwez kuchange koote....
Ukiwa unaenda kibaha tu hap mbele kiluvya utaona nyumba kibao za tope does it mean mnyika hfai' kawasila hakimungu juz nilikua natembelea walum kuwapa loan zetu,nafanya kaz taasis moja ya kibenki ya serikali nilipofika shule moja ndugumbi nikakuta darasa la tano nje wamekaa chini wote na mwalim kaakaa kat kati anasimamia halafu mtihank,shuke ya magomeni kat kati ya mjin,dada usijifanye mzungu bana watanzania kibao maisha bado.....nilikua kijijin kwa pinda na pengo madarasa kibao wako chini,hakuna road,hakuna maji,hakuna hata umeme au hata mirad kama hy ya wfp,usiseme as if mimi ni wa mjini nakuambia hv bora jangwa la monduli kuliko maeno yenye kila aina ya resources lakin hakuna kitu lakin nyie mnamshambulia edwad tu kila kukicha,why not pinda,why not wasira or even membe jamaniii....
Mondule wamejitahid
By the way utafiti sjui report skuisoma sana coz sion dat bring data here kupima maendeleo kimajimbo kwa kila mtangza nia ndipo tujudge watu si mkurupuke tu na data fake hpa thats just a small biased report to show negative side of lowasaa,mmmmmh mtahukumiwa
Acha dada as researcher argue with analytical data,do comprison,do not bias pleease
Mollel
Team lowasa,who never go back easily with poor logics
Lesian
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Salum, Zawadi hi hapa ya Lesian Mollel Mmaasai Team Lowasa imeambatishwa. Tunachosema tu ni kwamba: Vijiji na majimbo yetu yana matatizo mengi ambayo yanatatulika kwa sisi kujituma kuwahamasisha ndugu zetu. Wabunge wengi wamegombania katika maeneo ya makabila au chimbuko lao. Kijijini kwako kukoje kama kwingine mbali. Ni cha mfano? Hawana matatizo ya majengo ya shule, vyoo , nyumba duni, uharibifu mazingira, kuchomeana mashamba kwa wivu eti utavuna sana miwa au miti ya mbao. Kunywa maji machafu na uharibifu mazingira ya mito, maziwa, bwawa. Kuchangia maendeleo budi zamani tukisomeshwa bure na hela za nchi za kikomunisti au za marafiki zetu wakishindana. Sasa ni wao hawataki wanataka tujigharimie kwa gkodi zetu hakuna dezo tena. Kama umeshindwa kuonyesha mfano jimboni-utaonyeshaje kitaifa? kama umeshindwa kama Diwani-utawezaje ukiwa mbunge? Tujisahihishe tusiahidi Mana ya Jangwani waliyopewa waisraeli. Hebu angalia hapa Kango zawadi ya Mollel.
> Tunayoyaongea ni haya sio kumchukia mtu-hapana. Tunataka tuchague kwa vidhibiti vya utendaji tuone angalau mifano ya jimboni kwako. Kama ni gesi, madini-mbona tanzania yapo mengi? Mafia tulikuta visima vya mafuta ya petroli minara yake ya toka 1956 na hayajachimwa na alituletea grid reference msichana wa kizungu toka UK ambaye baba yake alikuwa administrator huko. Tukatumia GPS tukafika. tuna mengi sana nchi hii-ubinafsi tu na uvivu, uongo, visasi, kutokujituma na kutokuona mbali, kutaka rahisi rahisi; ubishi na ushindani usiotija, kubweteka-hata football tunashindwa-kisa KOCHA. Kocha ndio acheze afunge magoli, akukimbize ufanye mazoezi usijali sana michepuko na pombe! Fukuzeni hata kocha kumi inakula kwetu tu kufungwa daima-hatujitumi!! Na hivyo-hata tubadili Rais mia-kama hatujitumi na kukubali ukweli, kuwa wabunifu, waaminifu ktk kutumikia jamii; kupenda kuendeleza makwetu sio kuiba na kuleta vya wenzetu tutumie makwetu-tutarudi nyuma daima.
>
>Inaumiza kuona-tuna kila kitu lakini tupo hapa tulipo tunategemea ajaye atuletee! Nao baadhi wanatoa ahadi ya kutuletea sio kutuburuza, kukamata kufunga na kurejesha hela za mikopo waliopewa kufufua viwanda na mashamba wakajenga nyumba wanazopangisha kwa midola. Kuhakikisha kila mwananchi anashughuli ya kufanya, kijijini ana nyumba na choo bora na anajituma. Mijini tuondoe hawa vijana na mijibaba kibao barabarani inatembeza vitu na bidhaa kutandaza njiani. Wenye hela wafungue mashamba, kujengwe nyumba na processing industries wawe huko sio barabarani mbona maduka ya vifaa hivyo yapo? Tunahitaji Rais zaidi ya Dictator wa nchi jirani.
>
> On Mon, 22/6/15, 'salumkango' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Subject: Re:
> [wanabidii] LOWASA KIZAAZA,(BODA BODA WAPINGA JARIBIO LA
> KUTAKA KUDHULUMIWA UJIRA WAO)
> To:
> "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Monday, 22 June, 2015, 12:51
>
> Dada Hildegard huwa unaongea
> ukweli mpaka watu
> wengine wanachukia. Lkn
> pia ni mmoja kati ya wanawake jasiri
>
> mnaoweza kutetea hoja zenu kwa vielelezo sahihi visivyo
> shaka ndani yake.
>
> Mungu akubariki sana
>
>
>
> Sent from
> my Samsung Galaxy smartphone.
>
>
> -------- Original message
> --------
> From: 'Hildegarda
> Kiwasila' via Wanabidii
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date:22/06/2015 11:15 AM (GMT+03:00)
>
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Cc:
> Subject: Re:
> [wanabidii] LOWASA KIZAAZA,(BODA BODA WAPINGA
> JARIBIO LA KUTAKA KUDHULUMIWA UJIRA WAO)
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> for any legal consequences
> of his or her postings, and hence
>
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree
> to this
> disclaimer and pledge to abide by
> our Rules and Guidelines.
>
>
> ---
>
> You received this
> message because you are subscribed to the
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
> To unsubscribe from this group and stop
> receiving emails
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment