Asante sana kwa photo na taarifa nzuri.Ila huyo mwenye koti la kijani, refu, nimeona ni kama Lister Elia, ambye ni mwanamuziki wa kwao mrehemu Patrick Balisidya.Labda kwa kuwa watu wawiliwawili duniani.Na kwa kuwa simfahamu Abbu Omar.
Keep it up wanamuziki wetu huko utafutoni.
SB
--------------------------------------------
On Thu, 3/26/15, msema kweli <msemakweli2007@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] WAKONGWE WA DANSI ABBU OMAR NA FRESH JUMBE WAISHIO JAPAN WAMPA SHAVU ALLY CHOKI
To: "msema kweli" <msemakweli2007@gmail.com>
Date: Thursday, March 26, 2015, 10:23 PM
WAKONGWE WA
DANSI ABBU OMAR NA FRESH
JUMBE WALIVYO BARIKI ONYESHO LA ALLY CHOKI KULE
TOKYO,JAPAN
Imeripotiwa na Hiroshi
TakeuchiTokyo,Japan,Wanamuziki wa kongwe wa muziki
wadansi Abbu Omar Njenga aka Abbu Omar na Fresh Jumbe Mkuu
wenye ngome yao nchini Japan,siku ya jumamosi 21 Machi 2015
walitia fora kwa kushiriki jukwaani na kumpa baraka zote
mwanamuziki Ally Choki katika onyesho lililofanyika katika
ukumbi wa Sonudai-Kanagawa
Prefecture, Sagamihara City,Tokyo
,Japan.Wakongwe hao waliobobea katika muziki kwa
maiaka mingi Abbu Omar Njenga mpiga gitaa au mpini na mtunzi
aliyewahi kutamba na bendi za UDA JAZZ na mwaka 1981
alijiunga na Simba wa Nyika nchini Kenya na hatimaye
kujikita nchini Japan kwa miaka mingi na mwenziwe mkongwe
Fresh Jumbe Mkuu aliewahi kuwa mwimbaji mtunzi wa bendi za
Dar International (Super Bomboka),DDC Mlimani Park
"Sikinde na pia Juwata Jazz band aka Msondo Ngoma
,wakongwe hawa ni mfano wa kuigwa pamoja na
kuwawameliteka soko la muziki wa kiafrika nchini
japani na kungineko lakini wapo
mstariwa mbele kuwaunga mkono na kuhakikisha kuwa
wanamuziki wa nyumbani Tanzaniawaingiapo Japan wanateka
soko. Pia mnaweza kujumuika na mmoja wao
at https://www.facebook.com/omar.abbu
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
No comments:
Post a Comment