Thursday, 26 March 2015

Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO

Molel.
Jumamosi nitakutundikia hapa document ya page 6 ujifunze hata mbinu za kushawishi mtu. sio zenu hizi za kifisadi na kihuni.
EDO sio chqaguo la watanzania na ikitokea akapita kichwa cha topic hii kitakuwa kimeshinda
--------------------------------------------
On Thu, 3/26/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, March 26, 2015, 1:47 AM

sasa mzee
elisa propose Rais  wa taste yako babaBut
kiukweli Rais pekee wa taste wa  watanzania ni EDO penda
usipende, wewe chama chako cha CDM kimejaaa mafisadi
huwasemi huyu ufisadi wako uko wapiiiiiii, acha hizo acheni
kumshutum mtu hafu nyie mlioko humu opposant hakuna hata
mmmoja anaejua taste  ya watanzania shida yenu mnashinda
kwenye computer u dont walk aroundJamani
mwenzenu nimezunguka nchi nzima iam comfident with what i
stand for people need hime regardless of the plotted
richmond scandal sasa labda niweke sawa hapo.....sawa ana
skendo huyo alokamatishwa lakini watanzania wanamtaka kwakua
ana maamuzi ana vision na mbeba maono sasa nani
tenaaaa....nitajie mr Elisa, au unamtaka  mbowe na jazba
zake za kuziara vikaoa, au mzee padri slaaa na mkono
wakeeeee, nani elso mzeeeeNakuomba
kama kweli unaipenda tanzania na unataka Tanzania
ibadilikesupport him i call upon u guys to make a u turn na
support the guy, hujachelewa muda ndio huuuuuuuuElisa badilika hata kifikra sion sababu za
kumkataa Lowasa wewe na mwenzako Reuben.....na kama
mmmemkataa mleteni wenu sasaZitto
mmemkataaa pia duuuuh

e

From: 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, March
25, 2015 11:17 AM
Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO

Molel sina ujirani na EDO. hatupakanishi
shamba. hatukuwahi kwenda shule moja wala hatukuwahi
kugombea cheo. Ninaongozwa na mwelekeo wa taifa hili. Basi.
Nasema ninachokiwaz. Sina interest na mtu kuwa rais bali
interest yangu ni nchi kuwa na rais bora.
--------------------------------------------
On Wed, 3/25/15, 'lesian mollel' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 25, 2015, 5:44 PM

elisa ana chuki binafsi
tu
na EDOTuleteee wa kwako elisa humu
unaandika  point za kudandia tu na zisizo na
punde ya
ukweli kulazimisha watu wamchukie
EDO sasa kwa taarifa yako
watu
wameng"amua janja zenu za kumpaka tope mpiganaji
na mkomozi wetu aliesalia...richmond richmond
wewe un ajua
abc za richmond....ukiambia
usimame mahali useme utadhubutu,
acha zako
mzeeee? Lowasa hashawishi watu bali watu

wanmshawishi kwakua wamemkumbuka na wana imani nae
fullstop

 
     
From:

'shedrack maximilian' via Wanabidii

<wanabidii@googlegroups.com>
  To:
wanabidii@googlegroups.com

  Sent: Wednesday, March

25, 2015 7:03 AM
  Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND ITATUCHAGULIA RAIS
TUSIPOKUWA MACHO
   

Kila mwenye uwezo na sifa ajitokeze au

ashawishiwe .Hata wewe Elisa tumia nafasi hiyo
kumshawishi
unayefikiri anafaa!!!



--------------------------------------------
On Wed, 25/3/15, 'eid omari' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 
Subject: Re:
[wanabidii] RICHMOND
ITATUCHAGULIA RAIS TUSIPOKUWA MACHO
  To:
wanabidii@googlegroups.com
  Date: Wednesday, 25 March, 2015, 9:12
 
  Safi Elisa kwa
mtazamo
  wako, i like
that........................
 
 
 
 
Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA
  FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX
  1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28 276
3249MOBILE:+255 713
  728
672FAX:+255 28 276
2198EMAIL:eidomari@yahoo.com
 


--------------------------------------------
  On Wed, 3/25/15, 'Reuben
Mwandumbya'
  via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 

 
Subject: Re:
 
[wanabidii] RICHMOND
ITATUCHAGULIA RAIS
TUSIPOKUWA MACHO
  To:

"wanabidii@googlegroups.com"
  <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Wednesday, March 25, 2015, 7:49 AM
 
  Elisa

 
&
  Chamani;You
have
 
said it
all.Thanks Reuben
 
 
   
 
 

        On Tuesday,
March
  24, 2015 6:38 PM, amour chamani
<abachamani@gmail.com>
  wrote:
       
 
    Unapata tabu ya
  bure.
 



  Bagamoyo iwe na
Mashehe 80 bado tu
hujaelewa?
 
 
 

  Walewale.
 
On Mar 24, 2015 11:35 PM,

 
"'ELISA MUHINGO' via

Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
  TUSIPOANGALIA
RICHMOND
  ITATUCHAGULIA
RAIS
 
  Ambaye hakijui
kisa cha
mtoto mdogo kumuumbua
  mfalme kuwa
  anatembea
uchi mbele ya watu
  wazima waliokuwa
wanaogopa
 
kumsema
  'vibaya' mfalme anisamehe maana
sitakieleza.
  Lakini
ningependa kusema
mimi katika utoto
  wangu nawaonyesha
  watu
wazima habari za

mfalme
anayetembea uchi mbele zetu.
 
  Nadhibitisha kuwa mimi ni mtoto mdogo
sana
nilizaliwa saa
  9
  usiku
wa kuamkia 5
September 1952 katika
  zahanati
ya
  Kashasha. I am a young
boy of
  63 years now.
 

 
 

 
Mfalme mwenyewe ni watu hawa
  wazima
walioitikia kwa
  kupotosha wito wa
  Rais
wetu Dr. Jakaya Kikwete kuwa
 
  Inawezekana kumpata rais kwa
kumshawishi mmoja wetu
 
ambaye
  hata kama hataki lakini kama
anaweza
  kunamshawishi.

 
 
 
 
Watanzania wote tunajua
kuwa
  wapo wanachama
wa
CCM ambao
  wanatumikia


adhabu ya kuangaliwa mwenendo wao baada
ya


 
kuonekana wanapiga kampeni ya kugombea

uRais kabla ya
  wakati. Waliofungiwa
kufanya hivyo ni pamoja
  na
waziri Mkuu
  aliyejiuzuru kwa Kashfa

Mpendwa wetu Edward Lowasa,
Benard
 
Membe,
  January Makamba, Wasira na

kadhalika.
 
 
 
  Moja kati
  ya matendo waliyokuwa wanafanya ni
kujipitisha
  kwenye
makanisa na misikiti
kujidai wanatoa
  michango. Watu
  wenye
akili wakatafsiri

matendo
hayo kuwa ni rushwa ya
  kutaka
  waungwe mkono wakati wa kugombea urais
 
  Tamko la rais kuwa
tunaweza kumshawishi mmoja
 
wetu ambaye
  japo hajajitokeza na
labda

hataki kujitokeza
bila shaka
  yoyote kwa

mtu
  mwenye akili za kawaida (kila mtu
ana
akili
 
  lakini si kila mtu
anzo za
kawaida) anajua kuwa rais
 
aliowasema sio wale waliokwisha kujitokeza
na
  kuonyesha nia
  ya
kuutaka
urais mpaka
 
kufikia hatua ya kufungiwa
kuutaka
  urais.
  Haiingii
akilini.
 

  Kitu
  cha ajabu na cha kushangaza watu
wazima,
viongozi wa
 
dini eti wameenda kumshawishi
mwenzetu
Edward
  Lowasa,
 
'kumuomba' 'akubali'
  kugombea
urais. Haiingii
  akilini katika
  maeneo
mengi.
 
  Tuanzia
  hapa:
 

  i       Yapo
  maazimio ya Bunge
kuhusu
 
kashfa ya
Richmond
  ambayo nadhani

hayajatekelezwa na
  serikali.
  Kama yakitekelezwa huwezi kujua kama
hayawezi
  kudhibitisha
uchafu wa wahusika
akilwemo
  Lowasa wetu.
 

  ii     
  Kashfa
muhimu na kubwa ni
kuwa
  capacity
  charges
zilizotamkwa ndani ya ripoti ya tume
ya
  bunge ina mgao wa wahusika na
haijulikani kama
  EL
hayumo
 
  iii   
   Katika michango ambayo EL alikuwa
  akitoa
  makanisani
misikitini na kwingineko inadhaniwa kuwa
 
huenda sehemu yake
inatokana na mgao huo.
 


  iv      Kulionekana


dalili kuwa kuna mambo
 
tume ya Bunge
chini
  ya
Dr. Mwakyembe ilibakiza mambo
fulani
 
  ambayo ingeyatoa
kuna watu wangepata shida. Tunakumbuka
 
aliposema aliwahi kufuatwa
na mke wa mtu

fulani
kumsihi
  afiche ukweli wa ripoti.
EL
  hakuacha kutajwa katika
hilo.
 
  V     
 Na
kadhalika.
 
 
 
 
Taifa letu
  lina matatizo makubwa sana.
Mengine ni
nyufa
 
alizozieleza Mwalimu Nyerere mwaka
1995.
Sasa
  zimemeguka na
 
kuwa kubwa zaidi. Rushwa sasa
  imezidi na
kupata jina
  advanced tunaiita
 
UFISADI.
 
  Kila
mwenye
  akili timamu
yuko
anaumiza kichwa akitaka kujua
 
tufanyeje ili tupate kiongozi bora na
tumjueje
  ambaye si
 
fisadi. Kila
mwenye akili
  sawasawa anajua kuwa

aliyekwisha
  tajwa kwa


hilo hafai hata akitaka kutumia njia zake
kuupata
  urais.
 
 
 
 

 
 

 
   Sasa
  katika
mazingira
hayo:
 
 

1.   
  Viongozi wetu ambao walikuwa
 
  wakipokea michango hiyo haramu
wajisafisheje
mtu akisema

  walinunuliwa na kuandaliwa
kwa wakati
kama
  huu?
 
  2.      Viongozi
 
wetu
hao wana upeo kiasi

  gani kukubali
  kutumiwa kihuni namna
hii? Kweli walilenga
 
 
kwenda kumshawishi Lowasa
agombee kwa
sababu wameona
  amekaa
 
kimya yaani hafurukuti kugombea?
  Yaani
viongozi wetu
 

walidhani
  hawatajulikana kuwa lazima
wamehongwa kufanya kazi
 
hiyo?
 
  3. 
   
  Wanaweza kusimama na
kujitetea mbele
 
  ya
waumini wao kuwa walifikiri Lowasa

hatajitokeza
  kugombea

 
ndiyo maana waliamua kumshawishi
  na
kumchangia fedha?
  Wameona wamejitokeza
 
wangapi mpaka wakahofu kuwa huenda
 
  asijitokeze?
 
  4.     
  Wanataka
Lowasa aje alisaidie taifa
  hili
  kufanya nini? Wanaona
taifa
halina nini? Wengine
  tunaona taifa
ni tajiri, Lina raslimali, lina
  watu
wapole
  waelekevu. Shida linakosa
  kiongozi wa kuukabili ulafi na
 
  kujilimbikiza mali ili
mali
iliyopo itumike vizuri. Kweli
  mtu mwenye
kashfa ya namna
iliyo kwenye ripoti
  ya Tume
ya
  Bunge anaweza
kupendekezwa na
  viongozi wa dini? Hii
balaa.
  Viongozi hao
 
ambao ni
waombezi wa Taifa hili kweli
wana
 
  dhamira
njema?
 
 
Siwaelewi.
  Viongozi hawa

wamejua jinsi ambavyo Lowasa
 
  ameleta mgogoro katika viongozi wa kimila
wa
kimasai? Na
  kuwa
mgogoro huo ni uimla wa
kutaka
  kuwabambikizia
 
wanaMonduli mtu anayetaka
 
amrithi ubunge
yeye atakapo kuwa
  rais?


Ndiye wanayetaka aongoze taifa hili?
 
 
 

 
Lowasa
  anaweza kuwa
rais lakini nafikiri
viongozi wa dini
  wasingependa kuwa sehemu

ya waliomsaidia.
  Lowasa amesemwa
  sana. Kwa hiyo anaweza kuwa

rais na akawa mzuri sana
hivyo
 
kutukomesha
  tunaomsema. Lakini akiwa mbaya
kuna
 
 
atakayeshangaa?
 
 
 
  Rais Kikwete
alipoupata

urais wakati
watu wakitabiri nani
 

atakuwa
  waziri Mkuu wapo waliomtaja
Lowasa.
Wako waliosema
 
haiwezekani akawa Lowasa.
Sababu zilikuwa
kwa
  sababu ni
  rafiki
wa JK basi (JK) atashindwa
  kumdhibiti.
Waliosema
 
anaweza kuwa
Lowasa
  walisema atajitahidi
kutomudhalilisha
 
  rafiki
yake? Nini
kilitokea? Unawezaje kumwamini Lowasa?
 
Mimi nawashangaa viongozi wa dini . si
 
viongozi wa siasa wa
  chama
chake. Hayo
  tumeyazoea.
Mitandao
ilikotufikisha ni wao
 

hakuna
zaidi. Siwashangai wanafunzi. Wao ndivyo
 
wameelekezwa
  na wanamtandao
na ni haki yao.
  Wanakomea
hapo.
Siwashangai
 
vijana wa

bodaboda. Hao
tumewazoea. Tunawakuta wakishajaziwa
 
mafuta ya pikipiki zao basi. Nini zaidi.
 
Lakini viongozi wa
  dini????
Nitaendelea
  kuwashangaa.
 

 
 
 
Elisa
Muhingo
 
 
 
 
 

 
 

 
 
   Send Emails
to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 

    
 
 

 
   Kujiondoa Tuma
Email
  kwenda
 

 
 
 

   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
   kudhibitisha ukishatuma

 

 

 
 
  
 
 
 

   Disclaimer:
 
 
 
 
 Everyone
  posting to this
Forum bears the sole
 

responsibility
 
   for

any
  legal consequences of his or her
postings, and
  hence
 

 
   statements and facts
must
be presented responsibly.
  Your
 
 

 continued membership signifies that you
agree to
  this
 


 
 disclaimer and pledge to abide by our

Rules and
  Guidelines.

 

 
 

 
   ---
 
 
 
 
 

 You
  received this message because you
are
subscribed
  to
the
 
 
   Google Groups

"Wanabidii" group.
 
 
 
 
 To
unsubscribe from this group and
stop

receiving
  emails
 
   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
 
 

   For more options, visit


https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 

 
--
 

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
 
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
 
 

  Disclaimer:
 
 
  Everyone posting to
this
Forum bears the sole
  responsibility
  for any
legal consequences

of his
or her postings, and hence
 
  statements and facts must be presented
responsibly. Your
 
continued membership
signifies that you
agree
  to this
 
disclaimer and pledge to abide by
  our
Rules and
 

Guidelines.
 
 
  ---
 

 
You
  received this
message because you are
subscribed to
the
  Google Groups

"Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this


group and stop receiving emails
  from
it,
  send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit


https://groups.google.com/d/optout.
 
 
 
 

 
  --
 

  Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   

 

  Kujiondoa Tuma
Email kwenda
 
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 

   
 
 
Disclaimer:
 
 
 
Everyone posting to this Forum bears the

sole
  responsibility
 
for
any legal consequences
  of his or her
postings, and
hence
 


statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you
agree
  to this
  disclaimer
and pledge to
abide by
  our Rules and

  Guidelines.
 
 
  ---
 


 
  You received this
message because you are subscribed to

the
 
Google Groups
"Wanabidii"
  group.
 

  To unsubscribe
  from this group and
stop receiving emails
 
 
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit


https://groups.google.com/d/optout.
 
 
         
 
 
 

 
  --
 

  Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   

 

  Kujiondoa Tuma
Email kwenda
 
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 

   
 
 
Disclaimer:
 
 
 
Everyone posting to this Forum bears the

sole
  responsibility
 
for
any legal consequences
  of his or her
postings, and
hence
 


statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you
agree
  to this
  disclaimer
and pledge to
abide by
  our Rules and

Guidelines.
 
 
  ---
 

 
You received this
 
message because you are
subscribed to
the
 
  Google
Groups "Wanabidii" group.
 
 
  To
unsubscribe from this
group and stop
  receiving emails
  from
it, send an email to


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit


https://groups.google.com/d/optout.
 
 
  --
 
Send
  Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:

Everyone posting to
  this Forum bears the
sole
responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence
statements
  and facts must be presented
responsibly. Your
continued
  membership signifies that you
agree to this disclaimer and
  pledge to
abide by our
Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message


because you are subscribed to the Google
Groups
  "Wanabidii" group.

To unsubscribe
  from this group and stop

receiving emails from it, send an
  email
to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email
kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

   


--

Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment