Ndugu Kipamila unatania au ndo umetoa hoja hizo toka moyoni?
Kutokuwepo kwa Ukawa bungeni ni tatizo kubwa sana kwa mtu anayejaribu kuangalia ustawi wa nchi yetu kwa leo na siku zijazo. Katiba ya nchi si katiba ya Vikoba. Umeanza kwa kuuliza swali zuri sana kwamba kama hakuna litakaloharibika basi tuachane na UKAWA wabunge waliopo wa CCM watengeneze katiba.
Nakukumbusha kitu kimoja kwamba aliyedai katiba mpya si CCM ni upinzani na hapo mwanzo CCM kama CCM walikataa wazo hilo ila cha kushangaza ghafla bi vuu rais akakubali mchakato wa kutengeneza katiba uanze. Mimi na wewe hakuna ajuaye ni kwa nini alibadilisha mawazo na kukubaliana na wapinzani. Yawezekana ni shinikizo la wafadhili au janja fulani ili kuwaridhisha wapinzani kwamba kuna mabadiliko kumbe ndo katiba iendelee kujichanganya zaidi.
Umenichekesha sana ulipoandika maneno "Naungana kwa asilimia 100 na wabunge waliobaki bungeni kutengeneza katiba itakayo mpa heshima rais na itakayobariki wabunge kuwa mawaziri, Mungu libariki bunge la katiba liendelee kwa amani bila matusi.
Hapa ndo swali lako linajibiwa kwamba kwa wabunge waliobaki kutengeneza katiba itakayompa heshima rais haiwezekani hata kidogo uelewe kwamba tayari wabunge hao wa CCM tayari wamekwishapioshana na maoni ya wananchi kwa kug'ang'niza kuingiza muundo wa serikali 2. Ndugu yangu Kipamila unataka wanasiasa wafie kwenye ofisi za serikali kwa kutokuwa na ukomo wa kugombea? Nchi yetu ina wasomi wengi sana hivyo hatuitaji mbunge mwenye hati miliki ya jimbo. Mbona urais una kikomo? Kwa nini udiwani na ubunge visiwe na ukomo wa muda? Kwa wajumbe waliobaki kwenye BMK kutengeneza katiba hatuitakii mema nchi yetu na wala haitampa heshima rais wetuKutokuwepo kwa Ukawa bungeni ni tatizo kubwa sana kwa mtu anayejaribu kuangalia ustawi wa nchi yetu kwa leo na siku zijazo. Katiba ya nchi si katiba ya Vikoba. Umeanza kwa kuuliza swali zuri sana kwamba kama hakuna litakaloharibika basi tuachane na UKAWA wabunge waliopo wa CCM watengeneze katiba.
Nakukumbusha kitu kimoja kwamba aliyedai katiba mpya si CCM ni upinzani na hapo mwanzo CCM kama CCM walikataa wazo hilo ila cha kushangaza ghafla bi vuu rais akakubali mchakato wa kutengeneza katiba uanze. Mimi na wewe hakuna ajuaye ni kwa nini alibadilisha mawazo na kukubaliana na wapinzani. Yawezekana ni shinikizo la wafadhili au janja fulani ili kuwaridhisha wapinzani kwamba kuna mabadiliko kumbe ndo katiba iendelee kujichanganya zaidi.
Umenichekesha sana ulipoandika maneno "Naungana kwa asilimia 100 na wabunge waliobaki bungeni kutengeneza katiba itakayo mpa heshima rais na itakayobariki wabunge kuwa mawaziri, Mungu libariki bunge la katiba liendelee kwa amani bila matusi.
2014-08-04 11:53 GMT+03:00 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kwanini tunawataka ukawa walejee bungeni, wasipoingia wao bunge haliwezi kuendelea? Na kama hivyo ndivyo mbona halikusimama pale tu walipoondoka bungeni? Ikiwa hakuna kitachoharibika kwanini tusiachane nao tukaendelea na mambo yetu bila wao kuwapo na katiba mpya kwa ajili ya watu wetu ikapatikana. Hivi katiba hii tunawatengenezea ukawa au watu wetu walitupa ridhaa ya kuliongoza taifa hili kwa kishindo kama siyo kimbunga. Hakuna sababu ya kuhangaika na ukawa mbona kwenye bunge la bajeti walitoka na bajeti ikapitishwa kinashindikana nini hapa kwenye bunge la kaitba hadi tunawabembeleza hivi, hawa ni akina nani hasas? Tunababaishwaje na Lipumba ambaye amegombea urais mara zote tangu kuanza kwa vyama vingi bila mafaniko, ananini jipya kwenye bunge la katiba hadi tumuogope, je anatubabaisha Mbatia ambaye hata ubunge amepewa kwa huruma ya JK tu, anan nini jipya? Je, tunahahgaishwa na Mbowe ambaye hata alipogombea urais kwa kuruka na helikopta hakuambulia
chochote cha maana, ana kipya gani safari hii?
Tieni jamani kwa moyo mmoja tukatengenze katiba kwa ajili ya watu wetu tuachane na ukawa, hawana jipya hawa wanataka kupitisha rasmu isiyo na mashiko hata kidogo, katiba gani inayopunguza idadi ya mawaziri kutoka 60 hadi 15? wanataka sisi tukale wapi wamejaa wivu hawa, katiba gani inayohuburi mbunge asiwe waziri, heshima ya ubunge itakuwa nini si tutabakia kuwa sawa tu na madiwani? katiba gani inayotaka tutumikie majimbo kwa mihula mitatu tu, tuachane nao hawa wana wivu wa kike.
Katiba gani gani hii inayopunguza madaraka ya rais kiasi cha kumtaka akiteua wapendwa wake wakathibitishwe bungeni, hii si katiba hata kidogo.
Naungana kwa asilimia 100 na wabunge waliobaki bungeni kutengeneza katiba itakayo mpa heshima rais na itakayobariki wabunge kuwa mawaziri, Mungu libariki bunge la katiba liendelee kwa amani bila matusi
--------------------------------------------
On Mon, 8/4/14, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WA UKAWA WANAZIDI KUKATISHA TAMAA
Date: Monday, August 4, 2014, 4:08 AM
siku.Hata pale penye kila kitu mfano raslimali,
Kinachotakiwa ni kila
mmoja wa pande yoyote ile kuona na kukubali kosa lake na
kukubali uamuzi wa pamoja sio kila mmoja kutaka lake ndio
liwe jibu bila kusikiliza wenzake. Pili, kama kila
lililosemwa na Tume ya Katiba ndio jibu-kusingekuwa na haja
ya bunge la katiba kwani si tume imeshaandika? Kuwepo na
bunge la katiba ina maana kunatakiwa kusanifu na kuweka sawa
baadhi ya mambo yaliyoandikwa na tume ili katiba ikamilike.
Ubinafsi, ufahari, kutaka kuonekana, ubishi, uroho wa
madaraka ndio unaotuletea vita Afrika siku hadi
TanzaniaFrom: "'Hildegardaasasi zenye madaraka na wataalamu bado kuna uzembe ktk
utendaji na mambo yaliyowazi kabisa kukemewa. Haya na
tumalize hayo mabilioni kwa posho na tuishie malumbano
yasiyotija. Vikao vya usuluhishi vya kupoteza mihela, kuita
washauri kwa
mabilioni wakati kila kitu kipo wazi mikononi mwetu-kuacha
ukawa, ukiwa, wehu wa madaraka na ubinafsi pande zote ili
kufikia maridhiano.
On Friday, 1 August
2014, 21:18, 'Ngupula GW' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Tatizo watu mnasahau,taifa lisilotenda
haki,halisimama kamwe..haki huliinua taifa...na ndio maana
kwangu mimi mtu asiyemjua Mungu hawez kuwa na hekima kwani
hakuna hekima isiyotokana na Mungu..ngupula
misangocharles via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Kinachokera
katika mjadala huu ni watu kujifanya vipofu kutoangalia
upande wa pili badala yake kuonesha ubaya wa ukawa tu. Nani
alifurahishwa na mwenendo ule wa bunge maalum la katiba?
Upendeleo wa waziwazi wa kiti, dharau, kejeli na matusi
mazito! Haya hayasemwi! Mkoje ninyi watu? Sent from my
BlackBerry® smartphone from Vodacom
waVyama, Jaji Mutungi, kinaelezwa kuwa cha nneKiwasila' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 1 Aug 2014 17:07:19
+0100To:
wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:
wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WA UKAWA
WANAZIDI KUKATISHA TAMAA
Hapa inaonekana nia ya
masuala yao si katiba. wana lingine ndani ya kificho cha
UKAWA na katiba. Waafrika sisi Mungu atupe nini? Kil;a mara
nchi zetu ni ubinafsi, malumbano mpaka kufikia vita vya
kuharibu nchi, kuua na kuharibu uchumi. hao wa Libya, Misri
wamepata nini. Congo nako, Nigeria na nchi nyingine Africa
utata mtupu.Mzuingu anafurahi kuona monkeys tunaendelea
kuota na kukuza mikia yetu badala ya kushirikiana, kuelewana
na kuleta maendeleo. Mmakonde kasema-Yonda ni Yonda tu
mtupie tu ndizi!! Mungu tusaidie tufunuke tuache misifa na
ubinafsi.
On Friday, 1 August
2014, 18:16, Leila Abdul <hifadhi@gmail.com> wrote:
VIONGOZI wa vyama vya
siasa vinavyounda Umoja wa Kataba ya Wananchi (Ukawa),
wanadaiwa kumkatisha tamaa na kumvunja moyo Msajili wa Vyama
vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, katika kufikia
maridhiano ya pande mbili zinazotishia kukwamisha mchakato
wa upatikanaji wa Katiba mpya.
Habari za uhakika kutoka ndani ya
kikao cha maridhiano kati ya wajumbe wa Ukawa na wajumbe wa
Chama cha Mapinduzi (CCM), kilichokutana kutwa nzima ya jana
katika hoteli ya Sea Cliff, Dar es Salaam, na baadaye
kuthibitishwa na baadhi ya maofisa wa Ofisa ya Msajili
waliokuwa eneo hilo la hoteli, zinasema wajumbe wa Ukawa
wamekuwa ni watu wasioeleweka kutokana na tabia yao kuibua
mambo
mapya kila kinapoitishwa kikao baina ya pande mbili
hizo.
Kikao hicho cha
jana kilichofanyika chini ya upatanishi wa Msajili
tangu Msajili huyo aanzejuhudi za kuwaweka pamoja
walionyeshakushangazwa na hali hiyo ya kutofikiawajumbe wa pande mbili hizo za Ukawa na CCM, ili pamoja na
mambo mengine, vikao vya Bunge Maalum la Katiba kwa ajili ya
kutafuta Katiba mpya viweze kuendelea kama kawaida mjini
Dodoma.
Kwa mujibu wa
habari hizo, kikao hicho cha jana kilitarajiwa kuwa kikao
cha mwisho cha maridhiano katika juhudi hizo za kukwamua
mchakato huo ili kuwapa wajumbe wa Ukawa, ambao pia ni
wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, nafasi ya kujiandaa na
safari ya kuelekea Dodoma kwenye vikao vya Bunge hilo
vinavyotarajiwa kuanza rasmi Jumanne ijayo, Agosti 5, mwaka
huu.
Hata hivyo, hadi
tunakwenda mitamboni jana, kulikuwa na taarifa za ndani ya
kikao hicho zinazoeleza
wazi kwamba hakukuwa na uwezekano wowote wa pande mbili
hizo kufikia maridhiano baada ya Ukawa kuwasilisha hoja zao
tisa mpya, badala ya hoja mbili ambazo ziliridhiwa na pande
mbili hizo katika kikao kilichopita ambacho kilikuwa ni cha
tatu, kwamba zingejadiliwa katika kikao jana na kufikia
hitimisho la majadiliano hayo.
Kwa mujibu wa habari hizo, hoja tisa
hizo zilizowasilishwa na Ukawa katika kikao hicho cha jana,
zilishajadiliwa na kufikiwa muafaka na pande mbili hizo
katika kikao kilichopita, zikawekwa kiporo hoja mbili ambazo
ndizo zilipaswa kujadiliwa jana kabla ya kufikia
hitimisho.
"Hawa
Ukawa wanamvuruga tu Msajili kwa sababu hawaeleweki ni kitu
gani hasa wanachokitaka…kwa kweli wamem-put off (kuvunja
moyo, kuvunja nguvu) Msajili wa vyama vya siasa, uwezekano
wa kufikia maafikiano na maridhiano ili tuweze kurejea
bungeni kuendelea na mchakato wa kutafuta Katiba mpya ni
mdogo sana,"
kilisema chanzo chetu kutoka ndani ya kikao kwa sharti la
kutotajwa.
Nje ya
kikao hicho, baadhi ya maofisa wa Ofisi ya Msajili
muafaka,
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

No comments:
Post a Comment