Na Maggid Mjengwa,
Ndugu zangu,
Tumeaona Mandela akikutana kwa mara ya kwanza na Mfalme Haile Selassie pale Addis Ababa, Ethiopia.
Na ikafika siku ya mtihani mgumu kwa Mandela. Mtihani wa kuisafisha ANC iliyochafuliwa na PAC. Maombi ya ANC kutaka kutambuliwa rasmi kama Chama Cha Ukombozi yaligonga mwamba pale mjumbe kutoka Uganda alipokuja na madai, kuwa ANC ni chama cha kikabila. Kwamba ANC inaundwa na watu wa kabila la Waxhosa.
Na waandaaji wa mkutano ule wa PAFMECSA walifanya makusudi kumfanya Mandela awe mzungumzaji wa pili baada ya Mfalme Haile Selassie. Walitaka kupata....Soma zaidi...http://mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/4061-simulizi-za-mzee-madiba-siku-mandela-alipojenga-hoja-mbele-ya-simba-wa-yudah.html#.UepCAW2CDTo
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
No comments:
Post a Comment