Wednesday, 10 July 2013

Re: [wanabidii] Tanzania imposes TZS 1,000 monthly charge on Sim cards

Kwanza haya makampuni ya simu kama Voda ni wezi. wanatuibia wateja ni bora waongeze kodi kwao. Ninasema hivi ni wezi kwa sababu unatozwa hela kama umeweka wimbo fulani utapata message 26/6/2013 kwa mfano kuwa  Ndugu Mteja mlio wako fulani umewekwa upya  kwa siku 16 zijazo kwa shs 210. Ahsante kwa kutumia huduma hii. Unapata ujumbe kama huu 5/7/2013 suku 9  baadae wanakwambia umewekwa tena kwa siku 30 na umekatwa shs 400. Unapata tena tar 6/7 umekatwa tena shs 400 kwa siku 30. Fikiria kama watu 10,000 wamekatwa 400 kila baada ya siku 5 to 10 ni shs ngapi? Ni hivyo ukienda mfano shoprite. Change ikibaki pamoja na senti 20, 35 au 40 etc hii haipo huipati. Hawana hii hela lakini hawakaribishi vipimo vyao na gharama zao visiwe na visenti ambavyo hawawezi kutoa. Hivyo zidisha kwa mfano visentti hivyo kwa mwezi kwa wateja milioni 5 x sent 40 ni shs ngapi wapatazo. Serikali iwatoze wao wafanyabiashara sio sisi makabwela.
Ukienda sehemu nyingi za biashara hawama mashine za kodi wanaandika ktk kidaftari akikuuzia kitu maana kama ne cafeteria wamebeba maandazi, chapati kutoka watu tofauti. hata taasisi za umma, zina viduka, tea rooms ambazo zinauza kwa faida havina mashine za kodi. Wao wanatafuta rahisi kuwakata wateja na wafanyakazi kodi za kupatikana kiurahisi badala ya kuweka mfumo kuwa kila mfanyabiashara alipe kodi. Mbona ulaya imewezekana? Mbona wanakwenda kusoma huko wanaona mifano. Na mpaka tutakapoweza kudhibiti biashara barabarani, saluni, viduka kila mtaa, kila nyumba havijaandikishwa; kila uwanja kuna garage ambazo hutumia umeme, maji na mzigo wa takataka na hawalipii. Saluni ndio zinamwaga maji ya kemikali uwanjani-barabarani watu na hasa watoto watembeao bila viatu hukanyanga na maji kuingia pia kwenye bomba za maji ya kunywa ambayo daima yamepasuka na kuvaa mipira. Wanatia watu maradhi lakini hawatoa kodi kulingana na idadi ya wateja na hela alizolipwa. Bado hao wapishi wa masherehe wanaolipwa mamilioni lakini hawatozwi kodi. Kodi anakatwa kubwa sana mfanyakazi tu.

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 7 July 2013, 11:40
Subject: Re: [wanabidii] Tanzania imposes TZS 1,000 monthly charge on Sim cards

Yona Unaunga mkono mtu kufuata maji kwenye dimbwi badala ya Mto? Serikali ikubali kuwa Mwadui wanapata hasara na makampuni ya madini hawalipi kodi ianze kutoza kwenye simcard?

--- On Sat, 7/6/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Tanzania imposes TZS 1,000 monthly charge on Sim cards
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, July 6, 2013, 4:29 AM

Naunga mkono suala la kodi kwenye SIM CARD , Serikali ijenge mtindo wa kupata vyanzo vingi zaidi ya mapato kwa ajili ya kuendesha serikali hiyo ya kusaidia wananchi wake .

On Sat, Jul 6, 2013 at 2:23 PM, Mgaywa GMD Magafu <gmdmagafu@gmail.com> wrote:
Nadhani hii ndio serikali legelege aliyoisema Nyerere. Kazi yake ni kufukuzana na wauza karanga. Nchi imejaa maliasili lakini serikali inaendeshwa kwa kodi za "karanga" ambazo ni kero kubwa kwa wananchi wake. Nimebahatika kukaa nchi mbalimbali lakini sijawahi kukaa kwenye nchi yenye kodi kero nyingi kama Tanzania. Nchi zenye akili zinapata kodi kutoka kwenye maliasili zake na siyo 1,000/= toka kwa SIM card. Hii itakuwa kodi kero nyingine.

On Sat, Jul 6, 2013 at 11:53 AM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Hebu lione haraka Matanda. Liko peupe.
1) Kuna sehemu kodi hazikusanywi. Katika gazeti moja inaonekana wamiliki wa Mwadui hawalipi kodiwanasingizia wanapata hasara. wamiliki hao hao katika nchi fulani walipata hasara wakafunga mgodi. Lakini hapa walipata hasara wakanunua na hisa 25% za serikali (ili kuongeza hasara wanayopata?).
2) watumiaji wa simu wa Tanzania ambao wanabangaiza kupata hela ya kuzinunua  ni wengi. Wengine wanazo ili wapigiwe na jamaa zao. Wapo watakaoshindwa kulipa hizo au kuwatwika mzigo wanaowapigia.
Kumbuka usemi wa Nyerere juu ya serikali zisizokusanya kodi badala yake zinakimbizana na maskini mabarabarani kuwataka walipe kodi.
Umeliona tatizo la kodi hii auniendelee kufafanua?

--- On Fri, 7/5/13, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Tanzania imposes TZS 1,000 monthly charge on Sim cards
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, July 5, 2013, 6:54 PM

Sioni tatizo juu ya kodi hii.
On Jul 5, 2013 9:28 PM, "Alois Komu" <fr.komu@yahoo.com> wrote:
Sina mpango aw kuwahamisha ktk mada hii!
Ni kitu kimenikera tu. kwa wale tunaopokea gazeti la Majira kwa e mail or Internet Leo ni siku ya tatu gazeti halisomeki. Sijui ninyi mnaweza Kununua mitaaani kwetu likoje. Nia kuweka tu hapa ni Kuwa Kama kuna mhusika ktk jukwaa hili aangalie ni nini hicho kitu. Herufi zimeingiliana na hivyo kumsababishia msomaji ashindwe kuelewa. Tusadieni asanteni na Samahani Sana kwa kuingilia ktktk ya mijadala 

Sent from my iPad

On Jul 5, 2013, at 11:04 AM, Zephaniah Mugittu <zephymugittu@yahoo.co.uk> wrote:

Elisa

Ujumbe wako umekamilika kaka. Na hawa wawakilishi wetu huwa wanaanyaje kule ndani ktkt maeneo mbalimbali ya uwakilishi jamani? kama wanashindwa jambo si waombe msaada huku nche kwa wadau(wananchi) tusukume against maamuzu kama haya ya ajabu??? Au wawakilishi huwa hawashirikishwi kama kawaida au wao ndio hawajishirikishi? au wote hawashirikishana na then ushirikiano hautokei hatimayeee...?????????????????????????????????????????? Majibu machache maswali ninayo mengi mno....

Regards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481
Fax2Email: 0736605633
Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
 
No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
"Poverty is a result of attitude ..."
 
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 5 July 2013, 16:51
Subject: Re: [wanabidii] Tanzania imposes TZS 1,000 monthly charge on Sim cards

When the Blind leads the blind, they will all fall in a ditch

--- On Fri, 7/5/13, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Tanzania imposes TZS 1,000 monthly charge on Sim cards
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, July 5, 2013, 4:15 AM

The Tanzania government has imposed a TZS 1,000 monthly charge on Sim cards. According to the Mobile Operators Association of Tanzania (MOAT) the monthly charge which took effect on 01 July penalises users who rely on the service to better their lives. Tanzania has a mobile penetration of about 48 percent. This translates to approximately 22 million mobile phone users, of which 8 million use less than TZS 1,000 on mobile communication per month. The Association said even though it understands the government's need to access funding for various development initiatives that target the poor, the proposed monthly charge will affect the poor and the industry as a whole. With industry growth for the next decade expected to come from rural areas, MOAT is concerned that the imposition of the monthly charge will deter mobile communication services among the country's poorest residents. MOAT called on the government to re-consider the TZS 1,000 monthly charge per Sim and facilitate further growth of the telecommunications sector in Tanzania.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Uganda 

No comments:

Post a Comment