2012/7/23 mutabaazi lugaziya <mjlugaziya@mail.com>
Duh!
Sasa huyu ametokea Kahama? Kwa kuwa ndiko anakotoka Mchg. Josephat Gwajima?
Kwanza si sahihi kumpa dhamana mtu anayetuhumiwa kumteka mtu na kumpiga kwa namna inayoonesha dhamira ya kuua. Majeruhi ni mahututi, kikawaida mtu, mtuhumiwa wa kusababisha haya hapewi dhamana kwa mujibu wa sheria.
Na yule Mkenya vipi, mbona wanatuchanganya? Mwenye mwanga zaidi atujuze!
MJL--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Sent from Samsung Galaxy Ace GT-S 5830 --The future of Android Technology
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
No comments:
Post a Comment