Tuesday, 24 July 2012

Re: [wanabidii] KUCHUKUA HELA KWENYE MIFUKO YA JAMII SASA HADI UFIKISHE MIAKA 55

Habari wana jamii,

Sijawahi kuchangia humu ila kwa hili naomba kutoa mawazo yangu kutokana na email hapo chini.

Sheria ikishasainiwa na Rais kuna majadiliano gani yanayoendelea kwa kuwa ishapitishwa na kinachofuata ni kuitangaza kwenye gazeti la serikali ili ianze kutumika.

Majadiliano yalitakiwa yafanyike kabla ya kupelekwa bungeni wakati inajadiliwa katika hatua zote tatu au ndo kusema wanakeuka sheria? Na hata kama wanataka mabadiliko ina maaana gani kubadili wakati kitu kilikuwa na utaratibu wake.

Tufanye kazi kwa makini na tusiwaibile wananchi wa chini bila sababu na kujinyonya wenyewe kwa kuwa uchapishaji mpya kama kutakuwa na mabadiliko na kuyapitisha ....

Naomba niwatakie kazi njema katika kujenga taifa.

Mdau

Upendo
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 24 Jul 2012 08:48:24 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KUCHUKUA HELA KWENYE MIFUKO YA JAMII SASA HADI UFIKISHE MIAKA 55

Suala hili bado liko kwenye majadiliano kati ya mifuko yote ya kijamii na SSRA pamoja na serikali na mabenki kwa upande mwingine kwahiyo msiwe na mashaka na woga sana . itatolewa taarifa zaidi baadaye .

Tuwe makini na taarifa fupi fupi kama hizi .

2012/7/24 Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com>
Jamani hii sheria imepitishwa lini kama sio kutukandamiza wanyonge.Eti sasa kuchukua mafao yako baada ya kuacha kazi au kusimama kazi kwa sababu yoyote ile huwez kuchukua hela zako mpaka ufikishe miaka 55.This is too  much jamani sasa wanakaba kila mahali.

Regards,
 
Jonas Kiwia  |  Director
Speedy Computers
Tel:+255 754882825  |  Cell: +255 715882825
P.O.Box: 55133  |  Dar esSalaam  |  Tanzania
Email:jonaskiwia39@gmail.com  URL:www.speedycomputersonline.com
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
No comments:

Post a Comment