Monday, 23 May 2016

Re: [wanabidii] TANZIA: Ras BUPE BAKWERESA KARUDI AFARIKI DUNIA

R.I.P wa kwetu

On 5/23/16, msema kweli <msemakweli2007@gmail.com> wrote:
> Ras BUPE BAKWERESA KARUDI AFARIKI DUNIA
> MJAMAIKA WA KWANZA KUWAHAMASISASHA WENZIWE KUJA TANZANIA
>
> Habari za uhakika na kusikitisha zimetufikia kuwa mwanaharakati Ras Bupe
> Bakweresa Karudi maarufu pia kama kaka Bupe Mkushi,amefariki dunia katika
> hosptali ya taifa muhimbili baada ya kupata ajari ya gari.
> Ras Bupe ameacha mke na watoto, mke na mtoto wake wa kiume ameshawasili
> nchini kutokea Uingereza.msiba hupo karakata jijini Dar-es-salaam.Marehemu
> Ras Bupe Bakweresa Karudi alikuja nchini Tanzania katikati mwa miaka ya 70
> akifuatana na mkewe na watoto wawili Kiyenda(msichana) na Nyamiche
> mvulana,Ras Bupe Karudi alikuja kumuomba marehemu baba wa taifa mwalimu
> Nyerere hili atoe idhini
> kwa watu weusi wa visiwa vya Karibiki warudi Afrika(Tanzania) kama
> nyumbani kwani ndio asili yao,baada ya kukubaliwa maombi yake,
> Marehemu Bupe akaungana na wanaharakati wenziwe hapa nchini
> wakiwemo marehem Prof.Joshua Mkhululi aka Prof.Keneth Eduward
> na Marehem Ras Kwetenge Zanaki Sokoni (wajamaika),wengine ambao
> wapo hai Mani Imani wakaungana na wenyeji wao Said Jazbo Vuai,Isza Suleiman
> na Ebrahim Makunja au Kamanda ras Makunja wakasajili
> chama cha ushirika chenye jina la UHURU,UMOJA NA MAENDELEO
> chenye makao kule mbezi beach,wakiwa wanajishughulisha na mipango ya kilimo
> na kumiliki maroli ya usafirishaji. Marehem Kaka Ras Bupe atakumbukwa sana
> kwa harakati zake zake za kuupigania uafrika na kuwahamasisha raia wenye
> asili ya kiafrika kurudi Tanzania.
> Mungu mlaze pema peponi marehemu Bupe Bwakweresa Karudi
> Amen
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>


--
"In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that
we will do everything in our power to make sure that our children's
grand-children will be able to enjoy this rich and precious
inheritance."- Dr. Julius K. Nyerere

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment