Reuben, kuwa makini na hizo namba. Katika kuamua kitu gani ni kuzuri au la namba hazisaidii. Si unaona wingi wa kura pia ulifanya 'fundamentals' za katiba mpya kuchakachuliwa? Pili, tuliingia siasa ya vyama vingi siyo kwa sababu ya wingi wa wanaopenda vyama vingi. Kwa maoni yangu, naona mara nyingi tunajificha kwenye wingi wa watu, yet tunafanya uamuzi wa ajabu kwa kufuata wingi tu wa watu bila kufuata kama hao watu wana hoja za maana. Mimi huwa nachagua kitu kwa kutumia kigezo cha 'reasonableness' na siyo merely because it's supported by the majority (who could be wrong). Hivyo, wengi wape does not mean kwamba wako right - na hasa kwa politics ya hapa Tz watu fulani wanajikusanya ili waonekane ni wenye hoja kwa kigezo siyo cha hoja, bali wingi. Nikupe mfano mmoja siku za huko nyuma. Nilikuwa shule ya msingi na kwa bahati nzuri nilikuwa nafanya vizuri kwenye somo la hisabati. Mwalimu akauliza swali: "robo tatu ya saa ni dk ngapi?" Mimi nikasema ni dk 45. Wanafunzi wenzangu pamoja na mwalimu wakasema ni dk 15 na wakashinda. Lakini mimi ingawa nilibaki peke yangu na nikaonekana kuwa hata simheshimu mwalimu ndiye nilikuwa sahihi - siyo kwa sababu ya wingi, bali wa maana halisi ya "robo tatu ya saa ni dk ngapi".
2016-05-04 15:11 GMT+03:00 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Exactly Magobe;Siko mbali na hoja na maana yako.Thats why nikasema pale mwisho kwamba wengi wape nikiwa na maana hakuna kitu chenye manufaa tu,lazima kuwe na hasara na hapo ndo tunaweka mzani kwamba, kama manufaa ni mengi basi hapo ndipo pawe chaguo.ReubenOn Wednesday, May 4, 2016 2:19 PM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Reuben, mimi nasemea maoni ya watu - hawa kusema hivi na wale kusema vile - hatuwezi kusema kwa vile hawa wamesema hivi, basi wanaosema vile wako wrong. Mimi nasema sivyo hivyo - wote wanaweza kuwa sahihi isipokuwa wanasema hivyo from 'certain perspectives'. Mfano, kuna chupa iko mezani na kuna baadhi ya watu wamo ndani, wengine juu, pembeni na wengine chini. Halafu wote wakiambiwa wachore chupa, obviously wa ndani wachora tofauti na walioko juu, pembeni na chini. Ndiyo maana mimi nasema kwa wale wanaosema rais Magufuli bora kuliko kiongozi mwingine wasitegemee kwamba kila mtu atasema hivyo. After all, hata kwa marais waliopita nao si kuna watu walisema hivyo na wakati huo hawakumtaja Magufuli? Mfano, waliosema Kikwete ni chaguo la Mungu kwa nini hawakumtaja Magufuli kwa wakati huo? Sijui kama unaona kitu ninachokizungumzia. Tena kukosoa ni kitu cha kawaida kabisa! Ila kwa hapa Tz ukimkosoa kiongozi unaonekana unamchukia au humtaki. This is wrong! Bila kukosolewa na bila kukubali kukosolewa hakuna maendeleo!--2016-05-04 13:04 GMT+03:00 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:You are right Magobe.Ambao kwao sio mzuri lazima ni wale ambao wameingiliwa black economic affairs zao,hata ningekuwa mimi natambua fika kwamba mali yangu sio halali lakini nikiwekwa 'mazuganyange' (sina hakika kama nimelitaja vema hilo neno la Kizanaki likimaanisha msukosuko) lazima ntamchukia tu aliyenisukasuka,lakini wengi wape.ReubenOn Wednesday, May 4, 2016 12:25 PM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Hata wengine walisema hivyo kwa Rais Jakaya Kikwete, tena kwa kusema "ni chaguo la Mungu." Hata Mwalimu alipokuwa Rais watu wengi walidhani hakuna kiongozi mwingine Tz. Hivyo, it can't be kwamba ni Rais Magufuli tu ndiye kiongozi bora zaidi. Of course, kwa baadhi ya Watz ndiye kiongozi bora zaidi, lakini kwa wengine sivyo!--2016-05-03 20:34 GMT+03:00 'ipyana75' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Mrisho;
Umesema vema na km wanabisha watwambie huko upinzani ni nani angeweza kufikia kiwango icho.
Kama sio wote matapeli tu wa mali ya Watz.
Reuben
Sent from my Huawei Mobile
Abby Mrisho <abbymrisho@gmail.com> wrote:Kazi ya wapinzani wa kiafrika, na yumkini wa Tanzania zaidi, ni kukosoa yote yanayofanywa na serikali iliyo madarakani, huo umeshakuwa utamaduni wao! Sioni kiongozi mwingine kwa sasa, iwe ndani ya CCM au kutoka Ukawa, ambaye angeweza kufanya bora zaidi ya Magufuli, HAKUNA!--2016-05-03 17:57 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:Unafiki na kudhani wengine hawawezi kuwa na maoni tofauti na ya kwako/kwenu. Ukweli ni kama chupa - walio juu hawawezi kuona chupa ilivyo kama walio chini ya chupa, ndani au ubavuni. Sasa wewe na wengine mhe Japhet unataka wooote - walio juu ya chupa, ndani, pembeni na chini waone chupa kama yenye umbo linalofanana.--2016-05-03 17:15 GMT+03:00 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Umeandika maelezo marefu ila sijaona hoja yoyote yenye mashiko katika haya uliyoandika zaidi ya blabla.On Tuesday, May 3, 2016 4:45 PM, 'japhet mwachapite' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Uchambuzi huu unafaa kusifiwa na wale wote wapenda kweli, na kuona kinachofanywa na mheshimiwa akisaidiana na timu yake ni jibu la kiu kubwa ya watanzania wengi iloyodumu kwa kipindi kirefu.Penye ukweli tuone ukweli na tuongee ukweli. Tuache unafiki. Kila mwenye nia njema ameshaona kazi njema ya serikali ya awamu ya tano. Hata kama ingalikuwa ni kutafuta sifa basi mara zote heri sifa aina hiyo.--
On Tue, 3 May, 2016 at 11:16 PM, Telesphor Magobe<tmagobe@gmail.com> wrote:Huwezi kulazimisha maoni yako kuwa ukweli wa kuaminiwa na kila mtu. Let people express what they think as you are also doing!--2016-05-03 14:36 GMT+03:00 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:--GAZETI moja la kila siku, hivi karibuni lilimkariri Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Vincent Mashinji, akidai kwamba kinachofanywa na Rais John Magufuli pamoja na timu yake, kwa maana ya mawaziri aliowateua baada ya kuingia madarakani, ni kutafuta sifa kwa wananchi.
Hiyo haikuwa mara yangu ya kwanza kusikia viongozi wa chama hicho kikubwa cha upinzani nchini wakitoa kauli kama hizo. Kuna wakati wanasema tunachokiona wananchi kikifanywa na uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano ni nguvu ya soda au msisimko wa muda. Lakini hili, kwamba kinachofanywa na Rais Magufuli na timu yake ni kutafuta sifa kwa Watanzania ndilo limekuwa likisemwa sana.
Liliwahi pia kusemwa na mwanasheria wa chama hicho, Tundu Lissu, na hata Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Kwa mfano, Lissu alikaririwa wakati fulani akihojiwa na kituo fulani cha TV akimfananisha na Magufuli na Augustine Mrema kwamba eti anachotafuta ni kuandikwa vizuri na vyombo vya habari. Kauli ya nguvu za soda huwa pia siielewi vyema msingi wake kwani imejengwa katika dhana zaidi na wala haionekani kuuombea uongozi wa sasa wa nchi yetu heri, ili hatua zinazochukuliwa sasa ziwe endelevu.
Imekaa kama kejeli. Kinachonifikisha kukuna kichwa zaidi na kauli za viongozi wa Chadema ni ukweli kwamba mengi yanayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano ni yale ambayo chama hicho huko nyuma kilikuwa kinayapigia kelele sana. Hayo yaliyokuwa yakipigiwa kelele na Chadema kwa muda mrefu ni pamoja na uwajibikaji uliotukuka kutoweka katika sekta ya umma, matumizi yasiyo na tija ya fedha za umma, ufisadi, rushwa, wizi wa mali ya umma, ubadhirifu na kadhalika.
Niliwahi kuandika kwamba kama akina Mbowe wangekuwa waungwana kweli kweli wangekuwa wakimsifu Magufuli na siyo kumbeza, lakini pengine hizo ndizo aina ya siasa za Afrika! Kuna wakati nimekuwa ninajiuliza kwamba wanaosema kinachofanywa na JPM na timu yake ni kwa ajili ya kusaka sifa wanamwambia nani hasa? Ninasema hivyo kwa sababu hayo unaweza kuwaambiwa watu wasiomjua Magufuli vyema historia na utendaji wake wa huko nyuma wakakuamini.
Anayeweza kuamini kwamba JPM na timu yake wanachokifanya ni kutafuta sifa, kama si mtu ambaye ana chuki binafsi tu na serikali ya sasa, basi atakuwa ni ambaye hakufuatilia pia kampeni za Magufuli wakati anausaka urais wa nchi yetu mwishoni mwa mwaka jana au ambaye hajasoma Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuona inataka nini. Yaani akina Lissu na Dk Mashinji wanataka kusema kwamba hatua ya kubana matumizi kwa maana ya fedha zinazookolewa na kisha kupelekwa kwenye matumizi mengine muhimu zaidi, hakuna tija yoyote isipokuwa kinacholengwa ni kupata sifa?
Kwamba kupambana na mianya ya kupotea kwa fedha za umma katika Bandari ya Dar es Salaam, kwa mfano, bandari ambayo tukiisimamia vyema ni 'mgodi' mkubwa kabisa wa kutuingizia fedha ni kusaka kuandikwa vizuri na waandishi wa habari? Kwamba kutumbua majipu, kwa maana ya kuwaondoa ofisini viongozi walio katika sekta ya umma ambao ni wabadhirifu na wameshindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo nako ni kutafuta sifa?
Kwamba kusimamia kwa dhati tatizo sugu la wafanyakazi hewa ambao wamekuwa wakitoboa mapato ya serikali nako ni kutafuta sifa? Kwamba kutengua uteuzi wa mkuu wa mkoa kwa sababu amesema uongo juu ya wafanyakazi hewa katika suala nyeti kama hilo ambalo Magufuli ameamua kulitafutia suluhu ya kudumu nako ni kutafuta sifa? Basi kama huko ndiko ambako kunatafsiriwa na akina Mashinji na Lissu kwamba ni kutafuta sifa, basi kwetu wananchi ni jambo jema na tunawataka na kuwaombea sana waendelee 'kutafuta sifa'.
Kinachofahamika ni kwamba uongozi uliotukuka ni kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa, kutimiza wajibu na kutenda haki na kikubwa zaidi ni kufanya kile ambacho wananchi wako wanakitegemea kutoka kwako. Ni kwa maana hiyo, kiongozi unapotimiza majukumu yake, na hususani kufanya yale ambayo wananchi wanayataka, ni lazima utapata sifa tofauti na unapofanya kinyume na matarajio ya wananchi.
Ninataka kusema kwamba ipo tofauti kidogo ya kiongozi anayetafuta sifa ingawa kila binadamu anapenda kusifiwa, na yule anayetimiza wajibu wake na sifa kuja nyuma yake. Ninachokiona kwa Magufuli na timu yake ni kutimiza wajibu wao, jambo ambalo lazima linawapa sifa nyuma yake na litaendelea kuwapa sifa kama watadumu nalo kama ilivyokuwa kwa viongozi ambao tunaadhimisha misiba yao hadi leo, kama hayati Mwalimu Nyerere na Edward Moringe Sokoine.
Kiongozi mmoja wa zamani wa Afrika Magharibi, Ibn Batuta, alipata kusema kwamba "Tunafanya haya (kuwatumikia wananchi) kwa sababu tunataka hata tukifariki dunia, watu wasitutafute katika makaburi yaliyopakwa chokaa bali watutafute kwenye nyoyo za wale tuliojitahidi kuboresha maisha yao." Hilo analosema Ibn Batuta ndilo ambalo viongozi wengi hawalijui ama wanalijua lakini kutokana na ubinafsi wao wanashindwa kulitekeleza.
Rais John Magufuli, tangu akiwa Waziri, alikuwa akijitahidi kuwatumikia wananchi ukweli wa kuwatumikia, jambo ambalo anaendelea nalo na kwa hakika litaendelea kumpa sifa hata baada ya kuondoka madarakani na hata kuondoka duniani siku yake ikifika.
Hatuwakumbuki akina Nyerere, Sokoine au Abeid Amaan Karume kwa sababu ya sura zao nzuri au mbaya na wala hatuna sababu ya kuwatafuta kwenye makaburi yao huko walikozikwa. Bali unaweza kuwapata mara moja kwenye nyoyo za Watanzania wengi kwa sababu waliwatumikia kwa dhati, ukweli wa kuwatumikia. Nimalizie kwa kurudia tena kusema kwamba kama Rais Magufuli na timu yake wanatafuta sifa, basi hilo ndilo tunataka kuliko wakifanya vinginevyo.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

--Abdallah Mrisho
General Manager
Global Publishers Ltd
P. O. BOX 7534
DAR ES SALAAM TANZANIA
mobile: +255 713 839 363
Please visit me at:
www.abdallahmrisho.blogspot.com, www.globalpublishers.info
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--

No comments:
Post a Comment