Monday, 4 April 2016

Re: [wanabidii] Magufuli afuta sherehe za Muungano

Hongera Mh Magufuli. Lakini huu hii barabara ya kwenda airport na uwanja wenyewe toka 1994 unajengwa/kukarabatiwa nabarabara ikitengenezwa kupanuliwa. Kuwaje kuanzia kipindi hicho hadi leo haijaisha? Inji hii ina vituko.


--------------------------------------------
On Mon, 4/4/16, Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Magufuli afuta sherehe za Muungano
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 4 April, 2016, 17:09

Magufuli afuta
sherehe za sikukuu ya muunganoDakika
10 zilizopita Mshirikishe mwenzako
Rais wa Tanzania John Magufuli ameahirisha
sherehe za maadhimisho ya Siku ya Muungano na badala yake
akawataka Watanzania waiadhimishe wakiwa majumbani au wakiwa
katika shughuli zao binafsi.

Siku hiyo hata hivyo bado itasalia kuwa
ya mapumziko kama kawaida. Agizo hilo la Dkt Magufuli aidha
linaathiri shamrashamra za mwaka huu pekee.Siku hiyo
huadhimishwa tarehe 26 Aprili kila mwaka kukumbuka siku sawa
na hiyo mwaka 1964 ambapo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
iliundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
(inayojumuisha Visiwa vya Pemba na Unguja).

Magufuli aamua sikukuu iwe siku ya
kazi Magufuli: Vijana sharti wafanye
kaziDkt Magufuli amesema fedha
ambazo zilipangwa kutumika kwa ajili ya kugharimia vinywaji,
vyakula, gwaride, halaiki, burudani mbalimbali na hafla ya
usiku ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni mbili za Tanzania
zitumike kupanua barabara ya Mwanza Airport katika eneo
linaloanzia Ghana Quarters hadi uwanja wa ndege wa
Mwanza.Barabara hiyo inafanyiwa upanuzi kutatua
msongamano wa mkubwa wa magari ambayo umekuwa ukiathiri
shughuli eneo hilo.SOURCE: BBC
Swahili



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

No comments:

Post a Comment