Ndugu zangu
Nimependa kinachozungumziwa ingawa nakitizama kwa upande mwengine katika hali kuu mbili.
Ya mwanzo ni suala zima la wabunge ama kutokujuwa majukumu yao au kutotambua namna ya kuwajibika kwa wananchi na kuwaletea maendeleo katika ngazi zao za uongozi.
Ya pili ni ukweli kuwa viongozi wengi wanajitutumua, kinyume na walivyo kiutendaji, na kutaka kuwaonesha hadhira kupitia runinga kuwa wao wanafanya kazi kama Rais aliyepo madarakani.
Yote haya niliyoyataja yana uzito wa kipekee kwa wale wanaoumwa na maendeleo ya kwao na pengine yatahitaji kuwekwa kama mada za kujadiliwa na vijana ili njia ionekane.
Naomba niishie hapa kwa sasa.
On 15 Dec 2015 17:12, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Ktika hotuba yake ya kulizindua Bunge Rais magufuli aliposema kuna kazi kubwa mbele yao maana kuna watoto wengi wengine walifikiri karopoka. Sasa wanaona wote alichosema. na bado. Inahitaji mchakato kabla wengine hawajatofautisha kati ya kukaa chini na kuandika makala gazetini na kuongoza watu katika nafasi walizoomba na kupewa kwa bahati mbaya. Basi CCM wajiandae kuwalea watoto walioletewa bungeni.
> Elisa
> --------------------------------------------
> On Tue, 12/15/15, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Kubene amekanyaga moto wa Paul Makonda
> To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, December 15, 2015, 1:06 PM
>
> Na Ally Linje
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Wadau, amani iwe kwenu.
>
>
>
> Inaonekana ama Kubenea hajui majukumu yake ama anatafuta
> umaarufu katika mambo ambayo hana uwezo nayo.
>
>
>
> Tangu achaguliwe kuwa mbunge, Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea
> amekuwa
> kituko nje na ndani ya bunge. Ndani ya Bunge, Saed Kubenea
> anaonekana
> mtu wa jazba, chuki, husda na hasira za kijinga.
> Alinichekesha sana siku
> ile alipofura na kukataa maneno yake bungeni wakati
> aliponukuliwa na
> mbunge wa CCM kuwa alikuwa amefurahia uteuzi wa Rais
> Magufuli kwa
> Majaliwa kuwa Waziri Mkuu. Hakika inasikitisha sana kwani
> wakati
> anafurahi alikuwa off camera ila akiwa on camera akajifanya
> kuwa na
> chuki za kipumbavu.
>
>
>
> Nje ya Bunge na hasa jimboni kwake, Kubenea inaonekana
> kabisa hajui hata
> aanze na nini. Ameahidi mambo mengi ambayo hana uwezo wa
> kuyatekeleza.
> Badala ya kutumia muda huu kukutana na wadau mbalimbali
> kupanga mikakati
> ya kutatua kero hizo, yeye anashinda kwenye Ofisi za
> CHADEMA pale Ufipa
> Kinondoni na kwenye gazeti lake la Mwanahalisi kutunga
> uongo ili mradi
> tu ajipatie fedha. Kubenea ameshindwa hata kuandaa ziara za
> kujitambulisha kwenye kata ili kutoa shukrani kwa
> waliomchagua na kukaa
> nao kwa karibu ili kuweka mikakati ya kutatua kero zao.
> Kubenea
> hajafanya hivyo.
>
>
>
> Sasa anaingilia mambo ambayo hana uwezo nayo. Kusuluhisha
> migogoro baina
> ya Wafanyakazi na Mwajiri. Mbaya zaidi, anasimama upande
> mmoja na hivyo
> kuchochea zaidi mgogoro badala ya kusuluhisha. Big up sana
> kwa Mkuu wa
> Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda kwa approach nzuri
> anazofanya ambazo
> zimepelekea kutatuliwa kwa migogoro mingi kama vile mgogoro
> wa Madereva
> wa mabasi na mgogoro wa wafanyakazi wa kiwanda cha
> Urafiki.
>
>
>
> Huko mitaani, wananchi wanaendelea kulalamika huku
> wakijilaumu kwa
> kuchagua mbunge mzigo. Wanasikika wakisema kuwa Wana Ubungo
> wameuziwa
> mbuzi kwenye gitaa kwani Kubenea aliyekuwa anasifiwa na
> viongozi wa
> CHADEMA halingani na huyu Original. Wamechoka na
> wameshamchoka kiumbe
> huyo na hawataki hata kumuona.
> hisani ya Jf
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment