Thursday, 26 November 2015

Re: [wanabidii] RE : Hakuna maadhimisho ya siku ya UKIMWI, ,01.Disemba, 2015 - Hapa kazi tuuuuu!

Naamini watanzania hatuta juta kwa kumchagua tingatinga na mabadiliko yanaweza kupatikana ndani ya ccm.

On Nov 26, 2015 11:47 AM, "'salhabakari' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
---------- Forwarded message ----------From: salhabakari <salhabakari@yahoo.com>Date: Nov 26, 2015 11:38 AMSubject: RE : Hakuna maadhimisho ya siku ya UKIMWI, ,01.Disemba, 2015 - Hapa kazi tuuuuu!To:
Cc:

Nimepokea kwa moyo safi uamuzi wa Rais Dokta John Pombe Magufuli wa kutokuwa na maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani katika nchi ya Tanzania. Maadhimisho hayo, yaliyokuwa yameshaanza kufanyika mkoani Singida kwa mwaka huu, sasa badala yake ameamua pesa zielekezwe kununua dawa za kupunguza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV). Kiukweli, nimepokea uamuzi huo kwa moyo kwatu!
Watu serikalini wamezidi kula, bila kufikiria mambo ya kuyaps kipau mbele. Wanasherekea maadhimisho ya UKIMWI kwa kutumia mamilioni ya pesa, ikiwemo wao  kujilipa  mapesa, huku nchi ikielekea kwenye upungufu wa ARV, hadi kufikiria kuwepo na mfuko wa UKIMWI, kama sheria iliyopitishwa kwenye Bunge la 10.
I salute you Dokta Pombe!
SB

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment